Mwenye mada katujuza kiuhakika sisi tusio na taarifa za kutosha za huko mamtoni,sasa wewe "R sweety" mbona unatuharibia?Anzisha thread yako kivyako ili tupate kuijadili na si kuingilia ya mwenzako.unatuharibia.
Mnataka mbakie wenyewe mjitekenye alafu mcheke wenyewe? Eeenh?
