Asante sana mkuu.
Kwakweli kwenye Qurani, ile Sura ya Majini inatisha sana.
Majini yanasema wazi kabisa kuwa.
Yanaisoma kurani kila siku na kuzingatia mafundisho yake.
Majini yanasema Yamesilimu na kuwa Maislamu.
Hivyo yanashika nguzo zote za dini ya Kiislamu kama,
Yanaadhini,
Yanatoa zaka,
Yanaswali msikitini kuanzia ile alfajili alasili na adhuhuri,
Yanafunga ramadhani,
Yanahiji Maka,
Zile adhana za asubuhi ukizisikiliza kwa umakini nyingine zinaimbwa na Majini kabisa jaribu kuzisikiliza kwa umakini utaona kuna wakati unasikia sauti za ajabu ajabu kabisa.
Hata ukijidamka ile inamaana alfajiri unakutana na baadhi ya majini yanawahi swala ya alfajiri.
Qurani inatamka wazi kabisa kuwa ninyi waislamu mna ndugu zenu wa Kijini..!
Eti kuna majini mema...!
Wakati Majini ni utawala wa Giza tokea zama za Adam hadi Yesu, na hatuoni popote Mungu akiyasamehe baada ya kutupwa Kuzimu baada ya kulaaniwa na Mungu.
Kama kuna Muislamu makini hebu aisome surat Jinn kwa utulivu na umakini atagundua kuna siri nzito katika sura hiyo ya kwenye Qurani.
Majini hayahaya tanayoyajua leo tunaambiwa ni Maislamu halafu na mimi niwe Muislamu, Jinni awe jamaa yangu.
Siwezi kusilimu kwa hali yoyote ile iwayo hata kama kwa kutishwa kuchinjwa na ISS niko tayari kukatwa kichwa.
Surat Jinn ni Sura ya Kuzimu kabisa, Sura ya Majini ambayo Qurani inakiri kuwa Shetani yaani Ibirisi, ni miongoni mwa hayo Majini, hivyo kwa mujibu wa Qurani yenyewe unapoema Surat Jinn, maana yake Sura ya Ibirisi Shetani.
Nabaki Nalia kwa uchungu sana.