Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hapo hachanganyi Dini na SIASA.... Akiwapinga CCM wale CHAWA wote wanajitokeza kuanza kuropokaKwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Kazi kweli kweliHapo hachanganyi Dini na SIASA.... Akiwapinga CCM wale CHAWA wote wanajitokeza kuanza kuropoka
Hapana huyo ni tapeli wa injili! Anawakamua ndezi kama kawa!Kwa hiyo huyu ni mtume au sio?....
Na bado
Ndo raha ya ukiristo unaweza kuwa mtume, kuhani au nabii wewe tu unataka kuwa nani.Kwa hiyo huyu ni mtume au sio?....
Na bado
CCM ni majiKwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Na vyeo unajipa mwenyewe tu..Ndo raha ya ukiristo unaweza kuwa mtume, kuhani au nabii wewe tu unataka kuwa nani.
Kwani Askofu Gwajima hayumo?Hapo hachanganyi Dini na SIASA.... Akiwapinga CCM wale CHAWA wote wanajitokeza kuanza kuropoka
Fungu la wauwaji na watekaji na mafisadiAmechagua fungu jema
Mbona hajavaa sare za Chama chake?Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Huyu Tanganyika Packers ndio inamfanya akae kwenye kundi la mazombi lakini huyo jamaa anajitambuwa sana, yuko hapo anawachora tu.Mbona hajavaa sare za Chama chake?
Huyo hawezi kuwa ccm, ni obsever tu kama Mwamakula anavyohudhuria mialiko ya Chadema.Mbona hajavaa sare za Chama chake?
😅😅😅Amechagua fungu jema
hivi yule Askofu wa kanisa la chadema anaitwa nani?Yuko maslahi tu huko
Ova
MwanasiasaKwa hiyo huyu ni mtume au sio?....
Na bado