Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Njoo kwa Yesu yuko Hai akufundishe kusoma [emoji106] kengele inàkuita kila asubuhi wajinga njoo wajinga njoooo..wee hutakj bakia na ujinga wako [emoji4]
Kengele ahahahahahahahahahah mimi nimekua mbwa, kama hautoacha kufuru tutakusaka popote ulipo
 
Hujui kusoma [emoji38] [emoji38] [emoji38] hiloo [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahahahahahahahahah kama hawa wanafunzi wa Yesu
MATENDO YA MITUME 4:13
";Basi walipoona ujasiri wa petro na Yohana, na kuwajua ya kuwa ni watu wasio na ELIMU, wasio na MAARIFA , wakastaajabu , wakawatambua ya kwamba walikuwa pamoja na yesu";
ahahahhaahahhaha njoo utangaze na hili ,yaani wewe lazima uache kumfanya Yesu(kiumbe kama Wewe) eti Mungu , huu ni uhuni uliovuka mipaka
 
mbona unazunguka sana bila shetani Yesu asingesalitiwa , na kama asingesalitiwa (na yuda) asingekufa msalabani ( kama mnavyosema) , na kama asingekufa msingepata uokovu(bila aibu mwenzenu afe nyie muokolewe) , kwenye mlolongo huo toa shetani anzia kwa yuda uone kama kuna huo uokovu ahahahahahahahahahaha
 
Kwa akili za misukule umepatia [emoji15] [emoji12] funguka upate DAAWA sawia [emoji53]
Ni sheri ipi ya hesabu
1+1+1=1 ahahahahahahahahahhah unaamini hata kisichokuwepo hii hesabu ata mwanao atakwambia baba huo ni uongo ila kwa vile umeamua kuamini umekubali 1+1+1=3 ahahahahahahahhahahahah imani hizi jamani
 
unakurubuka as if umetoka kwenye miratul rasul ha kumuingilia maiti [emoji47] hilo jibu ulilo leta limewiana vipi na mazungumzo yangu na gavana [emoji53] [emoji47]
Unakurubuka ndio nini wewe? Ahahahahahahahahhahhaajajhahahahaja uliambiwa na nani binadamu mwenzako umfanye Mungu siujinga wako mwenyewe ahahahahaahahahahhajajaja
 
Nimeweka mto usingizi mnonooo [emoji4] kumbe hujui ADUI MKUBWA UISILAMU NI VITABU VYA KISILAMU NA WAISILAMU WENYEWE [emoji4]
Ahahahhahahahaaahahahahaja adui mkubwa wa yesu ni jitu la Kufuru paulo ahahahhahahahahhahaa hivi baba yake Paulo ni nani ?
 
Umesema damu haina hatia" si kila siku mnasema kusulubiwa kwa yesu ni jambo lililotabiriwa , yaani Yuda katimiza unabii mjomba yuda na shetani wamefanikisha ukombozi wenu ahahahahahahahah
John 13:1
Now before the feast of the passover, when Jesus knew that his hour was come that he should depart out of this world unto the Father, having loved his own which were in the world, he loved them unto the end.

Yesu alijua Saa yake imefika.

Yuda kama alikosea Sana katika kumsaliti Yesu. Usaliti ni dhambi.

.
 
Paulo Yupo tu. Hata Ukimkataa. Amejaa ndani ya Bibilia.
 
Ni sheri ipi ya hesabu
1+1+1=1 ahahahahahahahahahhah unaamini hata kisichokuwepo hii hesabu ata mwanao atakwambia baba huo ni uongo ila kwa vile umeamua kuamini umekubali 1+1+1=3 ahahahahahahahhahahahah imani hizi jamani
Matthew 11:27
Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia

.John 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Unakurubuka ndio nini wewe? Ahahahahahahahahhahhaajajhahahahaja uliambiwa na nani binadamu mwenzako umfanye Mungu siujinga wako mwenyewe ahahahahaahahahahhajajaja
John 14:13
Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe NDANI YA MWANA.[emoji123]
 
Yesu ni Elimu Tosha. Mtaalamu wa filosofia.[emoji23] [emoji23] [emoji123]
 
Ahahahaahahahhaahahahha andaa koo vizuri mkaimbe na kuabudu peponi ahahhaaahhahaahaha nyie jiteseni tu huo ndio ujira wenu
John 14:6-7,13
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
 
Sasa ndio umedhihirisha kuwa hujui kitu. Kwa taarifa yako hizo nchi zote ulizotaja zilisilimishwa kwa mapanga baada ya kutekwa na kuwekwa chini ya utawala wa waislam na sio hizo tuu hata Iraq,Iran,Pakistan nk.
Uliza masheikh wanaojua historia ya dini yao watakuambia na majina ya walioongoza vita hizo.
 




Mbona na Mimi nakbaliana na baba kassim kwamba hawakumsulubu ilaha alikusudiwa kukatwa kichwa na kumuua [emoji4] Ndipo baba kassim anapo wahadithia kwamba hawakumkata wala kumuua, alikimbiziwa Misri [emoji106] kwa herodi aliamuru watoto woote wachanga wakatwe vichwa! Kwa nini alitoa Amri hiyo? Baada ya kusikia mfalme wa kuchukua ufalme wake kazaliwa hivyo alikusudia kumkata! Alishindwa kumpata Yesu sababu watoto wadogo kushahabiana! Hivyo aliamuru watoto wadogo woote wakatwe vichwa Na si kusulubiwa Ndipo baba kasimu alipo sema walibabaishiwa na hawakuwa na hakika kama wamemuua Yesu.. kuthibitisha alicho simuliwa baba kasimu kwamba ni kisa cha UTOTONI, Dalili na ushahihidi ni ile aya inayoanza ya 156 na aya inayofuatia ya 157 kamalizia Kabisa na shaka [emoji106] View attachment 866883View attachment 866884 maswali ninayo jiuliza aliyepokea ndivyo sivyo ni baba yake kasimu, au maisilamu...uwezekano wa baba kassim kupokea ndivyo sivyo uwezekano upo manake hata jiburilu kuna wakati alimkemea kwamba hili si agizo langu [emoji117] View attachment 866921 hata allah naye alimkemea kwa uongo [emoji117] au kiti akimvaa [emoji117] au Alipologwa na Yahudi Laabid au Alipokuwa simulizi za vijiweni wakati Wakristo na Wayahudi wana simuliwa kisa cha UTOTONI cha Yesu yeye akajua wanaelezea UKUBWANI [emoji12] yoote hayo yoote kwa mtu asie jua kusoma yanawezekana [emoji117]
 

Attachments

  • Screenshot_20180915-134957.jpg
    47.2 KB · Views: 19
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…