GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acha Bange / Bangi Wewe sawa?Yanga bingwa
Uzi wako au wangu? Idiot.Mbona heading na ulichokiandika ni tofauti? Halafu kama jambo baya limepangwa kutokea litatokea tu haijalishi wewe ni mwema au mtakatifu kiasi gani
Hao watu insonekana walikuwa tungi/wamekunywa pia inawezekana walipigana mitiMbona heading na ulichokiandika ni tofauti? Halafu kama jambo baya limepangwa kutokea litatokea tu haijalishi wewe ni mwema au mtakatifu kiasi gani
Ukisoma kwa jicho moja huwezi elewa alichomaanisha. Ujumbe wake upo logicalMbona heading na ulichokiandika ni tofauti? Halafu kama jambo baya limepangwa kutokea litatokea tu haijalishi wewe ni mwema au mtakatifu kiasi gani
Una nguvu ya kunitukana halafu tukirudisha majibu unaanza kulia lia kwa Mods. Jifunze ustaarabu basiUzi wako au wangu? Idiot.
Jambo baya linapangwa na nani hadi lisizuilike?Mbona heading na ulichokiandika ni tofauti? Halafu kama jambo baya limepangwa kutokea litatokea tu haijalishi wewe ni mwema au mtakatifu kiasi gani
Hawezi kufafanua zaidi ya matusi tuI see.
Sasa mbona Meli zinakua na Bar na kaunta kabisa .
Watu wanakula Pombe na wanakwenda kulala huko huko kwenye Meli na madem zao.
Au chombo cha mzungu na mwafrika kinatofauti .
Hebu nifafanulie kidogo mkuu