stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Aiseee! kama amesema hivyo acha niyamwage mafuta yake ya upako niliyoambiwa yanasaidia kufungua milango ya pesa, uponyaji, na baraka mbalimbali.
Scam hiyo Mkuu!Aiseee! kama amesema hivyo acha niyamwage mafuta yake ya upako niliyoambiwa yanasaidia kufungua milango ya pesa, uponyaji, na baraka mbalimbali.
Hapana mkuu. Mambo ya imani hatari sana.Scam hiyo Mkuu!
Watu wanapigika hatariHapana mkuu. Mambo ya imani hatari sana.
Kila mwaka na kauli mbiu yake. "Mwaka wa kuvuka na chako" "mwaka wa kuangamia adui zako" "mwaka wa maachilio" "mwaka wa kicheko" "mwaka wa kuuvua umaskini na kuvaa utajiri" "mwaka wa kurudishiwa ulivyoibiwa" jamani jamani!!Watu wanapigika hatari