Ndio nikakupa ushauri nenda rozana au jolly club utapata Pepo hata kuliko hiyo fake ys allah unayo subiri kupigwa kono kata.3 mvutuni ili ufuzu[emoji4]Inasinyaa ile iweje wakati ni utamu mtupu , ahahahahahaha wewe endelea kukausha makoo na nyimbo huko mbinguni , unajitesa kumbe mwisho wa siku ni minyimbo ndio zawadi yenu pole sana
Sisi Tunafuata Maandiko [emoji4] Yale Ambayo Mwenyezi AMETUFUNULIA TUTAWSFUNDISHA WANETU NA KUYAHUBIRI KWA NGUVU BILA KUJALI KIANGAZI IMA SUNAMI [emoji123] [emoji123] [emoji115]Ndio wala hakuna shaka ila muache kumtangazia yesu uzushi ambao katu ajawahi kuifundisha maisha yake yote ,eti Yesu ni Mungu huo ni umbeya na uzushi mnaompakazia yesu ww na genge lako
Umesha vaa [emoji47] [emoji39]Unaandika kama unafukuzwa na simba ahahahahhaahahahah
Hizi tunaita changamsha genge baada ya mtu kushikwa pabaya anatapatapa
Hoja yako iko wapi Mungu wako mwenyewe halishauriana na shetani na hakaruhusu kumtoa majipu Ayubu na kumfanya hatakalo ila roho tu asiiguse , ahahahahahaha Mungu wako anajua roho ndio muhimu tu vingine vyote kamwachia ibilisi
Ndio sababu ya Ujio wa Mungu kujidhihirisha ktk Umbile Bora la KIBINADAMU ILI KUTUNUSURU [emoji106] Sema AMEN mushahara [emoji38] ado ado utaelewa hau [emoji4]Ezekiel 18:20(Mwana hatauchukua uovu wa baba yake,wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, Haki yaki mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake) hilo andiko liko vizuri kabisa mwenye macho na aone endeleeni kuaminishana ujinga kuwa Yesu kafa kwa ajili ya dhambi zenu ahahahahahaahaha
Mpe [emoji736]Povu la manjano hili ahahahahhaha
Mimi siwezi kutolea ushahidi vitu vya kizushi vya mtandaoni
Kama wewe unamwamini huyo msichana wa kwenye Clip ya video basi endelea kumwamini.
Ndio sababu ya Ujio wa Mungu kujidhihirisha ktk Umbile Bora la KIBINADAMU ILI KUTUNUSURU [emoji106] Sema AMEN mushahara [emoji38] ado ado utaelewa hau [emoji4]
Mpe [emoji736]
Kubali kwanza Yesu Ana Baba [emoji15] Mtoto Wa kiume UNAKUWA mnafiki mnafiki [emoji15] [emoji12] [emoji12]
Yesu alitangaza anaye nishuhudia nina dhambi anyooshe kidole [emoji117]View attachment 860537 nyoosha dole la kati gavana [emoji53] [emoji12] sasa Mwizi, muongo, au angalia hii personal profile [emoji117] View attachment 860533 unataka tumuiteje [emoji47] mtakatifu baba fatuma [emoji47] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ahahahhaahahahahaahhah zawadi malidhawa ndio maana selemani alianza mapema wanawake 700, kazi kwako Ahahahaha jitese huko mbinguni uende ukaimbe mpaka koo likukauke mjitesa ujinga kabisaa yaani malipo kuimba kweli!!
Sisi Tunafuata Maandiko [emoji4] Yale Ambayo Mwenyezi AMETUFUNULIA TUTAWSFUNDISHA WANETU NA KUYAHUBIRI KWA NGUVU BILA KUJALI KIANGAZI IMA SUNAMI [emoji123] [emoji123] [emoji115]
Nilitegemea jibu hilo toka Teja la ngonoka kama alivyo na kassim [emoji117] View attachment 860898View attachment 860899 mgezeni hata wakati Wa kukamuana ngama...nilikuuliza huyu [emoji117] View attachment 860900 kakosa nafasi ya KUGONGA Ardhi [emoji47] [emoji15] [emoji4]
Shetani amepewa mamlaka na Mungu wako kumfanya Ayubu chochote ila roho tu ndio aiache ahahahaahaahahha
HUNA UHARO MPYA ??? HAYO KWA HAYO , AU UNAPUNGUZA MAVI KWENYE SERVER ???
Uhusiano kati ya Ukristo na upagani
Katika kuhalalisha dini yake hiyo ya Ukristo, Bwana Paulo aliibua madai mazito kuwa ametokewa na Bwana Yesu na kumtuma aende kwa watu wa mataifa (wapagani) kuwapelekea dini (neno la Mungu)!
Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maelezo yake (Paulo) yafuatayo kama alivyokaririwa na Biblia tukufu:
"Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofutana nami pande zote. Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kumpiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe U nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikiuokoa na watu wako, na watu wa mataifa ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuelekea nuru, kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi". (Matendo ya Mitume 26:12-18).
Madai hayo ya Bwana Paulo ya kwamba katumwa na Bwana Yesu (a.s.) aende kwa watu wa mataifa kuwapelekea neno la Mungu, kimsingi hayakubaliki. Kwa sababu Bwana Yesu (a.s.) hana sifa ya kukiuka kauli zake mwenyewe zifuatazo:
"Hao thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo mwana wa Adamu". (Mathayo 10:5-6,23)
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". (Mathayo 15:24)
Aidha, maadai hayo ya Bwana Paulo, pia hayakubaliki kwa sababu kumwepusha mbali Bwana Yesu (a.s.) na sifa hatari ya kukiuka mipaka ya kazi yake aliyowekewa na Mungu kabla hata mwenyewe (Yesu a.s.) hajazaliwa, kama maandiko yafuatayo yanavyothibitisha ukweli huu:
"Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale tangu milele". (Mika 5:2)
"Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumba ya Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli". (Mathayo 2:6)
Kinyume na dai lake hilo, ukweli wa mambo unaonyesha kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao, kama yeye mwenyewe asemavyo hapa chini:
"Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Kwa maana kabla hawajaja watu kadhaa wa kadhaa waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa. Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao. Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawa sawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za mataifa, wala si za Wayahudi, kwanini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za Wayahudi? Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; Sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki. Lakini ikiwa sisi wenyewe, kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, tulionekana kuwa wenye dhambi, Je! Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha! Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji. Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu". (Wagalatia 2:11-19)
Maelezo yake hayo juu, yanaonyesha jinsi Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Kefa (Petro), Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokio (kwa watu wa mataifa) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi za watu wa mataifa (wapagani) kama walivyokuwa wakifanya hivyo hapo awali, kabla Wayahudi waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) hawajaja.
Aidha, Bwana Paulo anaonekana pia hapo akimlaumu Kefa (Petro) kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria; lakini kwa imani ya Kristo Yesu! Kwa maelezo yake hayo, ni wazi kuwa Bwana Paulo, Petro na wenzio wao wote yaonyesha dhahiri kuwa hawakwenda kwa watu wa mataifa huko Antiokia kwa jambo lingine lolote ila kufuata desturi za dini yao. Na kama tulivyoona hapo awali, dini yao hii watu hao wa mataifa (wapagani) ilikuwa ina miungu yao (Zeu na Herme) yenye desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Pia ilikuwa na ibada zake wanazoifanyia miungu yao hiyo.
Kwa hali hiyo basi, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, hapana shaka ni lazima pia huo ndio utakaokuwa msimamo wa dini yake ya Kikristo, kama tutakavyokuja kuona kwa urefu zaidi
Wewe hujui kusoma na wa kukusomea kafa umebakia kupiga lamli [emoji15] [emoji4] ukiambiwa utahiriwe unafanya shingo ngumu nuna Ukiwa kafir [emoji33]Sifa kuu za miungu-watu wa wapagani
Kwa mujibu wa Bwana Paulo (kama tutakavyokuja kuona hapo baadae) miungu-watu hii (kama hiyo ya akina Zeu na Herme) ilikuwa na sifa kuu zifuatazo:
Kuzaliwa na mwanamke
Kuwa na sifa zote za mwanadamu (kama vile kula, kunywa, kulala, kwenda choo, kuchoka na kadhalika).
Kujibadilisha-badilisha (wakati fulani inakuwa miungu na wakati mwingine inakuwa wanadamu).
Kufa.
Kufufuka.
Kwa wanaotaka kupata taarifa zaidi kuhusu sifa hizi za miungu-watu kama zilivyoelezwa na Bwana Paulo, wasome taarifa zaidi kutoka "Encyclopaedia Brittanica" chini ya maneno Zeus na Hermes (Jupiter na Mercury).
Ibada za wapagani walizokuwa wakiifanyia miungu yao
Kwa mujibu wa mafundisho ya Biblia tukufu, Mungu-Yehova aliwatahadharisha mapema wanadamu wajiepushe kabisa na ibada potofu za watu wa mataifa, yaani wapagani kwa kuzitaja ibada hizo kama alivyokaririwa na maandiko yafuatayo:
"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, usijifunze kutenda mfano wa machukizo ya mataifa yale. Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA, kisha ni kwa sababu ya hayo Bwana, Mungu wako, anawafukuza mbele yako". (Kumbukumbu la Torati 18:9-12)
"Lakini aliiendea njia ya wafalme wa Israeli, hata akampitisha mwanawe motoni, sawa sawa na machukizo ya mataifa BWANA aliowafukuza mbele ya wana wa Israeli". (2 Wafalme 16:3)
"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao. Naam, walitoa wana wao na binti zao kuwa dhabihu kwa shetani. Wakamwaga damu isiyo na hatia, Damu ya wana wao na binti zao; Waliowatoa dhabihu kwa sanamu za Kanaani; Nchi ikatiwa unajisi kwa damu". (Zaburi 106:35-38)
Kwa uchache, hizi ndizo baadhi ya ibada potofu za watu wa mataifa yaani wapagani ambazo Mungu-Yehova tunaona hapo juu akiwakemea vikali watumishi wake na watu wengine kwa ujumla wajiepushe nazo mbali kabisa ili waweze kupata radhi yake hapa duniani na kesho huko akhera.
Kwenye makemeo hayo ya Mungu-Yehova dhidi ya wanadamu kushiriki kwa namna yoyote katika ibada hizo potofu za wapagani, nimekuwekea alama ya maandishi meusi sana (bold) kwenye baadhi ya ibada za watu hao (wapagani) ili wapate kuzingatia vizuri uchambuzi wangu ujao juu ya uhusiano kati ya mungu wa Wakristo (asili yake, desturi zake na ibada anazofanyiwa mpaka dakika ya leo) na miungu hiyo ya wapagani. InshaAllah.
MBONA THE SAME SHIT KILA SIKU ; HUNA UHARO MPYA ???
LUGHA YA YESU
Kila mti hutambulika kwa matunda yake (Luka 6:44) na vile vile mtu anatambulika kwa ulimi na lugha yake kwamba anazo nyendo za aina gani? Maana lugha ya mtu inaonesha masomo yake, tabia na nyendo yake.
Tunampima Bwana Yesu Kristo sawa na maandiko ya Biblia.
Bila ya kupoteza muda wa wasomaji wangu, ningependa kuwaletea baadhi ya maneno na lugha ya Bwana Yesu aliyotumia katika uhai wake.
1. Wasioamini (wasio Waisraeli) wameitwa mbwa na nguruwe. (Mathayo 7:6).
2. Aliwaita watu wabaya: ”Enyi wazao wa nyoka” (Mathayo 12:34).
3. Mayahudi waliitwa: “Kizazi cha zinaa.” (Mathayo 12:40,, 16:4).
4. Mayahudi waliitwa “Wazinifu na wakosefu.” (Marko 8:38).
5. “Ole wenu waandishi na wafarisayo, wanafiki,” (Mathayo 23:16).
6. “Ole wenu viongozi vipofu.” (Mathayo 23:16).
7. “Enyi nyoka, wana wa majoka” (Mathayo 23:33).
8. “Watu wengine waliitwa mbwa.” (Mathayo 15:27).
9. Aliwaita manabii wenzake: “wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi.” (Yohana 10:8).
10. Aliwaita wanafunzi wake: ”Enyi kizazi kisicho amini, kilichopotoka.” (Mathayo 17:17).
11. Akamwambia Petro “Nenda nyuma yangu Shetani.” (Mathayo 16:23).
12. Akamwambia mama yake: “Ewe mwanamke nina nini nawe? (Yohana 2:4).
13. Akasema mama yangu ni nani na ndugu zangu ni akina nani? (Mathayo 12:48).
14. Siku ya Kiyama atawaita wahubiri Wakristo: “Nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi mtendao maovu.” (Mathayo 7:23).