mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Kumbe mungu wako alikufunulia , Heee! Hatari
Tatizo hujenda TOHARA [emoji117]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mungu wako alikufunulia , Heee! Hatari
HUNA UHARO MPYA ??? HAYO KWA HAYO , AU UNAPUNGUZA MAVI KWENYE SERVER ???
Uhusiano kati ya Ukristo na upagani
Katika kuhalalisha dini yake hiyo ya Ukristo, Bwana Paulo aliibua madai mazito kuwa ametokewa na Bwana Yesu na kumtuma aende kwa watu wa mataifa (wapagani) kuwapelekea dini (neno la Mungu)!
Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maelezo yake (Paulo) yafuatayo kama alivyokaririwa na Biblia tukufu:
"Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofutana nami pande zote. Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kumpiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe U nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikiuokoa na watu wako, na watu wa mataifa ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuelekea nuru, kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi". (Matendo ya Mitume 26:12-18).
Madai hayo ya Bwana Paulo ya kwamba katumwa na Bwana Yesu (a.s.) aende kwa watu wa mataifa kuwapelekea neno la Mungu, kimsingi hayakubaliki. Kwa sababu Bwana Yesu (a.s.) hana sifa ya kukiuka kauli zake mwenyewe zifuatazo:
"Hao thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo mwana wa Adamu". (Mathayo 10:5-6,23)
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". (Mathayo 15:24)
Aidha, maadai hayo ya Bwana Paulo, pia hayakubaliki kwa sababu kumwepusha mbali Bwana Yesu (a.s.) na sifa hatari ya kukiuka mipaka ya kazi yake aliyowekewa na Mungu kabla hata mwenyewe (Yesu a.s.) hajazaliwa, kama maandiko yafuatayo yanavyothibitisha ukweli huu:
"Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale tangu milele". (Mika 5:2)
"Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumba ya Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli". (Mathayo 2:6)
Kinyume na dai lake hilo, ukweli wa mambo unaonyesha kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao, kama yeye mwenyewe asemavyo hapa chini:
"Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Kwa maana kabla hawajaja watu kadhaa wa kadhaa waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa. Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao. Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawa sawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za mataifa, wala si za Wayahudi, kwanini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za Wayahudi? Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; Sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki. Lakini ikiwa sisi wenyewe, kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, tulionekana kuwa wenye dhambi, Je! Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha! Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji. Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu". (Wagalatia 2:11-19)
Maelezo yake hayo juu, yanaonyesha jinsi Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Kefa (Petro), Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokio (kwa watu wa mataifa) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi za watu wa mataifa (wapagani) kama walivyokuwa wakifanya hivyo hapo awali, kabla Wayahudi waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) hawajaja.
Aidha, Bwana Paulo anaonekana pia hapo akimlaumu Kefa (Petro) kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria; lakini kwa imani ya Kristo Yesu! Kwa maelezo yake hayo, ni wazi kuwa Bwana Paulo, Petro na wenzio wao wote yaonyesha dhahiri kuwa hawakwenda kwa watu wa mataifa huko Antiokia kwa jambo lingine lolote ila kufuata desturi za dini yao. Na kama tulivyoona hapo awali, dini yao hii watu hao wa mataifa (wapagani) ilikuwa ina miungu yao (Zeu na Herme) yenye desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Pia ilikuwa na ibada zake wanazoifanyia miungu yao hiyo.
Kwa hali hiyo basi, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, hapana shaka ni lazima pia huo ndio utakaokuwa msimamo wa dini yake ya Kikristo, kama tutakavyokuja kuona kwa urefu zaidi
Hivi kwamfano me nikasoma yakwenye biblia af nikasema yakwenye sayansi na ya quran yote ni uongo, wewe utaamini?Soma wote na kisha urejee kwenye mjadala mkuu! Tunataka kuelewa nani hasa Muongo kati ya Mungu na wanasayansi?
Huyu kijana bado anasafari ndefu nimekujibu mara nyingi lakini kumbukumbu yako ni ndogo , sisi waislamu tunaamini vitabu vyote walivyopewa manabii na wala hatubezi amri yeyote , na tena Quran inatuambia wazi mitume wote walikuwa waislamu sasa wewe sijui unatafuta utetezi gani hapo Unachekesha kwelikweliHwishi kumdharau mtume wako [emoji47] Yaani ulicho copy na kututupia kama hujui KINAMNYIMA KWA ASILIMIA 100% SIFA YA KUWA MTUME, NABII, NA KIONGOZI...HERI YA WEWE KULIKO BABA KASSIM [emoji12] Hadi ANAAMINI [emoji117] View attachment 860701View attachment 860702 na Amewahakikishia vipo safi na hana ubaguzi [emoji4] Leo hii gavana ameona hivyo vitabu haviaminiki [emoji15] na anabagua [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimesha kukuchonga kwa allah [emoji4]
Only if it is that simple.Hata kama wamegundua kwamba Mungu hakuwahi kusema hivyo kwamba Jua linachwea katika matope meusi,ni suala la kukiri tu hadharani na kufuta hiyo aya na kisha maisha yanaendelea.Kwani kuna shida gani kufuta hiyo aya katika Kurani na kubakisha yale yaliyo ya kweli?
Upumbavu wa Mungu"; bila shaka Paulo amemtwanga mpumbavu Rejea wakorintho wa kwanza 1:25Unajisikiaje Raha bila kutahiriwa [emoji47] kweli [emoji117] View attachment 860944 [emoji33] [emoji33]
Una hasara kubwa sana ya muda mjomba. Kubwa sana.na kule Roma ilikuwa unafungiwa sakramenti au kufukuzwa kabisa kuwa muumini kama ungetamka kuwa "dunia inalizunguka jua" pia wanasayansi wa kanisa waliamini dunia ni kama meza hivi ambapo unaweza kutembea hadi mwisho ambapo kuna "korongo" kubwaa!
Sasa hivi kanisa linapambana na utafiti na majaribio ya stem cell, maana siku akitengezwa binadamu kwenye maabara ndio utakuwa mwisho wa mafundisho ya "dhambi ya asili"
Sijawahi kuiamini hii misahafu na waandishi wake! Japo mimi ni mkatoliki kanisani huwa naenda kama " social activity" na sio kuitafuta mbingu.
Ahahahahhahaha suala hapa ni kuchezewa na shetani vile shetani atakavyo kumchezea ayubu ndio maana alimtia UKURUTU anajikuna mwanzo mwisho Ahhahahhah , utatuma sana mapicha ni mwendo wa nondo za moto , shetani yupo popote kijana kupiga jiwe shetani ni kuadhimisha tukio la Ibrahim alipompiga mawe shetani haya mambo uwezi kuyajua yamekuzidi umri , endelea kubeba kisanamu cha mcheza movie mwenyewe unaita yesu ahahahahaahaajjaajaAyubu alimshinda shetani licha ya changamoto zoote [emoji123] [emoji106] hawa vipi [emoji117] View attachment 860901 Hivi mbagala shetani hayupo mbagala hadi mnaenda maka kununua jiwe la kumpinga shetani mkiwa NUSU uchu bila chupi [emoji47]
Hakika shingo Ngumu ni kumfanya binadamu mwenzako anae enda haja kubwa na ndogo kama wewe eti kuwa ni Mungu , huo ni utovu wa nidhamu kwa Muumba wa mbingu na nchi , mwenye macho na aoneTatizo hujenda TOHARA [emoji117] View attachment 860936 [emoji4]
Ahahahahahhaha changamsha genge picha hazijawahi kuwa ushahidi uislamu misingi yake ni Quran na suna , hizo blah blah unajitekenya na kucheka mwenyeweOna matunda ya mti baba fatuma [emoji117] View attachment 860921View attachment 860922View attachment 860924View attachment 860925View attachment 860926View attachment 860927 nikuongeze [emoji15] [emoji4]
A ha hahahahaahahaha hoja yako hii umeshajibiwa , Unachofanya ni uchura kurukaruka,umebaki wa kukusomea kafa Ahahahahahhaha umeshaambiwa halisoma na akakamilisha dunia , umebaki lawamaWewe hujui kusoma na wa kukusomea kafa umebakia kupiga lamli [emoji15] [emoji4] ukiambiwa utahiriwe unafanya shingo ngumu nuna Ukiwa kafir [emoji33]
Nilijua tu huku ndo tunakoelekea na hatujafika badoWewe unasema mimi napotosha.Sawa unaweza kuniambia Muhammad alimaanisha nini kusema kwamba Mungu alimuambia kuwa maziwa ya Ng'ombe hutokea katikati ya Mavi na damu yake?
Ahahahahaahaha huo ni uzao wa ismail unauliza tohara?Huwezi kuelewa LAZIMA kwanza UTAHIRIWE [emoji117] View attachment 860913 huna tohara LAZIMA utakufa kafir na zunga lako [emoji4]
porojo mingi hii weka jalalaniWengine wanahakiki kauli ya allah kwa kutumia &%$* [emoji12]
Hiyo Hadithi inafahamika na hizo tafsiri zako za Vatican pia tunazifahamu, tumekufundisha sana kuwa hayo maneno yako unayoingiza katikati ya Hadithi ni takataka ahahahahahahahaha, Wewe badala ya kuleta hadithi ,unaleta tafsiri ya Hadithi kama mlivyodanganyana vatican , endeleeni kubeba visanamu vya yesu wa kichinaNilitegemea jibu hilo toka Teja la ngonoka kama alivyo na kassim [emoji117] View attachment 860898View attachment 860899 mgezeni hata wakati Wa kukamuana ngama...nilikuuliza huyu [emoji117] View attachment 860900 kakosa nafasi ya KUGONGA Ardhi [emoji47] [emoji15] [emoji4]
Ezekiel 18:20Ndio sababu ya Ujio wa Mungu kujidhihirisha ktk Umbile Bora la KIBINADAMU ILI KUTUNUSURU [emoji106] Sema AMEN mushahara [emoji38] ado ado utaelewa hau [emoji4]
Ahahahahahhahahahha kila siku unaleta huo ufafanuzi ndio kupagawa, na sio hapo kwa ayubu Mungu wako alipoingia makubaliano na shetani zipo nyingi Mungu wako na shetani ni maswahiba ww huoni wanayajenga pamojaUsigusie mambo ya Roho Ilimu hiyo ila Ilimu hii [emoji117] View attachment 860786 hapo sikubishii umefuzu [emoji4]
Upofu ni kumfanya mtu kuwa Mungu, ni utahira wa level ya uprofesawee mahaba yamekufanya uwe pofu [emoji12] [emoji4] mtu unamuona Kabisa ni pofu wee umekomaa huyu sio pofu ni makengeza [emoji12] [emoji4]
Ahahahahahaha kama yesu mwenyewe mnamsemea asiyoyafundisha(kama kumsemea yesu Mungu), Mungu hawezi angaika na wehu ahaahhaaahaaha, ndio maana YOHANA aliamua kuacha maandiko mengi maana alijua akili zenu amuwezi kubeba mzigo mkubwa kama kukuSisi Tunafuata Maandiko [emoji4] Yale Ambayo Mwenyezi AMETUFUNULIA TUTAWSFUNDISHA WANETU NA KUYAHUBIRI KWA NGUVU BILA KUJALI KIANGAZI IMA SUNAMI [emoji123] [emoji123] [emoji115]
Imooooooo hiyoMpe [emoji736]