masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mbona iko wazi Yesu ni mtu alietumwa na Mungu(big boss) aahahahahahaaa kiufupi yesu ni mtumwa tu kwa Mungu , endelea kutoka mishipa ya koo kumuita mtu anaejamba mashuzi kama ww kuwa ni Munguayat hii [emoji117] View attachment 863671View attachment 863672 sasa itolee maelezo kama hayo hayo uliyo mtolea EMANUEL [emoji12]
Bikira maria mama wa Mungu utuombee, ahahahahhahahahahahahaah yaani ata aibu amna
Unaleta tafsiri za Vatican , Yesu huyu mnaedai alitundikwa Kama ndafu ahahahahaahahahahaa huyo Mungu wako wa kichinaYesu wapi alilia lia Hivi kama baba yake kassim [emoji117] View attachment 863602 Yesu yupo Hai hadi Leo Anaendelea Kufundisha Wanafunzi wake, unamlinganisha na marehemu muham mad amekufa analia lia mapajani mwa kibubu cha Swafan [emoji117] View attachment 863605 yupo barzak anasikia fukuto, mvuke, mingurumo ya funza Wa shaba jehannam bado kutumbukia [emoji24] [emoji24] [emoji24]
sishangai kwa wewe kuanza kunawa kisha kukata gogo na kuvaa bukta na kanzu...[emoji12]hicho ndio ulichobakinacho mapicha lakini hoja zako za msingi nimezimaliza kweupeee, mimi huwa siangaiki na mapicha maana najua mapicha mara nyingi unakuwa ni umbeya al maarufuu udaku
Hahahahahahahajhajah hata wanafunzi wa yesu mbona awakujua kusoma , uje utangaze humu , halafu maandiko yapo wazi "MIONGONI " hili neno ni jibu tosha labda kama kiswahili ni tatizo kwako , hakuna hoja hapo unaangaika tu dogoView attachment 864529 [emoji24] [emoji24]
taratibu zake ndio kama hizo za swafan kula kihindi kichanganya cha Babu yake [emoji4]Ahahahahahahahahahahhahahahah unarudia yaleyale wewe kweli kuku , hapo hakuna hoja mpya unabaki kulialia swafan kalala na aisha , nimekwambia uislamu unataratibu zake , ili mtu awe na hatia lazima mashahidi wapatikane , nje ya hapo ni uzushi mtupu, swali ni rahisI unaweza thibitisha hao mashahidi wanne ? kama uwezi tutakupuuza ww kwa kuwa ni mdaku, swala la mtume kulala na maiti tumelimaliza ulichobaki ni kutapatapa,kuhusu wakiwa mwanamke na mwanaume wakiwa wawili, watatu ni shetwan hii hata mtoto wa chekechea anaelewa kuwa hadith hii inahusu watu ambao ni halali kuoana hivyo ushawishi wa shetani kuwafanya hawa kutenda ufuska ni mkubwa wakiwa wawili sasa hata hili tukufundishe alaaaaaaaa,mengine ulioyaleta sijaona hoja ya msingi maana ni mambo ambayo hata binti wangu wa darasa la 1 a naweza kukujibu
Utashangaa vip kama Mungu wangu katemewa mate unaona sawa,sasa kuna kipi utashangaa!!sishangai kwa wewe kuanza kunawa kisha kukata gogo na kuvaa bukta na kanzu...[emoji12]
Umekosa dalali za kuthibitisha madai yako, unalalamika kama mke wenzataratibu zake ndio kama hizo za swafan kula kihindi kichanganya cha Babu yake [emoji4]
pokea misumali hiyo umeyataka mwenyewe
View attachment 864529 [emoji24] [emoji24]
Ahahahhahhahahhhahah mbona utetezi wako hauna mashiko , Peculiar hakuna tena amejifafanua vizuri kuwa ni mwana wa adamu na ni mwana wa Mungu, hicho unachotaka kulazimisha hapo hakuna , Mungu wake , mungu wako, baba yake baba yako, usitake kumzidi mwalimuPECULIARITY HIZi HAPA.
[emoji116] [emoji116]
Yohana 10:36
je! Yeye ambaye Baba ALIMTAKASA, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?
Mathayo 12:6
Lakini nawaambieni, kwamba hapa yupo ALIYE MKUU KULIKO HEKALU.
Mathayo 12:8
Kwa maana Mwana wa Adamu NDIYE BWANA WA SABATO.
Mathayo 9:6
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya KUSAMEHE DHAMBI....
Yohana 11:25-27
[25]Yesu akamwambia,MIMI NDIMU HUO UFUFUO, NA UZIMA. YEYE ANIAMINIYE MIMI, AJAPOKUFA ATAKUA ANAISHI;
[26]naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. JE UNAYASADIKI HAYO?
[27]Akamwambia, Naam, Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.
Yohana 16:24
Hata sasa hamkuomba neno KWA JINA LANGU; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.
Luka 24:47
[47]na kwamba mataifa yote WATAHUBIRIWA KWA JINA LAKE habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanza tangu Yerusalemu.
Inachomaaaaa kama pasi , lazima akili ikukae sawa ahahahahhahahahhaeti misumari[emoji12] karibu View attachment 864535 ushushie na gilasi ya kohozi [emoji117] View attachment 864540 [emoji4]
Tulia dawa ikuingia kisawasawa mpaka ujinga ukutokeKashindwa hoja baba yake baada ya vitisho, mikwala, kuwatumainisha watu, ahadi hewa za kungono sardaus, kutembeza jambia...Akashindwa na watu wakaendelea kushahadia "HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO MTUME WAKE [emoji123] [emoji123] [emoji106]" baba yake kassim akamwaga povu akaanza kughani [emoji117] View attachment 863582 [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] itakuwa wewe gavana na vimstari vyako vya kuunga unga jioni unarudi kulala kilingeni [emoji12] [emoji57]
Huyo Paulo sijui sauli ndio aliewaaribu vijana hawa mpaka ikafikia mahali viumbe wenzao wanawaita Mungu, bange hiziTulia Padri kama uko chumbani kwa askofu wako, daawa ikuingie usirushe vichwa
Kuabudu Sanamu
Hii pia ni ibada ya msingi katika dini ya Kikristo ambapo sala za waumini wake (Wakristo) huwa hazitimii bila ya kuomba na kuabudu sanamu. Masanamu yanayohusishwa zaidi katika ibada hizo ni pamoja na sanamu la mungu-mtu Yesu wa Kikristo akiwa amebebwa na mama yake na kwenye sanamu lingine akiwa amekufa msalabani, sanamu la "Bikira Maria", sanamu la malaika na masanamu mengine mengi ya watakatifu wa Kikristo waliokufa!
Kama maandiko ya Biblia tukufu yafundishavyo, ibada hii (ya sanamu) ifanywayo na Wakristo, kiasili imetokana na watu wa mataifa (wapagani). Uthibitisho wa hilo tunaupata katika maandiko yafuatayo:
"Bali walijichanganya na mataifa, wakajifunza matendo yao. Wakazitumikia sanamu zao, Nazo zikawa mtego kwao". (Zaburi 106:35-36).
Kwa uchache, maandiko hayo juu yanathibitisha wazi kuwa waasisi na wahusika wakuu wa ibada hiyo (ya sanamu) ni watu wa mataifa, yaani wapagani.
Sambamba na ukweli huo, Biblia haikuacha pia kubainisha jinsi Yehova alivyowakemea wanadamu tangu mapema kujaribu kuchonga (kufanya) na kuabudu sanamu, kama ifuatavyo:
"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini duniani. Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).
Katika maandiko hayo juu, tunaona wazi jinsi Yehova anavyowakataza wanadamu kuchonga na kuabudu sanamu ya aina yoyote. Makemeo hayo juu ya Yehova ndio yanayosimamisha amri yake kuu ya pili kati ya amri zake zile kuu kumi ndani ya Biblia tukufu alizowapa wanadamu.
Ingawa alidhamiria kumhubiri Mungu mtu wa dini yake ya Kikristo mwenye desturi na sifa za miungu-watu ya wapagani, lakini Bwana Paulo hakuikubali ibada ya sanamu (tazama Wagalatia 5:19).
Hata hivyo, kwa kule kuwawekea Wakristo msingi wa kuzipenda na kuzifuata kwa moyo mkunjufu, imani na ibada za kipagani kamwe hawezi kukwepa dhima kutokana na leo ibada hiyo (ya sanamu) kujaa tele na kujizika mizizi katika dini yake ya Kikristo.
Kwa ujumla, ibada hiyo (sanamu) iliyomo katika dini ya Kikristo ni ibada inayotokana na dini ya kipagani ambayo (kama tulivyoona hapo awali) Yehova amewakataza vikali wanadamu kuitenda.
Kwa hali hiyo, ni dhahiri kuwa Wakristo kutenda ibada hiyo ni uthibitisho wa wazi kwamba hawamwabudu Yehova, Mungu wa Nabii Ibrahimu, Ismaili, Isaka, Yakobo, Musa, Yesu, Muhammad na Mitume na Manabii wake wengine wote aliowatuma duniani (a.s.), kwa kuwa ibada hiyo haitokani na yeye (Yehova).
Unamaanisha mtume Mwingira au nabii TitoSIO KILA ANAEJIITA MTUME BASI UTUME WAKE UNATOKA KWA MUNGU ALIE HAI.KUNA WENGINE NI MAKANJANJA TU..
MI NIMETUPA JIWE GIZANI NA KAMA LIMEKUPATA BASI LINAKUHUSUUnamaanisha mtume Mwingira au nabii Tito
Nabii tito siunamjua lakini? vip mtume Mwingira je?MI NIMETUPA JIWE GIZANI NA KAMA LIMEKUPATA BASI LINAKUHUSU
Kidole juu kasauti kadogo tulia tuliaa tuliaa.... Yallah [emoji38] [emoji38]Tulia dawa ikuingia kisawasawa mpaka ujinga ukutoke
HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAQI ILAHA YESU NA PAULO NI MTUME WAKE [emoji123] [emoji106] Habari ndio hiyo hutaki meza sumu ya panya usepe [emoji38] [emoji38]Inachomaaaaa kama pasi , lazima akili ikukae sawa ahahahahhahahahha