Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Policcm huwa hawaishiwi vitimbi! Na wakiamua kuwavuruga, wanawavuruga kweli.Wanajifanya kuwageza policcm sio? Wahuni wa policcm walituambia mtekaji wa MO sijui ni msauzi wa wapi sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Policcm huwa hawaishiwi vitimbi! Na wakiamua kuwavuruga, wanawavuruga kweli.Wanajifanya kuwageza policcm sio? Wahuni wa policcm walituambia mtekaji wa MO sijui ni msauzi wa wapi sijui
DuuuhWakenya wamejifunza Tanzania na sasa watajifunza hii mbinu mpya ya Mama na Fisi wa Katavi.😁
Uchunguzi unaendeleaYani huyo jamaa peke yake akakamata na kuwakatakata watu wote wale?!
Bwashee waambie wakenya waachie maigizo.
HATA MIMI NAHISI HIVYO, WAMEMCHUKUWA MTU WAMEMPLANT MANENO YA UWONGO NA KWELI AKUBALI AHUKUMIWE, ATAKUWA JELA HUKU AKILA BATA, POLE POLE, HUU NI MCHEZO MCHAFU TU, WANACHEZEWA!Wanatuchezeaaa michezo hawa hakuna lolote
Hawakuweza kumfikia mnyama wa madoa doaAtakuwa mccm huyo.
kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo
Bongo muvi ya Kenya!, hajawaua siku zote anewaua baada ya maandamsno kuanza!Taarifa za sasa zinasema Muuwaji wa Watu waliokutwa kwenye viroba huko Kware amepatikana na anahojiwa na Polisi kujua asili yake na sababu za kufanya Mauaji hayo
Source: Citizen TV
Katika maelezo zaidi leo Jumatatu, Mohamed Amin, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai