Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.


Luke – "Angels but no star"





Having heard the chorus from a heavenly host, Luke's shepherds find the infant Jesus without the aid of any star.


"And they came with haste, and found Mary, and Joseph, and the babe lying in a manger." – Luke 2.16.


In fact, Luke knows nothing of the star so important to Matthew's rival yarn.
 
Neno WATU WOTE halipo CLEAR. Kulinganisha na aya zile zingine ambazo zipo Very Clear and Very Very Specific. They hit the Bull Eye[emoji379] [emoji108]

Mohamad ameshirikisha hadi Mashetwaini kwenye Mpango wake na allah.

Amekua Ni Mpinga Kristo namba Moja kwasababu multitude of people are going to hell because of his treachery.


Na ukumbuke Mohammad alisema waziwazi kwenye sunnah, kua atafanya mtakua waislamu wengi ila dhehebu moja tu ndio litaingia peponi. Wengine mtakua kampani ya moto.

I don't blame you. You need sometimes to meditate before decide...
 

PECULIARITY HIZi HAPA.
[emoji116] [emoji116]


Yohana 10:36
je! Yeye ambaye Baba ALIMTAKASA, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?

Mathayo 12:6
Lakini nawaambieni, kwamba hapa yupo ALIYE MKUU KULIKO HEKALU.

Mathayo 12:8
Kwa maana Mwana wa Adamu NDIYE BWANA WA SABATO.

Mathayo 9:6
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya KUSAMEHE DHAMBI....



Yohana 11:25-27
[25]Yesu akamwambia,MIMI NDIMU HUO UFUFUO, NA UZIMA. YEYE ANIAMINIYE MIMI, AJAPOKUFA ATAKUA ANAISHI;
[26]naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. JE UNAYASADIKI HAYO?
[27]Akamwambia, Naam, Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.


Yohana 16:24
Hata sasa hamkuomba neno KWA JINA LANGU; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.


Luka 24:47
[47]na kwamba mataifa yote WATAHUBIRIWA KWA JINA LAKE habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.
 




Kashindwa hoja baba yake baada ya vitisho, mikwala, kuwatumainisha watu, ahadi hewa za kungono sardaus, kutembeza jambia...Akashindwa na watu wakaendelea kushahadia "HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji123] [emoji106]" baba yake kassim akamwaga povu akaanza kughani [emoji117] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] itakuwa wewe gavana na vimstari vyako vya kuunga unga jioni unarudi kulala kilingeni [emoji12] [emoji57]
 

Yesu wapi alilia lia Hivi kama baba yake kassim [emoji117] Yesu yupo Hai hadi Leo Anaendelea Kufundisha Wanafunzi wake, unamlinganisha na marehemu muham mad amekufa analia lia mapajani mwa kibubu cha Swafan [emoji117] yupo barzak anasikia fukuto, mvuke, mingurumo ya funza Wa shaba jehannam bado kutumbukia [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 

ayat hii [emoji117] sasa itolee maelezo kama hayo hayo uliyo mtolea EMANUEL [emoji12]
 
ayat hii [emoji117] View attachment 863671View attachment 863672 sasa itolee maelezo kama hayo hayo uliyo mtolea EMANUEL [emoji12]



Born in a Stable?





Was Jesus born in a stable? Or a barn? Or a cave?


Luke* says only a manger. There was no room for him in the kataluma ("inn" or guest room).


But Joseph supposedly had returned to his ancestral home, "the lineage of David". So the place should have been chock-full with his own relatives. And not one of them would accommodate a heavily pregnant woman? Tut-tut.


The reality is that the story of Jesus is enhanced by the "humble birth".


Early Christians were taken by the idea that he was, in fact, born in a cave. Can you get any more humble than that?


* Matthew, a tad more realistic, says, "And when they had come into the house ..." (2.11).
 
mkuu sibishani lkn nimejaribu kufuatilia tafsiri kidogo......


'Mpaka alipofika machweo ya jua akaliona linatua katika chemchem iliyovurugika, na pale akawakuta watu, Tukasema: Ewe Dhul-Karnain, Uwaadhibu au uwafanyie wema '

Aya 87. Maneno haya, Akaliona linatua katika chemchem iliyovurugika, yanaonyesha ya kwamba maji yale yalikuwa mapana sana, yaani bahari. hata inakuwa ukisimama pwani wakati wa magharibi jua linaonekana linatua ndani ya bahari. Bahari hiyo inaitwa Bahari nyeusi iliyoko Asia Minor ...

i stand to be corrected......Muhammad hajawah kudanganya....
 
Don't buy it. He's lying.

The Cave





In the 4th century construction of the Christian dreamscape a church was built over a conveniently located cave in Bethlehem – over, that is, a cave previously consecrated to the worship of Adonis-Tammuz (Lord Tammuz).


A grander version of the church was built by emperor Justinian and much of it remains today, still featuring "the cave of the nativity".
 


Kuwaomba wafu

Hii vile vile ni ibada ya msingi katika Ukristo, ambayo hudhirika pale dini hiyo (ya Kikristo) inapowafundisha waumini wake kutumia sehemu ya sala zao kuwaomba watakatifu wao waliokufa! Kwa mfano, Wakristo wanayo sala maalum ya kumwomba Bikira Mariamu ambaye inafahamika wazi kuwa mtu huyo kishakufa tokea zamani. Mfano wa sala yao hiyo ni kama ile wasemayo:

"Kumbuka, ee Bikira Maria mpole sana, haijasikika kamwe kwamba ulimwacha mtu aliyekimbilia ulinzi wako, aliyeomba msaada na maombezi yako. Kwa matumaini hayo, nakukimbilia, ee Mama, Mkuu wa mabikira, Ninakuja kwako, nasimama mbele yako nikilalamika mimi mkosefu, ewe mama wa Neno wa Mungu. Naomba usikatae maneno yangu, bali uyasikilize. Amina. Tunakimbilia ulinzi wako, mzazi mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukikuomba katika shida zetu; utuokoe siku zote kila tuingiapo hatarini, ewe Bikira mtukufu mwenye baraka. Amina".(Tazama Chuo kidogo cha sala na nyimbo uk. 34).

Sambamba na sala hiyo, Wakristo pia wanayo sala maalum ya kumwomba mtakatifu Yosefu (Saint Joseph) ambaye naye pia ni mfu. Kupitia sala hiyo, wanamwomba Yosefu kama ifuatavyo:

"Ee Yosefu mwenye heri, tunakimbilia kwako katika masumbuko yetu, na kisha omba shime ya mchumba wako mtakatifu, tunaomba pia kwa matumaini usimamizi wako...". (Chuo kidogo cha sala na nyimbo uk. 37)

Kwa uchache haya ni baadhi tu ya maombi katika dini ya Kikristo ambayo wafuasi wake (Wakristo) huwaomba wafu.

Na yapo maombi mengi ambayo Wakristo huyatumia kuwaomba watakatifu wao wengi waliokufa, kama vile Petro (Saint Peter), Bernard (Saint Bernard) na kadhalika.

Ibada hii vile vile kama nyingine nilizozibainisha hapo awali, Yehova amewakemea vikali wanadamu kuzitenda kwa kuwa hazitokani na Yeye bali zinatokana na watu wa mataifa yaani wapagani.

Wakristo kuzitenda ibada hizi ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani.

Kinyume chake wanatenda ibada za dini ya mungu-mtu ya Kikristo.
 

Kama hutaki nirudie rudie na wewe kuanzia Leo usirudie rudie kuelekeza uso wako kibla ila badilisha elekeza makalio yako kibla [emoji12] kitu ya ushoga, kumuingilia maiti, na aisha kushughulikiwa na Swafan iko wazi [emoji117] hadith hii ya muhammad amejichanganya dhidi ya ili wapatikane Mashahidi.4 kuthibitisha uzinzi [emoji117] nakuongeza na hii kwamba alikuwa mtukanaji sanaà kwa wale walio kuwa wanampinga [emoji117]
 

Umeishiwa majibu [emoji12] unachotetea hapo sikioni wakati baba yake kassim ameyafanya hayo yoote kwa hiyari yake mwenyewe na raha zake[emoji15] na yeye amefanyiziwa acha avune alicho kipanda [emoji4] [emoji117] [emoji53] [emoji4]
 
Kisla kisla haki ya Mungu sikubishii [emoji12] umepatia karibu Italia nyau nyau nyauuu...[emoji38] [emoji38]
 
Mi nazani hapa ni suala la muda sizani kama utafiti juu ya jua kuizunguka dunia ama dunia kuzunguka jua limeshafungwa na kuthibitishwa na wanasayansi wengi..kutokana na hili bas pia naamin wapo wanasayansi wengine watatuletea habari mpya juu ya jua na dunia...
 

Hapa hatuongei based on personal opinion. Hapa tunaongea vitu kwa ushahidi tu. Kwani hapa ndiyo sehemu ya kujifunza. Sasa kila mmoja ni vyema aweke personal opinion pembeni na alete facts tu. Jenga hoja kwa maandiko ya either Biblia ambayo ndiyo kitabu chako au Quran ambacho ndiyo kitabu chetu tukufu. Sisi tunakupeni facts katika maandiko ya Biblia yenu. Hatutoi kichwani mwetu. Tunawapa reference ya Bible katika kila neno tusemalo. Hatusemi opinion zetu bali maandiko yenu. Sasa kama wewe unasema Prophet Muhammad ni mtu huyo umsemae wewe basi tupe ushahidi katika maandiko yetu. Kama huna ushahidi huo basi hizo opinion zako hazina tija kwani unazijenga kwa chuki ambayo haitakusaidia kitu wewe wala msomaji. Unaonekana mtu unayeongea upuuzi.

Sasa wacha nikufanilie upuuzi uliosema kama ifuatavyo;

Kwenye Quran kuna sehemu nyingi tu zinazosema kuwa Prophet Muhammad amekuja kwa ajili ya Whole MANKIND. Sio waarabu peke yao kama usemavyo wewe bila ushahidi wowote. Baadhi ya reference chache ni kama ifuatavyo; Soma hapo chini [emoji116][emoji116]

Chapter 25 Verse 1
1. “Blessed is He Who sent down the Furqan (The Distinction of right and wrong) upon His servant that he may be a Warner to the worlds;”

see Qur’an 7:158:-
Say, [O Muhammad], “O mankind, indeed I am the Messenger of Allah to you all, [from Him] to whom belongs the dominion of the heavens and the earth. There is no deity except Him; He gives life and causes death.” So believe in Allah and His Messenger, the unlettered prophet, who believes in Allah and His words, and follow him that you may be guided.

Also, Qur’an 21:107
And We have not sent you, [O Muhammad], except as a mercy to the worlds.

Kiarabu ni lugha iliyochaguliwa na Mungu kuwa itumike katika Quran. Na hiyo ndiyo Lugha utakayoongea wewe baada ya kufufuliwa. Leo makabila ya kila aina waislamu wanasoma Quran kwa kiarabu fasaha ingawaje wao sio waarabu. Hiyo ni ishara pekee kuwa Quran haikuja kwa waarabu. Kwani Original Bible ilikuwa imeandikwa Lugha Gani???? Kiswahili???? Mbona wewe unaifuata.

Hiyo TRINITY imetajwa kwa jamano kwenye Quran. Kwani kuna Dini nyingine zaidi ya Ukiristo iliyokuwa na na Doctrine ya TRINITY??? Nitajie kama unajua hiyo dini. Soma reference hiyo [emoji116][emoji116]

Quran 4:171
O People of the Scripture, do not commit excess in your religion or say about Allah except the truth. The Messiah, Jesus, the son of Mary, was but a messenger of Allah and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So believe in Allah and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allah is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allah as Disposer of affairs.

People of the Scripture ndiyo nyingi munayejiita Wakiristo. Endelea kusoma hapa[emoji116][emoji116]

Quran 5:73
They have certainly disbelieved who say, " Allah is the third of three." And there is no god except one God. And if they do not desist from what they are saying, there will surely afflict the disbelievers among them a painful punishment.

Hiyo inamaana nyinyi mupo katika Kundi la watu Musioamini. Hiyo Chapter mwishoni inaendelea kwa kusema;

Quran 5:116
And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.

Na YESU atajibu kwa kusema yafuatayo;

Quran 5:117
I said not to them except what You commanded me - to worship Allah, my Lord and your Lord. And I was a witness over them as long as I was among them; but when You took me up, You were the Observer over them, and You are, over all things, Witness.

Quran imezungumzia vya kutosha kuhusiana na nyinyi kumshirikisha MUNGU kupitia TRINITY DOCTRINE muliyoipandikiza. Vipi wewe unasema Quran haikuzungumzia TRINITY??? Hujui Quran, basi isome kama sisi tunavyosoma BIBLE Yenu.

Elewa kuwa Mitume yote imetii AMRI ya MUNGU na wote karibia walikuwa na matendo yanayofanana. Umesema pia Matendo ya YESU na Amri za Islam haziendani. Hebu tutazame nani Kati yenu nyinyi na Waislamu wanayotenda aliyotenda YESU;

1. Waislam Hawali Nguruwe, YESU pia haraka Nguruwe. YESU ni kama waislamu. Nyinyi munakula Nguruwe, nyinyi hamumfuati YESU.

2. Muslims are all Circumcised when still babies and So is Jesus. Gospel of Luke, which states in verse 2:21 that Jesus was circumcised eight days after his birth. Nyinyi wakiristo unatembea na Magovi yangu. Hamumfuati YESU.

3. Jesus greet "PEACE BE UPON YOU" au kwa kiswahili "AMANI IWE JUU YENU" ambayo ni sawa na Maamkizi ya Kiislam "SALAAM ALAIKUM", maana yake ni SALAM IWE JUU YENU. Tazama reference hizo;

"And as they were still talking about this, Jesus himself stood in the midst of them, and saith unto them, Peace be unto you." - New Testament (Luke 24:36)

"And into whatsoever house ye enter, first say, Peace be to this house." - New Testament (Luke 10:5)

"On the evening of that first day of the week, when the disciples were together, with the doors locked for fear of the Jews, Jesus came and stood among them and said, "Peace be with you!" - New Testament (John 20:19)

YESU alikuwa MUISLAM na kaishi kama WAISLAM wanavyoishi. Maisha ya YESU yanashabihiana na maisha ya WAISLAMU. Huo uthibitisho nimekupa kuwa YESU na WAISLAMU ni kitu kimoja. Nyinyi wakiristo hamupaswi kujiita wafuasi wa Yesu kwani hamumfuati hata kidogo. Pia nimekupa uthibitisho kuwa QURAN na Mtume Muhammad amzungumzia Yesu Mara nyingi tu. Wewe umeleta CLAIM za uwongo ambao hakutakiwi hapa.
 

Hayo majibu yako hayaendani na maelezo yangu. Nimekupatia Quotes za Bible za YESU kusema kuwa YEYE ameletwa kwa ajili ya wana wa ISRAEL pekee. Sasa wewe mbona unajibu upuuzi???
Kwa ukumbusho tu; soma nilichokuandikia awali kisha linganisha na jibu lako. Ni vitu viwili havifanani.

 
Kisla kisla haki ya Mungu sikubishii [emoji12] umepatia karibu Italia nyau nyau nyauuu...[emoji38] [emoji38]


Tulia Padri kama uko chumbani kwa askofu wako, daawa ikuingie usirushe vichwa

Kuabudu Sanamu

Hii pia ni ibada ya msingi katika dini ya Kikristo ambapo sala za waumini wake (Wakristo) huwa hazitimii bila ya kuomba na kuabudu sanamu. Masanamu yanayohusishwa zaidi katika ibada hizo ni pamoja na sanamu la mungu-mtu Yesu wa Kikristo akiwa amebebwa na mama yake na kwenye sanamu lingine akiwa amekufa msalabani, sanamu la "Bikira Maria", sanamu la malaika na masanamu mengine mengi ya watakatifu wa Kikristo waliokufa!

Kama maandiko ya Biblia tukufu yafundishavyo, ibada hii (ya sanamu) ifanywayo na Wakristo, kiasili imetokana na watu wa mataifa (wapagani). Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandiko yafuatayo:

"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao". (Zaburi 106:35-36).

Kwa uchache, maandiko hayo juu yanathibitisha wazi kuwa waasisi na wahusika wakuu wa ibada hiyo (ya sanamu) ni watu wa mataifa, yaani wapagani.

Sambamba na ukweli huo, Biblia haikuacha pia kubainisha jinsi Yehova alivyowakemea wanadamu tangu mapema kujaribu kuchonga (kufanya) na kuabudu sanamu, kama ifuatavyo:

"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).

Katika maandiko hayo juu, tunaona wazi jinsi Yehova anavyowakataza wanadamu kuchonga na kuabudu sanamu ya aina yoyote. Makemeo hayo juu ya Yehova ndio yanayosimamisha amri yake kuu ya pili kati ya amri zake zile kuu kumi ndani ya Biblia tukufu alizowapa wanadamu.

Ingawa alidhamiria kumhubiri Mungu mtu wa dini yake ya Kikristo mwenye desturi na sifa za miungu-watu ya wapagani, lakini Bwana Paulo hakuikubali ibada ya sanamu (tazama Wagalatia 5:19).

Hata hivyo, kwa kule kuwawekea Wakristo msingi wa kuzipenda na kuzifuata kwa moyo mkunjufu, imani na ibada za kipagani kamwe hawezi kukwepa dhima kutokana na leo ibada hiyo (ya sanamu) kujaa tele na kujizika mizizi katika dini yake ya Kikristo.

Kwa ujumla, ibada hiyo (sanamu) iliyomo katika dini ya Kikristo ni ibada inayotokana na dini ya kipagani ambayo (kama tulivyoona hapo awali) Yehova amewakataza vikali wanadamu kuitenda.

Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Musa, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s.), kwa kuwa ibada hiyo haitokani na yeye (Yehova).
 


Unataka tuingie tukujibu namna Yesu alivyokamatwa kule kwnye vichaka vya Gesthemane ili uzi ufungwe lakini hapa utapata daawa tuuuuu.

yesu alipokuwa akisujudu hivi alikuelekezea wewe makalio ???



 
Sijui kama mnaona tofauti waislam wanatoa refereemce za maandiko wakrsito wanaleta reference za watu na mafundishi ya kanisa wanayakimbia maandiko..!

Kwa taarifa yenu kimakadirio kila siku vitabu viwili vinaandikwa kuupinga uislam na muhamamad kwanza ni biashara nzuri ulaya pili wanataka wasioujua uislam wauchukie uislam so unapoleta vitu ambavyo we unaona landa vinachafua Muhhamad sababu mnadhan msingi wetu wa aiman upo kwa muhhamad kama nyinyi ulivyo kwa yesu sisi Muhhamad ni mtume tu na hakuna lingine nyie mnakuwa sio wa kwanza na mnafanya hivyo akichafuka muhamad unachafuka uislam lakin hamuwez kuhangaika na uislam wala mafundisho ya muhammad hamuwez kuya attack sababu ni mafundisho bora na mengi yameendana hata kwenye iman yenu so kimbilio lenu la kuu ili kuuchafua uislam ni kumchafua muhammad...

Muhammad kachafuliwa tangu akiwa hai kapigwa had mawe katika mji wa twaifu kaitwa mchawi, msoma mashairi vitu vyote kafanyiwa akiwa hai hta yeye alisema "uislam umenifanya nimekuwa dhalili sana nilikuwa nina sura nzuri leo uso una makovu sababu ya dini nilikuwa mtu ninaependwa na kuaminiwa hapa makka na watu walinipa amana zao niwashikie ila siku nilipokuwa mtume na kuanza kutangaza uislam nilikuwa ndio mtu mbaya kuliko wote" so nyie mnafanya marudio na bado uislam umeendela kukua kwa kasi duniani na leo tupo 1.8B...pamoja na kuchafuliwa kote huko.!

Ndio maana huwez kukuta musilam anatumia referenae yoyote tofauti na zilizopo kwenye bible na quran kusema juu ya yesu na sio kama hamna zipo wayahud wanaamin Yesu ni mtoto wa Zinaa lakin waislam hatuwez kusema hivyo vipo vitabu vingi juu ya yesu wengine wa yesu alioa na akazaa watoto wawili vipo vitabu vinasema alikuwa na mdogo wake wengine wamesema jesus alitoke Misri na maria magdalena alikuwa demu wake na kama unasoma sana vitabu vya kihistoria vitabu hivyo utakuwa umeviona na wanao andika sio waislam...huwez kumkuta muislam anaejua uislam anamsema Yesu vibaya hata humu limajidhirisha hilo ila nyie sababu mmeshalishwa sumu kuwa muhammad ni mtu wa hovyo na alikuja kumpinga Yesu mnajikuta hamuoni shida kusema muhammad ni shoga,alitomba maiti,alifira watu hivi hamjiulizi inaama sisi ni wajinga kiasi hicho kumfata mtu mashenz kiasi hicho hamjiulizi hamfikirii au mnadhan hatujui hizo story ambazo mnazipost hapa juu muhammad..!

Ndio maana leo baada ya maendeleo ya kimasiliano kuendelea wazungu wanaanza kuusoma uslam halisi nje ya ule wanaoujua kuwa ni Dini inamkandamiza mwanamke,dini ya wauwaji na mambo mengine mengi...ndio maan leo uislam unaenda kwa kasi ulaya na amerika sababu wanasoma sasa vitu sahihi makanisa yanabadilishwa kuwa misikiti sasa ulaya na na amerika pamoja na matusi yote na shutuma zote unazopewa uislam bado ndio dini inayoenea kwa kasi duniani..!

Bado naawambia ndugu zangu huenda mkapuuzia huu ujumbe ila jitafakarini mnapenda sana yesu ila mengi mnayoyafanya hajawaaagizaa na infomation mlizonazo juu ya uislam ni za watu wenye malengo ya kiprpopaganga na mafundusho ya makanisa na ni vitu ambavyo havina ushahidi vikihojiwa.!

Hakuna dini inge survive kwa attacks zinakutana nazo uislam na Allah aliwaweza kwenye kushindwa kwako kuibadili Quran sababu imeandikwa kwa ufundi wa hali ya juu na mapangilio sio wa kiuwezo wa kibinadamu na nduo maana Allah amesema kwenye Quran mnasema muhamad kaindika hii Quran basi leten mfano kitabu kama hiki, sehem nyigine akasema leten mfano wa sura moja na sehem nyigine akasema leten mfano wa aya moja...unaweza kuona ni zoez rahisi sababu haujui structure ya Quran ilivyopangwa kimahesabu kiasi kwamba ukitoa herufi moja umeharibu Quran yote...kuna siku ntawapa lecture ya Quran in numbers.. Wallah ukiijua hiyo hutainagalia Quran kama kitabu tu cha kawaida ndio maana tunakiita muujiza unaoish sema nyie wenzetu mnasoma kama gazeti au bible.!

Na sii kwamba hawajawahi kujaribu wamejarinu wamefail sabubu wakati dunia ipo kwenye kipindi cha leterature Quran ndio ilikuwa kitabu namba moja ulimwengun na mabingwa wa literature wamekiri hili na leo dunia ipo kwenye sayans na teknolijia bado Quran inaaishi na wakti uliopo sasa wapungufu watu wanajaribu kuyaleta ni madhaifu yao ya kitafsiri na wala sio kosa la Quran.!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…