Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Nimekwambia sitaki habari za kuamini. Tuongee ujuzi.

Unaniambia sijiamini.

Unaelewa ninachoandika?

Kwanza umeelewa sababu kwa nini Mungu hayupo?

Unajua kwamba mtu anaweza kujua jibu fulani ni la uongo, bila kujua jibu la kweli ni lipi?
Nimeziona sababu japo kwangu Mimi naziona hazina mashiko.

Upendo majanga na makorokoro yote hayoo yana mwisho wakeeee. Na ndy maaana kuna siku ya mwisho ambayo we we huiamini ilaa Mimi na iamini.

Kwa sentensi yako ya mwisho uliyomalizia inaonekana hufaham majib ya swali nililokuuliza.

Hivyo ushauri wangu kwako ni kuwajaribu kusoma mambo yote yanayoonekana na yasiyoonekana kwa faida yako wewe.

Nilichopata kutoka kwako ni kuwa unayakubali mambo yanayoonekanq kwa macho na yaliyo beyond umeyapiga chini.
 
Hapana.

Kuna hesabu hazionekani kwa macho.

Na ninazikubali.

Tatizo sifikiri kama ushawahi hata kuzisikia.

Na ndiyo maana hatuelewani.
 
Hapana.

Kuna hesabu hazionekani kwa macho.

Na ninazikubali.

Tatizo sifikiri kama ushawahi hata kuzisikia.

Na ndiyo maana hatuelewani.
Mkuu Nafikiria sijui unaubavu gani ambao unakufanya upinge uwepoo wa muuumba.

Ila cha kushangaza we mwenyewe umezaliwa ukiwa hujui lolote baadae aliekuumba akakufanya ukawa na utambuzi ambao unatamba nao hapa.

Usiku,Mchana. Haya mambo mkuu hapana yupoo mmiliki mwenyewee, taratibu ji cheki mwenyewe ulivyo umepewa macho yanayokuwezesha kuona, umepewa mdomo unaokuwezesha kusema, umepewa kadha Wa kadhaaa sasaa mpangilio huo woteee unataka kunambia umetokea tuuuu from no where.

Mi navyojua ilii uwezeee kukataaa uwepoo Wa muumba basi ni lazima akili zakoo uzichomoweee ili uendee sawa laaaa sivyooo huwezi kamwe.
 
Kukiwa na mtu ana miaka 20.

Hajui wazazi wake. Anawatafuta.

Akaletewa binti mdogo wa miaka mitatu.

Akaambiwa huyu binti wa miaka mitatu, ndiye mama yako mzazi aliyekuzaa wewe kijana wa miaka 20.

Huyo kijana wa miaka 20 akubali kwamba binti wa miaka mitatu ndiye mama yake mzazi aliyemzaa? Kwa sababu hamjui mama yake mzazi?

Akubali tu.

Atakataa vipi wakati hamjui mama yake mzazi?

Hii ndiyo habari unayoniambia mimi.

Logical non sequitur.
 
Hii inatosha [emoji117] View attachment 861110 allah naye anachukua udhu, Anapulizwa kama wewe unapogonga kichwa Ardhi wakati Wa kumswalia baba yake kassim [emoji117] View attachment 861117 [emoji15] [emoji23] [emoji23] sasa mkubwa allah au baba kulthum [emoji47] mezeni tu usanii...mkae mkijua MWENYEZI MUNGU amesha sema [emoji117] View attachment 861151

Matthew 19:29

And every one that has forsaken houses, or brothers, or sisters, or father, or mother, or wife (ἤ γυναῖκα), or children, or lands, for my name's sake, shall receive a hundred times more, and shall inherit everlasting life.

YAYO AGASSI ATAPATA POPE FRANCIS 100 ????

_85885590_gaypopes.jpg

Pope Francis hugs US gay couple at Vatican embassy
 
Kukiwa na mtu ana miaka 20.

Hajui wazazi wake. Anawatafuta.

Akaletewa binti mdogo wa miaka mitatu.

Akaambiwa huyu binti wa miaka mitatu, ndiye mama yako mzazi aliyekuzaa wewe kijana wa miaka 20.

Huyo kijana wa miaka 20 akubali kwamba binti wa miaka mitatu ndiye mama yake mzazi aliyemzaa? Kwa sababu hamjui mama yake mzazi?

Akubali tu.

Atakataa vipi wakati hamjui mama yake mzazi?

Hii ndiyo habari unayoniambia mimi.

Logical non sequitur.

"What is the definition of God?
 
iwe awaye Yote ktk mapambano na shetani [emoji53] Ayubu alimshinda shetani au akafa [emoji47] sasa ona mnavyo chezewa na shetani [emoji15] shetani naye anapopolewa mawe nusu uchi [emoji47] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ona mnavyo KUFA [emoji117] View attachment 861099View attachment 861100 [emoji4]

Uhusiano kati ya Ukristo na upagani

Katika kuhalalisha dini yake hiyo ya Ukristo, Bwana Paulo aliibua madai mazito kuwa ametokewa na Bwana Yesu na kumtuma aende kwa watu wa mataifa (wapagani) kuwapelekea dini (neno la Mungu)!

Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maelezo yake (Paulo) yafuatayo kama alivyokaririwa na Biblia tukufu:

"Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofutana nami pande zote. Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kumpiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe U nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikiuokoa na watu wako, na watu wa mataifa ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuelekea nuru, kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi". (Matendo ya Mitume 26:12-18).

Madai hayo ya Bwana Paulo ya kwamba katumwa na Bwana Yesu (a.s.) aende kwa watu wa mataifa kuwapelekea neno la Mungu, kimsingi hayakubaliki. Kwa sababu Bwana Yesu (a.s.) hana sifa ya kukiuka kauli zake mwenyewe zifuatazo:

"Hao thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo mwana wa Adamu". (Mathayo 10:5-6,23)

Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". (Mathayo 15:24)

Aidha, maadai hayo ya Bwana Paulo, pia hayakubaliki kwa sababu kumwepusha mbali Bwana Yesu (a.s.) na sifa hatari ya kukiuka mipaka ya kazi yake aliyowekewa na Mungu kabla hata mwenyewe (Yesu a.s.) hajazaliwa, kama maandiko yafuatayo yanavyothibitisha ukweli huu:

"Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale tangu milele". (Mika 5:2)

"Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumba ya Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli". (Mathayo 2:6)

Kinyume na dai lake hilo, ukweli wa mambo unaonyesha kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao, kama yeye mwenyewe asemavyo hapa chini:

"Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Kwa maana kabla hawajaja watu kadhaa wa kadhaa waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa. Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao. Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawa sawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za mataifa, wala si za Wayahudi, kwanini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za Wayahudi? Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; Sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki. Lakini ikiwa sisi wenyewe, kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, tulionekana kuwa wenye dhambi, Je! Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha! Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji. Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu". (Wagalatia 2:11-19)

Maelezo yake hayo juu, yanaonyesha jinsi Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Kefa (Petro), Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokio (kwa watu wa mataifa) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi za watu wa mataifa (wapagani) kama walivyokuwa wakifanya hivyo hapo awali, kabla Wayahudi waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) hawajaja.

Aidha, Bwana Paulo anaonekana pia hapo akimlaumu Kefa (Petro) kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria; lakini kwa imani ya Kristo Yesu! Kwa maelezo yake hayo, ni wazi kuwa Bwana Paulo, Petro na wenzio wao wote yaonyesha dhahiri kuwa hawakwenda kwa watu wa mataifa huko Antiokia kwa jambo lingine lolote ila kufuata desturi za dini yao. Na kama tulivyoona hapo awali, dini yao hii watu hao wa mataifa (wapagani) ilikuwa ina miungu yao (Zeu na Herme) yenye desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Pia ilikuwa na ibada zake wanazoifanyia miungu yao hiyo.

Kwa hali hiyo basi, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, hapana shaka ni lazima pia huo ndio utakaokuwa msimamo wa dini yake ya Kikristo, kama tutakavyokuja kuona kwa urefu zaidi
 
"What is the definition of God?
The omnipotent, omniscient, omni benevolent being who is the creator of the universe.

This is just an idea. There is no such thing in reality.

Because the idea is self contradictory in a way that it prohibits itself from existence in reality.

Do you understand my pount?
 
The omnipotent, omniscient, omni benevolent being who is the creator of the universe. Who said this???
 
The omnipotent, omniscient, omni benevolent being who is the creator of the universe. Who said this???
The Bible. The Quran. The Philosophers.

If you reject the existence of this God. You will aready agree with me on the fact that this God does not exist.

Then we can move on to any other God you wish to discuss.

Are you rejecting the existence of this God?
 
Can you give me some examples from the bible and the quran
 
Upofu ni kumfanya mtu kuwa Mungu, ni utahira wa level ya uprofesa
Kwa akili ya kisilamu unabishia kitu Ambacho hakipo [emoji12] MTU HAWEZI KUWA MUNGU HUO NI UKWELI WA UKWELI [emoji106] JEE MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU [emoji47] ukisema ANAWEZA Umepatia THAWAB UKISEMA HAWEZI UNAKUFURU [emoji4]
Hapo Ndipo ndugu zetu ktk Adam shetani kawavuruga hadi wote watanuna makafir na KUJIPA WEPESI kuingia jehannam [emoji24]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Matthew 19:29

And every one that has forsaken houses, or brothers, or sisters, or father, or mother, or wife (ἤ γυναῖκα), or children, or lands, for my name's sake, shall receive a hundred times more, and shall inherit everlasting life.

YAYO AGASSI ATAPATA POPE FRANCIS 100 ????

_85885590_gaypopes.jpg

Pope Francis hugs US gay couple at Vatican embassy

sawa [emoji4] kisilamu silamu umepatia gavana [emoji4] [emoji120] [emoji120] kwa LIKE [emoji117] ulizo nipa [emoji106]
IMG_20180909_162603_847.jpg
nasubiri za masudi [emoji38] [emoji38]
 
Attachments

  • IMG_20180909_162603_847.jpg
    IMG_20180909_162603_847.jpg
    22 KB · Views: 19
Sawa mkuu, kila kitu kina wakati wake.
Iko siku utaujua ukweli, mimi sipendagi kuamini vitu vya kuambiwa, huwa nachukua mda kichunguza kwa umakini bila kishinikizwa na maneno ya watu mitaani.
Kuna wakati jamaa zangu walinihubiria dini ya Kiislamu na nilitaka kusilimu kabisa.
Nikaona wacha niisome Qurani mwanzo mwisho bila kinyongo chochote.
Nikaanza kwanza na kile kitabu kidogo cha Hadithi za Mtume.
Halafu nikaendelea na Surat Fatiha na kuendelea.
Nilipoifikia Surat Jinn, nikaisoma kwa kuirudia rudia, nikawauliza wasomi wa kiislamu na wakanihakikishia kuwa Majini nayo ni Maislamu na Ibirisi ni miongoni mwa hayo Majini, nikaishia hapohapo, sura za mbele sikuendelea nazo.
Surat Jinn ndiyo iliyonifanya nisisikimu na kuwa Mwislamu hadi leo.
Nawewe unaweza fanya hivyohivyo kwa TB Joshua. Kila Jumapili kuna Ibada Live kwenye Emmanuel tv, tumia Jumapili moja kuiangalia Ibada yake bila kinyongo, sikiliza kwa makini anavyohubiri, Shuhuda za watu na maombezi.
Kama kinachofanyika humo kanisani kwake hakipo kwenye Biblia basi achana naye.
Wewe nakuona hata huangalii ibada zake kwa uhuru wa fikra, hebu jaribu kifanya hivyo na usimezeshwa maneno na watu Mimi siku ya kwanza tu nilipomwangalia anavyoendesha ibada zake, na nilikuwa peke yangu sebureni, na kwa mara ya kwanza kabisa, nikampenda na kujiridhisha kuwa anachofundisha ni kile Yesu Kristo alikiagiza kukifundisha. Ila kama mwanadamu ana mapungufu yake ya kuubinadamu.
Kama ulivyo wewe na mimi.

Unakumbuka alimtabiria nini Lowassa na Mama Clinton? Kuna matukio mengi tu huyu jamaa kayatabiri na yaliyotokea ni kinyume na matabirio yake. You people need to stop being fools, TB Joshua ni tapeli tu anayetumia jina la Mungu kurubuni watu hata Nigerians wanawashangaa mnavyomshupalia.
 
Lowasa hajawahi kumtabiria, ila mama Clinton ni kweli alimtabiria na ni kweli alishinda uchaguzi wa Marekani.
Halafu usiwe unazoea kuwaita watu Fools, kwakuwa tu unapishana nao mawazo.
 
Lowasa hajawahi kumtabiria, ila mama Clinton ni kweli alimtabiria na ni kweli alishinda uchaguzi wa Marekani.
Halafu usiwe unazoea kuwaita watu Fools, kwakuwa tu unapishana nao mawazo.

Naita watu fools kwa sababu kwa kawaida au kwa jicho la juu juu tu haiwezekani mtu mwenye akili timamu akamsujudu TB Joshua when everybody knows kuwa he's fake. Wewe uko kwenye kundi gani la wasiojitambua?
 
Lini mimi nimekuambia namsujudia TB Joshua, unatunga maneno na unahukumu mwenyewe.
Nilisha kuambia kuwa yule ni binadamu kama wewe na ana mapungufu yake kama mwanadamu.
Au unataka alingane na Yesu Kristo ndio umkubali ?
Au hujua mkamilifu ni Mungu peke yake ?
Mtu anafanya mema elfu moja, akikosea kosa kidogo la kibinadamu mnamshikia bango kila kukicha.
Haya unitajie basi wewe mtumishi ambaye ni mwema asiye tenda dhambi ili tumsikilize huyo.
 
Kukiwa na mtu ana miaka 20.

Hajui wazazi wake. Anawatafuta.

Akaletewa binti mdogo wa miaka mitatu.

Akaambiwa huyu binti wa miaka mitatu, ndiye mama yako mzazi aliyekuzaa wewe kijana wa miaka 20.

Huyo kijana wa miaka 20 akubali kwamba binti wa miaka mitatu ndiye mama yake mzazi aliyemzaa? Kwa sababu hamjui mama yake mzazi?

Akubali tu.

Atakataa vipi wakati hamjui mama yake mzazi?

Hii ndiyo habari unayoniambia mimi.

Logical non sequitur.
Unayumba mkuu.Nimeona Unauwezo Wa kufikiri lakini hautumii hasa katika kutafakari ukweli Wa mambo, umekaaa kifalsafa falsafa hvyy
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom