Yaani ni shida. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu haelewi hata aliposimamia wapi, mradi anabisha kubisha tu.
Hata anachobisha hakijui, hajui anabishaje, kwa sababu gani, kivipi, wapi, kwa mantiki gani.
Anabisha tu.
Hajui hata anapokubali na anapokataa, anakubali, halafu baada ya kukubali, anabisha tena alichokubali.
Anabisha mpaka anabisha hata kwamba anabisha!
Nani alikuambia kuwa sielewi ninachosimamia?Huyu haelewi hata aliposimamia wapi, mradi anabisha kubisha tu.
Hata anachobisha hakijui, hajui anabishaje, kwa sababu gani, kivipi, wapi, kwa mantiki gani.
Anabisha tu.
Hajui hata anapokubali na anapokataa, anakubali, halafu baada ya kukubali, anabisha tena alichokubali.
Anabisha mpaka anabisha hata kwamba anabisha!
Kuna Shida zaidi ya kumwabudu kiumbe mwenzako ambaye unadai eti alijibandika nyama?? kama vile alikuambia hivyo??Yaani ni shida. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumekusikia hivi Yule unayedai alijibandika nyama unayemuabudu pale aliposujudu alikuelekezea wewe makalio??Em tuambie, Abrahamu wa kwenye Koroani aliambiwa na akina nani achome masanamu ya wapagani. Ikiwa allah hakumshushia wahyi ? Na mnasema allah sio Mtu na pia hazungumzi moja kwa moja na manabii wake. Abrahamu Alijuaje?
Ukishindwa hili swali choma hicho kitabu uje kumpokea Yesu.
Gavana
Hebu jibu hii hoja ya Padri Mgeni hapa.
Je ni kweli mtume wako Muhammad alifanya mapenzi na maiti za watu kama alivyonukuu mgeni hapo ?
Kuna Shida zaidi ya kumwabudu kiumbe mwenzako ambaye unadai eti alijibandika nyama?? kama vile alikuambia hivyo??
.
Pili sifa za Roho Mtakatifu, hazipo kwa Mohammad. Huyu Roho anatajwa kukaa milele. Lakini mohamad amekufa.
 
1. Roho Mtakatifu alishuka siku ya Penteconste. Ukisoma Matendo utaweza kuona. Yesu Kristo, Hakuhitaji kusubiri miaka 600 baadaye ndio aje kupitia Uislamu. Wakati alisema akiondoka atamleta. Zingatia discrepancy ya miaka yote hiyo.
2.) Roho wa Mungu Hukaa hata milele.
Yohana 14:16
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
LAKINI PIA kama ambavyo kuamini katika Imani za mashetani. Inasababishwa na nguvu za Roho za mashetani. Waganga na wachawi na wasoma falaki huwatambua hao.Vivyohivyo, kuweza kumtambua Mungu wa Kweli na kumfuata inahitaji nguvu ya Roho wa kweli wa Mungu. Roho huyu alikuwepo nao kwakua Yesu alikuwepo nao. Na ndiye aliyewafanya wakaweza kumtambua Yesu na ujumbe wake na kukaa naye hadi alipopaa kurudi kwa baba yake mbinguni.[emoji116] [emoji116]
Yohana 14:17
ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye ATAKUA NDANI YENU.
2). Umuhimu wa Ubatizo NA Msalaba wa Kristo:-
Mohammad hakubatizwa wala kumjua Yesu Kristo. Ukilingamisha na wanafunzi wa Yesu Kristo walivyokufa mashahidi wa Injilbya Kristo. Na zaidi ya yote Mohamad Alienea imani yake kwa kuua watu kwa upanga. Wakati Yesu hakuhukumu ulimwengu. Bali alikuja kuuokoa.
[emoji116] [emoji116]
Marko 10:39
Wakamwambia, Twaweza. Yesu akawaambia, Kikombe ninyweacho mimi MTAKINYWEA, na ubatizo nibatizwao MIMI MTABATIZWA
3. YESU ATANGAZA Hukumu ya mashetani(majini/watoto wa IbilisI).
Yesu kama Jaji Mkuu siku ya Mwisho alishatangaza hukumu ya shetani na malaika zake. Kua hawana sehemu katika Ule Mti wa Uzima. Wamewekwa akiba kwa ajili ya Moto.
[emoji116] [emoji116]
Luka 10:18-19
[18]Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme.
[19]Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Yohana 16:11
kwa habari ya hukumu, kwa sababu yule mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa.
Yesu alikasirishwa nA MAFARISAYO Kuhusisha uponyaji wake na uponyaji ufanywao na mashetani. Akiweka wazi ni sawa na kumkufuru Roho Mtakatifu. Yesu aliweka wazi Uadui kati ya Ufalme wa Shetani na wa Mungu.
Lakini Kinyume chake Mohammad alitangaza Ukombozi wa Majini na wanadamu kupitia Dini yake. Hii ni kinyume na Maagizo ya Yesu na hata Imani ya Wajudea kwa ujumla wake. Kwa maana imeandikwa hapana Uganga ndani ya Israel. Unaweza kuona kwenye Quran kuna surah inaitwa surah ya majini. Sasa mafundisho ya Yesu ni Juu ya Habari njema za Ufalme wa Mungu na sio habari za Maruhani. Manake haya yote Ziwa la Moto limewekwa kwa ajili yao. The teachings of Mohammad contradict Jesus Teachings severely!.
HITIMISHO
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Zingatiza NENO hili hapa chini la Yesu.
[emoji116] [emoji116]
Luka 11:23 YESU ANASEMA;-
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya
Matthew 15:22-28 New International Version (NIV)Hakuna contradiction, Ni Kweli kua Yesu alikuja kwa ajili ya Wana wa Israeli. Kwa maana ya kuzaliwa na kuinjilisha. Injili ambayo hapo baadaye ilitakiwa iwafikie mataifa yote ulimwenguni.
Fahamu kua Zamani zile wana wa Israeli walikua wanatawaliwa moja kwa moja chini ya Utawala wa Mfalme herode ambaye hakua mwisraeli bali Mgiriki. Na pia wote wakilipa kodi kwa utawala Mkubwa wa Roma ya Caesari(Siza/kaisari)..kwasababu Utawala wa Wagiriki ulikua chini ya utawala wa Rumi(Roman Empire).
Mfalme Herode pamoja na kua ni Mgiriki aliwasaidia waisraeli kuwajengea Hekalu la Yerusalemu lililokua limebomolewa na wakaldayo.
Lakini wana wa Israeli waliamini akija Masiha, atakua Mfalme wao. kwa mfano wa akina Mfalme Daudi atatawala kama ilivyo watawala wa Dunia.
Imani hii ilimgusa hadi MFALME Herode ambaye alijaribu kufanya upelelezi Ili amuue Mtoto Yesu Kristo ili kulinda milki yake.
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 2:3-4
Basi mfalme Herode aliposikia hayo, ALIFADHAIKA, na Yerusalemu pia pamoja naye. [4]Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?
ALIPOMKOSA YESU, MAANDIKO YANAELEZA ALIUWA WATOTO WOTE WA KIUME WALIOZALIWA ENEO HILO wa umri wa kufikia hadi miaka miwili, ili kama kuna mtoto ambaye yuko destiny kua mfalme akatize ndoto hizo (Mathayo 2:16).
Waisrseli walishathubutu kumfanya Mfalme vile wanavyoona.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 6:1
Kisha Yesu, hali akitambua ya kuwa walitaka kuja kumshika ili wamfanye MFALME, akajitenga, akaenda tena mlimani yeye peke yake.
Madai haya yalikwenda hadi wakati akikaribia kusulubiwa.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 18:36
Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, watumishi wangu wangenipigania, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
Mtume Petro ni mmoja ya watu waliotaka kupigana vita kumlinda Yesu asikamatwe na wayahudi( Mathayo16:23; 26:52 )
[emoji116] [emoji116]
Na baada ya kusulibiwa
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 27:37
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI. Madai haya yaliendelea hata alipofufuka.
[emoji116] [emoji116]
Matendo ya Mitume 1:6
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme?
Lakini maandiko yanaweka wazi nafasi ya Yesu kwa ulimwengu.
[emoji116] [emoji116]
Luka 2:32
Nuru ya kuwa mwangaza wa Mataifa, Na kuwa utukufu wa watu wako Israeli.
Matendo ya Mitume 13:47
Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.
[emoji115] [emoji115]
Yohana 1:11-13
[11]Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Matthew 15:22-28 New International Version (NIV)
22 A Canaanite woman from that vicinity came to him, crying out, “Lord, Son of David, have mercy on me! My daughter is demon-possessed and suffering terribly.”
23 Jesus did not answer a word. So his disciples came to him and urged him, “Send her away, for she keeps crying out after us.”
24 He answered, “I was sent only to the lost sheep of Israel.”
Sijui unajua maana ya "ONLY"??? Umeleta maneno mengi trying to justify kuwa Yesu ameletwa kwa ulimwengu mzima. Let us stick to the Bible words and not translate information different from its meaning.
Clearly BIBLE is CONTRADICTING. It's undeniable.
Tunajadili MAANDIKO ambayo wewe na Mimi tunayaishi, na sio mambo yako ya kilingeni...[emoji12] wee unaanza kunawa kisha unakata gogo unavaa bukta na kanzu [emoji15] unaona reha unayo imwaga [emoji47]Kwanza mwambie ajibu swali langu , hivi Yule anayemwabudu ambaye anadai alijibandika nyama, pale aliposujudu alimwelekezea yeye makalio?
Geuza makalio yaelekee kibla ili wende na wakati [emoji15] [emoji12]Yule uliyemfanya mungu aliyejibandika nyama alikuelekezea wewe makalio aliposujudu??
Wewe mwenyewe kwa maandishi yako umeshindwa kupinga unachosema si sawa.Nani alikuambia kuwa sielewi ninachosimamia?
Nashukuru kwa bandiko lako! Maana limeimarisha zaidi Imani yangu kwa Yesu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]Yesu aliweka mayai yote kwenye kapu moja maana alijua baada ya yeye kuondoka mambo yatavurugwa sana na yeye kuzushiwa mengi sababu yalianza kuvurugika tangu akiwepo had wakataka kumuu...ukisoma kwenye bible the sign of jonah kama ilivyo andikwa kwenye mathew 12 :38-40
38 Then some of the scribes and Pharisees told Jesus,[a] “Teacher, we want to see a sign from you.”
39 But he replied to them, “An evil and adulterous generation craves a sign. Yet no sign will be given to it except the sign of the prophet Jonah, 40 because just as Jonah was in the stomach of the sea creature for three days and three nights, so the Son of Man will be in the heart of the earth for three days and three nights
Nimetumia ya kiingereza sababu ya kiswahili ina upungufu wa msamiati...kwenye tafsir ya siku....
Yesu akiwaambia hakuna ishara itakuja kama ishara ya yona kama yona alivyokuwa kwa siku tatu(mapungufu ya kitafsiri) ndani ya tumbo la bahari ndivyo mwana wa adamu atakavyokuwa kwa siku tatu ndani ya tumbo la nchi.
Sasa Yona alimezwa na samaki akiwa hai,akaa kwenye tumbo la samaki akiwa akiwa hai na akatemwa na samaki akiwa hai
Sasa ukisema yesu alisulubiwa akafaia msalaban tutakuuliza yesu akisema kama kulichompata yona ndicho kilitakachomkuta kwa maana hiyo alitakiwa kuwa hai na asife msalaban na hapo ndipo muujiza ulipo kwamba mtu alitarajiwa kufa na hakufa sababu kachomwa had mkuki wa tumbo...sasa aukisema kafa maana yake hajatimiza agano maana alisema kama yona ilivyomtokea naye alipswa awe hivyo hivyo.au utakuwa unamaanisha yesu aliongopa na mi siamin kama yesu anaweza kudanganya.
Na ukisema hakufia msalaban ( kitu ambacho kinakaribiana na ukweli kwa sababu maria madgalena alienda kumkanda vidonda siku ya tatu sasa sijui wayahud au wakristo huo mnaenda ku massage maiti siku ya tatu?) ukisema hivyo maana yake msingi wa iman yenu ni bure yesu hakufa kwa dhambi zenu bali alisubuwa tu..kama alivyosema paulo kama yesu hakufa msalaban bas iman yetu ni bure
Na ukiamim hakusulubiwa unakuwa sawa kuwa Mungu alimficha kwenye tumbo la ardh kwa siku tatu kabla ya kupaa..!. Kwa mujibu wa kauli yake yeye kuhusu alama ya yona
Na hata tukisema tuangalie hiyo three days and three nights yesu alitolewa msalaban ijumaa jion kabla ya kuingia sabato hivyo akakaa ijumaa usiku kisha jumamosi mchana kisha jumamosi usiku na jumapili asubuhi kaburi lilikuwa tupu hata kama hujui hesabu hapo ni two nights and one day na hata kwa kuswahili sio siku tatu..!...hivyo tena bible inajikanyaga na bado alama ya yona haijatimizwa..nani muongo?bible au yesu?
Kiujumla ni story ya kutunga huenda lilitokea lakin hakuwa yesu ndio maana ya yesu kuwaelezea sign of jonah kuwa hichi kitu ndio kitakachomtokea na itawavuruga sana kwaana uzushi wowote ynatajiwa uende ku match na kilichomkuta yonah na nyie kwenye bible hamna kilicho match...na tena alijiita mwana wa adamu..!
Polen kwa maelzo marefu
Wewe ni Katika watu ambao hawana hoja ya kuchangia. Yaani ulichokituma na unachokiongea ni vitu viwili tofauti. Yaani hauna tofauti na chizi anayetembea barabarani na kuongea vitu visivyoeleweka. Unahitaji utafakari hali uliyokuwa nayo kwanza. Mazungumzo yako hayana tija. Nimekwambia waache maprdi wenu wachangie hoja hizi, huenda wakaokoka. Wewe ni sifuri tu.Unajichanganya mwenyewe halafu unaleta madai ya kizwazwa humu ooh Biblia Inajichanganya [emoji15] [emoji12] kwa hiyo allah amewaagiza kuamini Kitabu kilicho jichanganya [emoji47] [emoji117] View attachment 862767 BIBLIA TAKATIFU HAMUIAMINI, koloani hamUIamini [emoji12] [emoji15] halafu inatambua huku uswazi na sigda kaa kifuu, bakora mkononi, kijuba, tasbihi kete kubwa imeishia ndevu...mii muislamu salamaleko nyingiii kama nyama za pilau mfuto [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwanza hakuna kitabu kinaitwa Koloani...pili biblia sio neno la Mungu na wa waislam hawajaambiwa waifate biblia kitabu alichopewa yesu ni injili sio biblia kwanza hiyo biblia hajawahi hata kulisikia wala kulitamka...na hata injili yake alikuja nayo haipo wameichakachua kilichopo ni injili ya lula,matayo,yohana ya Yesu iko wapi...au mnata kusema yesu alikuwa anatembea kina luka,matayo,yohana,marko na kuhubiria watu...biblia imekuja miaka 300 baada ya yesu kuondoka mkusanyika wa vitambu mbali na waandishi 40 wasiojulikana ndio wakaandika bible ya kwanza ikiwa kwa lugha ya kigiriki na kilatin na bible zingine zote zimetafsiriwa pale lugha ambayo hata yesu alikuwa haizungumzi...hata jina JESUS sio la kwake ni jina la kilatin hata leo jina jesus hulikuta mashariki ya kati ila nenda spain na latin america ndio utakuta hilo jina yeye juna lake mama yake alimuita ISO na jina lingine Yoshua.!...mmekuja kusema malaika alimuambia mtoto atakae zaliwa jina lake ataitwa emanuel nitajien sehem yoyote kwenye bible yesu aliutwa au kutajwa kwa jina hilo...yesu jina alilopewa kutoka mbinguni ji masihi ikatasfriwa kwa kigiriki kuwa kristos na kiingereza ndio crirst...sio emanueli.!..Unajichanganya mwenyewe halafu unaleta madai ya kizwazwa humu ooh Biblia Inajichanganya [emoji15] [emoji12] kwa hiyo allah amewaagiza kuamini Kitabu kilicho jichanganya [emoji47] [emoji117] View attachment 862767 BIBLIA TAKATIFU HAMUIAMINI, koloani hamUIamini [emoji12] [emoji15] halafu inatambua huku uswazi na sigda kaa kifuu, bakora mkononi, kijuba, tasbihi kete kubwa imeishia ndevu...mii muislamu salamaleko nyingiii kama nyama za pilau mfuto [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Padri kirangaWewe mwenyewe kwa maandishi yako umeshindwa kupinga unachosema si sawa.
Umesema habari zangu kwamba Biblia inasema Mungu ni omnipotent, omniscient na omni benevolent zina mushkeli.
Nimekupa nafasi uoneshe mushkeli huo uko wapi, umeshindwa.
Sasa nakukata ngebe na kilimilimi.
Umetaka nioneshe kwenye Quran na kwa Philosophers ndiyo ujibu.
Nakataa kukupa excuse, nakuonesha hapa
The Quran on Omnipotence
God (Allah) is the Omnipotent
The Miracles of the Quran: The Omnipotence of God
The Quran on Omniscience
Allah, the Omniscient
Say: Do you instruct Allah about your religion? But Allah knows all that is in the heavens and on the earth; Allah is Knowing of all things” Holy Qur'an (49:16)
Quranic Reflections – The Omniscience of Allah
The Quran on Omni benevolence
Quran 1:1-3: In the name of Allah, the Entirely Merciful, the Especially Merciful. All praise is due to Allah, Lord of the worlds - the Entirely Merciful, the Especially Merciful,
Omnibenevolence of God - Straight Forward
Kwenye falsafa, soma "The Philosophy of Religion:An Anthology"
Kwanza hakuna kitabu kinaitwa Koloani...pili biblia sio neno la Mungu na wa waislam hawajaambiwa waifate biblia kitabu alichopewa yesu ni injili sio biblia kwanza hiyo biblia hajawahi hata kulisikia wala kulitamka...na hata injili yake alikuja nayo haipo wameichakachua kilichopo ni injili ya lula,matayo,yohana ya Yesu iko wapi...au mnata kusema yesu alikuwa anatembea kina luka,matayo,yohana,marko na kuhubiria watu...biblia imekuja miaka 300 baada ya yesu kuondoka mkusanyika wa vitambu mbali na waandishi 40 wasiojulikana ndio wakaandika bible ya kwanza ikiwa kwa lugha ya kigiriki na kilatin na bible zingine zote zimetafsiriwa pale lugha ambayo hata yesu alikuwa haizungumzi...hata jina JESUS sio la kwake ni jina la kilatin hata leo jina jesus hulikuta mashariki ya kati ila nenda spain na latin america ndio utakuta hilo jina yeye juna lake mama yake alimuita ISO na jina lingine Yoshua.!...mmekuja kusema malaika alimuambia mtoto atakae zaliwa jina lake ataitwa emanuel nitajien sehem yoyote kwenye bible yesu aliutwa au kutajwa kwa jina hilo...yesu jina alilopewa kutoka mbinguni ji masihi ikatasfriwa kwa kigiriki kuwa kristos na kiingereza ndio crirst...sio emanueli.!..
Naawapien wakristo mna nafasi moja ya kuish kama unausoma ujumbe huu hauji kwa bahati mbaya ni Mungu ameamua kukuonesha kesho usije kumlaumu ni jukumu lako kumtafuta Mungu wa kweli ukijifanta shingo ngumu shauri yako maana amesema hatuta muhukumu yoyoye ila yule tu tuliempelekea ujumbe..!
Umetaka nitoe maandiko kutoka Biblia, Quran na wana falsafa.Padri kiranga
Umezungukaaaa weeeeeeeeee mwisho baada ya kugoogle ndio ukaja na link unazozitaka
Sasa nionyeshe wapi nilikuambia sielewi ninachosimamia?
Umetaka nitoe maandiko kutoka Biblia, Quran na wana falsafa.
Nikakupa maandiko ya Biblia, ukashindwa kuchambua.
Ukatoa kisingizio kwamba unataka nitoe maandiko yote, ya kuhusu Biblia, Quran na wanafalsafa.
Ukasemaunatakayote kwa pamoja.
Nikakwambia, ukishindwa kujadili ya Biblia, hayo mengine hutaweza kabisa.
Hayo mengine sijayaweka ili ujibu, najua huwezi.
Nimeweka kuuonesha umma wa JF kwamba ile habari yako ya kutaka niwekeyote ili ujibu, ilikuwa hadaa tu, huwezi kujibu.
Hata nikiweka yote.
Nimekunyima kisingizio tu cha kushindwa kujibu.
Huelewi unachosimamia.
Kwa sababu dakika moja unaniambia niweke habari zote ndiyo uzijibu, nikikuwekea, hutaki kujibu unaleta mizozo isiyo kichwa wala mguu.
Kwa sababu huwezi kujibu.