PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hivi yule Askofu wa kanisa la chadema anaitwa nani?
yule ambae kofia yake hua inampwaya na huenda anayo moja tu šŸ’
CHADEMA hawana vitega uchumi kama CCM,ambayo hadi vyama shikizi kulwa na doto,namaanisha ACT na CHAUMA.. hupewa mgao.
 
Mwamposa ni watumishi wengine wa Mungu wawe mashekhe, mapadre, wachungaji n.k. ni waalikwa wa mikutano hii kwani pia ni wadau wakubwa wa maendeleo ya taifa hili.

Watu wanaowaongoza kiroho ndio hao hao wanaongozwa na Serikali wakiwemo viongozi wetu wa taifa.
 
Matapeli lazima yawe upande CCM
Kuna vitu hamvielewi, Ccm hawana huruma, kuna watu kama huyu akipewa mualiko kwenda Dodoma hawezi kukataa, mama anamtumaga Chalamila anampelekea sadaka yake Kawe.

Na ccm kwa kutapanya pesa huyo unakuta amepewa ticket ya ndege na amelipiwa hotel ya nyota ya kevel za Dodoma hotel.

Kuna watu lazima muwaelewe situation zao otherwise huwezi kutobowa.
 
Mwamposa ni watumishi wengine wa Mungu wawe mashekhe, mapadre, wachungaji n.k. ni waalikwa wa mikutano hii kwani pia ni wadau wakubwa wa maendeleo ya taifa hili.

Watu wanaowaongoza kiroho ndio hao hao wanaongozwa na Serikali wakiwemo viongozi wetu wa taifa.
Viongozi wa taifa la malofa...
 
Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ā€˜Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.

Wamealkka Mabalozi Kibao. Ila Wakitokea kwenye mikutano ya Chadema CCM wanakosa Usingizi.
 
Kuna vitu hamvielewi, Ccm hawana huruma, kuna watu kama huyu akipewa mualiko kwenda Dodoma hawezi kukataa, mama anamtumaga Chalamila anampelekea sadaka yake Kawe.

Na ccm kwa kutapanya pesa huyo unakuta amepewa ticket ya ndege na amelipiwa hotel ya nyota ya kevel za Dodoma hotel.

Kuna watu lazima muwaelewe situation zao otherwise huwezi kutobowa.
Sure
 
Amesaliti wakristo na wapenda amani wa nchi hii. Sikuwahi kumwamini. Unaungana vipi kikao kimoja na Samia suluhu aliyemuua kibao, mdude na kumfunga Lisu?
 
Ameenda kuwaombea na kuukinga mkutano dhidi ya nguvu za uchawi kutoka kuzimu.
 
Nimeshangaa channel ya Ikulu ya YouTube inarusha mkutano wa CCM.

Yaani wanashindwa kutofautisha mali za umma na chama?

Kuna vingapi vya serikali ambavyo ni mali ya walipa kodi CCM inavitumia?
 
Samia ni Raisi ana kofia mbili
Alipo wanarusha
 
Back
Top Bottom