Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Hizi porojo umetoa wapi bwana mdogo unaweza kuthibitisha mafundisho haya? Mimi naweza kukuthibitishia Ibrahim alimuoa dada yake baba mmoja, yakobo alioa mtu na dada yake, vile vile biblia inaruhusu kurithi mke wa kaka yako kama hakuzaaJamani uislamu raha sana mwanao akiowa demu mkali ukammezea mate unafanya mapinduzi unachukua mzigo (mkwe anabadilika kuwa mkeo) na nzuri zaidi hiyo ni sunna ya mtume.
Hala hala wababa wa kiislamu tujitahdi kuwaowa wake wa watoto wetu ili tupate thawabu kwa kufanya sunna hii tamu.
Hujui hili Neno kwakua hamna theology.Ushahidi upo wazi kabisa kuwa Ibrahim alitakiwa atoe "MWANAE WA PEKEE" hili nalo ulijui?kama ulijui sema tulete ushahidi waalimu tupo
Ukisema bikira maria malizia kama wenzio mama wa Mungu. sasa kama ameweza kumzaa Mungu wenu unastaajabu vip mambo madogo, kama wale wahindi wanaosema Mungu wao ni ng' ombe tu kwa kuwapa maziwa , vip nyie utukufu mnao mpa mama yenu aliemizalia Mungu mtu? "Bikira maria mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu" hii ni hatari nani kama mama ahahahahahahahahahahahaHujui hili Neno kwakua hamna theology.
Ukristo ni matokeo ya muunganiko wa mafunuo tangu Adam na Eve mpaka Kristo. Na Kristo ndiye Alfa na Omega. Ndio maana unapolazimishs kuhusu Ishmael, unakua umeingia Chaka.
Si Kazi yangu umuamini Yesu.
Hatahivyo, natumai hata Sasa umetambua kua kitabu chako nkimeandikwa na Binadamu tena mnatambua kua ni stark illiterate. Nachofurahia hautakua extremist na kujilipua like a foolhardy. Sote twajua Ilihitajika kosa moja tu:
Kusema Utatu unamhusu Bikira Maria. Linatosha
Hayo makosa mengine tuyaache. Yako too damaging.
Sijapata hata damu yake ya thamani pia.
Leo nipo nawashauri vijana wa kiislamu wapake wanja wapendeze kama mtume.
lakini pia navizia kisichana cha miaka 9 nifanye sunna ya mtume niende peponi.
Jamani uislamu raha sana mwanao akiowa demu mkali ukammezea mate unafanya mapinduzi unachukua mzigo (mkwe anabadilika kuwa mkeo) na nzuri zaidi hiyo ni sunna ya mtume.
Hala hala wababa wa kiislamu tujitahdi kuwaowa wake wa watoto wetu ili tupate thawabu kwa kufanya sunna hii tamu.
Ni akili ya maiti tu na Mtu ASIYE jua KUSOMA ndio wanoweza kuilinganisha Uwezo, Ukuu, na Maajabu ya Mwenyezi sawa na Babu yao hadi wanapiga sound humu KUWA ATAKALO MUNGU HAWEZI [emoji53]Ahahahaqhahaqhqhqhqhqqhqhhqhqhqhq
YOHANA 8:49
",lakini sasa mnatafuta kuniua mimi mtu, ambaye nimewaambia iliyo kweli, niliyoisikia kwa Mungu ,Ibrahim hakufanya hivyo"
Ahahahahhahahhahaha Yesu amemaliza tena hayo anayomiambia sio yake ameyasikia kwa Mungu, kwa kweli inahitaji ujitoe akili kweli kweli kumuita Yesu ni Mungu .Ndio maana alionya " mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu" alijua kuna vilaza kama wewe mtaanza kufundisha mambo ata Yesu(mwalimu) ajawahi kufundisha wapi kakufundisha yesu izo blah blah zako
ahahahhahahahahahaahhahahh kosa la Adam ni kula tunda sio kufukuzwa ahahahahhahaahahahahahahahahqha tuliza kichwa tukupe dawa , alipokula tunda aliomba msamaha AKASAMEHEWA
QURAN 2:37
";Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake mlezi, na Mola wake Mlezi ALIMKUBALIA TOBA YAKE; hakika yeye ndiye mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu";
ahahahhahaahahaa uislamu autambui dhambi ya ASILI ni mambo yakuokota okota ambaye hata akili yako wewe inakataa ila kwavile umeamua kuamini ujinga pole sana , kuhusu kushushwa duniani ndio lengo la binadamu kuumbwa na Mungu kuja kutawala sasa lengo linakuwaje adhabu ? acha bange ahahahahaha
The Israel Defense Forces (IDF) informed the family of the Palestinian terrorist, who killed soldier Ronen Lubarsky, that the entire four-story building where the assassin lived will be demolished. An IDF official said a message, intended to demolish two floors of the building, was transmitted to the family three weeks ago. However, in recent weeks, […]
The post Court Orders Murderer’s House to Be Demolished appeared first on JOL.
Kumbe hata nilivyo iweka kislam silamu napo huelewi; nikuulize Adam alikuwa tunda Akiwa duniani au sardaus [emoji47] [emoji53] utaelewa kwa lazima tu kama unavyo kula roasted farja View attachment 873175 [emoji117] View attachment 873178 [emoji39] [emoji39]
Ahahaaahaaaaaahhahahahah hoja yako iko wapi Ibrahim hakuwa mkristo wala myahudi sisi ndio tunafata mila ya Ibrahim
QURAN 3:67
";Ibrahim hakuwa Yahudi wala mkristo , lakini alikuwa mwongofu muislamu wala hakuwa katika washirikina"
Ahahaahhaahhahahahaha kila siku tunakuuliza nani alianza kumiita nyinyi WAKRISTO?
Mbona hii ni kawaida yao tu nchi hii aliipata kwa damu lazima ailinde kwa damu
KUMB la torati 20:17
";lakini UWAANGAMIZE kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na mhivi, na Myebusi , kama alivyokuamuru BWANA Mungu wako"
ahhahhahahaahahahhahah hapo hakuna cha kustaajabu ni kawaida yao
Mbona hii ni kawaida yao tu nchi hii aliipata kwa damu lazima ailinde kwa damu
KUMB la torati 20:17
";lakini UWAANGAMIZE kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na mhivi, na Myebusi , kama alivyokuamuru BWANA Mungu wako"
ahhahhahahaahahahhahah hapo hakuna cha kustaajabu ni kawaida yao
Hii cp Unasubiri INJILI nyingine hivyo laana tulahi [emoji83] [emoji379]Sasa twageukia yaliyofanyika katika muda aliokaa Yesu Msalabani. Hata katika dakika ya mwisho Yesu alikuwa imara kudakuliza:
Eloi, Eloi, lama sabachtani? (Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?)
Huzuni kubwa iliyoje hiyo, na yenye kuumiza mno iliyoje hali hiyo ya kukata kwake tamaa! Kilio chake hicho chaashiria kwa uwazi kwenye ahadi ya zamani na matumaini ambayo pengine Mungu alikwisha mpa. La sivyo, kilio chake hicho hakina maana asilani.
Hicho kinakataa katakata nia yake na upendo wake wa kujitwisha kwa hiyari mzigo wa dhambi za watu wengine, na kinakanusha moja kwa moja wazo hili ya kwamba yeye alitazamia kufikiwa na saa ya mauti wakati huo.
Kwa nini kilio hicho cha maumivu ikiwa yeye mwenyewe alidai kuadhibiwa hivyo? Kwa nini kumlaumu Mungu ama kumwomba
aokolewe? Maneno ya Yesu yanapaswa kuzingatiwa kutokana na yaliyofanyika hapo kabla.
Yeye alikuwa akimwomba Mungu wakati wote kwamba kikombe kichungu kimwepuke.
Sisi Waislamu twaamini ya kuwa Yesu alivyokuwa mwema na mtukufu akamfanya Mungu asikatae maombi yake.
Bila shaka alikwisha ambiwa ya kuwa dua yake imepokelewa tayari.
Siamini katu ya kwamba yeye alitoa roho yake juu ya msalaba.
Kwangu mimi hamna hapa hitilafu bali yote yanalingana na kuafikiana.
Alihesabiwa kuwa mfu kwa sababu ya maoni ya mtazamaji fulani ambaye hakuwa daktari wala hakupata nafasi ya kumkagua.
Mtazamaji tu mmoja aliyekuwa anamwangalia kutoka mbali akihangaika na kufadhaika isije Bwana wake mpendwa akafa, akaona tu kichwa chake kilichochoka sana kikainama na kikaegemea kifuani pake, basi akapaza tu sauti:
Lo, ametoa roho yake.
Hapa shabaha yetu ni kukagua tu mantiki na busara ya falsafa na itikadi ya Kikristo. Jambo ambalo limethibitika barabara ni kuwa Yesu alizimia au alikufa lakini kwa vyovyote mshangao wake unahakikisha ya kuwa yeye alitazamia kinyume kabisa cha kilichotendeka.
Kama ni kifo alichotaka, basi mshangao wake aliodhihirisha hauna maana kabisa
. Maelezo yetu sisi Waislamu ni kwamba Yesu alishangaa kwa sababu yeye aliahidiwa usiku mmoja kabla alipofanya maombi mbele ya Mungu ya kwamba ataokolewa katika kifo cha Msalabani.
Lakini Mungu alitimiza ahadi yake kwa mpango wa kumfanya azirai ili walinzi waamini kwamba amekufa na wakamkabidhi Yusufu wa Arimathaya mwili wake ili kuwatolea jamaa zake.
Mshangao wa Yesu tunaouona katika kauli yake ya mwisho, hata Pilato alishirikiana katika mshangao huo. Maana alipopashwa habari ya kifo cha Yesu, Pilato akasema kwa mshangao: 'Amekwisha kufa' (Marko 15:44).
Haikosi yeye Pilato alitambua kwa sababu ya kazi yake hiyo ya kuwa Gavana wa Uyahudi kwa muda mrefu ya kwamba mtu hawezi kufa haraka hivyo juu ya msalaba.
Alielewa sana ya kwamba mtu kupata kufa juu ya msalaba katika muda mdogo wa saa chache ni kinyume cha kawaida.
Hata hivyo akakubali ombi la kutoa mwili katika hali hiyo kwa siri. Ndiyo sababu yeye analaumiwa siku zote kwamba alifanya mpango wa kumwokoa Yesu. Inasemekana ya kwamba kwa sababu ya kushawishiwa na mkewe alipanga kumtundika msalabani katika wakati ulio karibu sana na Sabato.
Pili aliruhusu kutoa mwili ilhali ripoti ya kifo cha Yesu ilikuwana shaka shaka. Uamuzi huo wa Pilato uliwahangaisha sana
Wayahudi waliomlalamikia na kueleza shaka yao kuhusu kifo cha Yesu. (Mathayo 27:62-66). INAENDELEA
Hii cp Unasubiri INJILI nyingine hivyo laana tulahi [emoji83] [emoji379]
akili ya baba fatuû hiyo [emoji117] View attachment 873264 ambayo haiendani na Agizo la Mungu la qisasi Hivyo baba kasimu mafundisho yake ni dhaifu [emoji12] nikuulize ni mf; tu [emoji117] gavana kakubaka na kukula mvutu [emoji4] kwa mujibu Wa sheria ya qisasi na wewe lazima umbake na jumla mvutu...sasae gavana mtemi utafanyeje ili utimize sheria ya qisasi?? Ona mafundisho Thabiti ya Yesu [emoji117] View attachment 873322 na Prof Paulo karejea [emoji117] View attachment 873323kisasi ni cha Mungu tu [emoji117] View attachment 873324 mchana na ghilba za baba faûú daudi [emoji53]
Mimi naongelea TOHARA...unaleta hakuwa, hakuwa ...[emoji12] aaaaaàh [emoji57] kwani nani kakwambia Adam kawa?¿ kuanzia jiburilu, majini, muhammad na maislamu woote duniani mnafanya shingo ngumu hamtaki kutahiriwa mazunga...kama unabishia niwekee ayat humu kigezo chako baba fatûú kaifuata mila ya Ibrahim kwa kukata au kukatwa nyama ya govi lake [emoji53] ukiiweka Mimi nitaretadi na kuwa mchawi [emoji123] [emoji106]
Mtoto kama hujamkojoza kabla ya kulala atakojoa kitandani [emoji38] [emoji38]kwani hivi huyo unayemuabudu kama mungu alitahiriwa ???
Alitahiriwa kitu gani ???
Na kwa ajili gani ??
MAMBO YAHUSUYO TUKIO LA MSALABA:
Jambo jingine linalolingana na habari hiyo ni ule wakati maalum na tarehe iliyowekwa na Pilato kwa kuwambwa Msalabani. Hata
kabla hajaweka tarehe na wakati twasoma habari za baadhi ya mambo ambayo mtu asiwe na shaka ya kwamba yaliathiri uamuzi
wa mwisho.
Kwanza kabisa twajua kutokana na Agano Jipya ya kwamba mkewe Pilato hakupendezwa asilani na Pilato kumhukumu Yesu kwa sababu ya kuathirika na ndoto aliyoiota usiku wa kuamkia siku ya kusikilizwa kesi ya Yesu.
Mama huyo alitishika sana na ndoto hiyo iliyomtia imani ya kwamba Yesu hana kosa hata kwamba akaonelea kuingilia kusikilizwa kwa kesi na kumpelekea mumewe ujumbe wa ndoto yake (Mathayo 27:19).
Labda ilikuwa ni utetezi huo wa mkewe uliomfanya Pilato ajitenge na kumhukumu Yesu:
Basi Pilato alipoona ya kuwa hafai lolote, bali ghasia inazidi tu, akatwaa maji, akanawa mikono yake mbele ya mkutano, akasema, Mimi sina hatia katika damu ya mtu huyu mwenye haki; yaangalieni haya ninyi wenyewe. (Mathayo 27:24).
Hiyo inamaanisha ya kwamba yeye alikiri ya kuwa Yesu alikuwa hana kosa na kwamba hukumu kali aliyotoa ilikuwa kwa sababu
yeye alishurutishwa.
Ni wazi kabisa kutokana na Agano Jipya ya kwamba jamii ya Kiyahudi iliunganika pamoja dhidi ya Yesu ikanuia kabisa kwamba Yesu lazima apate kuadhibiwa. Hivyo, hukumu yoyote kinyume cha matakwa ya Wayahudi ingeweza kuchafua amani nchini.
Hali hiyo ndiyo ilimbana asiweze kitu na akadhihirisha kulazimika kwake kwa njia ya kitendo chake cha kunawa mikono yake.
Pilato alifanya jaribio jingine tena ili kumwokoa Yesu. Yeye akawapa hiari makutano hao wenye hasira kumwokoa mmojawapo kati ya Yesu au Barabbas, mhalifu mashuhuri. Na hiyo ndiyo dalili kubwa ya kuonesha hali ya moyo wa Pilato katika wakati huo.
Ni dhahiri shahiri kwamba yeye hakuwa na wazo la kumhukumu Yesu. Katika hali hiyo ya kisaikolojia yeye aliweka kusulibiwa kwake siku ya Ijumaa saa za jioni.
Hiyo inadokeza uwazi kwa ya kwamba yeye alifanya kusudi, kwani Sabato haikuwa mbali kutoka jioni ya Ijumaa, na Pilato akiwa msimamizi wa sheria alitambua habari hii zaidi kuliko mtu yeyote mwingine ya kwamba kabla halijatua jua mwili wa Yesu unatakiwa kuondolewa kutoka msalabani.
Na ndivyo kabisa ilivyotendeka.
Kwa kawaida muda wa siku tatu mchana na usiku ulitakiwa kumwua mtu kwa kuteseka sana juu ya Msalaba, lakini Yesu
akakaa saa chache tu juu ya Msalaba.
Mtu hana budi kushangaa ya kwamba mtu kama Yesu ambaye maisha magumu yalikuwa yamemfanya kuwa mgumu kafa kweli katika muda huo mfupi.
Je, huo siyo ufumbuzi wa siri ya tukio la Yona?
Kwa kuwa mtu aliyehukumiwa kwa hatia alikuwa kwa kawaida anatundikwa msalabani kwa siku tatu mchana na usiku, basi hilo
linamkumbusha mtu mithali ile ya Yesu kujifananisha na Yona ambayo imekwisha tajwa kabla.
Yona pia anafikiriwa kukaa katika tumbo la nyangumi kwa siku tatu, mchana na usiku.
Pengine yeye naye akatolewa katika saa tatu kwa mpango wa Mungu badala ya siku tatu. Basi kilichotendeka katika kisa
cha Yesu ndicho kioo cha kuonesha kilichotendeka kwa Yona. INAENDELEA
Eti dawa [emoji12] akili za kisilamu bana [emoji53] Hapo sio dawa ilaha sumu ambayo unamuumbua kungwi yako baba fatûü kwamba hajui kufunda tena unamkaanga mazima mazima [emoji38] [emoji38]Tulia kama uko chumbani kwa askofu wako upate daawa
Pia tunaona kutokana na Biblia ya kwamba mwili wake ulipoondolewa kutoka Msalabani, miguu yake haikuvunjwa, ilhali miguu ya wale wevi wawili waliowambwa pamoja naye msalabani ilivunjwa ili kuhakikisha kwamba wamekwisha kufa (Yohana 19:31-32).
Kumwachilia Yesu hamna budi kulisaidia kumzinduakatika hali ya kuzirai. Haiwezekani kukanusha uwezekano moja kwa moja ya kwamba walinzi waliagizwa na baadhi ya wajumbe wa Pilato wasimvunje Yesu Miguu yake. Pengine hiyo ilifanywa kama alama ya kumheshimu yeye na jamii ya Kikristo wasioelewa.
Kulingana na Biblia ubavu wake ulipochomwa mkuki ikabubujika damu na maji:
Lakini walipomjia Yesu na kuona kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki, na ikatoka damu na maji. (Yohana 19:33 -34)
Kama yeye alikwisha kufa na moyo wake uliacha kufanya kazi, isingeweza kububujika damu kwa wingi, damu iliyovilia na maji yake vingetoka pole pole.
Lakini hiyo siyo picha iliyotolewa na Agano Jipya; bali linasema ya kwamba damu na maji vikabubujika (vikatoka kwa nguvu), ama 'vikatoka damu na maji mara moja'. (Hasa soma Biblia ya Kiingereza).
Msishangae kuhusu 'maji' pia kutoka kwani Yesu alipata kuugua ugonjwa wa ngozi laini ya nje ya mapafu kwa sababu ya kusumbuliwa na kuudhika katika saa za kuadhibiwa juu ya msalaba.
Pia shida ya kuwambwa msalabani inaweza kuleta maradhi hayo ya mapafu yanayoitwa kwa Kiingereza Pleurisy ambamo majimaji yanakusanyika kama vifuko vya maji.
Hali kama hiyo kwa hakika huwa ya hatari sana na ya kuumiza kweli, lakini inaonekana hiyo ikamfaa Yesu kwani alipochomwa mkuki vifuko hivyo vya majimaji vilifanya kazi ya mto ili kumlinda sehemu zake muhimu za kifuani zisipate kuumia na mkuki.
Maji yakichanganyika na damu yakatoka haraka kwa sababu ya moyo kufanya kazi barabara. INAENDELEA