masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mbona ulishakiri kuwa una tatizo , mimi siwezi jadili jambo mara mbiliTATIZO langu la awali kabisa hujaweza kuniambia kwa nini unafikiri unaweza kunisaidia.
Kiranga is a singularity.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ulishakiri kuwa una tatizo , mimi siwezi jadili jambo mara mbiliTATIZO langu la awali kabisa hujaweza kuniambia kwa nini unafikiri unaweza kunisaidia.
Kiranga is a singularity.
Hapa hili ushalijadili mara ngapi?Mbona ulishakiri kuwa una tatizo , mimi siwezi jadili jambo mara mbili
Mimi siwezi kumfanya Mungu toy kweli kabisa ndio maana utanisikia nikiongea kuwa Mungu katundikwa kama nyama ya mbuzi, lakini wewe na wenzako mnamfanya Mungu toy watu wanamtemea mate mara wamempiga mikuki huo ni mchezo wanaofanyiwa matoy, usipoacha imani hiyo iliozeeka naya ovyo itakula kwako ahahahahahahahahaha
Sijakuelewa kabisa.Futa kumbukumbu zako baadae uje uifute hiyo Aya.
wee utamsaidia nini mwanaume mwenzio [emoji15] umefikia kupigia debe [emoji47] kweli habit Mara wahed [emoji15] [emoji47] mzoefu eeh [emoji47] [emoji15] [emoji4]Unarudia jambo lile lile nimeshakwambia mimi ni mbobezi kwenye kusaidia watu , unachotakiwa ni kutoa tatizo lako usaidiwe
Uisilamu uelekeze zaidi ya kauli ya HAQI ya allah [emoji15] [emoji47] au hiyo aya ilikuja alipo logwa na Yahudi laabid akabakia kubwabwaja na nyie mkabakia takbirrrrr [emoji15] [emoji12] kataa Leo kama allah na Malaika zake wanamsalia mtume [emoji53]Ahahahahahhahhahahahahahaha bado ujaelewa mambo sio kosa lako sijaona hoja yako ya msingi uislamu umeelekeza vizuri namna ya kumswalia mtume sasa uvivu wako wa kusoma unakuja na udhu kwa kweli unatapata kwelikweli mimi sio kosa langu,halafu umeleta unarudia tena picha ile ile unayotuma ya maelekezo ya udhu unaonekana umefulia umekosa jipya unaweweseka
Uhusiano kati ya Ukristo na upagani
Katika kuhalalisha dini yake hiyo ya Ukristo, Bwana Paulo aliibua madai mazito kuwa ametokewa na Bwana Yesu na kumtuma aende kwa watu wa mataifa (wapagani) kuwapelekea dini (neno la Mungu)!
Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maelezo yake (Paulo) yafuatayo kama alivyokaririwa na Biblia tukufu:
"Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofutana nami pande zote. Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kumpiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe U nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikiuokoa na watu wako, na watu wa mataifa ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuelekea nuru, kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi". (Matendo ya Mitume 26:12-18).
Madai hayo ya Bwana Paulo ya kwamba katumwa na Bwana Yesu (a.s.) aende kwa watu wa mataifa kuwapelekea neno la Mungu, kimsingi hayakubaliki. Kwa sababu Bwana Yesu (a.s.) hana sifa ya kukiuka kauli zake mwenyewe zifuatazo:
"Hao thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo mwana wa Adamu". (Mathayo 10:5-6,23)
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli". (Mathayo 15:24)
Aidha, maadai hayo ya Bwana Paulo, pia hayakubaliki kwa sababu kumwepusha mbali Bwana Yesu (a.s.) na sifa hatari ya kukiuka mipaka ya kazi yake aliyowekewa na Mungu kabla hata mwenyewe (Yesu a.s.) hajazaliwa, kama maandiko yafuatayo yanavyothibitisha ukweli huu:
"Bali wewe, Bethlehemu Efrata, uliye mdogo kuwa miongoni mwa elfu za Yuda; kutoka kwako atanitokea mmoja atakayekuwa mtawala katika Israeli; ambaye matokeo yake yamekuwa tangu zamani za kale tangu milele". (Mika 5:2)
"Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumba ya Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli". (Mathayo 2:6)
Kinyume na dai lake hilo, ukweli wa mambo unaonyesha kuwa Bwana Paulo alikwenda kwa watu wa mataifa (wapagani) kufuata dini yao, kama yeye mwenyewe asemavyo hapa chini:
"Lakini Kefa alipokuja Antiokia, nalishindana naye uso kwa uso, kwa sababu alistahili hukumu. Kwa maana kabla hawajaja watu kadhaa wa kadhaa waliotoka kwa Yakobo, alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa; lakini walipokuja wao, akarudi nyuma akajitenga, huku akiwaogopa waliotahiriwa. Na hao Wayahudi wengine wakajigeuza pamoja naye, hata Barnaba pia akachukuliwa na unafiki wao. Walakini, nilipoona ya kuwa njia yao haiendi sawa sawa na ile kweli ya Injili, nalimwambia Kefa mbele ya wote, Ikiwa wewe uliye Myahudi wafuata desturi za mataifa, wala si za Wayahudi, kwanini unawashurutisha mataifa kufuata desturi za Wayahudi? Sisi tulio Wayahudi kwa asili, wala si wakosaji wa mataifa, hali tukijua ya kuwa mwanadamu hahesabiwi haki kwa matendo ya sheria, bali kwa imani ya Kristo Yesu; Sisi tulimwamini Kristo Yesu ili tuhesabiwe haki kwa imani ya Kristo, wala si kwa matendo ya sheria; kwa maana kwa matendo ya sheria hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki. Lakini ikiwa sisi wenyewe, kwa kutafuta kuhesabiwa haki katika Kristo, tulionekana kuwa wenye dhambi, Je! Kristo amekuwa mtumishi wa dhambi? Hasha! Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa, naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji. Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu". (Wagalatia 2:11-19)
Maelezo yake hayo juu, yanaonyesha jinsi Bwana Paulo alivyokuwa akimshutumu Kefa (Petro), Barnaba na Wayahudi wengine alipokutana nao huko Antiokio (kwa watu wa mataifa) kwa kutofuata kwao moja kwa moja desturi za watu wa mataifa (wapagani) kama walivyokuwa wakifanya hivyo hapo awali, kabla Wayahudi waliotoka kwa Yakobo (Myahudi) hawajaja.
Aidha, Bwana Paulo anaonekana pia hapo akimlaumu Kefa (Petro) kwa kitendo chake cha kuwashurutisha watu hao wa mataifa, yaani wapagani kufuata desturi za Wayahudi (yaani kufuata Torati ya Nabii Musa) akidai kwamba mwanadamu hatohesabiwa haki kwa matendo ya sheria; lakini kwa imani ya Kristo Yesu! Kwa maelezo yake hayo, ni wazi kuwa Bwana Paulo, Petro na wenzio wao wote yaonyesha dhahiri kuwa hawakwenda kwa watu wa mataifa huko Antiokia kwa jambo lingine lolote ila kufuata desturi za dini yao. Na kama tulivyoona hapo awali, dini yao hii watu hao wa mataifa (wapagani) ilikuwa ina miungu yao (Zeu na Herme) yenye desturi ya kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu. Pia ilikuwa na ibada zake wanazoifanyia miungu yao hiyo.
Kwa hali hiyo basi, kwa kuwa Bwana Paulo anafuata mia kwa mia desturi za dini ya watu wa mataifa, yaani wapagani, hapana shaka ni lazima pia huo ndio utakaokuwa msimamo wa dini yake ya Kikristo, kama tutakavyokuja kuona kwa urefu zaidi
Nafurahi kwakua Umeifahamu Ukweli.Noor iliyo katika Yesu Kristo umeitambua. You either woven or shave itNani kakwambia Mohammad ni roho takatifu? kijana Mohammad ni mtume na nabii wa Mungu na tena amemtaja Yesu kama Mungu anavyotaka na kama yesu alivyofundisha kuwa yeye (yesu) ni mtu alietumwa na Mungu, hayo mengine uliyoyazungumza porojo na makelele tumeshakufundisha sana lakini uelewi
Kwa swali hili maana yake tatizo unalo , haya leta tatizo ni kusaidieHapa hili ushalijadili mara ngapi?
Ukweli gani huo unaoulazimisha mimi kuujua , mimi nimekujibu Mtume ni nabii na mtume wa Mungu, yesu ni nabii alietumwa na Mungu, na hicho ndio unapaswa kujua na ndio ukweliNafurahi kwakua Umeifahamu Ukweli.Noor iliyo katika Yesu Kristo umeitambua. You either woven or shave it
I know its kinda hard to make decision right now. Omba Mungu akusaidie akutoe kwenye Nira za Dini Islam.
Sio tena kuhangaika kubabaisha na Taqiyyah Tawriya wala kitman. Unayo fursa sasa ya kuitazama dunia kwa sura ya Mungu Muumba. tofauti na yule tyranical arab god.
Hakika Nitawafanya wale wanaokufuata Ku Juu dhidi ya wale wanaokukataa.
Paulo ndio nani kijana , mbona unatutajia mtu aliemingiza kwenye shimo la upotevuNaona umeamua kuijikita kwenye Usabato.
Hata hivyo sio lethal huo upande w shimoni.
Sio lazima ukubaliane na Paulo. Unaweza kumuamini Yesu Kristo na mitume wengine ukaishi kwa Upendo na kua na amani ya kweli moyoni.
Kuliko kumfuata Mohammad ambaye unajua fika kua yupo motoni.
Sioni haja ya ku kuelezea kuhusu mungu wa waarabu bwana baali(Hubaal) na mabinti zake watatu.
Tatizo lipi? Nilitaje mara ngapiili uweze kunisaidia?Unajuaje kwamba mimi ndiye mwenye tatizo na si wewe?Kwa swali hili maana yake tatizo unalo , haya leta tatizo ni kusaidie
Ahahahahahhahaahaahah ujaelewa na ujuhi vip mtume anaswaliwa ,ndio maana umekuja na udhu, sasa hata jambo hili dogo la mtume kuswaliwa ujuhi ,kipi utafahamu kwenye uislamu mtukufu ahahhahahhahahahaUisilamu uelekeze zaidi ya kauli ya HAQI ya allah [emoji15] [emoji47] au hiyo aya ilikuja alipo logwa na Yahudi laabid akabakia kubwabwaja na nyie mkabakia takbirrrrr [emoji15] [emoji12] kataa Leo kama allah na Malaika zake wanamsalia mtume [emoji53]
Hiyo meseji yako uliosema unatatizo ujaiona au unajitoa akili ?Tatizo lipi? Nilitaje mara ngapiili uweze kunisaidia?Unajuaje kwamba mimi ndiye mwenye tatizo na si wewe?
Ahahahhhahahahhahahaha ntamsaidia kama vile yesu unavyomtangazia kakubebea laana zako msalabani ahahahhahahahahahahahwee utamsaidia nini mwanaume mwenzio [emoji15] umefikia kupigia debe [emoji47] kweli habit Mara wahed [emoji15] [emoji47] mzoefu eeh [emoji47] [emoji15] [emoji4]
Nimeshakwambia upuuzi wa kumsemea yesu na kuunga unga maandiko usilete humu, yesu aliishi duniani na akafundisha wapi kakwambia yeye ni Mungu? Ahahahaahahahahaa amekuonya ",Mwanafunzi hawezi mzidi mwalimu"Asante kwa kukubali kwamba, mwanadamu hana UWEZO Wa kumfanya Mungu toy [emoji106] sasa KUBALI KWAMBA MUNGU ATAKALO HUWA NA HANA MSHAURI [emoji123] [emoji106] View attachment 862078View attachment 862079 dhahir eeh [emoji15] [emoji4]
Nimekwambia tatizo langu la awali hujaweza kuniambia kwa nini wewe unafikiri unaweza kunisaidia, sasa niseme hilo mara ngapi?Hiyo meseji yako uliosema unatatizo ujaiona au unajitoa akili ?
Kama maneno haya yako katika misahafu basi kila anaeamini hii dini anatatizoHapana alimpa mimba aisha [emoji117] View attachment 845694 Swafan kiboko mpaka mamaa kasema yoote..
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kweli Ni Yesu Kristo pekee. Na Mohammad hakumjua Yesu Kristo. Akisema anamjua, basi kweli haimo ndani yake.Ukweli gani huo unaoulazimisha mimi kuujua , mimi nimekujibu Mtume ni nabii na mtume wa Mungu, yesu ni nabii alietumwa na Mungu, na hicho ndio unapaswa kujua na ndio ukweli
Ok sheet of cloth. Kwa hiyo mtume alikuwa hawezi kupata maono mpaka avae sheet of cloth ya Aisha. MmmAhahaaaahaahahaha tumeshakwambia nani kupoteza ni SAM SHAMOUN ahahaaha kwa tafsiri zake za uongo hilo neno mirt huyu ndugu yako sam anasema garment wakati ni A SHEET OF CLOTH