Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Wanamfanya yesu kama mbuzi ahahahaahahahaha
 
Huna MAMLAKA WALA SIFA YA kuwasema WAKRISTO [emoji12] [emoji15] tatizo la kutojua kusoma bado limekunda na utakufa nalo kama aliyo kufa baba kassim [emoji53] [emoji12]
Ahahahahahahhaajajaajaj unaanza kutoa mapepo, wakristo awaelewi na watapata tabu sana asa kitendo cha kumfanya mtu kuwa Mungu kitawatafuna sana
 
Pepo ya kuimba imba anaitaka nani? yaani mimi nijitese ujira uwe kuimba , kauli yangu ipo pale pale Mungu awezi kufanywa Toy na viumbe wake, huo ni upungufu wa akili
 
Ni kweli wapo miongoni mwao kama wewe , Mungu anakwambia Yesu ni mtu alietumwa na Mungu , Wewe umeendelea kutoa mishipa ya shingo na kutoka povu eti yesu ni Mungu, wewe huwezi kujua kitabu bali utajua kufuru zile za bwana Paulo ahahahahahhahaahahahaa
 
Inabidi tuwachukulie tu kwani ni kuliko wanafunzi wa chekechea , wanakunya na kujikojolea hapohapo, vitu vinawaingia polepole lakini shetani hawawachi bado
Ahahaahahhhahahahahahaha dondosha moja moja mpaka adabu iwapate wajue muumba wa mbingu na nchi anahitaji heshima sio kumlinganisha na viumbe vyenye kwenda chooni
 


JIULIZE, kwa nini watu wanaamini ufufuo?

MAJIBU

Paulo ndiye aliyefundisha ufufuo: Matendo 17:18 “...Wengine [Wayahudi] wakasema, Mpuzi huyu [Paulo] anataka kusema nini?
Wengine walisema, Anaonekana kuwa mtangaza habari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akihubiri habari za Yesu na ufufuo.”

Paulo ambaye hajamwona Yesu, vilevile alikiri kuwa ufufuo wa Yesu ni Injili yake 2 Timotheo 2:8 "Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka
katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo injili yangu."

Vilevile Paulo alikuwa ni mtu wa kwanza kutangaza kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu: Matendo 9:20 “Mara [Paulo] akamuhubiri Yesu katika masinagogi, ya kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.”

Kwa hiyo, Ukristo si mafundisho ya Yesu bali ya Paulo.
 
Mkristo...usijifanye Fundi Wa lugha zaidi ya aliye Tafsir hilo daftari lenu [emoji53]


Imani ya kuamini Mateso na Kifo cha Yesu kuwa ni wokovu, imekubaliwa na Kanisa baada ya karne tatu au nne tangu kuondoka kwa Yesu na kuicha dunia hii.

Imani hii inapingana na Biblia, kama vinavyoonyesha vifungu vifuatavyo:

Kumbukumbu 24:16 “Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.”

Yeremia 31:30 “Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe...”,

Ezekieli 18:20 “Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe; haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.”

Adamu na Hawa walibeba majukumu ya dhambi yao wenyewe, liyosamehewa na Allah kwa mujibu wa kitabu cha Uislamu.

Kwa nini unaamini ufufuo ikiwa Paulo mwenyewe, ambaye kamwe hajamwona Yesu akiwa hai, amekiri kuwa hilo lilikuwa ni la injili yake?

Soma 2 Timotheo 2:8.

"Mkumbuke Yesu Kristo, aliyefufuka katika wafu, wa uzao wa Daudi kama inenavyo injili yangu."
 
Ahahaahahahah ndio maana nikakwambia ishara ya Yona unaijua? Shetani na yuda ndio mashujaa kwenye tukio hilo la kutengenezwa, kama unabisha muondoe shetani uone kama yuda angefanya usaliti huo mnaoutengeneza kwa mayesu wa kichina
Tusidharau uwezo wa Mungu. Yuda hawezi kua factor..
 
Alimbusu kwani alimwabudu ??

Unashindwa kutofautisha jiwe na Mtu [emoji12] mbona mwenzio omari Alifahaimisha vyema [emoji117] kweli mpo gereza la shetani [emoji15]
 
Jibu swali wacha mboyoyo ahahahahahhahahahahahahah

amekuonya sana baba kassim kwamba [emoji117] haya akawapa Maelekezo tena wanao mwamini [emoji117] lakini kwa sababu wewe ni kafir innsui tena umevaa kibri!unamuona baba yake kassim hana alijualo ni zwazwa wahedi tu [emoji4] sasa wewe huamini ayat za mungu wako afu unataka Mimi niziamini wee itakuwa una mtindi Wa ubongo hau [emoji12]
 
Umeiganda Al baqara 78 kama ruba , huna jengine ndio iliyobakia , HAMAA HUKOOO USIJITIE WAZIMU
Nimeweka mto usingizi mnonooo [emoji4] kumbe hujui ADUI MKUBWA UISILAMU NI VITABU VYA KISILAMU NA WAISILAMU WENYEWE [emoji4]
 
unataka kila alilofanya yesu mtume afanye ahahahahaahahaahha Yesu njaa ilimkamata mpaka akatoa laana kwa mti , kweli njaa mbaya
unakurubuka as if umetoka kwenye miratul rasul ha kumuingilia maiti [emoji47] hilo jibu ulilo leta limewiana vipi na mazungumzo yangu na gavana [emoji53] [emoji47]
 
You killed it, even a fool can understand your detailed explanation. Bravo.
Some people reject the truth only because it requires change.
Kama ulishaona hivi karibuni Bondia wa wa Kibongo Hassan alipigana na Bondia wa kiingereza na kumpiga. Baada ya hapo alikuja mkalimani mmoja ambaye alikuwa anatafsiri maneno ya Hassan kwa kizungu wakati akihojiwa na mwandishi wa habari wa Uingereza. Huyo mkalimani alikuwa anaongea maneno tofauti na alichokuwa akikisema bondia Hassan. Lakini aliyekuwa anajua kuwa huyo mkalimani anachapia uongo tu ni mtu anayejua kiswahili tu. Kwa wazungu walikuwa wanamuona mkalimani mtu SAFI kabisa na huenda wamempa sifa nyingi huko kwao kwa kutafsiri bila kusita. Wazungu ni sawa na vipofu na sisi wenye kujua kiswahili ni sawa na wenye macho.

Sasa hapo jifananishe wewe sawa na wazungu wakati unapomsifia Venture kuwa katafsiri vizuri. Wewe ni sawa na kipofu.

Sasa endelea kusoma Uzi huu tukufahamishe makosa ya Venture.
 
Ahahahahahahahahaha tatizo sio kusimuliwa tatizo ni kusimuliana uongo , kama 1+1+1=1.huu ni uongo uliovuka mipaka lazima tukufundishe ili ujinga ukutoke, kuwa mpole
Kwa akili za mtu ASIEJUA KUSOMA NA ANAE MSOMEA KAFA UMEPATIA [emoji12]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…