mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
Ahahahahahahahahaha ndio maana nikasema Wewe bado sana kwanza unaafiki kuwa Ayubu alichezewa na shetani ,kwahiyo hoja yako ya shetani kuwajaribu waislamu imekwisha, sasa umehamia kwenye mapicha hakuna cha kukusaidia kwasababu picha haiwezi kuwa hoja , na nimekwambia kama unaweza kuamini Bikira maria anakuombea kwa Mungu si vichekesho
Hakuna mchezo hapo ilaha ni vita na shehetani [emoji53] Ayubu hakushika jiwe kumpopoa shetani na ALISHINDA [emoji123] [emoji106] Hawa walio nunua mawe kwa dola na kumvambia shetani wakiwa nusu uchi shetani kawashinda [emoji117]