Ahahahhaahahaahahahaha bure kabisaa si ndio Mungu huyo huyo aliemtia ugumu firauni ili amwangamize? wewe bado ujaelewa unachokizungumza kabisaa, tena ndio huyu huyo aliwapiga wenye nchi yao ya ahadi ili waisrael waikalie kwa mabavu kabisa
1. Kwenye hiyo story ya Ishmael inasemwa wazi kua Ishmael alienda huko akakutana na Waarabu. .kwahiyo Waarabu walikuwepo before hand.hayo maneno kuwa Mohammad sio uzao wa ishmael unayatoa wapi ? halafu unazungumzia suala la lugha ivi lugha inaweza kuwa justification ya kukataa jambo , kinachotakiwa ni ujumbe sio lugha( hapo inaonekana umepitiwa) , halafu kuhusu kuzungumzia kuhusu vitabu vilivyopita ni jambo la lazima kwasababu nimeshakueleza mitume wote walijisalimisha(walinyenyekea ) kwa Mungu , kwahiyo hatubagui yeyote katika mitume hiyo yote tumeimini.Muislamu yeyote asieamini MITUME waliopita atakuwa amejitoa kwenye uislamu moja kwa moja
Niliamua kuwa mstaarab kunyamaza mwanaharamu apite1. Kwenye hiyo story ya Ishmael inasemwa wazi kua Ishmael alienda huko akakutana na Waarabu. .kwahiyo Waarabu walikuwepo before hand.
2. Quran inam-disqualify Mohammad seriously kua hajatokea kwenye line ya Prophethood. Ambayo inamhusu Abraham, Isaka na Israel.
3. Mohamad anashindwa kujibu masuali ili kutetea utume wake. Pamoja na kusema kua amepewa majibu na Malaika Jibril.
Imeelezwa hapo Juu.
4. Kwamba kuna mtume atatokea kwenye jangwa la Arabuni na kuleta dini moja. Jambo hili halipo. Hata Unabii wa Moses na Yesu hau fit ukipimwa kwa Mohammad.
5. Walioamini Utume wake walifanya hivyo kwa kuogopa kuuwawa. Mfano Asma bint Marwan au Kenana al Rabi. Na sio kwamba aalikubaliana naye.
Yako madai mengi. Kwahiyo ukiwa unaeleza hoja zako, weka kumbukumbu kua Uongo ili kuifurahisha dini haitakusaidia. Say No to Kitman, Tawriya or Taqiyyah.
Sijapambana na Gavana kwasababu moja kuu:-
Gavana hua hana majibu.
eti naendelea [emoji12] nguvu gani kubwa unayotaka Yesu kuidhihirisha zaidi ya KUKISHINDA KIFO [emoji53] Kweli kutojua kusoma ni shidàà [emoji4]
wee pofu, ziwi, na bubu na kamemory kako mukichwa ni kb.1 yalaàaa [emoji12]
mende anapo jisifia kushinda chooni kulabua mavi [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hata sasa hamja nipa ile fatwa ya jino kwa jino kalio kwa kalio [emoji117] gavana umebakwa na daudi kakula mvutu [emoji4] umeshindwa na wewe kumbaka daudi ili upate akili na UHAI kwa maana hata UHAI hamnao kutokana na agizo hili la kunyumbu nyumu [emoji117] View attachment 875446 nipeni jibu makafir nyie [emoji53]
wee pofu, ziwi, na bubu na kamemory kako mukichwa ni kb.1 yalaàaa [emoji12]
Hapa ndio nimepasoma. Ila nimeona umerudiarudia kubwabwaja. Unapingana hadi na Quran yako.Wakati wowote Yesu anapoonekana amekosea na ameshindwa kudhihirisha nguvu zake kubwa akiwa Mwana wa Mungu,
Wakristo wanajikinga kwa kudai ya kwamba yeye alikosea akiwa mtu siyo akiwa mungu.
Kwahiyo tunayo kila haki ya kuuliza na kujua waziwazi sehemu gani ndani yake ilikuwa mtu na ipi mungu.
Kukaa kwa mtu ndani ya Yesu kunataka ubongo wa 'mtu' mbali na ubongo wa 'mungu' ndani yake.
Ubongo ulipohuika basi 'mtu' ndani ya Yesu alihuika, kwani Uungu wa Yesu hauhitaji ubongo wa kiwiliwili ili kumsaidia.
Ubongo huo wa kiwiliwili uliingiwa tu na mungu alipokuwa ardhini mara ya kwanza, jinsi inavyokuwa katika mambo ya roho kwamba kitu fulani kinakuwa chombo ama njia ya kudhihirisha onyesho la kiroho. Basi kuhuika Yesu kutamaanisha kuhuika mtu ndani ya Yesu, kwani pasipo kuwa hivyo haiwezekani roho yake kurejea ndani ya mwili huo.
Kama jambo hilo halikubaliwi, hapo tutalikabili tatizo jingine la kukubali kwamba Yesu alikuwa na bongo mbili mbalimbali za
kujitegemea pindi alipokuwa duniani humu: Ubongo mmoja wa 'mtu' na mwingine wa 'mungu', zote mbili zikikaa mahali pamoja, lakini hazikulingana bali kila mmoja unajitegemea.
Kama ni hivyo, basi suala la kuhuika lichunguzwe upya ili uhakika wake hasa utambulikane. Basi hamna haja tena ya kufikiria ubongo wa kibinadamu kufanyizwa upya ili kuipatia dhamiri mahali pa kukalia. Bali twahitaji kufikiria kwamba Yesu analitembelea tena fuvu la kichwa cha mtu aliyekuwa mwenyeji wake wa zamani, ambamo ndani ya fuvu hilo mna masazo ya ubongo yaliyooza.
Kadiri tunavyochunguza kwa uangalifu zaidi suala hilo, ndivyo yanavyojitokeza matatizo zaidi katika kila daraja la uchunguzi.
Mtu anahitaji ubongo kuwa chombo cha mfuatano wa fikira.
Kuhusu kazi zinazofanywa na mwili wa kiwiliwili ni kwamba kama tukiamini kuwa dhamiri inakuwapo peke yake na inaishi
kwa kujitegemea, basi hiyo itamaanisha kwamba dhamiri na roho ni kitu kilekile kimoja. Waweza kuita dhamiri ama roho lakini
inaishi peke yake hata kama uhusiano wake na ubongo wa mtu unakatika.
Lakini kama dhamiri au roho inahitajika ili kuutawala mwili wa mtu ama inaathirika na yanayotokea katika ufalme wake
wa kiwiliwili, hapo bila shaka unahitajika ufungamano madhubuti baina ya dhamiri na ubongo ama roho na ubongo. La sivyo, hivyo (roho na ubongo) haviwezi kabisa kuathiri, kuhimiza au kutawala mafuatano ya kimwili na ya kiakili ama ya ki-maono katika mtu.
Naona hilo halina haja ya kujadiliwa.
Hilo linatuongoza kwenye tatizo jingine kubwa zaidi: Je, anayefanywa kuwa Mwana wa Mungu anahitaji kuutawala ama
kusimamia mwili kwa njia ya ubongo?
Na je, yeye anautegemea ubongo wa kiwiliwili kwa mfuatano wa fikra zake?
Kama yeye anavuka mipaka yote ya kibinadamu, na kama yeye anao mfumo wa kujitegemea wa mfuatano wa fikira ambao ni wa pekee kwake usiyo na kifani katika ulimwengu mzima aliouumba, hapo kurejea roho ya Mungu katika mwili wa mtu pamoja na dhamiri ya mtu kunaleta natija isiyolingana na akili yaani kupatikana kwa dhati iliyo na mifuatano miwili ya fikra inayopingana, kwani haiwezekani kwa dhamiri na roho ya mtu kulingana kikamilifu na dhamiri na dhati ya Mungu.
Kutakuwa na upinzani wa kudumu baina ya mifuatano hiyo miwili utakaosababisha mapambano ya kusumbua baina ya mawimbi ya ubongo.
Mwenye shida hiyo anafaa kutibiwa na mtaalamu wa utibabu wa maradhi ya roho mwenye uwezo zaidi ya mtu.
Huo pengine ndiyo ugonjwa mpya wa roho uitwao schizophrenia kwa Kiingereza.
Mtakatifu Paulo amezungumzia ufufuo wa Yesu Kristo kabisa katika maana hiyo. Yeye aliamini katika ufufuo wa si Yesu tu bali na ufufuo kwa ujumla wa wale wote wanaokufa nao wanastahili machoni mwa Mungu kujaliwa kuwapo kupya na namna mpya ya maisha.
Roho inakuwa hiyohiyo lakini makazi yake yanabadilika. Sawa na usemi wa Paulo Mtakatifu, hiyo ni kanuni ya kawaida ambayo haina budi ikubaliwe, la sivyo, Ukristo ama dini haitakuwa na maana.
Nyaraka za Paulo mtume kwa Wakarintho zinapaswa kusomwa kwa makini kwani hizo zina maana sana kuhusu suala hilo.
Hizo haziachi nafasi yoyote ya shaka, angalau kwangu mimi, ya kwamba wakati wowote yeye alipozungumzia Yesu kuonekana
hai baada ya kusulibiwa, alizungumza waziwazi pasipo shaka kuhusu kufufuka tu kwa Yesu, wala haikupitia moyo wake kwamba roho ya Yesu imerejea katika mwili wake ule ule wenye kufa na akahuika kimwili baada ya kufa katika maana ya kawaida.
Kama baadhi ya wataalamu wa Wakristo hawakubali nilivyoelewa kuhusu Paulo Mtakatifu, basi hapo hawatakuwa na budi kukubali ya kwamba Mtakatifu Paulo alijipinga kwa uchache katika baadhi ya maelezo kuhusu maisha mapya ya Yesu kuwa yeye alifufuka wala siyo kwamba mwili wake ulihuika ambamo roho yake inasemekana ilikuwa imefungwa.
Hapa chini kuna baadhi ya maneno yake yanayolingana na swala hilo yanayojieleza yenyewe:
Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake. (1Wakorintho 6:14).
Kadhalika na kiyama ya wafu. Hupandwa katika uharibifu, kufufuliwa katika kutokuharibika; hupandwa katika aibu, kufufuliwa katika fahari; kupandwa katika udhaifu, kufufuliwa katika nguvu; kupandwa mwili wa asili, kufufuliwa mwili wa kiroho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko. (1Wakorintho 15:42-44).
Kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanada ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe nauharibifu, nasi tutakubalika. Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, mauti imemezwa kwa kushinda. (1 Wakorintho 15:52-54).
Lakini tunao moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana. (2 Wakorintho 5:8).
INAENDELEA
Hapa ndio nimepasoma. Ila nimeona umerudiarudia kubwabwaja. Unapingana hadi na Quran yako.
SAYANSI huijuii. Unaanza kuhangaika kujadili ubongo.
Quran inasema imethibitisha na tulishaeleza huko nyuma;
Yesu ni Roho ya mwenyezi Mungu na ni NENO la Allah. Na bado Quran yako inakiri kua Yesu yupo Mbinguni.
Kumbe basi inadhihirisha Hata maandiko matakatifu husema:
James 2:19
Wewe waamini ya kuwa MUNGUNNI MMOJA ; watenda vema. Mashetani nao waamini na KUTETEMEKA.
Kubisha hizi bayana, itakulazimu ujitoe akili kwelikweli.
KUPAA KWA YESU
Habari ya Yesu Kristo kupaa haikutajwa na Mt. Mathayo na Mt.Yohana katika Injili zao.
Kutokutaja habari hiyo ya muhimu kabisa kunashangaza mtu.
Katika Injili tatu zinazofanana katika kusimulia mambo, Injili mbili tu za Marko2 na Luka3 zinataja habari za kupaa kwa Yesu.
Hata hivyo uchunguzi wa kisayansi na wa kitalaamu wa kisasa umethibitisha ya kuwa maneno ya kupaa kwa Yesu ndiyo
nyongeza ya baadaye iliyofanywa katika Injili hizo mbili.
Mistari hiyo haikuwamo katika matini ya asili.
Codex Sinaiticus ndiyo Biblia ya zamani zaidi, ya tangu karne ya 4, ambamo mna Agano la kale na Agano Jipya kikamilifu takriban. ( Ushahidi soma Uk 18 wa Jesus the Evidence, mwandishi Ian Wison (1984) )
Biblia hiyo inashuhudia ya kwamba mistari kuhusu Yesu kupaa haimo katika Marko na Luka, bali iliongezwa baadaye na mwandishi fulani kwa upendo wake.
Katika Codex Sinaiticus, Injili ya Marko inaishia kwa mstari wa 8 wa Mlango wa 16. Uhakika huo umekwisha tambuliwa katika baadhi ya chapa za kisasa za Biblia pia.( Ushahidi soma Uk 1024 wa The Holy Bible, New International Version (1984), Imeenezwa na
International Bible Society.)
Vile vile Injili ya Luka ya (24: 51) ndani ya Codex Sinaiticus hamna maneno haya: 'akachukuliwa juu mbinguni' Sawa na
mchunguzi wa maneno yaliyopata kuandikwa hivi au hivi, jina lake C.S.C. Williams, kama kweli mistari hiyo inakosekana katika
Codex Sinaiticus, basi hamna tena habari ya Yesu kupaa katika matini halisi ya Injili. (Ushahidi soma, The Secret of Mount Sinai, the story of finding the world’s oldest Bible Codex Sinaiticus; by James Bently uk 131.)
Hata mashahidi wa Jehovah wanaoamini sana Yesu kuwa 'Mwana' na kwamba yeye alipaa kwa Mungu Baba wamekiri mwishowe
ya kwamba mistari hiyo ya Marko na Luka ndiyo nyongeza katika matini ya asili bila msingi wowote .( Ushahidi soma New World Translation.)
Qhahahhahahahaahahaha hiyo picha ndio ya nani? halafu unaleta maneno hata mwenyewe ukirudia kusoma uwezi kuelewa maana hayana faida wala ayafundishi chochote , kijana ukija hapa kuongea na watu kama sisi jipange kweli kweli maana tunafahamu tunachokufundishaIngekuwa baba fatû ni mtu Wa kwanza kuhadithia hayo angalau kungekuwa na hoja!! Lakini wanaokota stori za Wakristo na Wayahudi anajidai wahyi [emoji12] [emoji53] na ndio sababu Wayahudi walikuwa wanamsalimu rainaa na yeye Alijibu twaib hadi yule mkewe Wa kiyahudi alipo mshitua...View attachment 875624
Unajua kuna shida kubwa kwenye uelewa wako unaweza kunionyesha na kuniambia muarabu ni mtu gani? nakusubiri kwa moyo mkunjufu1. Kwenye hiyo story ya Ishmael inasemwa wazi kua Ishmael alienda huko akakutana na Waarabu. .kwahiyo Waarabu walikuwepo before hand.
2. Quran inam-disqualify Mohammad seriously kua hajatokea kwenye line ya Prophethood. Ambayo inamhusu Abraham, Isaka na Israel.
3. Mohamad anashindwa kujibu masuali ili kutetea utume wake. Pamoja na kusema kua amepewa majibu na Malaika Jibril.
Imeelezwa hapo Juu.
4. Kwamba kuna mtume atatokea kwenye jangwa la Arabuni na kuleta dini moja. Jambo hili halipo. Hata Unabii wa Moses na Yesu hau fit ukipimwa kwa Mohammad.
5. Walioamini Utume wake walifanya hivyo kwa kuogopa kuuwawa. Mfano Asma bint Marwan au Kenana al Rabi. Na sio kwamba aalikubaliana naye.
Yako madai mengi. Kwahiyo ukiwa unaeleza hoja zako, weka kumbukumbu kua Uongo ili kuifurahisha dini haitakusaidia. Say No to Kitman, Tawriya or Taqiyyah.
Hata yule mchungaji mmoja wa uganda aliwachoma moto kanisa na kuua watu wengi akidai ni mafundisho ya Yesu, hata nabii Tito mmekataa kweupe, sasa unakuja na habari za makadiani hapa ahahahahahhaahahahahahhajahajh watafute muonyeshane wewe na makadiani hayo makaburi ya yesu ahahahahaaaa eti kuna Yesu kazikwa India halafu kuna Yesu alizikwa Israeli ahahahahaahhahaha ndio maana nikakwambia ni mambo ya kuunga unga hakuna kitu kama hichoNa makadiani wanasema Yesu kafia India unawaamini [emoji47] [emoji53] kama huwaamini unaletaje mineno ya kukuaminisha sisi tuwaamini Hao Yehova [emoji47] [emoji47] jiunge nao sababu mko mlingano na mawazo yao [emoji38] [emoji38] kuanzia sasa nitakutambua kuwa "gavana the Yehova witnes" [emoji4]
Sasa hiyo aya inahuusiano gani na gavana ?ahahahahhahaahhahaahahaha , unaunga unga tu ndio wanafiki wapo popote pale ndio maana tunasema bora mchawi kuliko mnafiki (sina maana uchawi unafaaa) , kwasababu mnafiki anakuwa miongoni mwenu kumbe sio katika nyinyi , mkiyapanga yeye anavujisha siri zenu. inakuwa rahisi adui kumishambulia kwasababu anajua siri zenuYaani unacho kiandika unamdhalilisha mtume wako kwamba hadi anawaagiza miamini Al Kitab alikuwa hajui hayo uliyo c&p Kweli wazimu ni fani na ndio sababu baba fatuma alisema [emoji117] View attachment 875772 kuna wanafiki wamejenga Msikitini kutia udhia na kuimarisha ukafiri [emoji12] MUNAFIKI MKUBWA WEE [emoji117] View attachment 875783
Na QURAN inathibitisha kuwa Yesu ni mtu tena hata chembe ya uungu amekosa, na vile vile BIBLIA anathibitisha kwamba Yesu kinywa chake akisema wazi kabisa yeye ni mtu tu alietumwa na Mungu(Big boss), na yeyote anaesema Yesu ni Mungu huyo anamsemea Yesu baada ya kuvimbiwa shibeHapa ndio nimepasoma. Ila nimeona umerudiarudia kubwabwaja. Unapingana hadi na Quran yako.
SAYANSI huijuii. Unaanza kuhangaika kujadili ubongo.
Quran inasema imethibitisha na tulishaeleza huko nyuma;
Yesu ni Roho ya mwenyezi Mungu na ni NENO la Allah. Na bado Quran yako inakiri kua Yesu yupo Mbinguni.
Kumbe basi inadhihirisha Hata maandiko matakatifu husema:
James 2:19
Wewe waamini ya kuwa MUNGUNNI MMOJA ; watenda vema. Mashetani nao waamini na KUTETEMEKA.
Kubisha hizi bayana, itakulazimu ujitoe akili kwelikweli.
Na makadiani wanasema Yesu kafia India unawaamini [emoji47] [emoji53] kama huwaamini unaletaje mineno ya kukuaminisha sisi tuwaamini Hao Yehova [emoji47] [emoji47] jiunge nao sababu mko mlingano na mawazo yao [emoji38] [emoji38] kuanzia sasa nitakutambua kuwa "gavana the Yehova witnes" [emoji4]
Sasa hiyo aya inahuusiano gani na gavana ?ahahahahhahaahhahaahahaha , unaunga unga tu ndio wanafiki wapo popote pale ndio maana tunasema bora mchawi kuliko mnafiki (sina maana uchawi unafaaa) , kwasababu mnafiki anakuwa miongoni mwenu kumbe sio katika nyinyi , mkiyapanga yeye anavujisha siri zenu. inakuwa rahisi adui kumishambulia kwasababu anajua siri zenu
Sasa hiyo aya inahuusiano gani na gavana ?ahahahahhahaahhahaahahaha , unaunga unga tu ndio wanafiki wapo popote pale ndio maana tunasema bora mchawi kuliko mnafiki (sina maana uchawi unafaaa) , kwasababu mnafiki anakuwa miongoni mwenu kumbe sio katika nyinyi , mkiyapanga yeye anavujisha siri zenu. inakuwa rahisi adui kumishambulia kwasababu anajua siri zenu
Ahahahhahhahahahahhah kumbe unajijua wewe ni kafiri ,ahahahhahahahahaahahahhaha , hizo attachment zako azifunguki hayo madai yako kwa gavana ni malalamiko tu kwasababu anakuchapa kipigo cha mbwa mwizi, Ahahahhahhahaha Gavana leta nondo mpaka akili iwakae sawaUnafiki wa gavana the witch huuoni kweli [emoji47] [emoji12] kweli hata anavyo mdhalilisha mtume Wa waisilamu dhahir na kipunjo napo pia huoni??? Ili uwe Muislamu muumini LAZIMA utwiih na kuyaishi maagizo ya koloani na baba kasim [emoji106] koloani inawaagiza waumini [emoji117] View attachment 876113View attachment 876114 kwa akili zako masudi, gavana the y witness anayafuata maagizo ya Qur'an [emoji47] [emoji53] kama hayafuati tungemuita kama mnavyo niita Mimi kafir, lakini kwa gavana kumuita kafir tu haitoshi LAZIMA aitwe pia MNAFiki [emoji106] sababu huko uswazi anapo kuwa na waumini anajiita muumini na Akiwa humu na sisi Makafiri anadhihirisha ukafiri wake kwa dhahir na kipunjo [emoji53] View attachment 876239View attachment 876240 kazi yake kubwa ni kutia udhia na kuimarisha ukafiri [emoji106]