Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mbona hiyo aya na hizo hadith hazina ata uhusiano kabisaa , unataka kusema jambo gani hapo hivi hiyo aya umeisoma kweli?
 
Hii hoja alikuja nayo bwana mmoja humu mnamuita ileje , mbona tulishaijibu mda mrefu au ndio unachakuuliza
Ujibu kwani umeulizwa? Hiyo aliesema ni mudi jee kakuagiza umjibie [emoji15] [emoji47]
 
Ahahhahahaahaahahahahha mbona umekuwa mkali ndio nyie mnatangaza Mungu kavuliwa nguo kabaki na kibukta , huu ni ujinga wa kiwango kikubwa, Mungu awezi kuwa mtu ata wewe akili yako ndogo inalijua hilo sema ni mahaba yanakutesa

Ushahidi kwamba baba fatûú Anaye mungu wake ASIYE NA UWEZO [emoji117] ona kusudio la mungu wako [emoji117] [emoji117] Mungu wangu ananiwazia MEMA [emoji117] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 
Ndio maana nataka usome hiyo link andaa swali moja moja nami ntayajibu hapo ndio tutakapo elewana vizuri ndugu yangu, hiyo ndio njia bora ya kujifunza maswali na majibu
Msingi wa hoja yangu na wa hiyo link umelenga kusema kuwa Muhammad siyo nabii wa YHWH ila ni nabii wa allah.
YHWH aliongea na manabii katika lineage ya Ibrahim,Isaac na Jacob na baadaye Yuda kwa kihebrania wakati Muhammad amabaye hana uhusiano wowote wa kidamu na either Ibrahim au Ishmael aliongea na kufunuliwa kwa kusomewa kitabu na Jibril tena kwa lugha ya kiarabu mechanism ya mawasiliano ambayo haikutokea kwa nabii yeyote wa YHWH kwani lugha ya mawasiliano ilikuwa Kihebrania.Manuscripts zote za torati,injili na zaburi ziko kwenye lugha hiyo moja.
Hoja nyingine ni kwamba hakujawahi kutokea nabii yeyote wa kikristo au wa kiislamu
Nachokitaka ni ww kuthibitisha kinyume na hayo kwa reference
*NB.kwa nini simulizi za quran na hadith zinatafuta justification kwenye kitabu cha torati na vingine?kwa nini watu wahangaike kuuthibitisha unabii wa Muhammad kupitia injili na taurat ambayo nyie waislam mara nyingi mnaipinga kwa kusema kuwa imekuwa fabricated
Injili ya Yesu ni ipi?
 
Huku niachie mimi ndio mwalimu wa wakati huu , hakikisha huko wanaacha kufuru zote

mende anapo jisifia kushinda chooni kulabua mavi [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hata sasa hamja nipa ile fatwa ya jino kwa jino kalio kwa kalio [emoji117] gavana umebakwa na daudi kakula mvutu [emoji4] umeshindwa na wewe kumbaka daudi ili upate akili na UHAI kwa maana hata UHAI hamnao kutokana na agizo hili la kunyumbu nyumu [emoji117] nipeni jibu makafir nyie [emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20180923_153029_381.jpg
    23.4 KB · Views: 15
eti naendelea [emoji12] nguvu gani kubwa unayotaka Yesu kuidhihirisha zaidi ya KUKISHINDA KIFO [emoji53] Kweli kutojua kusoma ni shidàà [emoji4]
 
Mbona kisasi ni kawaida au usomi biblia yako ahahahaaahahahhah
 
eti naendelea [emoji12] nguvu gani kubwa unayotaka Yesu kuidhihirisha zaidi ya KUKISHINDA KIFO [emoji53] Kweli kutojua kusoma ni shidàà [emoji4]
Ahahhahahaaaahaaaahahaaa kushinda kifo?* kwani alisulubiwa saa ngap mpaka ashinde hicho kifo ahahahahhahahahhahha tukio lenyewe ni uongo mtupu
 
Ahahahhaahahaahahahaha bure kabisaa si ndio Mungu huyo huyo aliemtia ugumu firauni ili amwangamize? wewe bado ujaelewa unachokizungumza kabisaa, tena ndio huyu huyo aliwapiga wenye nchi yao ya ahadi ili waisrael waikalie kwa mabavu kabisa
 

hayo maneno kuwa Mohammad sio uzao wa ishmael unayatoa wapi ? halafu unazungumzia suala la lugha ivi lugha inaweza kuwa justification ya kukataa jambo , kinachotakiwa ni ujumbe sio lugha( hapo inaonekana umepitiwa) , halafu kuhusu kuzungumzia kuhusu vitabu vilivyopita ni jambo la lazima kwasababu nimeshakueleza mitume wote walijisalimisha(walinyenyekea ) kwa Mungu , kwahiyo hatubagui yeyote katika mitume hiyo yote tumeimini.Muislamu yeyote asieamini MITUME waliopita atakuwa amejitoa kwenye uislamu moja kwa moja
 
Naomba ufanye utafiti wa Muhamad kuwa Ishmaelite.Nakushukuru sana kwa utulivu na umakini wako wa kuitetea imani yako bila hasira wala jazba.
 
Ahahahahhhahhhhha mimi najibu uelewako mbovu juu ya maandiko ahahahahahahahahahahah

Kwa mujibu Wa koloani wewe na Mimi msomi nani [emoji47] [emoji47] Hao WASEMAO SISI NI WAKRISTO [emoji47] [emoji122] [emoji122] [emoji106] Ona Wafuasi Wa mtoto wa abd allah [emoji117] hamna lenu jambo ilaha uongo na kudhania [emoji12] [emoji12]
 
Sisi hatukatai usomi wako , kusoma ni jambo la lazima ndio maana mtume wetu akatuhusia tuitafute elimu hata kama inapatikana mbali sana mfano wa china, lakini hizo elimu zako tumepewa tahadhari maana mfano ukisema Yesu ni Mungu tukukimbie wewe ni tishio utatupeleka kwenye ukafiri kwasababu hilo fundisho ni kinyume na Quran onyo hili hapa
QURAN 3:100
"Enyi mlioamini ! mkiwatii baadhi ya wale waliopewa kitabu WATAKURUDISHENI kuwa makafiri baada ya uislamu wenu";

Hivyo basi wewe rukaruka lakini ukileta mambo ambayo QURAN aijafundisha hatutayapokea kwasababu utatupeleka kwenye ukafiri , tunajua hata Tanzania imefika hapa sababu ya wasomi wasiojua walichokisomea ahahahaahahaahaahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…