Visingizio havihishi. Hii Ajab sana. Dunia imeendelea sana.Viko vitabu kwenye softcopy. Wewe unataka akupigie hadi picha tena na page? Ili mradi ukatae Ukweli.oopsNitakuomba tena katika Hadithi hii ya Pili
naomba uilete kwa uasilia wake,na si tafsiri hiyo mliokuja nayo
Kama unakitabu,Basi piga Picha hiyo page yenye hadithi husika
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Visingizio havihishi. Hii Ajab sana. Dunia imeendelea sana.Viko vitabu kwenye softcopy. Wewe unataka akupigie hadi picha tena na page? Ili mradi ukatae Ukweli.oops
Kama huamini wanasayansi ambao Mungu ndiye aliyewavuvia Akili. Basi haumuamini Mungu na akili yake kwa ujumla.KWASISI WAISLAM WENYE DINI YETU HATUWEZ KUMUONA MUNGU MUONGO, HATUWEZ KUMUONA MUHAMMAD MUONGO
PIA HATUJAWAHI KUWAAMINI WANASAYANSI, ILA TUNAIAMINI SAYANSI ILIYONDANI YA QUR-AN, QUR-AN NI SAYANSI TOSHA KABISA, MUNGU ANAJUA VITU AMBAVYO SISI HATUVIJUI.
WANASAYANS NI WATU WALIO UMBWA NA MUNGU NA HIZO AKILI WAMEPEWA NA MUNGU PIA. USIWATUKUZE UKAMUWEKA MUNGU NYUMA.
MUNGU HUWA ANAWAONYESHA WANASAYANSI KUWA YEYE NI MKUBWA ZAIDI YAKE. Hiv hamjawah kuwaona wanawake wanaopata mimba siku ambazo ni salama kwao kwa mujibu wa sayansi ?
Haina maana hiyo BroVisingizio havihishi. Hii Ajab sana. Dunia imeendelea sana.Viko vitabu kwenye softcopy. Wewe unataka akupigie hadi picha tena na page? Ili mradi ukatae Ukweli.oops
Weka nukuu moja ISIYO sahihi [emoji4]Haina maana hiyo Bro
Tatizo si hilo,tatizo nukuu zenu si sahihi
ndio maana tunataka asili ya kitu
Hayo maneno kwenye aya ni ya Mungu kuthibitisha kukamilika kwa dini , ukirejea kisa cha kushuka aya hiyo ndio utakuta maneno ya mtume kuthibitisha kuwa amekamilisha dini ndio maana nikakwambia nenda kasome khutba ya mtume aliotoa kwenye Hija ya kuaga acha uvivuHayo maneno kwenye hiyo aya ni ya nani [emoji47]
Sio kila mwanasayansi anaaminika kijana kwanza wenyewe hawaamini kwamba eti mtu aliumbwa kwa kufinyangwa udongo?Kama huamini wanasayansi ambao Mungu ndiye aliyewavuvia Akili. Basi haumuamini Mungu na akili yake kwa ujumla.
Unatupia kelele hapa yesu kasulubiwa halafu ukiambiwa tutajie muda aliosulubiwa unaingia mitini, kusulubiwa yesu ni uongo na umbeya wa waziMbeya baba kassim aliyekuwa akisikiliza ndivyo sivyo maneno ya vijiweni! mambo ya UTOTONI analeta UKUBWANI [emoji12]
Mbona unaleta maandiko mengine humu , halafu mengine ukidaiwa unaleta ukali , uzushi hatuutaki humu ukidaiwa ushahidi kama unao ulete kama hauna kaa pembeni wacha kulalamika hapaVisingizio havihishi. Hii Ajab sana. Dunia imeendelea sana.Viko vitabu kwenye softcopy. Wewe unataka akupigie hadi picha tena na page? Ili mradi ukatae Ukweli.oops
imekupata kisawasawa kama hujui uliza usimeze matango pori ahahahaahaahaacha zako za kuanza kunawa kisha unakata haja kubwa kisha unavaa na Kusepa [emoji12]
nipo hapa daktari bingwa leta tatizo lakoMmelala [emoji15] [emoji4] amkeni bana!
Wauliza au watania?!Weka nukuu moja ISIYO sahihi [emoji4]
Mwanasayansi hapaswi kukweleza kitu ambacho hajakifanyia Tafiti ya kisayansi na kupata majibu. Akifanya hivyo, hiyo itakua ni "shame to science". Na Mungu ameweka kanuni zake kisayansi ulimwenguni. Wanasayansi wanachofanya ni ku prove na kuandika kitabu.Sio kila mwanasayansi anaaminika kijana kwanza wenyewe hawaamini kwamba eti mtu aliumbwa kwa kufinyangwa udongo?
Umeandika kitu usichokijua nimekwambia wanasayansi awaamini kuwa mtu alitokana na kufinyangwa udongo ? sasa hao wanasayansi wako wa kimungu ni wap?Mwanasayansi hapaswi kukweleza kitu ambacho hajakifanyia Tafiti ya kisayansi na kupata majibu. Akifanya hivyo, hiyo itakua ni "shame to science". Na Mungu ameweka kanuni zake kisayansi ulimwenguni. Wanasayansi wanachofanya ni ku prove na kuandika kitabu.
Sasa kama Sayansi za kimungu zinapingana na Maelezo ya Quran. Ni wazi Quran inakua sio Neno la kweli la Mungu.
Mungu aliyekupa akili ya kujua Jema na Baya kamwe hawezi kukuhukumu kwa kutumia Akili yako.
Mungu Atakuhukumu kwa kuitoa kafara Akili na kuamini kufuata kichwa boksi. Otherwise hakukua na Maana ya yeye kukupa Akili. Kama hataki uitumie.
Mungu aliweka roho yake ndani yetu. Akatupa uwezo wa kufanya vitu kama Yeye. Ili ajipatie utukufu kwa viumbe wake.
Ila siwezi kukulaumu sana kwa mtazamo huo, kwasababu Mohamad hakua amesoma. Ila Yesu alikua Msomi.
Wewe ndiye umeandika kitu usichokijua.Umeandika kitu usichokijua nimekwambia wanasayansi awaamini kuwa mtu alitokana na kufinyangwa udongo ? sasa hao wanasayansi wako wa kimungu ni wap?
Sasa unakataa kitu gani nilipokwambia wanasayansi sio wote wakuaminika? hakuna mwanasayansi duniani utakae mwambia eti kwa kukemea magonjwa kwa jina la yesu mtu anapona ,sasa kama wao hawaamini vitu kama hivyo ambavyo ww na wakristo wenzio mnaviamini , unastaajabu vip. mimi kutokuwaamini wanasayansi?Wewe ndiye umeandika kitu usichokijua.
Unataka.Mwanasayansi akuthibitishie uumbaji kwa lugha ya kisayansi au kwa mujibu wa imani yake?.
Kama unataka akupe majibu ya kisayansi, haitawezekana kwakua uumbaji wa Mungu upo kwenye spiritual realm na ambapo Mungu yupo huko.
Lakini sayansi inatambua kua sisi wanadamu na udongo ni vicious circle. Yaani miili yetu imebeba particals zilizomo kutoka udongoni.
Halafu Mwanadamu aliyeumbwa hakuwepo wakati anaumbwa. Na process can not be undone.
weka usahihi wake [emoji4]Wauliza au watania?!
Hadithi uliyokuja nayo ww,ambayo ni ya Anas,ni Hadithi ya Uongo,hakuna katika kitabu ulichokitaja
Kadhalika Hadithi,mlizosema kuwa zinapatikana katika Sahihi Bukhari na Muslim
Ni Uongo wa wazi
avyoSio kila mwanasayansi anaaminika kijana kwanza wenyewe hawaamini kwamba eti mtu aliumbwa kwa kufinyangwa udongo?
Najua upo kilingeni [emoji12] tupe mrejesho najua umesha pata mavi fathaa ya maiti as Mali ghafi ya kilingeni [emoji15] [emoji38] [emoji38]nipo hapa daktari bingwa leta tatizo lako