Vitabu vya hadithi vinajulikana kwahiyo mimi nikitunga kitabu nikaandika Hadithi ndio inakua kweli? ni lazima useme umetoa kitabu gani cha Hadithi wacha blah blah
Asante sana mkuu..
Pili sifa za Roho Mtakatifu, hazipo kwa Mohammad. Huyu Roho anatajwa kukaa milele. Lakini mohamad amekufa.
 
1. Roho Mtakatifu alishuka siku ya Penteconste. Ukisoma Matendo utaweza kuona. Yesu Kristo, Hakuhitaji kusubiri miaka 600 baadaye ndio aje kupitia Uislamu. Wakati alisema akiondoka atamleta. Zingatia discrepancy ya miaka yote hiyo.
2.) Roho wa Mungu Hukaa hata milele.
Yohana 14:16
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
LAKINI PIA kama ambavyo kuamini katika Imani za mashetani. Inasababishwa na nguvu za Roho za mashetani. Waganga na wachawi na wasoma falaki huwatambua hao.Vivyohivyo, kuweza kumtambua Mungu wa Kweli na kumfuata inahitaji nguvu ya Roho wa kweli wa Mungu. Roho huyu alikuwepo nao kwakua Yesu alikuwepo nao. Na ndiye aliyewafanya wakaweza kumtambua Yesu na ujumbe wake na kukaa naye hadi alipopaa kurudi kwa baba yake mbinguni.[emoji116] [emoji116]
Yohana 14:17
ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye ATAKUA NDANI YENU.
2). Umuhimu wa Ubatizo NA Msalaba wa Kristo:-
Mohammad hakubatizwa wala kumjua Yesu Kristo. Ukilingamisha na wanafunzi wa Yesu Kristo walivyokufa mashahidi wa Injilbya Kristo. Na zaidi ya yote Mohamad Alienea imani yake kwa kuua watu kwa upanga. Wakati Yesu hakuhukumu ulimwengu. Bali alikuja kuuokoa.
[emoji116] [emoji116]
Marko 10:39
Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi MTAKINYWEA, na ubatizo nibatizwao MIMI MTABATIZWA
3. YESU ATANGAZA Hukumu ya mashetani(majini/watoto wa IbilisI).
Yesu kama Jaji Mkuu siku ya Mwisho alishatangaza hukumu ya shetani na malaika zake. Kua hawana sehemu katika Ule Mti wa Uzima. Wamewekwa akiba kwa ajili ya Moto.
[emoji116] [emoji116]
Luka 10:18-19
[18]Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme.
[19]Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Yohana 16:11
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Yesu alikasirishwa nA MAFARISAYO Kuhusisha uponyaji wake na uponyaji ufanywao na mashetani. Akiweka wazi ni sawa na kumkufuru Roho Mtakatifu. Yesu aliweka wazi Uadui kati ya Ufalme wa Shetani na wa Mungu.
Lakini Kinyume chake Mohammad alitangaza Ukombozi wa Majini na wanadamu kupitia Dini yake. Hii ni kinyume na Maagizo ya Yesu na hata Imani ya Wajudea kwa ujumla wake. Kwa maana imeandikwa hapana Uganga ndani ya Israel. Unaweza kuona kwenye Quran kuna surah inaitwa surah ya majini. Sasa mafundisho ya Yesu ni Juu ya Habari njema za Ufalme wa Mungu na sio habari za Maruhani. Manake haya yote Ziwa la Moto limewekwa kwa ajili yao. The teachings of Mohammad contradict Jesus Teachings severely!.
HITIMISHO
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Zingatiza NENO hili hapa chini la Yesu.
[emoji116] [emoji116]
Luka 11:23 YESU ANASEMA;-
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya
BabaView attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Baba
msitoe tafsiri ya vichochoroni na kuitupia hapa
Ipige Picha hiyo Hadithi uliyoinukuu,kisha tupia Hapa
maana nyie majamaa ni waongo kupitiliza
Jambo hili nilishalieleza huko nyuma kwa kina sana na kuweka maelezo yenye references. Tatizo wengi wenu hamsomi kwasababu mna hofia kua zitayumbisha Imani zenu kwa Mohammad na Allah. Nanyi mnataka Imani yenu izidi kua Imara ili muendelee kupeana matumaini hewa. Ukweli ni kua Hadithi za Mohammad ni nyingi sana(Voluminous). Na hii ndio imepelekea taarifa zake kufanywa kua siri sana na viongozi wake. Zisijulikane na waumini wake ikiwemo pia wale Non muslims/Kuffars.Uongo uliokubuhu
Nasema kwa mdomo mpana kabisa
Hadithi mumeitengeneza nyinyi kwa lengo la kupotosha watu
Lazima ujiulize kuwa Biblia hiyo hiyo ina maandiko mawili tofauti katika suala la Ujio wa Yesu. Unafahamu kuwa Yesu amenukuliwa kuwa Ujio wale ni kwa wana wa Israili pekee na pia hapo hapo kuna maandiko ya Kuwa Yesu umekuja kwa ulimwengu mzima. Hapo tayari ni dhahiri kuna utata katika Biblia. Yaani Bible carries contradicting information. Hivyo insababisha take kuhoji ukweli wa Biblia. Kwani maneno ya MUNGU hayawezi kugongana. Asa tunajiuliza Je Biblia ni Maneno ya MUNGU?
Yohana 10:16
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na SAUTI YANGU wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Mathayo 26:13
Amin, nawaambieni, Kila patakapohubiriwa Injili hii KATIKA ULIMWENGU WOTE, tendo hilo alilolitenda huyu litatajwa pia kwa kumbukumbu lake.
Mathayo 24:14
Tena habari njema ya ufalme(yaani INJILI) itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
Yohana 6:51
[51]Mimi ndimi chakula chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni; mtu akila chakula hiki, ataishi milele. Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu, kwa ajili ya UZIMA WW ULIMWENGU.
Hukujibu swali langu. Soma tena vizuri hilo swali kisha lijibu kama linavyouliza. Usi copy na ku paste tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukujibu swali langu. Soma tena vizuri hilo swali kisha lijibu kama linavyouliza. Usi copy na ku paste tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapomtaja au kuandika Mtume Muhamad ongeza Salla Allahu Alehy Wasalam (SAW)Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni hatua katika kuelekea kutengeneza moyo wa binadamu,hali ambayo itasaidia katika kukabiliana na matatizo ya Moyo yanayowakabili wanadamu,kwa kiasi kikubwa, yale ambayo uhusisha mwanadamu kupoteza maisha, kwa sababu tu Moyo wa mgonjwa husika hauna repair au hauwezi kubadilishwa.Miaka kama kumi hivi iliyopita,wanasayansi walikuwa wamefanikiwa kutengeneza Moyo wa panya kwa kutumia hizo stem cells.
Kumbe,kwa tafiti mbalimbali zinazoendelea kufanyika sehemu mbalimbali duniani,ama ardhini au angani,zote zinalenga katika kuboresha maisha ya mwanadamu na hata kuongeza siku za kuishi kwake.Historia inao watu wengi sana ambao wamejihusisha na Sayansi kwa nyakati tofuati tofauti.
Leo,ninataka tumuangalie Mtume Muhammad kwa namna alivyoweza kujihusisha na suala la Sayansi kwa kile kinachosemwa ni kwa msaada wa Mungu.Kurani neno la Mungu;maneno ambayo Mungu akiisha kuyaandika huko Mbinguni, alikuwa anampatia Malaika Gabriel na malaika Gabriel akampatia Mtume Muhammad katika Nyakati tofauti tofauti na Muhammad kuyaweka katika maandishi,lakini kwa namna ya pekee,kwa mara ya kwanza kabisa ikiwa ni katika Pango lililoko katika Mlima Hira, Jabal an-Nour,huko Makka,ambako inadaiwa Mtume Muhammad alipokea ufunuo huo, kwa matatizo sana kwa sababu ya kutojua kwake kusoma na kuandika,Malaika Gabrieli alijikuta anamkaba.
Kwa njia ya ufunuo wa Kurani,tunafunuliwa mambo mengi ya Kisayansi ambamo Muhammad anatujuza jinsi mambo yalivyo.Kwa leo, ninawaletea jambo moja tu.Nalo ni juu ya namna Jua linavyokuchwa na kadri Mungu atakavyotujalia tutayaangazia na mambo mengine.
Kurani kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Wakati Muhammad akiwa ametupasha ukweli huo ambao aliandikiwa na Mungu, Ukweli wa kisayansi umebainisha kwamba Jua ni kubwa zaidi na lenye joto kali kuliko dunia.Na ikitokea kwamba Dunia inakaribiana na Jua,basi dunia itayeyuka kutokana na joto kubwa la Jua.
Ukweli mwingine,ambao pia Sayansi imetupatia ni kwamba Jua halitembei bali sayari mbalimbali ndio hulizunguka,ikiwemo Sayari yetu ya Dunia. Historia inaonyesha kwamba mtu wa kwanza kugusagusa habari za kuwa Jua lilikuwa halizunguki alikuwa ni Aristarchus (310-230KK).
Aristarchus alikuwa ni mwana-Astronomia wa Kigriki. Yeye aliamini dunia ilikuwa katikati ya Mfumo wa Jua(Solar system) na sayari zingine (ikijumuishwa na nyota ambazo zilikuwa zimefungwa katika nafasi fulani) ndio zilizokuwa zikilizunguka Jua.
Hata hivyo, baadaye mwanasayansi,Aristarchus, alikuja kugundua kuwa sio dunia iliyokuwa katikati ya Mfumo wa Jua, bali ni Jua na hivi kwamba ni Dunia na sayari zingine ndizo zilikuwa zikilizunguka Jua.Ugunduzi wa namna hii ulipatikana miaka mingi sana (takribani karne tatu hivi) kabla hata ya Yesu Kristu kuzaliwa na karne tisa kabla ya Muhammad kuzaliwa.
Mwanasayansi mwingine pia aliyekuja na mtizamo tofuati na wa Muhammad (kwa kadri ya ufunuo kutoka kwa Mungu) ni Jean Buridan (1300-1359/61). Huyu) anafahamika kama Mwanafalsafa Mashuhuri sana katika Ufaransa.Buridan alikuwa Mwalimu katika Kitivo cha Sanaa cha Chuo Kikuu cha Paris kwa kupindi chote cha maisha yake ya kitaaluma akimakinika hasa hasa katika masuala ya Logiki (Logic) na kazi za mwanafalsafa Aristotle.
Ni Bridan aliyeanzisha wazo juu ya kiitwacho Copernican Revolution katika Ulaya.Hili ni fundisho lililoleta mwangaza kutoka kuamini kwamba dunia ilikuwa imesimama sehemu moja katika ulimwengu na kwamba Jua ndio lilikuwa linaizunguka dunia (Geocentrism) hadi kueleweka kwamba kumbe Jua ndilo limesimama wakati dunia na sayari zingine zikilizunguka (Heliocentrism).
Kumbe, sasa kwa uchache,kwa mawazo ya hao wanasayansi wawili,tunapata picha kwamba Muenendo wa Jua kuchomoza na kutua sio jambo lililoanza wakati wa Muhammad.Na kama suala la Sayansi ya Mfumo wa Jua lilianza mapema kabla ya Yesu na Muhammad kuzaliwa, yeye Muhammad alipopewa ufunuo na Mungu, hakuweza kujiuliza iwapo ufunuo huo wa Mungu inakuwaje unapingana na ukweli wa mambo?Katika kutafakari ufunuo huu wa Mungu kwa Muhammad, nimejikuta nina maswali yafuatayo,ambayo naomba yatuongoze katika kujadili suala hili.Ni muhimu kujadili kwa sababu pengine Dunia inatufundisha vitu ambavyo havipo.Hivi kweli Mungu anaweza kumueleza Muhammad mambo ya uongo?Maswali mengine ambayo bila shaka hata wewe unaweza kujiuliza ni haya:
1. Hiyo Chemchemi ya matope mazito na meusi iko hapa duniani?Na kama haipo hapa duniani iko angani? Na kama iko angani iko sehemu gani?
2. Huyo Dhul-Qarnaini alikuwa ni kiumbe wa namna gani huyo aliyepewa uwezo wa kuona Jua linavyotumbukia katika matope?
3. Pamoja na kwamba wakati wakati wa Muhammad, labda Sayansi ya kwamba Jua halizunguki, isipokuwa dunia ndio hulizunguka Jua, ilikuwa haijafika katika maeneo ya ardhi ya Arabia, bado hata vizazi vya zamani sana havikupata kuwa na uelewa kama huo wa Muhammad kuwa Jua lilikuwa linatua matope meusi! Je,ilikuwaje katika Vizazi vyote hivyo hapo katikati(ikiwemo na Yesu mwenyewe ambaye Muhammad anamuelezea kama aliyekuwa na uwezo wa kufinyanga wanasesere na kuwapulizia uhai na wakawa ndege kamili), kabla ya Muhammad, akakosekana mtu mwenye uelewa wa kuliona Jua likizama katika matope meusi tofauti? Hivi wewe kwa sayansi hii ya Muhamma juu ya Jua kuchwea katika matope meusi haikupelekei kujiuliza yafuatayo:
· Je, Muhammad kusema mambo ambayo hakuwa nayo uthibitisho ilikuwa ni kutafuta tu kuonekana kwamba Mungu amempa ufunuo wa kipekee juu ya ulimwengu?
· Je, vizazi ya Kiarabu na dunia kwa ujumla baada ya kugundua kwa tafiti za kisayansi, ambazo zimethibitisha kuwa Jua huzungukwa na sayari mbalimbali, ikiwemo Sayari yetu ya dunia, vimuoneje, Muhammad na Uislamu kwa ujumla?
· Je,wanadamu wa vizazi vyote vinavyofahamu kuwa Jua halijawahi kuzama katika matope ama meusi,bluu au meupe, visimuamini Muhammad katika mambo mengine aliyoyasema au vimuchukulie kama mtu aliyekuwa anajaribu kupiga ramli ya jinsi mambo yalivyo?
Lakini swali la mwisho kabisa ambalo nitaomba ujiulize ni hili:Je,Ni kwa nini hadi leo baada ya kugundulika kuwa Jua halizami na wala halizunguki,ni kwa nini hadi sasa aya hiyo iko imesalia katika Kurani?Je,ni nani anasema uongo kati ya Mungu na wanasayansi juu ya suala la Jua?
Karibu kwa mjadala ili tupate kujua ukweli kwa faida ya maendeleo ya Dunia yetu.
Hakuna contradiction, Ni Kweli kua Yesu alikuja kwa ajili ya Wana wa Israeli. Kwa maana ya kuzaliwa na kuinjilisha. Injili ambayo hapo baadaye ilitakiwa iwafikie mataifa yote ulimwenguni.
Fahamu kua Zamani zile wana wa Israeli walikua wanatawaliwa moja kwa moja chini ya Utawala wa Mfalme herode ambaye hakua mwisraeli bali Mgiriki. Na pia wote wakilipa kodi kwa utawala Mkubwa wa Roma ya Caesari(Siza/kaisari)..kwasababu Utawala wa Wagiriki ulikua chini ya utawala wa Rumi(Roman Empire).
Mfalme Herode pamoja na kua ni Mgiriki aliwasaidia waisraeli kuwajengea Hekalu la Yerusalemu lililokua limebomolewa na wakaldayo.
Lakini wana wa Israeli waliamini akija Masiha, atakua Mfalme wao. kwa mfano wa akina Mfalme Daudi atatawala kama ilivyo watawala wa Dunia.
Imani hii ilimgusa hadi MFALME Herode ambaye alijaribu kufanya upelelezi Ili amuue Mtoto Yesu Kristo ili kulinda milki yake.
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 2:3-4
Basi mfalme Herode aliposikia hayo, ALIFADHAIKA, na Yerusalemu pia pamoja naye. [4]Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?
ALIPOMKOSA YESU, MAANDIKO YANAELEZA ALIUWA WATOTO WOTE WA KIUME WALIOZALIWA ENEO HILO wa umri wa kufikia hadi miaka miwili, ili kama kuna mtoto ambaye yuko destiny kua mfalme akatize ndoto hizo (Mathayo 2:16).
Waisrseli walishathubutu kumfanya Mfalme vile wanavyoona.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 6:1
Kisha Yesu, hali akitambua ya kuwa walitaka kuja kumshika ili wamfanye MFALME, akajitenga, akaenda tena mlimani yeye peke yake.
Madai haya yalikwenda hadi wakati akikaribia kusulubiwa.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 18:36
Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
Mtume Petro ni mmoja ya watu waliotaka kupigana vita kumlinda Yesu asikamatwe na wayahudi( Mathayo16:23; 26:52 )
[emoji116] [emoji116]
Na baada ya kusulibiwa
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 27:37
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. Madai haya yaliendelea hata alipofufuka.
[emoji116] [emoji116]
Matendo ya Mitume 1:6
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme?
Lakini maandiko yanaweka wazi nafasi ya Yesu kwa ulimwengu.
[emoji116] [emoji116]
Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.
Matendo ya Mitume 13:47
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
[emoji115] [emoji115]
Yohana 1:11-13
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Wekaga na sababu [emoji4]Unapomtaja au kuandika Mtume Muhamad ongeza Salla Allahu Alehy Wasalam (SAW)
Uongo uliokubuhu
Nasema kwa mdomo mpana kabisa
Hadithi mumeitengeneza nyinyi kwa lengo la kupotosha watu