Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Sasa unakataa kitu gani nilipokwambia wanasayansi sio wote wakuaminika? hakuna mwanasayansi duniani utakae mwambia eti kwa kukemea magonjwa kwa jina la yesu mtu anapona ,sasa kama wao hawaamini vitu kama hivyo ambavyo ww na wakristo wenzio mnaviamini , unastaajabu vip. mimi kutokuwaamini wanasayansi?
Nakataa kwasababu, Sayansi zipo za aina nyingi.
 
avyo

watamwamini kivipi allah wakti yeye amewachanganya wao wanasayansi na tusio wanasayansi [emoji4] ona anavyo tuvuruga [emoji117] View attachment 859454 Akakaa akafikiri akapata jibu [emoji117] View attachment 859456 akaona mmh noma akaja tena akasema [emoji117] View attachment 859457 halafu akakataa yeye hakuumba dhakar wala Ku&%# [emoji117] View attachment 859461 anasema aliye umba kaumba dunia kwa siku mbili.2 halafu misukule wana itakidi allah ni Mungu Muumbaji na wanamsujudia [emoji15] [emoji12] walahi mtakufa makafir bila kumjua Muumba wenu [emoji4]
wapi amesema kuwa
ameumba dhakari na uke?!!!!
 
weka usahihi wake [emoji4]
Ww kweli mtu wa ajabu sana?!

ulete uongo wako,
kisha uniamuru mm,uongo wako niusahihishe?!!

Kubali kwanza kama ww umekosea,kwa kutuma uongo

kisha rejea kwenye kitabu tena na usome kwa mara ya pili au soma zaidi hata mara sabini...kisha tuletee kilichosahihi
 
Kisha nawapa nasaha
1)Mgen
2)2013

Ikiwa mnauendeleza uzi huu,kwa lengo la kupindisha ukweli,Basi fahamuni,njia ya muongo ni fupi.
Na ikiwa mnafanya haya,kwa lengo zuri,Basi fanyeni uhakiki kwanza,kisha ndio mseme

Tusipoteze muda hapa
huku tukiwa ni wabebaji wa madhambi mbele ya Mola wetu
Tufahamu Tufahamu
ipo siku,tutasimama mbele ya Mola,na kila mmoja ataulizwa kwa kile alichokifanya
 
Ww kweli mtu wa ajabu sana?!

ulete uongo wako,
kisha uniamuru mm,uongo wako niusahihishe?!!

Kubali kwanza kama ww umekosea,kwa kutuma uongo

kisha rejea kwenye kitabu tena na usome kwa mara ya pili au soma zaidi hata mara sabini...kisha tuletee kilichosahihi
Mimi nimenukuu tu toka vyanzo vya ilimu islamu! sasa wewe unae ona Mimi nimekosea wajibu wako kuweka Ukweli [emoji4]
 
wapi amesema kuwa
ameumba dhakari na uke?!!!!

soma matini [emoji117] mfasiri kaweka tafsida
IMG_20180907_104118_213.jpg
halafu unaanzisha hoja ndani ya hoja! Hizo aya nyingine umekausha unakuja kwenye dhakar...[emoji38] [emoji38]
 
Mimi nimenukuu tu toka vyanzo vya ilimu islamu! sasa wewe unae ona Mimi nimekosea wajibu wako kuweka Ukweli [emoji4]
vyanzo vipi hivyo?!

umenukuu kwenye Kitabu,kitabu ambacho mwanzo wake mpaka mwisho,hakuna Hadithi mfano wa hiyo uliyoitoa

sasa labda kuna vyanzo vingine ambavyo ww unavijua zaidi

Muhimu tu
Piga picha page nzima ya Kitabu husika,kisha itume hapa
 
soma matini [emoji117] mfasiri kaweka tafsidaView attachment 859592 halafu unaanzisha hoja ndani ya hoja! Hizo aya nyingine umekausha unakuja kwenye dhakar...[emoji38] [emoji38]
ndio maana nilikuambia

jifunzo Lugha ya Kiarabu,Kiarabu si sawa kabisa na Kiswahili

Usilolijua,ni sawa na usiku wa kiza

Uliza uambiwe na ufunzwe,usilete uhuni katika Dini
 
Nakataa kwasababu, Sayansi zipo za aina nyingi.
Endelea kuzunguka , hakuna mwanasayansi duniani atakae kuamini kuwa yesu aliuambia mti ukauke halafu ukakauka, kwasababu kisayansi haiwezekani mti ukauke kwa maneno ,hapo vip unawaamini wanasayansi kwenye hili la maneno hayakaushi mti?
 
avyo

watamwamini kivipi allah wakti yeye amewachanganya wao wanasayansi na tusio wanasayansi [emoji4] ona anavyo tuvuruga [emoji117] View attachment 859454 Akakaa akafikiri akapata jibu [emoji117] View attachment 859456 akaona mmh noma akaja tena akasema [emoji117] View attachment 859457 halafu akakataa yeye hakuumba dhakar wala Ku&%# [emoji117] View attachment 859461 anasema aliye umba kaumba dunia kwa siku mbili.2 halafu misukule wana itakidi allah ni Mungu Muumbaji na wanamsujudia [emoji15] [emoji12] walahi mtakufa makafir bila kumjua Muumba wenu [emoji4]
Hoja yako iko wap? mtu wa kwanza adam kaumbwa kwa udongo , halafu tuliofata ni manii sasa hapo kuna hoja au unaunga unga tu
 
Hiyo ni dhakara wali untha , unajua tafsiri yake bwana mdogo au unabwabwaja tu?

Hiyo ni dhakara wali untha , unajua tafsiri yake bwana mdogo au unabwabwaja tu?

Hatuko kwenye jukwaa la lugha hapa[emoji12] nimeleta hizo ayat kama ushahidi kwamba allah na baba kassim wanawachanganya wana-sayansi na sisi lay man kwa ujumla wake [emoji4] hadi allah anakataa sio yeye aliye umba dhakar na untha [emoji4] kuwa Bwana mdogo sio hoja Hekima Amenifundisha [emoji117]
IMG_20180907_125203_169.jpg
dhahir eeh [emoji4]
 
Asante sana mkuu.
Kwakweli kwenye Qurani, ile Sura ya Majini inatisha sana.
Majini yanasema wazi kabisa kuwa.
Yanaisoma kurani kila siku na kuzingatia mafundisho yake.
Majini yanasema Yamesilimu na kuwa Maislamu.
Hivyo yanashika nguzo zote za dini ya Kiislamu kama,
Yanaadhini,
Yanatoa zaka,
Yanaswali msikitini kuanzia ile alfajili alasili na adhuhuri,
Yanafunga ramadhani,
Yanahiji Maka,
Zile adhana za asubuhi ukizisikiliza kwa umakini nyingine zinaimbwa na Majini kabisa jaribu kuzisikiliza kwa umakini utaona kuna wakati unasikia sauti za ajabu ajabu kabisa.
Hata ukijidamka ile inamaana alfajiri unakutana na baadhi ya majini yanawahi swala ya alfajiri.
Qurani inatamka wazi kabisa kuwa ninyi waislamu mna ndugu zenu wa Kijini..!
Eti kuna majini mema...!
Wakati Majini ni utawala wa Giza tokea zama za Adam hadi Yesu, na hatuoni popote Mungu akiyasamehe baada ya kutupwa Kuzimu baada ya kulaaniwa na Mungu.
Kama kuna Muislamu makini hebu aisome surat Jinn kwa utulivu na umakini atagundua kuna siri nzito katika sura hiyo ya kwenye Qurani.
Majini hayahaya tanayoyajua leo tunaambiwa ni Maislamu halafu na mimi niwe Muislamu, Jinni awe jamaa yangu.
Siwezi kusilimu kwa hali yoyote ile iwayo hata kama kwa kutishwa kuchinjwa na ISS niko tayari kukatwa kichwa.
Surat Jinn ni Sura ya Kuzimu kabisa, Sura ya Majini ambayo Qurani inakiri kuwa Shetani yaani Ibirisi, ni miongoni mwa hayo Majini, hivyo kwa mujibu wa Qurani yenyewe unapoema Surat Jinn, maana yake Sura ya Ibirisi Shetani.
Nabaki Nalia kwa uchungu sana.

Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
(Quran 2:6)
2_34.gif
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri. (Quran 2:34)

Yeye ndiye aliye kuumbeni. Miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye Muumini. Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda (Quran 64:2)

Kwa hiyo hapo ibilisi ni miongoni mwa kafiri mwenzenu. Alimuingia Yuda kisha akamsaliti Brian Deacon had akavalishwa nepi ili mupate uokovu. Unakuja kubana pua hapa kumkana mtu aliyechangia wewe kafiri upate uokovu.
 
Mwanasayansi hapaswi kukweleza kitu ambacho hajakifanyia Tafiti ya kisayansi na kupata majibu. Akifanya hivyo, hiyo itakua ni "shame to science". Na Mungu ameweka kanuni zake kisayansi ulimwenguni. Wanasayansi wanachofanya ni ku prove na kuandika kitabu.

Sasa kama Sayansi za kimungu zinapingana na Maelezo ya Quran. Ni wazi Quran inakua sio Neno la kweli la Mungu.

Mungu aliyekupa akili ya kujua Jema na Baya kamwe hawezi kukuhukumu kwa kutumia Akili yako.

Mungu Atakuhukumu kwa kuitoa kafara Akili na kuamini kufuata kichwa boksi. Otherwise hakukua na Maana ya yeye kukupa Akili. Kama hataki uitumie.

Mungu aliweka roho yake ndani yetu. Akatupa uwezo wa kufanya vitu kama Yeye. Ili ajipatie utukufu kwa viumbe wake.

Ila siwezi kukulaumu sana kwa mtazamo huo, kwasababu Mohamad hakua amesoma. Ila Yesu alikua Msomi.
Kwa hiyo wewe ni nyani?
 
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
(Quran 2:6)
2_34.gif
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri. (Quran 2:34)

Yeye ndiye aliye kuumbeni. Miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye Muumini. Na Mwenyezi Mungu anayaona mnayo yatenda (Quran 64:2)

Kwa hiyo hapo ibilisi ni miongoni mwa kafiri mwenzenu. Alimuingia Yuda kisha akamsaliti Brian Deacon had akavalishwa nepi ili mupate uokovu. Unakuja kubana pua hapa kumkana mtu aliyechangia wewe kafiri upate uokovu.

Hebu msikilize allah kwa kinywa cha baba kassim anavyo wapa muongozo [emoji117]
IMG_20180907_141039_805.jpg
kama umejaa povu allah anakuagiza ukachukue udhu [emoji4] unacho andika una tofauti gani na kafiri [emoji47] nimeamini kafiri hana Mkole kama tuwaonavyo wangese!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom