Unapokosa hoja huwa unakua kama mtoto mdogo. Hoja zako ni za kitoto mno kiasi kwamba hata mtoto wa miaka 7 ataona kabisa kwamba umefilisika kichwani. Kwanza hiyo post yangu uliyoi quote inaonyesha ushahidi wa zaidi ya mtu mmoja na ni Wakristo ndio wanaotoa huo ushuhuda hivyo ni ushuhuda wa kuaminika kwani umetolewa na mtuhumiwa. Pili huyo Mdenish alichofanya ni kutukana matusi kama kawaida yenu mnapoishiwa hoja. Kitendo cha kumchora tu Mtume Muhammad S.A.W. peke yake achilia mbali kuvaa mabomu kinaonyesha kwamba yeye alikuwa comedy kama vile Jyoti au Masanja Mkandamizaji. Ukija kwenye mabomu, enzi alizoishi Mtume Muhammad S.A.W. kulikuwa hakuna silaha za mabomu hivyo watu wanaoshabikia picha za kijinga kama hizo na wanaomini Mtume Muhammad S.A.W. alikuwa gaidi kwa ushahidi wa kijinga kama huo lazima vichwani mwao wawe hamnazo.
Lakini ugaidi wa Wakristo uko wazi. Hauhitaji kutafuta simulizi za wavuta bangi kama huyo Mdenish unayemtaja ili ujue bila shaka kwamba Wakristo ni magaidi wa damu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba dini yao haiuziki kwa mtu mwenye akili timamu bila kutumia mabavu. Ushuhuda niliouweka wa Nyerere kuwa GAIDI kubwa lililoua watu wengi kuliko yoyote yule ambaye ni mzawa ndani ya bara la Africa unathibitisha hili. Ushuhuda wa Wakristo wa nchi za Magharibi kuua watu wengi duniani kwa ajili ya crusade yao ya kueneza ukristo kwa mabavu ambao unaendelea hadi leo nao unadhihirisha ukweli kwamba Wakristo ni magaidi No. 1 hapa duniani.