Mtume Boniphace Mwamposa, Uvivu utawaangamiza Watanzania

Aanze yeye kwanza kutoa mafundisho ya kuwaelimisha wafuasi wake kujitegemea, na pia kuzitambua fursa zilizowazunguka (kama alivyofanya yeye kuigundua fursa yake ya utume na unabii), badala ya kuwadanganya na miujiza yake ya uongo! Huku akiwauzia watu maji, udongo, mafuta, nk kwa kisingizio eti hivyo vitu vina upako.
 
Sehemu muhimu ya mahubiri ya Leo Jumapili: -
  1. . Watanzania wengi ni maskini, sio kwakua hawana Maarifa au hawakusoma, ila ni kwa sababu ya UVIVU wa kufikiri na kutenda.
Watu wavivu ndio mtaji wake.
 
Generation inatengenezwa, hii ndio Generation iliyotengenezwa na CCM.

Hio miaka 10-20 inayopaswa kubadirika ni CCM na sio Watanzani raia wa kawaida.
Kila Taifa linalojielewa linatengeneza generation hata tau nne mbele kwa maslahi mapana ya Taifa husika.
 
15% working class
85% dependants

Takwimu mbaya sana hii, huwezi kuendelea ukiwa na takwimu ya namna hii kama taifa.
 
Mtume wa mwisho ni Mohamad RosoolAllah hawa wote wanaofuatia badala yake ni matapeli ...
 
Jizi na jipuuzi likubwa, yeye anafanya nini? utapeli tu
 
Ila Waafrika jamani 😃 this is too much aisee!
Mtume Dkt Boniphace Godwin Mwamposa?!!
Kapewa utume na nani!?? Huo Udaktari kapewa nani!? WAJINGA NDIO WALIWAO 😃
 
Mwamposa
Kuwani mussa
Kiboko ya wachawi
Ngome ya yes u


Hawa ni matapeli ambao
 
Baada ya kuvuna vya kutosha waumini wake wanaanza kuzodolewa 😁.

Sadaka za kujimaliza ili wapate miujiza zinatoka wapi kama sio huko mashambani na magengeni?

Ukishiba lolote linaweza kukutoka.
 
Well said Mkuu! Haujapindisha maneno
Analaumu mitandao kuwa inaharibu jamii Ila afikirii kuwa mitandao ndo imempatio huo umaarufu wa kuwaibia watanzania


Juzi nilimsikia anawagombeza wafanyakazi wake wanorusha mahubiri yake live kupitia YouTube kuwa wapo very shallow


Karibia wachungaji wote kwa sasa wanategemea digital platform ili kupata waumini na sadaka.


Ila ipo hivi Mwamposa huo mradi wake anakula na wakubwa kwahiyo anaweza kuongea chochote.
 
Yes mkuu ndo maana anapata attention kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…