Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Njoo kwa Yesu yuko Hai akufundishe kusoma [emoji106] kengele inàkuita kila asubuhi wajinga njoo wajinga njoooo..wee hutakj bakia na ujinga wako [emoji4]
Kengele ahahahahahahahahahah mimi nimekua mbwa, kama hautoacha kufuru tutakusaka popote ulipo
 
Hujui kusoma [emoji38] [emoji38] [emoji38] hiloo [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahahahahahahahahah kama hawa wanafunzi wa Yesu
MATENDO YA MITUME 4:13
";Basi walipoona ujasiri wa petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na ELIMU, wasio na MAARIFA , wakastaajabu , wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na yesu";
ahahahhaahahhaha njoo utangaze na hili ,yaani wewe lazima uache kumfanya Yesu(kiumbe kama Wewe) eti Mungu , huu ni uhuni uliovuka mipaka
 
Labda nikueleze hivi:-

Mpango wa Yesu Kristo Kufa ni Wa Shetani.
Kama ilivyoandikwa,"Uadui kati ya Uzao wa Mwanamke na Shetani'(Genesis 3:15)

Lakini Yesu alikua Mwaminifu hata Kifo cha Msalaba.(wafilipi 2:8)

Ilitabiriwa na Manabii wa Mungu kua ni Lazima Yesu Kristo apitie Kifo na Kufufuka..ili Mbegu ili iote na kuzaa Matunda Ni Lazima Ife na Izikwe katika ardhi.


Hii ndio test ya Juu, Hata Leo.

Wakristo ambao ni mashahidi wanakufa kwa ajili ya kutetea Imani.
Sio kama ile ya Kishetwaini ambapo Unaua Mtu ili kueneza Imani.



Shetani hutafuta kuwaangamiza
Watu wema waliopo Duniani. Akitaka wamkane KRISTO.


Shetani Alijaribu kumfanya Yesu Kristo atende Dhambi ili ashindwe Jukumu la Kuukomboa Ulimwengu na dhambi zao. Lakini kwakua Yesu Kristo Ndiye Simba wa Yuda, Alimshinda na Kumnyang'anya Funguo za Mauti na Kuzimu.



In Christianity point of view:
Mwili si Kitu kama ilivyo Roho.

Warumi 8:14
Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu

Hivyo ni Heri Uokoe Roho yako kwenye Jehanam ya Moto kuliko Mwili.

Mithali 4:23
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.


Kwahiyo Kuu DEFEAT Mwili haimaanishi Roho IMESHINDWA
[emoji116] [emoji116]

Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.

Hivyo, Yesu aliweza ku endure yote, Hata kufa Msalabani. Ndio Maana tunasema sio defeat bali Ni Triumph dhidi ya Mkuu wa Ulimwengu huu.

Yesu kwa kulifahamu hilo anasema:-
[emoji116] [emoji116]
Mathayo 26:41
... roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.


Warumi 8:8
Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
mbona unazunguka sana bila shetani Yesu asingesalitiwa , na kama asingesalitiwa (na yuda) asingekufa msalabani ( kama mnavyosema) , na kama asingekufa msingepata uokovu(bila aibu mwenzenu afe nyie muokolewe) , kwenye mlolongo huo toa shetani anzia kwa yuda uone kama kuna huo uokovu ahahahahahahahahahaha
 
Kwa akili za misukule umepatia [emoji15] [emoji12] funguka upate DAAWA sawia [emoji53]
Ni sheri ipi ya hesabu
1+1+1=1 ahahahahahahahahahhah unaamini hata kisichokuwepo hii hesabu ata mwanao atakwambia baba huo ni uongo ila kwa vile umeamua kuamini umekubali 1+1+1=3 ahahahahahahahhahahahah imani hizi jamani
 
unakurubuka as if umetoka kwenye miratul rasul ha kumuingilia maiti [emoji47] hilo jibu ulilo leta limewiana vipi na mazungumzo yangu na gavana [emoji53] [emoji47]
Unakurubuka ndio nini wewe? Ahahahahahahahahhahhaajajhahahahaja uliambiwa na nani binadamu mwenzako umfanye Mungu siujinga wako mwenyewe ahahahahaahahahahhajajaja
 
Nimeweka mto usingizi mnonooo [emoji4] kumbe hujui ADUI MKUBWA UISILAMU NI VITABU VYA KISILAMU NA WAISILAMU WENYEWE [emoji4]
Ahahahhahahahaaahahahahaja adui mkubwa wa yesu ni jitu la Kufuru paulo ahahahhahahahahhahaa hivi baba yake Paulo ni nani ?
 
Umesema damu haina hatia" si kila siku mnasema kusulubiwa kwa yesu ni jambo lililotabiriwa , yaani Yuda katimiza unabii mjomba yuda na shetani wamefanikisha ukombozi wenu ahahahahahahahah
John 13:1
Now before the feast of the passover, when Jesus knew that his hour was come that he should depart out of this world unto the Father, having loved his own which were in the world, he loved them unto the end.

Yesu alijua Saa yake imefika.

Yuda kama alikosea Sana katika kumsaliti Yesu. Usaliti ni dhambi.

.
 
Huyo ni Paulo amekushika akili unaamini mambo ambayo Yesu ajawai kukufundisha wapi Yesu alikwambia kuna " Fumbo la imani" wewe unatuletea maneno ya bingwa wa KUKUFURU , yesu amesema amefundisha waziwazi wala sio kwa kificho , miaka 100 baada ya yesu ndio mtu aje alete msamiati mpya tena amsingizie Yesu kama mwalimu wake , angalia Paulo anakupoteza
Paulo Yupo tu. Hata Ukimkataa. Amejaa ndani ya Bibilia.
 
Ni sheri ipi ya hesabu
1+1+1=1 ahahahahahahahahahhah unaamini hata kisichokuwepo hii hesabu ata mwanao atakwambia baba huo ni uongo ila kwa vile umeamua kuamini umekubali 1+1+1=3 ahahahahahahahhahahahah imani hizi jamani
Matthew 11:27
Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia

.John 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Unakurubuka ndio nini wewe? Ahahahahahahahahhahhaajajhahahahaja uliambiwa na nani binadamu mwenzako umfanye Mungu siujinga wako mwenyewe ahahahahaahahahahhajajaja
John 14:13
Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe NDANI YA MWANA.[emoji123]
 
Ahahahahahahahahahahahah kama hawa wanafunzi wa Yesu
MATENDO YA MITUME 4:13
";Basi walipoona ujasiri wa petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na ELIMU, wasio na MAARIFA , wakastaajabu , wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na yesu";
ahahahhaahahhaha njoo utangaze na hili ,yaani wewe lazima uache kumfanya Yesu(kiumbe kama Wewe) eti Mungu , huu ni uhuni uliovuka mipaka
Yesu ni Elimu Tosha. Mtaalamu wa filosofia.[emoji23] [emoji23] [emoji123]
 
Ahahahaahahahhaahahahha andaa koo vizuri mkaimbe na kuabudu peponi ahahhaaahhahaahaha nyie jiteseni tu huo ndio ujira wenu
John 14:6-7,13
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Ndio unaimbie wewe? Na leo uislam ndio dini inayisambaa kwa kasi amarica na ulaya na kule wanatumia nini? Hadith zenu za historia et uislam ulinea kwa upanga hazinaga mashiko mtume alipigana vita dhid ya makafari kama alivyopigana Daud,joshua na wengine wengi na baada ya hapo hamna kilichoendelea ila nafahamu kwenye historia hata Pope aliomba radhi kuhusu vita vya msalaba Crusade waliuwawa watu kisa sio wakristo...lakin tafute mahali uislam ukiingia kwa upanga julazikisha watu wawe waislam , uturuki,egypt,tunisia na morroco zote zilikuwa nchi za kikristo je zilibadilishwa kwa upanga
Sasa ndio umedhihirisha kuwa hujui kitu. Kwa taarifa yako hizo nchi zote ulizotaja zilisilimishwa kwa mapanga baada ya kutekwa na kuwekwa chini ya utawala wa waislam na sio hizo tuu hata Iraq,Iran,Pakistan nk.
Uliza masheikh wanaojua historia ya dini yao watakuambia na majina ya walioongoza vita hizo.
 
Sura ya 5:101 mbona iko wazi ";na mkiyauliza inapoteremshwa Quran MTABAINISHIWA"" sasa hapo kipi ujaelewa wakati Mungu amesema msiulize kwasababu Quran ikishuka itabainisha kipi halali kipi haramu kwanini tuangaike kuuliza, kiufupi hoja yako hakuna hapo,
Kuhusu al an'aam :68 mbona ipo wazi hiyo ni tahadhari anayopewa mtume kuhusu watu kama ww mnaoingilia aya Mungu anasema Yesu HAWAKUMSULUBU wewe umekomaa wamemsulubu ukiambiwa ni mayesu wangapi walisulubiwa unasema mmoja, ukiulizwa ni yesu yupi alisulubiwa saa tatu nani yesu yupi alisulubiwa saa sita , unabaki kupuyanga ahhahahaahahah



Sura ya 5:101 mbona iko wazi ";na mkiyauliza inapoteremshwa Quran MTABAINISHIWA"" sasa hapo kipi ujaelewa wakati Mungu amesema msiulize kwasababu Quran ikishuka itabainisha kipi halali kipi haramu kwanini tuangaike kuuliza, kiufupi hoja yako hakuna hapo,

AYA INAANZA NA KUWAONYA WAISILAMU [emoji117] MSIULIZE MSIULIZE MSIULIZE...MAMBO AMBAYO MKIDHIHIRISHIWA "YATAKYCHUKIZENI" KWA HIYO HAYA YOOTE MNAYOULIZA KOLOANI HAIKUSHUKA [emoji47] [emoji12] SI NDIO [emoji15] [emoji47]

Kuhusu al an'aam :68 mbona ipo wazi hiyo ni tahadhari anayopewa mtume kuhusu watu kama ww mnaoingilia aya Mungu anasema Yesu HAWAKUMSULUBU wewe umekomaa wamemsulubu ukiambiwa ni mayesu wangapi walisulubiwa unasema mmoja, ukiulizwa ni yesu yupi alisulubiwa saa tatu nani yesu yupi alisulubiwa saa sita , unabaki kupuyanga ahhahahaahahah

Mbona na Mimi nakbaliana na baba kassim kwamba hawakumsulubu ilaha alikusudiwa kukatwa kichwa na kumuua [emoji4] Ndipo baba kassim anapo wahadithia kwamba hawakumkata wala kumuua, alikimbiziwa Misri [emoji106] kwa herodi aliamuru watoto woote wachanga wakatwe vichwa! Kwa nini alitoa Amri hiyo? Baada ya kusikia mfalme wa kuchukua ufalme wake kazaliwa hivyo alikusudia kumkata! Alishindwa kumpata Yesu sababu watoto wadogo kushahabiana! Hivyo aliamuru watoto wadogo woote wakatwe vichwa Na si kusulubiwa Ndipo baba kasimu alipo sema walibabaishiwa na hawakuwa na hakika kama wamemuua Yesu.. kuthibitisha alicho simuliwa baba kasimu kwamba ni kisa cha UTOTONI, Dalili na ushahihidi ni ile aya inayoanza ya 156 na aya inayofuatia ya 157 kamalizia Kabisa na shaka [emoji106] View attachment 866883View attachment 866884 maswali ninayo jiuliza aliyepokea ndivyo sivyo ni baba yake kasimu, au maisilamu...uwezekano wa baba kassim kupokea ndivyo sivyo uwezekano upo manake hata jiburilu kuna wakati alimkemea kwamba hili si agizo langu [emoji117] View attachment 866921 hata allah naye alimkemea kwa uongo [emoji117]
IMG_20180915_140002_096.jpg
au kiti akimvaa [emoji117]
IMG_20180915_140225_008.jpg
IMG_20180915_140342_048.jpg
au Alipologwa na Yahudi Laabid
pmm-magic.jpg
au Alipokuwa simulizi za vijiweni wakati Wakristo na Wayahudi wana simuliwa kisa cha UTOTONI cha Yesu yeye akajua wanaelezea UKUBWANI [emoji12] yoote hayo yoote kwa mtu asie jua kusoma yanawezekana [emoji117]
 

Attachments

  • Screenshot_20180915-134957.jpg
    Screenshot_20180915-134957.jpg
    47.2 KB · Views: 19
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom