Mtume Boniphace Mwamposa, Uvivu utawaangamiza Watanzania

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
Sehemu muhimu ya mahubiri ya Leo Jumapili: -
  1. . Watanzania wengi ni maskini, sio kwakua hawana Maarifa au hawakusoma, ila ni kwa sababu ya UVIVU wa kufikiri na kutenda.
  2. Siasa ya ujamaa tuliyoletewa baada ya uhuru, haikuwa mbaya, ila haikuwekewa kanuni na Sheria bora za kuiongoza. Kana kwamba matunda ya kazi ya mchapa kazi mmoja mahiri, yanaliwa na wategemezi/wavivu wengi.
  3. Mitandao ya kijamii haisaidii watanzania kujikomboa, maana mengi wanayoyatafutana kuyafuatilia humo ni umbeya na habari za watu na mambo ya hovyo. Ni nadra kwa watanzania kutumia mitandao hiyo kutafuta Taarifa za kuwapa maendeleo.
  4. Leo hii wageni wanakuja na kuona fursa ambazo watanzania hawazioni na zinawafanuisha. Mbona wageni wanakuja kulima na hata kuuza karanga na wananufaika? Hivi Fursa hizi watanzania hatuzioni? Aridhi tunayoikalia Ina msaada gani kwetu? (Amehoji Mtume)
  5. Uvivu huu wa watanzania, umewafanya wengi kuwa wezi wa muda na hata wa Mali za waajiri wao (wapiga Dili). Ofisi nyingi zimekuwa na huduma mbovu na ukiritimba kwa sababu ya Uvivu na na wahuduku kuwa wapiga Dili.
  6. Miaka 10 Hadi 20 ijayo Tanzania itakuwa na watu wa ajabu kama wasipobadilika kwa kadri ulimwengu nao unavyobadilika.
  7. Mwisho ameombea Taifa lipone.

CREDIT: Mtumishi wa Mungu, Mtume Dkt Boniphace Godwin Mwamposa
 
Baada ya kupata sasa anaanza kuwapa akili
 
Ni kwer lkn yeye Kawa mchezesha kiungo
 
Sawa ndio ila kwanini nae anawatapeli watu Imani zao
Keshawaambia ''hawana maarifa'', aseme nini tena? Wanatapeliwa kwa sababu ni wavivu na hawana maarifa, wanategemea vya bure. Wanajazana kanisani kwake wakingojea utajirisho wa miujiza wakati wageni wakija wanapiga kazi na kutajirika. Kawapiga kijembe ni wao tu washindwe kuelewa.
 
Wamishenari walipoleta dini walijenga makanisa ili watu wafundishwe neno la Mungu, wakajenga shule ili watu wasome, wakajenga hospitali wagonjwa watibiwe. Makanisa ya sasa yanafanya kazi ya kuhubiri na kuponya wagonjwa kwa kuombea tu. Wakati huo yakiendelea kuchuma pesa kwa kazi hizo.
Unataka ajenge shule na hospital wakati anatafuta fedha? Wanaojipeleka huko kwake ndiyo mazoba. Angalau wangeenda kusali tu, lakini wanaenda wakidhani watatatuliwa matatizo yao.
 
Keshawaambia ''hawana maarifa'', aseme nini tena? Wanatapeliwa kwa sababu ni wavivu na hawana maarifa, wanategemea vya bure. Wanajazana kanisani kwake wakingojea utajirisho wa miujiza wakati wageni wakija wanapiga kazi na kutajirika. Kawapiga kijembe ni wao tu washindwe kuelewa.
Naunga mkono hoja mkuu
 
Mbona nae anajipatia pesa kwa utapeli, huo ni uvivu wa kutokufanya kazi halali. Kuuza mafuta na maji ndio kazi? Watu masikini wameuza mifugo yao na kukuletea wewe, huoni aibu? Africa tunakesha na kuomba na bado ni masikini. China hawapotezi mda kwa maombi na wapo mbali kiuchumi. Kama kweli Mungu anasikiliza Africa tungekuwa mbali, au tunamuomba Mungu wa Waisraeli badala ya wa kwetu?
 
Back
Top Bottom