Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ndio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]

Umejibadilisha id , mkauondoa uzi baada ya kushindwa hoja

Sasa umekuja huku mmpate kuuondoa uzi
 
Ndio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]
HUYO uliyemtukana ndiyo MUNGU wako wa kweli. Kuwa mwangalifu na kauli zako kwani YEYE akiamua kukuadhibu basi hakuna atakayekusaidia. Huo ni ushauri tu.

Ukiwa unajadiliana kisha ukashindwa kuleta hoja inayoeleweka basi ni vyema ukubaliane na hali halisi. Kwani mimi nimekuletea vielelezo ndani ya Biblia yako. Sikuokota barabarani kama wewe. Unayeleta hadithi za uwongo na uzushi dhidi ya ISLAM. Unajipotezea muda na bundle yako bure. Wewe wapaswa kujifunza na haya na sio kuleta kejeli za kitoto. Au ndiyo mafundisho yenu kanisani kutukana dini as wenzenu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ule uzi wa yesu Mungu wakuchovya wameondoa sihuoni kule nausaka vibaya mno
Wale wengine tulikuwa tukijadiliana nao ni Mapadri na waliona wameshindwa hoja tunawaharibia tonge ya ugali waakaamua kuufuta uzi
 
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.

“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita ambacho Yesu na mitume waliopita hawakufundisha?

Nyinyi Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu(Yohana 14:26)

Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.

“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”

Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.

Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini?

Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?

Kweli mwalimu wako pofu [emoji12] Yaani Roho Mtakatifu ni mtu tena ni baba kassim aliye vunja Amri zote.10 za Mwenyezi[emoji117]
ten_commandments5.gif
kwa nini hamtaki kumuani baba kassim aliposema [emoji117]
IMG_20180620_183755_851.jpg
kwi kwi kwiii
 
PAULO NI MPINZANI WA YESU

Yesu alisema:

1. Katika njia ya Mataifa msiende. (Mathayo 10:5). Lakini Paulo akafundisha:

A. Nimekabidhiwa Injili ya wasiotahiriwa. (Wagalatia 2:7, maandishi ya Paulo).

B. Amewafungulia mataifa mlango wa imani. (Matendo ya Mitume 14:27).

2. Yesu alitahiriwa sku ya 8 (Luka 2:21). Yohana alitahiriwa siku ya 8 (Luka 1:59). Paulo alitahiriwa siku
ya 8 (Wafilipi 3:5) Lakini yeye mwenyewe alipinga kutahiriwa (Wagalatia 5:2-6).

Yesu alisema:

3. Msidhani kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atayezitenda na kuzifundisha , huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. (Mathayo 5:17-20).

Lakini Paulo anasema:

Sheria ni laana. (Wagalatia 2:16-21, 3:10-13). Warumi 7: yote).

4. Bwana Yesu alisema:
Msichukuwe dhahabu, wala fedha, wala mapesa mifukoni mwenu: (Mathayo 10:9).

Hivyo Wakristo wale ambao wanakusanya mali ni Ma (AntiChrist).

5. Bwana Yesu alisema: Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia. (Mathayo 5:39-40). Hivyo Wakristo wale ambao
wanagombana ni Madajjal (Ant Christ).

6. Yesu pia alikataza kuitwa Kristo: Ndipo alipowakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. (Mathayo 16:20).

Hivyo Wakristo ambao wanatangaza kwamba Yesu ndiye Kristo ni Ma (Ant Christ).

7. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu. (Mathayo 10:35, Luka 14:26, 12:51, 5:2)

Hivyo Wakristo ambao wanapenda amani wala hawatumii upanga ni Ma (Anti Christ).

Maradhi yanayo kusibu ni [emoji117] aliye takiwa kukufundisha wewe usie jua kusoma kafa [emoji117]
IMG_20180820_213117_739.jpg
licha kwamba alianza alikwisha kukusomea aya hii [emoji117]
IMG_20180821_075352_604.jpg
njoo kwa Wasomi ña wacha-Mungu wakufundishe usione haya dogo [emoji4] kila siku asubuhi kengele inakuita [emoji117] wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga njoooo...sisi Tulio itikia mwito ujinga umetuisha [emoji122] [emoji122] [emoji106] wewe unaye komaa utabakia na uzwazwa wako [emoji4] na MWENYEZI AMESHA SEMA [emoji117]
IMG_20180905_170136_257.jpg
Mimi wajibu wangu kwa wewe mwenye KIU nikupeleke kisimani ilaha kunywa Maji au kuto kunya ni HIARI yako sito kulazimisha gavana [emoji4]
 
Ahahahahhahahaha mzee hiyo Hadithi umetoa kitabu gani?

taysir-al-allaam-sharh-umdatul-ahkaam-al-basaam.jpg
warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117]
178606_e3b50923bf2ccd9973fb1683c702a61b.jpg
sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kweli mwalimu wako pofu [emoji12] Yaani Roho Mtakatifu ni mtu tena ni baba kassim aliye vunja Amri zote.10 za Mwenyezi[emoji117] View attachment 857743 kwa nini hamtaki kumuani baba kassim aliposema [emoji117] View attachment 857807 kwi kwi kwiii

TUMEKUSIKIA ,

SASA JIBU HAYA MASWALI

Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.

“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita ambacho Yesu na mitume waliopita hawakufundisha?

Nyinyi Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu(Yohana 14:26)

Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.

“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”

Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.

Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini?

Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
View attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Ushuhuda wa Biblia kuhusu Mungu

Mafundisho ya Agano la Kale na Jipya kimsingi ni ya imani ya Mungu mmoja na kuwa Agano Jipya halikengeuki na kumwacha Mungu mmoja na kwenda katika Utatu ndani ya Mungu mmoja. Yesu amethibitisha mafundisho haya pale aliposema: "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie." Mathayo 5:17-18

Maelezo ya Mungu ni mepesi, ya wazi na hayana kupingana wala kuchanganya. Haya ni baadhi ya "maneno ya ufunuo" wa Mungu katika Biblia. Mungu anasema:

"...Mimi ni Mungu Mwenyezi..." Mwanzo 17:1

"Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe? ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu, Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?" Kutoka 15:11

"Mimi ni BWANA, Mungu wako...". Kutoka 20:2

"Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao." Kutoka 20:3-5

Aya hizi kwa hakika zinaharamisha aina zote za sanamu za Mungu, tena ni kwa aina zote mbili za kumwabudu au za kumwakilisha Mungu tu. Hakuna sanamu inayoweza kumtosha Mungu kuliko Mungu Mwenyewe. Yeye ni Muweza hawezi kuwa na taswira-picha ya mwanadamu ila kwa kile alichokifunua Yeye mwenyewe kuwa ni Sifa Tukufu aliyoipeleka kwa mitume.

"...mimi ndimi BWANA, Mungu wenu. Msigeuke kuandama sanamu, wala msijifanyizie miungu ya kusubu; mimi ndimi BWANA Mungu wenu." Walawi 19:3-4

"Mungu si mtu, aseme uongo; Wala si mwanadamu, ajute; Iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza?" Hesabu 23:19

"Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa BWANA ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye." Kumbu kumbu la Torati 4:35

"Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja." Kumbukumbu la Torati 6:4

"Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nauhisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu." Kumbu kumbu la Torati 32:39

"Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna ye yote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu." 1 samweli 2:2

Sulemani anasema: "...Ee BWANA Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe, mbinguni juu wala duniani chini; ushikaye maagano na rehema kwa watumishi wako, waendao mbele zako kwa mioyo yao yote." 1 Wafalme 8:22

"Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiwe mfanya miujiza, Ndiwe Mungu peke yako." Zaburi 86:10

"Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki." Isaya 40:28

"Mimi ni BWANA; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu." Isaya 42:8

"Ninyi ni mashahidi wangu, asema BWANA, na mtumishi niliyemchagua; mpate kujua; na kuniamini, na kufahamu ya kuwa mimi ndiye; kabla yangu hakuumbwa Mungu awaye yote, wala baada yangu mimi hatakuwapo mwingine. Mimi, naam, mimi, ni BWANA, zaidi yangu mimi hapana mwokozi." Isaya 43:10-11

"...Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu." Isaya 44:6

"Mimi ni BWANA wala hapana mwingine; zaidi yangu mimi hapana Mungu; nitakufunga mshipi ijapokuwa hukunijua; ili wapate kujua toka maawio ya jua, na toka magharibi, ya kuwa hapana mwingine zaidi yangu mimi; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine." Isaya 45:5-6

"Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine." Isaya 45:18

"Kumbukeni mambo ya zamani za kale; maana mimi ni Mungu, wala hapana mwingine; mimi ni Mungu, wala hapana aliye kama mimi;" Isaya 46:9

"Nisikilize mimi, Ee Yakobo; na Israeli, niliyekuita; mimi ndiye. Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho pia. Naam, mkono wangu umeuweka msingi wa dunia, na mkono wangu wa kuume umezitanda mbingu..." Isaya 48:12-13

"BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzika ni mahali gani?" Isaya 66:1

"Bali BWANA ndiye Mungu wa kweli; Ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele; Mbele za ghadhabu yake nchi yatetemeka, Wala mataifa hawawezi kustahimili hasira yake." Yeremia 10:10

"Lakini mimi ni BWANA, Mungu wako tangu nchi ya Misri; wala hutamjua mungu mwingine ila mimi; wala zaidi ya mimi hakuna Mwokozi;" Hosea 13:4
 
View attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Ushuhuda wa Biblia kuhusu Yesu (AS)

Kuzaliwa kwa Yesu (AS) kulitabiriwa: "Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu." Luka 1:26-27 Hapa Mungu hajashuka chini ili awe na Mwili kama inavyodaiwa na baadhi ya makanisa, badala yake Yeye amempeleka malaika wake Gabriel (Jibrilu) kumwabarisha Mariamu juu ya mpango wa Mungu. Yesu (AS) alikuwa ni roho iliyoumbwa kwa nguvu za Mungu tumboni mwa Mariamu. Kwa kuwa, aya hizi zinakana imani ya Mungu kuwa amejivisha mwili, na kwa hiyo zinafafanua kuwa hoja hizo hazina msingi.

Malaika Gabriel alimwabarisha Mariamu: "Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu." Luka 1:31

Kwa hiyo, nani waliokuwa wahusika wa Utatu (yaani Mungu mmoja ndani ya watatu) kabla ya kuzaliwa kwa Yesu (AS)? Kulikuwa na Mungu Mmoja tu hapo mwanzo, anayeishi milele. Utatu uligeuzwa kutoka katika imani ya Mungu Mmoja kuelekea kwa Miungu Mitatu na upagani. Kabla ya Yesu (AS), watu waliamini Mungu Mmoja tu, lakini baada ya kuzaliwa kwake, Kanisa liliongeza nafsi mbili za ziada katika Uungu. Pili, wakati Yesu (AS) alipokuwa kijusi, je, Mungu muweza naye alikuwa ni mwenye kunywea? Kwa kuwa Wanautatu wanahoji kuwa nafsi mbili au tatu zimejiunga katika MWILI MMOJA. Je, wote walikuwa kama kijusi kimoja tumboni mwa Mariamu? Kama ni hivyo, kwa nini alimzaa Yesu peke yake? Utoto ulioje na kichefuchefu kilioje kufikiria kuwa Yesu (AS) aliungana na Mungu kimwili?

Mungu, ambaye hana mwanzo wala mwisho na aliyeumba mbingu na nchi, na kila kitu kati ya Mbingu na nchi kwa mamilioni ya miaka iliyopita, kabla ya kudhihiri kwa ustaarabu wa binadamu. Vizazi vingi vimeshapita kabla ya kuzaliwa kwa Yesu (AS).

"Hata zilipotimia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba." Luka 2:21 Kufuru ilioje dhidi ya Mungu! Kama Yesu (AS) ndiye Mungu wa kweli, je, unaamini kuwa anahitaji atahiriwe?

"Yule mtoto akakua, akaongezeka nguvu, amejaa hekima, na neema ya Mungu, ilikuwa juu yake." Luka 2:40 Mwanzoni, huyu "mungu" Yesu alikuwa hana elimu [hajui] alipokuwa mdogo lakini alipata elimu alipofikia balehe. Elimu ya Mungu wa kweli haiongezeki wala haipungui si kwa wakati au nafasi kwa sababu Yeye muda wote ni Mkamilifu na Mtimilifu.

Wakati Yesu (AS) aliposali "Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]" Luka 11:2-4 Je, mtu anaweza kujisalia nafsi yake? Kwa hakika haiwezekani! Kwa hiyo, hili linampambanua Mungu wa kweli badala ya Mtume Yesu (AS). Kwa kuongezea, Matakwa ya Yesu yametofautiana na yale ya Mungu, jambo linaloashiria kuwa wao si kitu kimoja wala si sawasawa.

Imetajwa kuwa Mtume Yesu (AS) amefunga: "Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa." Mathayo 4:2 Kufunga ni njia mojawapo ya mtu kutubia dhambi na kuonyesha utiifu na unyenyekevu kwa mkuu zaidi. Mungu si mnyenyekevu kwa yoyote yule wala hahitaji kufunga ili atubie dhambi zake, wala hata kutaka kuteseka, kinyume na Yesu (AS) Mungu yu huru na chochote kwa sababu Yeye Peke yake ndiye Mkuu na Mkamilifu.

Makutano makubwa ya watu yalikuja kumsikiliza Yesu (AS) na kuleta wagonjwa wengi walioponywa magonjwa yao. "Hata ule mkutano wakastaajabu, walipowaona mabubu wanasema, vilema wanakuwa wazima, viwete wanakwenda, na vipofu wanaona, wakamtukuza Mungu wa Israeli." Mathayo 15:31 Itakuwaje Mungu wa Kikristo ni WATATU huku Mungu wa Kiisraeli ni MMOJA?

"Na akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa ikiwezekana, saa hiyo imwepuke. Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe." Mathayo 26:29 na Marko 14:35-36) Yesu alielekeza maombi yake kwa nani? Je, amejielekezea kwake yeye mwenyewe kwa sifa kuwa yeye ni sehemu ya Uungu? Kwa hakika la! Kwa kweli, Yesu (AS) daima alimuomba Mungu amsaidie hata alipomfufua Lazaro. Tazama Yohana 11:41-43. Yesu daima amekuwa ni mwenye kumshukuru Mungu jambo linaloashiria kutojiweza kwake kikamilifu na kunyenyekea kwa Mungu.

"Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu..." Mathayo 21:18-19 Mungu kuhisi njaa na kutojua msimu wa matunda!

Mt. Paulo anasema: "Enyi waume wa Israeli, sikilizeni maneno haya: Yesu wa Nazareti, mtu aliyedhihirishwa kwenu na Mungu kwa miujiza na ajabu na ishara, ambazo Mungu alizifanya kwa mkono wake kati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua;" "Matendo 2:22 Hapa, ni wazi kile anachokimaanisha Paulo kwa maneno "aliyedhihirishwa kwenu na Mungu" ni mpakwa mafuta na Mungu au "Mteule wa Mungu – akiwa ni mtume".
 
Ndio sababu nikikwambia hiyo khutba ipeleke msikitini kwenye watu kama wewe LAZIMA utazawadiwa takbir nyingi tu hapa watu wajanja si MAHALI pake [emoji4] sasa mbishie na hili [emoji117] View attachment 857627 baba kassimu [emoji12]

Kile anachokisema Yesu (AS) juu yake na Mungu

Yesu Kristo (AS) kamwe hajataja juu ya Utatu wala hakuwa macho kuwa kuna Mungu wa Utatu. Ufahamu wake ulikuwa ni ule ule kama wa wale mitume Waisraeli wa mwanzo, waliohubiri Upweke wa Mungu.

"Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja; nawe mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote." Marko 12:29-30

"...Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake." Mathayo 4:10 na Luka 4:8. Yesu (AS) anasema kuwa ni Mungu peke yake ndio wa kuabudiwa.

"...Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja.." Marko 12:29 Yesu (AS) anathibitisha upweke wa Mungu.

"Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliyembinguni." (Mathayo 7:21) Ni wazi kuwa Mungu alikuwa Mbinguni na Yesu (AS) alikuwepo ardhini. Kwa hiyo vipi watakuwa wameungana katika mwili mmoja?

Imani ya Kikristo inaeleza kuwa 'Nafsi Tatu' zimeungana katika mwili mmoja (watatu ndani ya mmoja). Itawezekana vipi kwa waunda Utatu wote wawe Miungu kamili wakati kila mmoja wao anaunda moja ya tatu ya Uungu?

"Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma." Yohana 17:3. Hapa, Yesu (AS) anachora mstari kati ya Mungu na yeye mwenyewe. Ili ufikie uzima wa milele ni kujua Mungu wa kweli na Yesu (AS) kuwa ametumwa akiwa ni Mjumbe wa Mungu tu.

Yesu (AS) anasema: "Yesu akamwambia, Kwa nini kuniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu." Marko 10:18. Yesu (AS) anatetea kuwa hakuna mwema ispokuwa Mungu, na hilo linamtenga Mungu na Yesu.

"Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake." Mathayo 24:36 na "Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba." Marko 13:32 Yesu (AS) anakiri kuwa elimu yake ina mipaka finyu kinyume na Mungu, ambaye ni mjuzi wa kila kitu. Pia, hukumu ni ya Mungu peke yake anayetunza siri zote Yeye mwenyewe.

"Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile." Yohana 5:19 Hapa, Yesu (AS) anakiri kumtegemea Mungu.

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe; kama niskiavyo ndivyo nihukumuvyo; na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka." Yohana 5:30

"Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka." Yohana 6:38

"Basi Yesu akawajibu, akasema, Mafunzo yangu si yangu mimi, ila ni yake yeye aliyenipeleka." Yohana 7:16

"...na ya kuwa sifanyi neno kwa nafsi yangu, ila kama Baba alivyonifundisha ndivyo ninenavyo." Yohana 8:28

Yesu (AS) anaweka wazi sana kuwa Yeye ana upungufu wa nguvu takatifu. Yeye mwenyewe hawezi kufanya lolote kwa kuwa Mungu pekee ndiye chanzo cha nguvu na mamlaka.

"Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi, mtu ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu..." Yohana 8:40 Yesu (AS) ameungama kuwa Yeye alikuwa ni Mjumbe anayetimiza kazi aliyoamrishwa na Mkuu.

Ziada, Mtume Yesu (AS) anasema: "Yesu akamwambia, usinishike, kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20:17 Aya hii inatia nanga (inaumaliza) UTATU na IMANI YA MUNGU KUWA NA MWILI. Inaonesha mahusianao ya Yesu (AS) na Mungu kuwa ni kama ya binadamu yoyote yule yaani kusali na kuomba msaada toka Kwake.

Aya zote za hapo juu zinalenga kuonesha kuwa Yesu (AS) hajitoshelezi, mdhaifu na anategemea Rehema za Mungu.
 
Maradhi yanayo kusibu ni [emoji117] aliye takiwa kukufundisha wewe usie jua kusoma kafa [emoji117] View attachment 858028 licha kwamba alianza alikwisha kukusomea aya hii [emoji117] View attachment 858043 njoo kwa Wasomi ña wacha-Mungu wakufundishe usione haya dogo [emoji4] kila siku asubuhi kengele inakuita [emoji117] wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga njoooo...sisi Tulio itikia mwito ujinga umetuisha [emoji122] [emoji122] [emoji106] wewe unaye komaa utabakia na uzwazwa wako [emoji4] na MWENYEZI AMESHA SEMA [emoji117] View attachment 858060 Mimi wajibu wangu kwa wewe mwenye KIU nikupeleke kisimani ilaha kunywa Maji au kuto kunya ni HIARI yako sito kulazimisha gavana [emoji4]

Katika Injili, kwa mujibu wa Yohana 1:1 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno
alikuwa Mungu."

Kitabu kitakatifu hakitakiwi kiwe kinapingana. Kama kuna aya mbili zinazopingana, basi ni aya moja tu itakayokuwa ni ya kweli au zote mbili ni za uwongo, kwa kuwa zote mbili haziwezi kuwa sahihi.

Kwa mujibu wa Yohana 1:1 Yesu ni Mungu.
Sasa, kuna miungu mingapi?
Kwa uchache miwili.
Hili linapingana na vifungu vingi vya Biblia: Kumbukumbu 4:39 "Kwa hivyo ujue, leo hivi, ukaweka moyoni mwako, ya kuwa BWANA ndiye Mungu katika mbingu juu, na katika nchi chini; hapana mwingine." Kumbukumbu 6:4 "Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja." Isaya 43:10-11 "... mpate kujua, na kuniamini, na kufahamu ya kuwa mimi ndiye; kabla yangu hakuumbwa Mungu awaye yote, wala baada yangu mimi hatakuwepo mwingine." Isaya 44:6

"...BWANA wa Majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu." Isaya 45:18 "Maana BWANA, aliyeziumba mbingu, asema hivi; Yeye ni Mungu; ndiye aliyeiumba dunia na kuifanya; ndiye aliyeifanya imara; hakuiumba ukiwa, aliiumba ili ikaliwe na watu; Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine."

Kutokana na Isaya 45:18 Tunahitimisha kuwa Mungu peke yake ndiye Muumba na hakuna mwingine, wala Yesu, hajashiriki katika uumbaji.

Pia soma Kumbukumbu 4:35; Kutoka 8:10; 2 Samweli 7:22; 1 Wafalme 8:23; 1 Nyakati 17:20; Zaburi 86:8, 89:6 na 113:5; Hosea 113:4; na Zakaria 14:9.

Lakini hayo yote yapo katika Agano la Kale. Je, unayapata maelezo kama hayo katika Agano Jipya?

Bila shaka. Soma Marko 12:29, pale palipoandikwa kuwa Yesu mwenyewe amesema: "Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja."

1 Wakorintho 8:4 "... twajua ya kuwa sanamu si kitu katika ulimwengu, na ya kuwa hakuna Mungu ila mmoja tu.

" 1 Timotheo 2:5 "Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, mwanadamu Kristo Yesu."

Sasa unaweza kusema kama Yohana 1:1 ni sahihi na aya hizi zote si sahihi, au kinyume chake.
 
Maradhi yanayo kusibu ni [emoji117] aliye takiwa kukufundisha wewe usie jua kusoma kafa [emoji117] View attachment 858028 licha kwamba alianza alikwisha kukusomea aya hii [emoji117] View attachment 858043 njoo kwa Wasomi ña wacha-Mungu wakufundishe usione haya dogo [emoji4] kila siku asubuhi kengele inakuita [emoji117] wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga njoooo...sisi Tulio itikia mwito ujinga umetuisha [emoji122] [emoji122] [emoji106] wewe unaye komaa utabakia na uzwazwa wako [emoji4] na MWENYEZI AMESHA SEMA [emoji117] View attachment 858060 Mimi wajibu wangu kwa wewe mwenye KIU nikupeleke kisimani ilaha kunywa Maji au kuto kunya ni HIARI yako sito kulazimisha gavana [emoji4]

Yesu ni Alfa na Omega?

SWALI:
Mbona nyie waislamu mnakataa kwama Yesu si Mungu wakati yeye anasema kuwa ni Alfa na Omega?

JIBU:

Ni kweli kuwa katika Kitabu cha Ufunuo 1, ayah ya 8, inaonyeshwa kuwa Yesu alisema yafuatayo kuhusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”. Hizi ni sifa za Mwenyezi Mungu. Hivyo, Yesu, kulinagana na Wakristo wa mwanzo, hapa anadai uungu.

Hata hivyo, hayo ni mojawapo ya maandiko yaliyo na makosa ya kiuchapishaji katika biblia za King James Version KJV.
-Katika RSV, wanazuoni wa Biblia walisahihisha tafsiri na kuandika: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana Mungu, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.

-Masahihisho pia yalifanywa kwa New American Bible (Biblia Mpya ya Marekani) iliyochapishwa na Katoliki. Tafsiri ya Ayah hiyo imerekebishwa ili kuiweka katika muktadha wa sawa kaa ifuatavyo: “Bwana Mungu anasema: ‘Mimi ni Alfa na Omega, yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu’”.
Kwa masahihisho haya, ni dhahiri kuwa hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu wala sio kauli ya Nabii ‘Iisa (YESU).
 
TUMEKUSIKIA ,

SASA JIBU HAYA MASWALI

Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia.

“Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita ambacho Yesu na mitume waliopita hawakufundisha?

Nyinyi Wakristo mnasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu(Yohana 14:26)

Yesu alisema katika Yohana 16:7-8.

“Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;”

Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”.

Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.”

Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini?

Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile?

Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu?

Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine?

Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi?

Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi?

Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?

Unafukia kichwa mchangani eti umejificha, kumbe makalio Yote yako juu [emoji15] mpuuzi kweli kweli [emoji12] YESU anasema [emoji117]
IMG_20180905_183120_569.jpg
yeye ndie Atakaye mleta sasa Tukubaliane Yesu ndie aliye mleta muhammad! HIVYO YESU NI MUNGU [emoji122] [emoji122] [emoji123] SABABU MUNGY ndie Anaye WATUMA MITUME AU SI HIVYO [emoji47] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Unafukia kichwa mchangani eti umejificha, kumbe makalio Yote yako juu [emoji15] mpuuzi kweli kweli [emoji12] YESU anasema [emoji117] View attachment 858136 yeye ndie Atakaye mleta sasa Tukubaliane Yesu ndie aliye mleta muhammad! HIVYO YESU NI MUNGU [emoji122] [emoji122] [emoji123] SABABU MUNGY ndie Anaye WATUMA MITUME AU SI HIVYO [emoji47] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Wapi Yesu alisema mimi ni mungu na nitamleta mtume, unapata wapi maneno hayo ??
 
View attachment 858078 warabu wenye deen yao wanakigombea na kukinunua kama njugu [emoji4] ilaha waislamu dirisha dogo akipata kilo anaenda ongeza jiko lingine na zilizo bakia anaenda kigogo sambusa kula kitimoto rost na kushushia bapa [emoji117] View attachment 858091 sio mbaya lakini sio mbaya RAHA ujipe MWENYEWE [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Unapoteza muda wako kutafuta ushahidi usioujua. Hivyo vitu unayo post ni vya kipuuzi kabisa. Huna maada yoyote ya kuzungumzia??? Unaweza kusepa tu kimya kimya. Wacha maaskofu wako waje hapa watete hizi Maada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom