PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mm leo namtetea Mwamposa wkt kafanya maombi ya kuiombea SIMBA ikafuzu kucheza Final atukusikia SIMBA wakitoa Shuklan yoyote kwa Mwamposa !!

Kama ni maombi aliombwa hii mech ya pili ya mwanzo mlishinda je mlisema japo Asante Mmekausha!!!

Ata Mashekh wote na wengine waliojitolea kuiombea SIMBA Ishinde SIMBA walitakiwa kupeleka Shuklan kwao !!

lkn kimyaaa akuna ata Asante uyo Msemaji wa SIMBA kashindwa kuandika tu kwa majina kuwashukulu !!

leo mnamsakama Mwamposa akuna kitu cha Free ndani ya jiji pesa una ata Asante pia akuna! Kombe kachukua Berkane, siku nyingine mkumbuke kusema Asante japo kidogo mshukulu!!!!!!
 
Afya ya Mwamposa inaonesha jinsi CCM inajua kumtunza Mwamposa kapendeza !!!!

sasa mwangalieni yule wenu Askofu Mwamakula sijui kaambiwa nanani kuwa ni zambi au Mwiko kunenepa !!!

ata kikofia chake kinampwaya kachagua Shamba au seem kusiko na malisho!!!

macho anayo lkn Kijani kibichi akioni anaogopa kusemwa na watoto mitandaoni !!!

sawa lkn Mwambieni Askofu wembamba wake sio wa Ukoo au Maradhi ni kuwamua tu siku moja 2 au 3 kuziba masikio na kuacha kuweka Bando kwenye Simu!!

waache watukane mwisho watasaau maisha yataendelea !!!

Utazaliwa upya kutokea apo wembamba baibai Akuna Askofu Mwembamba tZ nchi ya malisho umebakia ww tu, wkt wake ndio umefika Ujachelewa,,,.
 
CHADEMA pesa wanazo lkn awampi Askofu Mwamakula nayeye awe mtu ktk watu !!!

Wanasubiri siku akimbilie kwenye malisho waanze kumtukana !!

lkn Sasa ni kama awaoni Samani yake !!

japo Askofu mvumilivu sana wangapi wameondoka lkn yeye yupo na CHADEMA yake!!

Siku akiondoka nitamtetea apa mwanzo mwisho!!!!
 
Ameungana na matapeli wenzake
Hilo ndilo tapeli kuu la matapeli yote, yanayonya masikini wasiojielewa. Na nyinywaji lingine liko humu lishachotwa akili, asione kichaka cha tapeli katajwa yupo kumkingia kifua.
 
Back
Top Bottom