Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kwann uliishia katika Suuratul Jinni peke yake?!

Na kwann hukutaka kusilimu baada ya kuisoma sura hiyo?!!

naomba majibu yaliyo mazuri na faida

Huenda tukasaidiana na kuwekana sawa ndg yangu
 
Ndg zangu Waislam,mnaochangia katika Jukwaa hili,
naombeni mambo matatu tuyafahamu
1)Tusomeni Dini yetu kwanza,kabla ya kufanya midahalo na hawa ndg zetu walio upande wa kushoto
2)Tuwe na busara na hekima katika kujadiliana nao
3)Tuwe makini sana,katika mada wanazo leta hawa ndg,ni watu wenye kubadilika kila mara na kuleta mada tofauti,ili kutuchanganya na kututoa katika malengo,hususan wakiwa wameelemewa kihoja

Shukran sana
Allah awabaarik saana popote mlipo
 

YESU ALITUMWA KWA WANA WA ISRAELI TU

Yesu hakuwa Mungu wala mwana wa Mungu bali alikuwa Mtume wa Mungu tu.

Yeye hakupewa ujumbe wa utume kwa ajili ya watu wote wa kabila zote. Bali yeye alikuwa Mtume kwa ajili ya wana wa Israeli tu.

Mwenyewe alijua mipaka ya utume wake.

Kwahiyo alisema:

1. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:24).

2. Wakati mwanamke mmoja asiyekuwa mwana wa Israeli alipokuja kwa Yesu Kristo kuomba baraka zake,

Yesu akakataa na zaidi ya kukataa aliwatusi wasiokuwa Waisraeli. “Akasema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia m’mbwa.” (Mathayo 15:26, Marko 7:27).

3. Hao thenashara (kumi na mbili) Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie.

Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 10:5-6).

4. Baadhi ya Wakristo wanadhani kwamba wakati Waisraeli wote wamefikishiwa ujumbe, kisha makabila mengine pia yahubiriwe.

Lakini dhana hii si sahihi bali ni kinyume cha mafundisho ya Bwana Yesu. Yeye amesema kwamba: “Lakini watakapo wafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawambia, hamtaimaliza miji ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu. (Mathayo 10:23).

5. Bwana Petro mwanafunzi wa Yesu Kristo aliwahubiri wasiokuwa Waisraeli. Wanafunzi wengine, baada ya kupata habari hii walimpinga Bwana Petro kwa kosa lake.

Biblia inasema kwamba: “Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao. “ (Matendo 11:1-3).

6. Aya za Biblia zifuatazo zinaeleza kwamba Bwana Yesu alikuwa mfalme na mtawala wa Mayahudi. (Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49.

7. Bwana Paulo ambaye ni mpinzani na mhalifu (anti Christ) wa Bwana Yesu, baada ya kuchukia alianza mahubiri nje ya Wasiraeli. Biblia inasema kwamba:

“Hata Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na lile neno, aliwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo walipopingana naye na kumtukana Mungu, akakung'uta mavazi yake, akawaambia, damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu, mimi ni safi; tangu sasa ninakwenda kwa watu wa mataifa. (Matendo 18:5-6).

Baadhi ya Wakristo wanayo shauku ya kugonganisha aya za Biblia. wanasema kwamba Bwana Yesu aliagiza kwamba “Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi.” (Mathayo 28:19).

1. Najibu kwamba aya hii inapinga maagizo yote ya Bwana Yesu yaliyotajwa juu. Kwahiyo haiwezi kuwa agizo la Yesu wala aya ya Injili.

2. Ya pili aya hii imeandikwa mwishoni mwa Injili ya Mathayo, na nitathibitisha baadaye kidogo kwamba aya za mwanzo na za mwisho za kila kitabu ni za kuongezwa baadaye. Aya zile siyo aya sahihi za Biblia.

3. Ya tatu katika aya 28:19 ya Mathayo neno mataifa limetumika kwa maana ya mataifa ya Israeli. Kama Biblia inavyosema kwamba: “Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu. (Luka 2:1).

Kaisari Augusto alikuwa mtawala wa Roma tu. Hakuwa na mamlaka yoyote nje ya nchi yake juu ya ulimwengu.

Katika aya hii amri iliyotolewa kwa ajili ya ulimwengu na ya nchi ya Roma tu iliyokuwa chini ya utawala wa Kaisari wala siyo ulimwengu wote. Hivyo ndivyo inavyoeleweka kauli ya Bwana Yesu aliposema:

“Enendeni mkawafanye mataifa yote (ya Waisraeli) kuwa wanafunzi. (Mathayo 28:19).
 
LUGHA YA YESU

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo nyendo za aina gani? Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na nyendo yake.

Tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.

Bila ya kupoteza muda wa wasomaji wangu, ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.

1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).

2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).

3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).

4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).

5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).

6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).

7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).

8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).

9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).

10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).

11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).

12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).

13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).

14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).
 
Makabila hayo 12 yalisha disolve Wakati ule wa utawala wa Roman empire. Kukawa na wasamaria walioitwa Mbwa na Wayahudi. Hata dini ya Uyahudi ilitokana na jina la kabila moja la Yuda.

Mark 16:15-16

He said to them, "Go into all the world, and preach the Gospel to the whole creation.

He who believes and is baptized will be saved; but he who disbelieves will be condemned.



This raises two points;



1) There was some Gospel already in existance but from history we know that the present day Gospels were written by men much after the departure of Prophet Jesus (peace be upon him) from earth.



2) There is a contradiction as at other places, he says to go only to Israel. A careful look at this verse reveals that there is no contradiction;



GOD'S WORD® Translation (©1995)
Then Jesus said to them, "So wherever you go in the world, tell everyone the Good News.




Other verses that Christians rely on for their claim;



Matthew 28:18-20 is the most solid proof a christian can present!

"A Canaanite woman from that vicinity came to him, crying out, 'Lord, Son of David, have mercy on me! My daughter is suffering terribly from demon-possession. Jesus did not answer a word. So his disciples came to him and urged him, 'Send her away, for she keeps crying out after us.' He [Jesus] answered, 'I was sent only to the lost sheep of Israel.' The woman came and knelt before him. 'Lord, help me!' she said. He [Jesus] replied 'It is not right to take the children's [Jews] bread [blessings and miracles reserved for them] and toss it to their dogs [the Canaanite, or the Philistines].' 'Yes, Lord' she said, 'but even the dogs eat the crumbs that fall from their masters' table.' Then Jesus answered, 'Woman, you have great faith! Your request is granted.' And her daughter was healed from that very hour.
(From the NIV Bible, Matthew 15:22-28)"

Here Jesus calls all Gentiles as dogs. This is racism!



An interpretation of this verse given by Christians is that that the woman had faith and for that she was saved by Jesus. This is a false interpretation and makes guaranteed salvation in danger for the Christians as strong faith is required.



Furthermore, if my mother sends me to the market to buy a dozen apples and on my way back, a beggar stops me and aks for two apples. I tell him that I have not been sent to give apples to beggars but the beggar starts pleading and crying and due to pity, I give him two apples. This does not change my mission. My mission is still to bring apples for my mother!



Although Jesus (peace be upon him) did help the woman, it was because of his compassion for the woman's plight. But note that it is only this single Gentile who was helped. There is no other Gentile that Jesus (peace be upon him) had preached to. Other related statements can also be found in John 11:52 and John 10:16, Matthew 10:5-6.


"Go not into the way of the Gentiles, and into any city of the Samaritans enter ye not: But go rather to the lost sheep of the house of Israel."



Prophet Jesus (peace be upon him) is referred to as a Prophet of Galilee and not of the whole world by the ordinary folk in Matthew 21:11. It were the hypocrites like Paul who changed his mission to suit their needs.


"And the crowds said, 'This is the prophet Jesus of Nazareth of Galilee.'"





Jesus (peace be upon him) is definitely greater than the disciples and his words are what matter most. If there is a contradiction, the disciples should be rejected on that matter!



"And Jesus said to them, 'A prophet is not without honour, except in his own country, and among his own kin, and in his own house.'" (also in Matthew 13:57, Luke 4:24 and John 4:43).



This is a wonderful prophecy as well. It not only says that he is for Israel alone but also says that others do not respect non fellow race Prophets. This has turned out to be true. We see that the so-called followers of Jesus (peace be upon him) do not respect him and they have done this by associating man-made concepts like Trinity to him.





The disciples were confused



Acts 11:19

"Now they which were scattered abroad upon the persecution that arose about Stephen travelled as far as Phenice, and Cyprus, and Antioch, preaching the word to none but unto the Jews only."



Acts 11:1-3



"And the apostles and brethren that were in Judaea heard that the Gentiles had also received the word of God. And when Peter was come up to Jerusalem, they that were of the circumcision contended with him. Saying, Thou wentest in to men uncircumcised, and didst eat with them ."


Jesus (peace be upon him) was sent for Israel only!
 
Vijiwe ni miratul rasul na waumini wanamgeza [emoji23] [emoji23]



WANAFUNZI WA YESU

Na majina ya hao mitume kumi na wawili ni haya;

Wa kwanza Simon aliyeitwa Petro, na Andrea nduguye; Yakobo wa Zebadayo, na Yohana nduguye; Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo; na Thadayo; Simon Mkananayo, na Yuda Iskariote, naye ndiye mwenye kumsaliti.(Marko 10:2-4).

Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44).

Basi tuone mti uliopandwa na Bwana Yesu Kristo, matunda yake ni ya ladha gani? Madaraja yaliyofundishwa na Bwana Yesu tuone wanafunzi wake walikuwa wa aina gani?

Yesu alipoleta imani, basi tuone kiwango cha imani ya waaminio wake.

Sina kawaida ya kuwafundisha watu kwa maneno yangu bali nawafundisha kulingana na maandiko yao matakatifu.

Sasa tuone hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu.

1. Yesu alisema, hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? (Mathayo15:16).

2. Alimwambia Petro kwamba; “Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? (Mathayo 14:31).

3. Petro alikanusha kuwa mfuasi wa Yesu mara tatu bali alimlaani. (Mathayo 26:69-75).

4. Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu. (Mathayo 26:15).

5. Wakati Yesu alikuwa hatarini, wanafunzi waliendelea kulala). Mathayo 26:40-45; Marko 14:36:041).

6. Yuda alijinyonga. (Mathayo 27:5).

7. Imani ya wanafunzi: “Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu” (Mathayo 17:20).

8. Ndipo wanafunzi wote wakamwacha wakakimbia. (Mathayo 26:50).

9. Wengi wataniambia siku ile; Bwana, Bwana hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri. Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. (Mathayo 7:22-23).


Hapa juu mmesoma hali na imani ya wanafunzi wa Bwana Yesu sawa na Biblia. Lakini sisi Waislamu hatuamini kwamba Nabii yeyote anaweza kushindwa kiasi hiki kwamba asiweze kupata matunda ya juhudi yake na athari nzuri isitokee kwa mahubiri na mafundisho yake.

Hata katika Qur'an Tukufu wanafunzi wa Bwana Yesu wametajwa kuwa mfano mzuri juu ya ulimi wa Bwana Yesu mwenyewe. Qur'an:

“Enyi mlioamini! Muwe wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Isa bin Mariam kuwaambia wanafunzi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu.” (Qur'an 61:15).
 
....huyu kiumbe kuffar mgen bado yupo !?

Mimi kwa muhammad nakubali ni kafir kweli kweli na wewe ukijua ima hujui ni kafir innsui kwa kumuacha Muumba wako na KUMUABUDU allah...baba kassim kalogwa [emoji117] mwaka Mzima anaweweseka kichapo cha kulogwa [emoji15] akiweweseka na kubwabwaja mashabiki wake wanaona ni wahyi wanapiga takbir badala ya Kumpa Tiba [emoji15] [emoji12] [emoji38] halafu wewe kwa mahaba tu unaitakidi ni mtume Wa Mungu [emoji15] [emoji12] kweli akili yako ina akili...[emoji53] mtu aliye kaingilia katoto aisha [emoji117] aliye mpora mwanae zaid mke, [emoji117] aliye iingilia maiti [emoji117] allah amewaagiza mumgeze ili mfuzu mbona hatuoni mnamgeza? Mnaogopa nini kuongeza lagad kana rasul?
 
Kwahiyo mkuu isingekuwa suraat Jinn pengine ungekuwa muislamu sasa?
 
Unaweza kuwa na akili sana, lakini ni kosa kubwa kuichukulia Quran Tukufu, au Biblia Literally...
It doesn't work that way.

Ni kama biblia ilivyoandika Bartholomayo alipoponywa upofu akaulizwa unaona nini?
Akasema "naona watu kama miti inakwenda"

Seriously? You'll take that literally? Kwamba mtu anafananisha mtu na miti nawe unaanza kuijudge bible imedanganya?
 


UNAENDELEA NA TABIA YENU YA KUDANGANYA NA FIGISU FIGISU YA KUBADILISHA QURAN NA HADITH

Tafsiri sahihi ya Quran10:47 ni

"To every people (was sent) an apostle: when their apostle comes (before them), the matter will be judged between them with justice, and they will not be wronged. (The Noble Quran, 10:47)"

WEWE UMEDANGANYA KWEUPE MCHANA KWA KUANDIKA MANENO HAYA nakuwekea kwa wino mwekundu

Yaani past tense umeweka present tense

Let Suppose Roho wa kweli ni Mohammad.
Angalia alichokisema hapa uone jinsi Roho Mohammad alivyoeleza.


The Quran 10:47 says,
And for every people there is a Messenger.

[emoji115] [emoji115] Hizo ayah hapo juu alizoshushiwa Roho Muhammad, anasema wazi kua Kila Taifa wanaye Mesenja wake. Ikiwa na maana mayahudi wana Wa kwao. Waarabu wana Mohammad, wachina wana Budha wao, wahindi wana Gurus nk. Wakristo wanaye Yesu wao. Waafrika sisi ni Watumwa(Property) wa Waarabu.
 


Ni kweli si mkamilifu kwani ndio wale ambao kumbe ili atoe neno la mungu hupata shoti moja kwanza

 


Hoja zimekushinda unarudia mapicha na maslogan yako , pata zawadi hii


Kwa miaka hamsini ya mwanzo ya kile tunachokiita hivi sasa zama za Ukristo, hakuna hata neno moja lililosalimika katika nyaraka yoyote ile juu ya Kristo na wafuasi wake.

Katika kipindi cha miaka hamsini iliyofuatia, Wakristo wenyewe waliandika vitabu vingi ambavyo kwa sasa vinaunda Agano Jipya.

Lakini bado hakuna neno hata moja, pamoja na kuyatoa kidogo, lililotoka nje ya mwandishi. Na baadaye, katika karne ya pili, mamlaka ya Roma ilianza kueleza:[1]


“Kuna kundi, lililochukiwa, kwa sababu ya chuki zao, lililoitwa Wakristo na watu wengine. Christus, amboa kutokana na wao ndio limepatikana jina Ukristo, waliteseka kwa adhabu kali mno katika kipindi cha utawala wa Tiberius mikononi mwa mmoja wa maofisa wetu, Pontius Pilate.” (Tacitus).
“Wakristo ni kundi la watu walioleta ushirikina na uovu mpya.” (Seutonius).
“Maskini, mafukara waliojikinaisha kuwa hawafi na wataishi milele, kwa kuabudu ghiliba aliyesulubiwa na kwa kuishi chini ya sheria zake. Kwa hiyo, wao wanadharau vitu vya dunia hii, na kuvichukulia kuwa ni mali ya uma. Wao wamepokea imani hii toka katika tamaduni bila kuwa na ushahidi unaotambulika. Kwa hiyo, kama tapeli au laghai yoyote atatokea miongoni mwao, basi kwa haraka haraka atapata utajiri kwa kuwaamuru watu hawa duni.” (Lucian)
Bila kujali, Ukristo umeshastawi na kuwa moja ya dini kuu, lakini mafundisho ya Ukristo wa kisasa kama tunavyoujua leo hii, yapo tofauti na kile kilichofundishwa na Yesu (AS) kwa wanafunzi wake.


Imani tofauti za Ukristo kama vile Utatu iliendelezwa baadae. Motisha wake ulianza katika kipindi cha utawala wa Mfalme Mkuu Constantine huko (Nicasea) na baadaye uliendelezwa katika imani kamili ya kuamini bila kuhoji (dogma) wakati wa utawala wa Mfalme Theodosius mwaka 381 C.E.

Ajabu ilioje! Kuanzia hapo, Ukristo una madhehebu mengi tofauti tofauti na ni vigumu kwa sasa kutambua imani sahihi ya Kikristo. Vyovyote ulivyo, katika muktadha wa sasa, hakuna aliye karibu zaidi na mafundisho asilia ya mitume. Wao wanaegemeza mafundisho yao juu ya Biblia ambayo yenyewe ni mada inayoendelea kurekebishwa.
Mungu pekee ndiye ajuaye ni lini Wakristo wataweza kutoa nakala sahihi (asilia) ya kitabu chao (Biblia).
Mtu atashangaa, juu ya idadi ya matoleo ya Biblia yaliyopo leo hii. Kila moja linatofautiana na jingine, ndio, kila moja linadai kuwa yeye ndio toleo asilia.


Matoleo yote hayo yameshawahi kutangaza duniani kuwa, yenyewe ni ufunuo mtakatifu.

Rejeo lao lililo tayari lipo katika (2 Timotheo 3:16), isemayo “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho...”

Lakini kile wasichokifahamu Wakristo ni kuwa, “Kwa hakika, yaliyomo katika Biblia zao si Maandiko matakatifu ispokuwa ni hekaya, fikra, matukio na tamaduni tu.”

Tatizo hilo linachanganya zaidi pale tunapojua kuwa baadhi ya matoleo ya Biblia yana vitabu vingi zaidi kuliko mengine.

Toleo la Orthodox (OVC), lina vitabu 86; Toleo la Charismatic (CV), lina vitabu 76; Toleo la Roman Catholic (RCV), lina vitabu 73; na matoleo yote ya Kiprotestanti yana vitabu 66 likiwemo The New World Translation of the Holy Scripture [1984] (NW), linalotumiwa na Mashahidi wa Yehova na matoleo mengine kama vile the King James [1611-1942] (KJ), American Standard [1901-1944] (AS), Rivised Standard [1971] Second Edition (RS) Jerusalem Bible [1966] (JB), Good News Bible (1954: iliyochapwa 1956), Ronald A, Knox (Kx), New International Version (NIV), na motoleo mengine yasiyo na idadi.
Zaidi ya hayo, vipi kuhusu hoja ya Warejeaji wanosifika wa Biblia ya the Rivised Standard Version (RS), Rivised Edition ya 1952, na kwa Agano Jipya, Second Edition ya 1971, by Wm. Collins Sons & Co. Ltd. Iliyochapwa na Canadian Bible Society, isemayo katika Utangulizi wake:


(1) “Naam, Toleo la King James lina dosari kubwa mno.... dosari hizo ni nyingi sana na hatari sana kiasi cha kupelekea kuitishwa wito wa kurekebishwa kwa tafsiri yake ya Kingereza.”

(2) “Toleo la King James la Agano Jipya liliegemea katika mandiko ya Kigiriki yaliyoharibiwa kimakosa” Vipi kuhusu hoja ya Mashahidi wa Yehova katika chapa ya Mwamko ya Septemba 1951 inayoeleza; “Biblia ina makosa 50,000!”
Na vipi kama nikisema, kinyume na imani yetu, kuwa “Katika Waandishi wanne wa Injili Hakuna hata mmoja aliyekuwa Mwanafunzi wa Yesu (AS).”


Katika (Luka 6:14-16 na Marko 3:17) tunaona yametajwa majina ya wanafunzi kumi na wawili na Yesu (AS). Huku majina Mathayo na Yohana yamo, na majina Marko, Luka na Paulo hayajatwaja.
Hata hivyo, kutokana na nukuu zifuatazo, utagundua kuwa hizo Injili mbili zinatajwa kuwa ni za Mathayo na Yohana kwa kuwaheshimu tu, kwani ziliandikwa na mtu wa tatu. Soma nakala halisi ya mstari wa (Mathayo 9:9):
"Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani aitwaye Mathayo, akamwambia nifuate. Akaondoka akamfuata."
Na katika (Yohana 21:24):
"Huyu ndiye yule mwanafunzi ayashuhudiaye haya, na aliyeyaandika haya; nasi twajua ya kuwa ushuhuda wake ni kweli?"
Katika aya ya kwanza, mwandishi anasimulia tu kile kilichotokea kati ya Yesu (AS) na Mathayo, huku katika aya ya pili, ni wazi kuwa kiwakilishi “nasi” kinawakilisha mwandishi.
Hebu kwa sasa tutafakari juu ya kile kilichosemwa na waandishi wawili wa Kikristo kuhusu kuundwa kwa Biblia:


“Wakati mwingine, Wanukuzi wanatia kile kisichokuwemo katika maandishi, pia kile wanachokifikiria kitakuwemo. Mnukuzi anaweza kuamini kumbukumbu zinazobadilika, au anaweza kuunda maandiko kwa mujibu wa mtazamo wa madhehebu anayoyafuata. Kwa kuongezea katika matoleo na manukuzi ya Mapadri wa Kikristo, takriban (Miswada) ya Mandiko Matakatifu elfu nne ya Wagiriki [MSS], ilijulikana kuwa ipo. Kwa hiyo, tofauti za usomaji ni jambo la kuzingatiwa.”[2]


Kwa hiyo Injili ziliundwa, na ambazo kiwaziwazi, ziliakisi mitazamo ya ufahamu wa mahitajio na matumizi ya jamii za waandishi. Kwao wao, vitu vya kimila vilitumika, lakini kulikuwa hakuna kusita katika kukibadilisha kile kisichoendana na lengo la mwandishi.”[3]


[1] Bamber Gascoigne: “The Christians”, Granada Publishing Limited, 1976, Frogmore, St Albans, Herts A12 2NF and 3 Upper James Street, London Wir 4BP, p.9.
[2] J.R., dummelow: Commentary on the Holy Bible, p. 16. – (see – Mrs. Ulfat Aziz-Us-Samad: “Islam and Christianity”, 1984, Presidency of Islamic Research IFTA and Propagation, Riyadh, Kingdom of Saud Arabia p.7).

[3] T.G. Tucker: The History of The Christian in the Light of Modern Knowledge, p. 320. (Ibid, p. 6).
 
Ni kweli si mkamilifu kwani ndio wale ambao kumbe ili atoe neno la mungu hupata shoti moja kwanza

Kama unaamini kila kitu cha kwenye mtandao ni cha kweli basi.
Utapata Taabu Sana.

Au unataka tumwanini na Salman Rushdie ambaye ana Clips kibao mtandaoni kuwa
Kitabu cha Qurani Tukufu ni
Aya za Shetani ?
Huyo dada ametumika tu kumchafua TB Joshua, kama alivyotumika Rushie kuuchafua Uislamu.
 


MBONA ZILIPENDWA KILA SIKU ????


UKOO WA YESU


Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

Karibuni, katika UISLAMU tunawakaribisheni kwa mikono miwili.

Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu. Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni. Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam. Kwa hiyo karibuni sana.
 


Lete ushahidi kuwa huyo dada ametumika , mambo ya Salman Rushdie ushahidi upo wa kitabu chake ukitaka nikuwekee uchafu alioufanya nitakuwekea ushahidi
 
Inawezekana ingekuwa hivyo, maana tayari mmoja wa kaka zangu na baadhi ya watoto wake ni Waislamu hadi hii leo.
Kwahiyo hilo tukio wewe huwa unalitafsiri vp? Kwa maana ulipohubiriwa na kuanza kusoma vitabu vya kiislamu ukajikuta unaelekea kuicha imani yako ila mtazamo wako juu ya majini ndio iliyokwamisha na kukufanya uache kuendelea kuelewa zaidi na kuamua kubaki na imani yako?

Kwa sababu kama ulivyosema kuwa surat jinn ndio ikawa kikwazo hivyo huko mwanzo ulipoanza kusoma Qur'an ulishawishika kabisa.
 

Kumbe umewagundua michezo yao. Kuna baadhi ya aya sasa hivi wameanza kuzifuta. Wanaona ni kikwazo kwao. Kuna mobile Apps kadhaa za Kuran nimekuta aya kadhaa hazionekani kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…