Mwenye mada katujuza kiuhakika sisi tusio na taarifa za kutosha za huko mamtoni,sasa wewe "R sweety" mbona unatuharibia?Anzisha thread yako kivyako ili tupate kuijadili na si kuingilia ya mwenzako.unatuharibia.
Na hii unayoileta ni hoja?
Badala ya kuzungumzia ugaidi uliolitafuna na unaoendelea kutafuna bara letu la Africa kwa mamilioni ya watu mnatumia mda wenu kuzungumzia vigaidi uchwara tena nje ya bara letu la Africa. GAIDI mkuu kabisa Africa ambaye hatasahaulika milele kwa kuua Waafrica kwa mamilioni na ambao bado Waafrica wanaendelea kuuawa chini ya mipango yake aliyoiacha ni NYERERE. Aliua Wazanzibar wasiopungua 20,000 kwa kumtumia Okello, mauaji ambayo yalikuwa ya kikatili haijapata kutokea kwenye historia ya Africa yaliyofanywa na Muafrica mwenzao aliyekuwa anatumiwa na Kanisa Katoliki pamoja na mabwana zake Wazungu na Wamarekani. Wazanzibari zaidi ya 200 walichomwa moto kwenye tanuri wakiwa hai kwenye mauaji hayo ya kikatili yaliyokuwa yanatumia mtindo wa HITLER. Akaua Watanzania na Waganda wasiopungua 100,000 kwenye vita ya Kagera ili kumuondoa Idd Amin kwa maelekezo hayo hayo ya mabwana zake. Mauaji za DRC ya mamilioni ya watu yana mkono wake kupitia kwa Kabila. Mauaji ya kimbari ya Rwanda yana mkono wake kupitia kwa Kagame. Vita aliyopigana Museveni na kuua Waganda kwa maelfu ili aingie Ikulu ina mikono ileile iliyojaa damu ya Nyerere. Vita ya Biafra kule Nigeria ambapo Wakatoliki walitaka kujitenga na Serikali halali ya Nigeria ili wasiwe chini ya uongozi usiokuwa wa Kikatoliki ulifadhiliwa na Nyerere kwa kutumia rasilimali za Tanzania na kuua mamilioni ya Wanigeria.
Huyu Nyerere ndio GAIDI wa kujadiliwa ili tulinusuru bara letu kutoka kwenye makucha ya ugaidi yanayoendelea kuwatesa na kuua Waafrica chini ya mfumo wa ukoloni mambo leo.
We kweli zali la mentali;ugomvi wa nini?Ni kuhusu taarifa za Boston si zaidi ya hapo.
It doesn't hold water boss. Kajipange upya.
" RELIGION IS THE OPIUM OF THE POOR" - "DINI NI BANGI YA WATU FUKARA" hasa waliofilisika kifikra.
umemsahau kibwetere,alice lakwena,joseph konyi,david koreshi,umesahau adamu lanza wa juzi kati hapo marekani alieua vitoto vya chekechea kibao.umesahau yule jamaa wa denimark alievishindilia risasi vitoto kibao. Unasahau drone zinavyoua daily.kwako wewe anaeua kwa kujitoa mhanga ndo unamshikia bango ,na sababu ni uwazi uko na udini mbaya sana.Huwezi ona mkristo anajilipua au anatega bomu alipue watu wasio na hatia michezo hii inachezwa na waislam.
What is the newsiness of this news in the first place? It's shameful people pay a lot of attention to the death of just three people while no one is there to report stories of hundreds of people killed in American drone strikes in Afghanistan. After all, the whole thing of Boston bombing is a mere set up by Obama and his security team aimed at undermining Republicans opposed to immigration reforms.
obama hakutoa ok ya kumdrone Anwary al lawk na sameer kule yemen wakati walikua ni raia wa marekani na huyohuyo anwary aliwahi kuwa mgeni wao pale pentangon baada ya spetember 11.unadhani anashindwa kutoa ok ya kuuliwa wamerekani wenzie kama anakidhi agenda zao.I completely agree with you in the initial two sentences. But the last part about Obama setting up the bombing and killing his own people to make a point - it is rather hard to swallow!
hatari kivipi mkuu?maana kama unawajudge watu kwa dini zao,mkristo ndo kiumbe aliyewahi na ambaye bado anafanya vitendo vya kikatili na kishetani kuliko kiumbe chochote kilichowahi kuwepo.silaha zote kuanzia bastora hadi nyuklia wametengeneza wao na zinaua kwa mamilioni.
Vita vikubwa vyote wameanzisha wao.uhalifu wa kutisha kama mauaji,kuchuna ngozi,kuua albino wao,nenda mbeya,colombia,mexco ,venezuela ,chicago uone rate ya mauaji jinsi ilivyojuu.
Ona jinsi wanavyotoa silaha huko syria ili watu wazidi kuuana,list ni ndefu sana mkuu
na huko israel ni marufuku kwa mkristo kuhubiri injili na akikamatwa anagawa bible kwa watoto wa kiyahudi anakwenda jela,hiyo ni sheria kabisa iliyopitishwa na bunge la israel kneset.ndo maana huwezi ona wahubiri wa kikristo wakienda kuhubiri israel.hao ndio wakatoliki wao hufata mkumbo tu , mkil anachofanya marekani kwao ni sawa tu na wanadhani israel ni mwenzao kumbe myahudi hana mpango nao, nyinyi subirini kiama chenu ndio kimefika
The"infrared photos"released by Massachusetts State Police show Dzhokhar Tsarnaev hiding in a boat in the backyard of a house in the Boston suburb of Watertown.
View attachment 90793View attachment 90793View attachment 90793
Candid Scope hivi tz au nchi zetu za eadt africa tuna SWAT (Special Weapons And Tactics) squads au FFU na GSU kwa kwenda mbele?? Maana hii mahunt ya wamarekani ingekuwa huku kwetu wangekufa polisi wengi sana...