mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Na anawatandika kweri kweriPole sana Lofa
Utakua Lofa Mkuu wewe
Ova
Na anawatandika kweri kweriPole sana Lofa
Utakua Lofa Mkuu wewe
Acha ajipigie mazuzuUtume alipewa na mungu yupi? Huyo ni mpigaji tu km hao ccm
akili zako sasaUliona alipewa jukwaa kuhutubia kama mbavyowapa Chadema akina Askofu Mwamakula?
Youtube channel ni chombo tu cha habari kama ilivyo ITV,AZAM TV nk wakiamua habari yeyote wanaripotiIkulu inahudumiwa na wanaccm?
Unajua kusoma kwa ufahamu wewe?
Yani hua nahisi hasira sana nikiona watu wanavomuamini huyu tapeli kua eti ni mtumishi wa mungu na anawaombea, akati namjua A-Z [emoji34], yuko vizuri kwenye kucalculate jinzi ya kufanya uhuni wake wapuuzi azidi kuwaibia.Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Kwanini iitwe Ikulu Tanzania?Youtube channel ni chombo tu cha habari kama ilivyo ITV,AZAM TV nk wakiamua habari yeyote wanaripoti
Walisema et watachukua kombe maana mtume ameomba, mjini hapa kuwa makiniKwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Kama chombo cha habari ni uamuzi wao watangaze nini waweza tangaza hata harudi yao kama uongozi utaamuaKwanini iitwe Ikulu Tanzania?
Hii ni poor justification kusema kuwa channel ya Ikulu ni chombo kama Azam TV au ITV .
Kwahiyo unataka kusema channel ya Ikulu inarusha habari , udaku , matangazo ya kamari, vipindi vya michezo?
Si kweli .Kama chombo cha habari ni uamuzi wao watangaze nini waweza tangaza hata harudi yao kama uongozi utaamua
Watakatishaji fedha hawa mkuuKwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Na Wangechukuwa kombe ungeambiwa ni mchango mkubwa wa Mama Samia ndio umeleta kombe.Ndio maana SIMBA walifungwa.
😃😃😃Hapana huyo ni tapeli wa injili! Anawakamua ndezi kama kawa!
Mimi naamini huwa wanaalikwa ìngawa sijawahi kumsikia akihubiri dini kanisani kwake kusapoti au kukemeaKwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma.
Wewe ndiye msemaji wake?.Maana unamtetea sana.Angalia asije akakushangaza ni mwanachama hai.Huyu Tanganyika Packers ndio inamfanya akae kwenye kundi la mazombi lakini huyo jamaa anajitambuwa sana, yuko hapo anawachora tu.
Ccm inaogopa watu wenye watu, hata Gwajima hawana la kumfanya ana watu.
Hi bro wati a fakeni yu bro🤣Wale kondoo wote wakikusanywa, kura za kutosha kabisa.....