Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahhaahahaahahahaha bure kabisaa si ndio Mungu huyo huyo aliemtia ugumu firauni ili amwangamize? wewe bado ujaelewa unachokizungumza kabisaa, tena ndio huyu huyo aliwapiga wenye nchi yao ya ahadi ili waisrael waikalie kwa mabavu kabisa

Ingekuwa baba fatû ni mtu Wa kwanza kuhadithia hayo angalau kungekuwa na hoja!! Lakini wanaokota stori za Wakristo na Wayahudi anajidai wahyi [emoji12] [emoji53] na ndio sababu Wayahudi walikuwa wanamsalimu rainaa na yeye Alijibu twaib hadi yule mkewe Wa kiyahudi alipo mshitua...
Mohammed_creates_islam.jpg
 
hayo maneno kuwa Mohammad sio uzao wa ishmael unayatoa wapi ? halafu unazungumzia suala la lugha ivi lugha inaweza kuwa justification ya kukataa jambo , kinachotakiwa ni ujumbe sio lugha( hapo inaonekana umepitiwa) , halafu kuhusu kuzungumzia kuhusu vitabu vilivyopita ni jambo la lazima kwasababu nimeshakueleza mitume wote walijisalimisha(walinyenyekea ) kwa Mungu , kwahiyo hatubagui yeyote katika mitume hiyo yote tumeimini.Muislamu yeyote asieamini MITUME waliopita atakuwa amejitoa kwenye uislamu moja kwa moja
1. Kwenye hiyo story ya Ishmael inasemwa wazi kua Ishmael alienda huko akakutana na Waarabu. .kwahiyo Waarabu walikuwepo before hand.

2. Quran inam-disqualify Mohammad seriously kua hajatokea kwenye line ya Prophethood. Ambayo inamhusu Abraham, Isaka na Israel.

3. Mohamad anashindwa kujibu masuali ili kutetea utume wake. Pamoja na kusema kua amepewa majibu na Malaika Jibril.
Imeelezwa hapo Juu.

4. Kwamba kuna mtume atatokea kwenye jangwa la Arabuni na kuleta dini moja. Jambo hili halipo. Hata Unabii wa Moses na Yesu hau fit ukipimwa kwa Mohammad.

5. Walioamini Utume wake walifanya hivyo kwa kuogopa kuuwawa. Mfano Asma bint Marwan au Kenana al Rabi. Na sio kwamba aalikubaliana naye.

Yako madai mengi. Kwahiyo ukiwa unaeleza hoja zako, weka kumbukumbu kua Uongo ili kuifurahisha dini haitakusaidia. Say No to Kitman, Tawriya or Taqiyyah.
 
Niliamua kuwa mstaarab kunyamaza mwanaharamu apite
 
Sijapambana na Gavana kwasababu moja kuu:-
Gavana hua hana majibu.

Wakati wowote Yesu anapoonekana amekosea na ameshindwa kudhihirisha nguvu zake kubwa akiwa Mwana wa Mungu,
Wakristo wanajikinga kwa kudai ya kwamba yeye alikosea akiwa mtu siyo akiwa mungu.

Kwahiyo tunayo kila haki ya kuuliza na kujua waziwazi sehemu gani ndani yake ilikuwa mtu na ipi mungu.

Kukaa kwa mtu ndani ya Yesu kunataka ubongo wa 'mtu' mbali na ubongo wa 'mungu' ndani yake.

Ubongo ulipohuika basi 'mtu' ndani ya Yesu alihuika, kwani Uungu wa Yesu hauhitaji ubongo wa kiwiliwili ili kumsaidia.

Ubongo huo wa kiwiliwili uliingiwa tu na mungu alipokuwa ardhini mara ya kwanza, jinsi inavyokuwa katika mambo ya roho kwamba kitu fulani kinakuwa chombo ama njia ya kudhihirisha onyesho la kiroho. Basi kuhuika Yesu kutamaanisha kuhuika mtu ndani ya Yesu, kwani pasipo kuwa hivyo haiwezekani roho yake kurejea ndani ya mwili huo.

Kama jambo hilo halikubaliwi, hapo tutalikabili tatizo jingine la kukubali kwamba Yesu alikuwa na bongo mbili mbalimbali za
kujitegemea pindi alipokuwa duniani humu: Ubongo mmoja wa 'mtu' na mwingine wa 'mungu', zote mbili zikikaa mahali pamoja, lakini hazikulingana bali kila mmoja unajitegemea.

Kama ni hivyo, basi suala la kuhuika lichunguzwe upya ili uhakika wake hasa utambulikane. Basi hamna haja tena ya kufikiria ubongo wa kibinadamu kufanyizwa upya ili kuipatia dhamiri mahali pa kukalia. Bali twahitaji kufikiria kwamba Yesu analitembelea tena fuvu la kichwa cha mtu aliyekuwa mwenyeji wake wa zamani, ambamo ndani ya fuvu hilo mna masazo ya ubongo yaliyooza.

Kadiri tunavyochunguza kwa uangalifu zaidi suala hilo, ndivyo yanavyojitokeza matatizo zaidi katika kila daraja la uchunguzi.

Mtu anahitaji ubongo kuwa chombo cha mfuatano wa fikira.

Kuhusu kazi zinazofanywa na mwili wa kiwiliwili ni kwamba kama tukiamini kuwa dhamiri inakuwapo peke yake na inaishi
kwa kujitegemea, basi hiyo itamaanisha kwamba dhamiri na roho ni kitu kilekile kimoja. Waweza kuita dhamiri ama roho lakini
inaishi peke yake hata kama uhusiano wake na ubongo wa mtu unakatika.

Lakini kama dhamiri au roho inahitajika ili kuutawala mwili wa mtu ama inaathirika na yanayotokea katika ufalme wake
wa kiwiliwili, hapo bila shaka unahitajika ufungamano madhubuti baina ya dhamiri na ubongo ama roho na ubongo. La sivyo, hivyo (roho na ubongo) haviwezi kabisa kuathiri, kuhimiza au kutawala mafuatano ya kimwili na ya kiakili ama ya ki-maono katika mtu.

Naona hilo halina haja ya kujadiliwa.

Hilo linatuongoza kwenye tatizo jingine kubwa zaidi: Je, anayefanywa kuwa Mwana wa Mungu anahitaji kuutawala ama
kusimamia mwili kwa njia ya ubongo?

Na je, yeye anautegemea ubongo wa kiwiliwili kwa mfuatano wa fikra zake?

Kama yeye anavuka mipaka yote ya kibinadamu, na kama yeye anao mfumo wa kujitegemea wa mfuatano wa fikira ambao ni wa pekee kwake usiyo na kifani katika ulimwengu mzima aliouumba, hapo kurejea roho ya Mungu katika mwili wa mtu pamoja na dhamiri ya mtu kunaleta natija isiyolingana na akili yaani kupatikana kwa dhati iliyo na mifuatano miwili ya fikra inayopingana, kwani haiwezekani kwa dhamiri na roho ya mtu kulingana kikamilifu na dhamiri na dhati ya Mungu.

Kutakuwa na upinzani wa kudumu baina ya mifuatano hiyo miwili utakaosababisha mapambano ya kusumbua baina ya mawimbi ya ubongo.

Mwenye shida hiyo anafaa kutibiwa na mtaalamu wa utibabu wa maradhi ya roho mwenye uwezo zaidi ya mtu.

Huo pengine ndiyo ugonjwa mpya wa roho uitwao schizophrenia kwa Kiingereza.
 
eti naendelea [emoji12] nguvu gani kubwa unayotaka Yesu kuidhihirisha zaidi ya KUKISHINDA KIFO [emoji53] Kweli kutojua kusoma ni shidàà [emoji4]

Baada ya kueleza hayo, tuliangalie jambo hilo kwa jiha nyingine.
Nikiisha taali Ukristo mpaka undani wake kadiri fulani, nimetambua kwamba baadhi ya istilahi na matumizi yake havikueleweka barabara wala hapakutambulikana matokeo ya istilahi hizo zisipotumika mahali panapofaa.

Nadharia ya Kikristo haieleweki vizuri akilini kwa sababu ya matatizo hayo na kutumia istilahi hizo pasipohusikana. 'Kuhuika upya' ni istilahi mojawapo na 'kufufuka' ni nyingine, ambazo zina muradi tofauti.

Mpaka sasa tumetumia kusudi istilahi ya 'kuhuika' upya wakati wa kuzungumzia Yesu kupata uhai mara ya pili.

Tulivyokwisha ona kutokana na maelezo ya hapo kabla, kuhuika upya kunamaanisha kurejea kwa hali ambamo mwili wa kibinadamu unaanza kufanya kazi zote tena baada ya kufa.

Lakini 'kufufuka' ni kitu kingine kabisa.

Kwa bahati mbaya Kanisa duniani kote linahusika na kuleta mpasuo katika mioyo ya Wakristo kwa kutumia vibaya istilahi hizo, kwa kuiweka mojawapo mahali pa ya pili, au kwa uchache kuinasibisha maana ya mojawapo kwa ile nyingine.

Wakristo wengi wanafahamu kufufuka Yesu ni kuhuika kwa mwili huo huo wa kiwiliwili aliouacha wakati alipokufa wanavyofikiri.

Naam, sisi hatuafikiani nao bali tunayo haki ya kuieleza hali hiyo kuwa kuzimia siyo kufa.

Kama maneno 'kufufuka kwa Yesu' yakifahamika sawasawa na kutumika vizuri, hayo hayawezi kumaanisha roho yake kurejea
ndani ya mwili huo wa kibinadamu aliouacha wakati wa kufa.

Kufufuka ndiyo istilahi ambayo inamaanisha tu kuumbika mwili mpya wa kiroho. Mwili huo asili yake ni ya kiroho na unafanya kazi kama chombo ambamo mna roho nyepesi zaidi. Huo unaumbwa ili kuendeleza maisha baada ya kufa. Baadhi ya watu wanauita mwili huo mwili wa nyota au athma.

Hata ukiupa jina gani maana yake ni hiyohiyo moja.

Ufufuo unatumika kwa uumbaji wa mwili mpya kimbinguni ama wa kiroho ambamo roho inakaa, siyo, twarudia, siyo kurejea ndani ya mwili uleule uliokwisha changanuka na kuoza ambao roho iliuondoka hapo kabla.

Mtakatifu Paulo amezungumzia ufufuo wa Yesu Kristo kabisa katika maana hiyo.

Yeye aliamini katika ufufuo wa si Yesu tu bali na ufufuo kwa ujumla wa wale wote wanaokufa nao wanastahili machoni mwa Mungu kujaliwa kuwapo kupya na namna mpya ya maisha.

Roho inakuwa hiyohiyo lakini makazi yake yanabadilika. Sawa na usemi wa Paulo Mtakatifu, hiyo ni kanuni ya kawaida ambayo haina budi ikubaliwe, la sivyo, Ukristo ama dini haitakuwa na maana.

Nyaraka za Paulo mtume kwa Wakarintho zinapaswa kusomwa kwa makini kwani hizo zina maana sana kuhusu suala hilo.

INAENDELEA
 
wee pofu, ziwi, na bubu na kamemory kako mukichwa ni kb.1 yalaàaa [emoji12]

Mtakatifu Paulo amezungumzia ufufuo wa Yesu Kristo kabisa katika maana hiyo. Yeye aliamini katika ufufuo wa si Yesu tu bali na ufufuo kwa ujumla wa wale wote wanaokufa nao wanastahili machoni mwa Mungu kujaliwa kuwapo kupya na namna mpya ya maisha.

Hizo haziachi nafasi yoyote ya shaka, angalau kwangu mimi, ya kwamba wakati wowote yeye alipozungumzia Yesu kuonekana
hai baada ya kusulibiwa, alizungumza waziwazi pasipo shaka kuhusu kufufuka tu kwa Yesu, wala haikupitia moyo wake kwamba roho ya Yesu imerejea katika mwili wake ule ule wenye kufa na akahuika kimwili baada ya kufa katika maana ya kawaida.

Kama baadhi ya wataalamu wa Wakristo hawakubali nilivyoelewa kuhusu Paulo Mtakatifu, basi hapo hawatakuwa na budi kukubali ya kwamba Mtakatifu Paulo alijipinga kwa uchache katika baadhi ya maelezo kuhusu maisha mapya ya Yesu kuwa yeye alifufuka wala siyo kwamba mwili wake ulihuika ambamo roho yake inasemekana ilikuwa imefungwa.

Hapa chini kuna baadhi ya maneno yake yanayolingana na swala hilo yanayojieleza yenyewe:

Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake. (1Wakorintho 6:14).

Kadhalika na kiyama ya wafu. Hupandwa katika uharibifu, kufufuliwa katika kutokuharibika; hupandwa katika aibu, kufufuliwa katika fahari; kupandwa katika udhaifu, kufufuliwa katika nguvu; kupandwa mwili wa asili, kufufuliwa mwili wa kiroho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko. (1Wakorintho 15:42-44).

Kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanada ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe nauharibifu, nasi tutakubalika. Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, mauti imemezwa kwa kushinda. (1 Wakorintho 15:52-54).

Lakini tunao moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana. (2 Wakorintho 5:8).

INAENDELEA
 
mende anapo jisifia kushinda chooni kulabua mavi [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hata sasa hamja nipa ile fatwa ya jino kwa jino kalio kwa kalio [emoji117] gavana umebakwa na daudi kakula mvutu [emoji4] umeshindwa na wewe kumbaka daudi ili upate akili na UHAI kwa maana hata UHAI hamnao kutokana na agizo hili la kunyumbu nyumu [emoji117] View attachment 875446 nipeni jibu makafir nyie [emoji53]

Suala linalobakia kutatuliwa linazuka kutokana na Mtakatifu Paulo kutaja maelezo ya Wakristo wa kale kuhusu jinsi alivyoonekana Yesu akiwa hai katika mwili wake mara baada ya kusulibiwa.

Kama Mtakatifu Paulo alifahamu ya kwamba Yesu alifufuka, yeye anaweza kuwa sawa, na yeye kumwona Yesu au kuongea naye kwaweza kuelezwa kwa sura ya ufufuo jinsi roho ya mtu aliyekufa inavyokuja kutoka ulimwengu mwingine ikijichukulia mzuka anayefanana sana na sura aliyokuwa nayo kabla ya kufa.

Lakini hapa panaonekana habari hiyo imevurugika kwa sababu ya kuchanganya ushuhuda wa aina mbili.

Kwanza twatakiwa kufikiria ushuhuda wa mwanzoni wa wanafunzi wake na wale waliompenda na kumheshimu ingawaje hawakuingia katika Ukristo kama desturi.

Ushuhuda huo haikosi Mtakatifu Paulo akauelewa vibaya kwani huo unahakikisha kwamba Yesu alionekana katika sura ya binadamu ndani ya mwili wake wa kiwiliwili, jambo ambalo haliwezi kumaanisha ufufuo.

Ili kuthibitisha jambo hilo, mtu anapaswa kurejea habari ya Yesu kuwashangaza wanafunzi wake:

Wakashtuka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. Akawaambia, mbona mnafadhaika? na kwa nini mnaona shaka mioyoni mwenu? Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi
mwenyewe. Nishikeni-shikeni, muone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo. Na baada ya kusema hayo aliwaonyesha mikono yake na miguu yake. Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia, mna chakula chochote hapa? Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa. Akakitwaa, akala mbele yao. (Luka 24:37-43).

Tukio hilo linakanusha kabisa wazo la ufufuo na linaeleza ya kwamba Yesu alikusudia waziwazi kuwa yeye alikuwa mtu yule yule pamoja na mwili uleule wala hakuwa roho, wala siye mtu ambaye sasa hahitaji chakula ili kuishi. Hiyo inaonesha tena kuwa Wakristo wa kale walikuwa wakizungumzia mambo mawili tofauti.

Kila walipozungumzia Yesu kuhuika na walipokabiliwa na mashaka kuhusu wazo hilo la kipuuzi, wakakimbilia wazo la ufufuo ambalo wazo hilo linaweza kuelezwa kifalsafa na kimantiki. Waraka wa kwanza kwa Wakorintho hususan unatoa nafasi nzuri ya kutaali mashaka ya kukanyaga katika mashua mbili wakati mmoja.

Hatimaye, tukirejea kwa ushuhuda wa Wakristo wa kale kukutana na Yesu Kristo, hatubakiwi na njia yoyote isipokuwa kuamini ya
kwamba yule Yesu aliyeonekana kwa wanafunzi wake wengi na marafiki zake mara baada ya kusulibiwa, na akaongea nao na
akakaa nao na taratibu akaondoka kule alikosulibiwa zaidi katika giza la usiku, hakuwa kabisa mtu aliyefufuka bali alikuwa mtu
ambaye pengine alihuika tu kimwili ama hakufa asilani bali akaokolewa kimwuujiza katika hali iliyokurubia sana kifo.

Yeye alikuwa karibu kabisa na kifo hata kwamba hali yake inafanana na hali ya Yona katika tumbo la Nyangumi.

Hatuna shaka ya kwamba kinachoweza kukubalika hasa ndiyo hali hiyo iliyoelezwa mwishoni.

Ili kuwarahisishia Wakristo kuelewa nadharia yetu ningeonelea kuweka mbele yao mfano mmoja wa kukisia. Mathalan, mtu mmoja anawambwa msalabani kwa shabaha ya kumwua pale na anachukuliwa kuwa alikufa msalabani.

Baadaye mtu huyo huyo anaonekana akitembea pamoja na baadhi ya marafiki zake. Hao wanashuhudia ya kwamba mwili wake unayo makovu yaliyosababishwa na majeraha aliyoyapata kwa ajili ya kuwambwa msalabani.

Yeye anakamatwa tena na serikali na kuletwa mbele ya mahakama kwa mashtaka ya kwamba kwa kuwa yeye amepona katika mauti kwa sababu hii au ile hivyo asulubiwe tena ili kutimiza alivyohukumiwa. Lakini mtu huyo anajitetea akidai kwamba kwa kweli alikufa mara moja, kwahiyo shabaha ya sheria imekwisha timia tayari, na sasa kwa kuwa yeye amehuika kwa amri maalum ya Mungu kwahiyo hukumu ile ya zamani ya kumuua haiwezi kutekelezwa kwa mara ya pili, kwani sasa yeye amepata muda mpya tena wa kuishi ambamo katika muda huu yeye hajafanya uhalifu wa sheria.

Kama mahakama ikikubali hoja yake, ni dhahiri kwamba yeye hataadhibiwa mara nyingine kwa uhalifu ambao amekwisha adhibiwa.

INAENDELEA
 
wee pofu, ziwi, na bubu na kamemory kako mukichwa ni kb.1 yalaàaa [emoji12]

Kama tukio la namna hiyo likitukia katika mahakama katika nchi ya Kikristo, jaji akiwa Mkristo, na baraza la Wakristo, msomaji
anafikiriaje kuhusu mtu huyo ya kwamba watamhukumuje ama wanapaswa kumhukumuje?

Kama hoja ya mtu anayechunguzwa inakataliwa na anahukumiwa kunyongwa tena, hiyo itakuwa sawa kwa msingi gani?

Ni dhahiri ya kwamba jaji yeyote mwenye akili, akiwa Mkristo au si Mkristo, na pia baraza la watu wenye akili timamu hawatakubali hata kidogo ya kwamba mshtakiwa huyu amehuika baada ya kwisha kufa.

Hukumu ya aina hiyo haina upendeleo wa kimtaa, dini, taifa, ama kabila. Bali inahusikana na watu wote wala hamna mtu mwenye akili yake timamu awezaye kuwaza hukumu nyingine yoyote iwayo.

Hivyo, shauri ya watu wote wenye akili na fahamu ni kukataa dai la kuhuika, bali kumhukumu kwamba alipona tu kifo. Ndivyo ilivyotendeka katika habari ya Yesu Kristo. Hakuhuika wala hakufufuka bali inavyoamua akili alipona mauti juu ya msalaba.

Kuhuika Yesu kimwili ni jambo la muhimu kabisa kabisa kwa Ukristo hata kwamba mtu anapaswa kuchunguza sababu zake.

Kwa dhahiri hamna mantiki katika jambo hilo zima.

Kwa nini anayehesabiwa kuwa Mwana wa Mungu akajichagulia kurejea tena katika kitundu cha mwili wa binadamu baada ya kwisha pata uhuru katika hicho?

Na habari hiyo inawezaje kuwa hoja pasipo shaka ya kwamba yeye alikufa hasa na kisha akahuika tena?

Hiyo habari imekwisha elezwa kiasi kadhaa nyuma wala sina nia ya kuikazania hapa tena, lakini ningependa kumwelekeza msomaji mwenye swali jingine la muhimu linalolingana na habari hiyo.

Kwa nini fikra hiyo ya kipuuzi ikaimarika katika dini ya Kikristo ambayo polepole katika muda wa karne chache baada ya Yesu
ikawa nguzo mojawapo ya imani ya Kikristo ambayo pasipo nguzo hiyo jengo zima la theolojia ya Kikristo linabomoka?

Sisi tutajaribu kujitia katika dhamira za Wakristo wa kale waliokabili tatizo lisiloweza kutatulika, na tutaanza kuleta hali zile ambamo Ukristo ulipewa sura kinyume cha uhakika halisi.

Kwa njia hiyo pengine itakuwa rahisi kufahamu hasa kuumbika na kuumbuka kwa Ukristo.

Ukweli halisi unaotakiwa kuzingatiwa sana ndio huu ya kwamba ikiwa Yesu, amani iwe kwake, kweli amekufa msalabani, hana budi ataonekana machoni mwa Wayahudi kuwa nabii mwongo, mdanganyifu.
 
Wakati wowote Yesu anapoonekana amekosea na ameshindwa kudhihirisha nguvu zake kubwa akiwa Mwana wa Mungu,
Wakristo wanajikinga kwa kudai ya kwamba yeye alikosea akiwa mtu siyo akiwa mungu.

Kwahiyo tunayo kila haki ya kuuliza na kujua waziwazi sehemu gani ndani yake ilikuwa mtu na ipi mungu.

Kukaa kwa mtu ndani ya Yesu kunataka ubongo wa 'mtu' mbali na ubongo wa 'mungu' ndani yake.

Ubongo ulipohuika basi 'mtu' ndani ya Yesu alihuika, kwani Uungu wa Yesu hauhitaji ubongo wa kiwiliwili ili kumsaidia.

Ubongo huo wa kiwiliwili uliingiwa tu na mungu alipokuwa ardhini mara ya kwanza, jinsi inavyokuwa katika mambo ya roho kwamba kitu fulani kinakuwa chombo ama njia ya kudhihirisha onyesho la kiroho. Basi kuhuika Yesu kutamaanisha kuhuika mtu ndani ya Yesu, kwani pasipo kuwa hivyo haiwezekani roho yake kurejea ndani ya mwili huo.

Kama jambo hilo halikubaliwi, hapo tutalikabili tatizo jingine la kukubali kwamba Yesu alikuwa na bongo mbili mbalimbali za
kujitegemea pindi alipokuwa duniani humu: Ubongo mmoja wa 'mtu' na mwingine wa 'mungu', zote mbili zikikaa mahali pamoja, lakini hazikulingana bali kila mmoja unajitegemea.

Kama ni hivyo, basi suala la kuhuika lichunguzwe upya ili uhakika wake hasa utambulikane. Basi hamna haja tena ya kufikiria ubongo wa kibinadamu kufanyizwa upya ili kuipatia dhamiri mahali pa kukalia. Bali twahitaji kufikiria kwamba Yesu analitembelea tena fuvu la kichwa cha mtu aliyekuwa mwenyeji wake wa zamani, ambamo ndani ya fuvu hilo mna masazo ya ubongo yaliyooza.

Kadiri tunavyochunguza kwa uangalifu zaidi suala hilo, ndivyo yanavyojitokeza matatizo zaidi katika kila daraja la uchunguzi.

Mtu anahitaji ubongo kuwa chombo cha mfuatano wa fikira.

Kuhusu kazi zinazofanywa na mwili wa kiwiliwili ni kwamba kama tukiamini kuwa dhamiri inakuwapo peke yake na inaishi
kwa kujitegemea, basi hiyo itamaanisha kwamba dhamiri na roho ni kitu kilekile kimoja. Waweza kuita dhamiri ama roho lakini
inaishi peke yake hata kama uhusiano wake na ubongo wa mtu unakatika.

Lakini kama dhamiri au roho inahitajika ili kuutawala mwili wa mtu ama inaathirika na yanayotokea katika ufalme wake
wa kiwiliwili, hapo bila shaka unahitajika ufungamano madhubuti baina ya dhamiri na ubongo ama roho na ubongo. La sivyo, hivyo (roho na ubongo) haviwezi kabisa kuathiri, kuhimiza au kutawala mafuatano ya kimwili na ya kiakili ama ya ki-maono katika mtu.

Naona hilo halina haja ya kujadiliwa.

Hilo linatuongoza kwenye tatizo jingine kubwa zaidi: Je, anayefanywa kuwa Mwana wa Mungu anahitaji kuutawala ama
kusimamia mwili kwa njia ya ubongo?

Na je, yeye anautegemea ubongo wa kiwiliwili kwa mfuatano wa fikra zake?

Kama yeye anavuka mipaka yote ya kibinadamu, na kama yeye anao mfumo wa kujitegemea wa mfuatano wa fikira ambao ni wa pekee kwake usiyo na kifani katika ulimwengu mzima aliouumba, hapo kurejea roho ya Mungu katika mwili wa mtu pamoja na dhamiri ya mtu kunaleta natija isiyolingana na akili yaani kupatikana kwa dhati iliyo na mifuatano miwili ya fikra inayopingana, kwani haiwezekani kwa dhamiri na roho ya mtu kulingana kikamilifu na dhamiri na dhati ya Mungu.

Kutakuwa na upinzani wa kudumu baina ya mifuatano hiyo miwili utakaosababisha mapambano ya kusumbua baina ya mawimbi ya ubongo.

Mwenye shida hiyo anafaa kutibiwa na mtaalamu wa utibabu wa maradhi ya roho mwenye uwezo zaidi ya mtu.

Huo pengine ndiyo ugonjwa mpya wa roho uitwao schizophrenia kwa Kiingereza.
Hapa ndio nimepasoma. Ila nimeona umerudiarudia kubwabwaja. Unapingana hadi na Quran yako.
SAYANSI huijuii. Unaanza kuhangaika kujadili ubongo.

Quran inasema imethibitisha na tulishaeleza huko nyuma;
Yesu ni Roho ya mwenyezi Mungu na ni NENO la Allah. Na bado Quran yako inakiri kua Yesu yupo Mbinguni.

Kumbe basi inadhihirisha Hata maandiko matakatifu husema:

James 2:19
Wewe waamini ya kuwa MUNGUNNI MMOJA ; watenda vema. Mashetani nao waamini na KUTETEMEKA.

Kubisha hizi bayana, itakulazimu ujitoe akili kwelikweli.
 
Mtakatifu Paulo amezungumzia ufufuo wa Yesu Kristo kabisa katika maana hiyo. Yeye aliamini katika ufufuo wa si Yesu tu bali na ufufuo kwa ujumla wa wale wote wanaokufa nao wanastahili machoni mwa Mungu kujaliwa kuwapo kupya na namna mpya ya maisha.

Roho inakuwa hiyohiyo lakini makazi yake yanabadilika. Sawa na usemi wa Paulo Mtakatifu, hiyo ni kanuni ya kawaida ambayo haina budi ikubaliwe, la sivyo, Ukristo ama dini haitakuwa na maana.

Nyaraka za Paulo mtume kwa Wakarintho zinapaswa kusomwa kwa makini kwani hizo zina maana sana kuhusu suala hilo.

Hizo haziachi nafasi yoyote ya shaka, angalau kwangu mimi, ya kwamba wakati wowote yeye alipozungumzia Yesu kuonekana
hai baada ya kusulibiwa, alizungumza waziwazi pasipo shaka kuhusu kufufuka tu kwa Yesu, wala haikupitia moyo wake kwamba roho ya Yesu imerejea katika mwili wake ule ule wenye kufa na akahuika kimwili baada ya kufa katika maana ya kawaida.

Kama baadhi ya wataalamu wa Wakristo hawakubali nilivyoelewa kuhusu Paulo Mtakatifu, basi hapo hawatakuwa na budi kukubali ya kwamba Mtakatifu Paulo alijipinga kwa uchache katika baadhi ya maelezo kuhusu maisha mapya ya Yesu kuwa yeye alifufuka wala siyo kwamba mwili wake ulihuika ambamo roho yake inasemekana ilikuwa imefungwa.

Hapa chini kuna baadhi ya maneno yake yanayolingana na swala hilo yanayojieleza yenyewe:

Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake. (1Wakorintho 6:14).

Kadhalika na kiyama ya wafu. Hupandwa katika uharibifu, kufufuliwa katika kutokuharibika; hupandwa katika aibu, kufufuliwa katika fahari; kupandwa katika udhaifu, kufufuliwa katika nguvu; kupandwa mwili wa asili, kufufuliwa mwili wa kiroho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko. (1Wakorintho 15:42-44).

Kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanada ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe nauharibifu, nasi tutakubalika. Maana sharti huu uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, mauti imemezwa kwa kushinda. (1 Wakorintho 15:52-54).

Lakini tunao moyo mkuu; nasi tunaona ni afadhali kutokuwamo katika mwili na kukaa pamoja na Bwana. (2 Wakorintho 5:8).

INAENDELEA

Yaani unacho kiandika unamdhalilisha mtume wako kwamba hadi anawaagiza miamini Al Kitab alikuwa hajui hayo uliyo c&p Kweli wazimu ni fani na ndio sababu baba fatuma alisema [emoji117]
IMG_20180923_213030_493.jpg
kuna wanafiki wamejenga Msikitini kutia udhia na kuimarisha ukafiri [emoji12] MUNAFIKI MKUBWA WEE [emoji117]
IMG_20180923_213832_764.jpg
 
Hapa ndio nimepasoma. Ila nimeona umerudiarudia kubwabwaja. Unapingana hadi na Quran yako.
SAYANSI huijuii. Unaanza kuhangaika kujadili ubongo.

Quran inasema imethibitisha na tulishaeleza huko nyuma;
Yesu ni Roho ya mwenyezi Mungu na ni NENO la Allah. Na bado Quran yako inakiri kua Yesu yupo Mbinguni.

Kumbe basi inadhihirisha Hata maandiko matakatifu husema:

James 2:19
Wewe waamini ya kuwa MUNGUNNI MMOJA ; watenda vema. Mashetani nao waamini na KUTETEMEKA.

Kubisha hizi bayana, itakulazimu ujitoe akili kwelikweli.

KUPAA KWA YESU

Habari ya Yesu Kristo kupaa haikutajwa na Mt. Mathayo na Mt.Yohana katika Injili zao.

Kutokutaja habari hiyo ya muhimu kabisa kunashangaza mtu.

Katika Injili tatu zinazofanana katika kusimulia mambo, Injili mbili tu za Marko2 na Luka3 zinataja habari za kupaa kwa Yesu.

Hata hivyo uchunguzi wa kisayansi na wa kitalaamu wa kisasa umethibitisha ya kuwa maneno ya kupaa kwa Yesu ndiyo
nyongeza ya baadaye iliyofanywa katika Injili hizo mbili.

Mistari hiyo haikuwamo katika matini ya asili.

Codex Sinaiticus ndiyo Biblia ya zamani zaidi, ya tangu karne ya 4, ambamo mna Agano la kale na Agano Jipya kikamilifu takriban. ( Ushahidi soma Uk 18 wa Jesus the Evidence, mwandishi Ian Wison (1984) )

Biblia hiyo inashuhudia ya kwamba mistari kuhusu Yesu kupaa haimo katika Marko na Luka, bali iliongezwa baadaye na mwandishi fulani kwa upendo wake.

Katika Codex Sinaiticus, Injili ya Marko inaishia kwa mstari wa 8 wa Mlango wa 16. Uhakika huo umekwisha tambuliwa katika baadhi ya chapa za kisasa za Biblia pia.( Ushahidi soma Uk 1024 wa The Holy Bible, New International Version (1984), Imeenezwa na
International Bible Society.)

Vile vile Injili ya Luka ya (24: 51) ndani ya Codex Sinaiticus hamna maneno haya: 'akachukuliwa juu mbinguni' Sawa na
mchunguzi wa maneno yaliyopata kuandikwa hivi au hivi, jina lake C.S.C. Williams, kama kweli mistari hiyo inakosekana katika
Codex Sinaiticus, basi hamna tena habari ya Yesu kupaa katika matini halisi ya Injili. (Ushahidi soma, The Secret of Mount Sinai, the story of finding the world’s oldest Bible Codex Sinaiticus; by James Bently uk 131.)

Hata mashahidi wa Jehovah wanaoamini sana Yesu kuwa 'Mwana' na kwamba yeye alipaa kwa Mungu Baba wamekiri mwishowe
ya kwamba mistari hiyo ya Marko na Luka ndiyo nyongeza katika matini ya asili bila msingi wowote .( Ushahidi soma New World Translation.)
 
Na makadiani wanasema Yesu kafia India unawaamini [emoji47] [emoji53] kama huwaamini unaletaje mineno ya kukuaminisha sisi tuwaamini Hao Yehova [emoji47] [emoji47] jiunge nao sababu mko mlingano na mawazo yao [emoji38] [emoji38] kuanzia sasa nitakutambua kuwa "gavana the Yehova witnes" [emoji4]
 
Ingekuwa baba fatû ni mtu Wa kwanza kuhadithia hayo angalau kungekuwa na hoja!! Lakini wanaokota stori za Wakristo na Wayahudi anajidai wahyi [emoji12] [emoji53] na ndio sababu Wayahudi walikuwa wanamsalimu rainaa na yeye Alijibu twaib hadi yule mkewe Wa kiyahudi alipo mshitua...View attachment 875624
Qhahahhahahahaahahaha hiyo picha ndio ya nani? halafu unaleta maneno hata mwenyewe ukirudia kusoma uwezi kuelewa maana hayana faida wala ayafundishi chochote , kijana ukija hapa kuongea na watu kama sisi jipange kweli kweli maana tunafahamu tunachokufundisha
 
1. Kwenye hiyo story ya Ishmael inasemwa wazi kua Ishmael alienda huko akakutana na Waarabu. .kwahiyo Waarabu walikuwepo before hand.

2. Quran inam-disqualify Mohammad seriously kua hajatokea kwenye line ya Prophethood. Ambayo inamhusu Abraham, Isaka na Israel.

3. Mohamad anashindwa kujibu masuali ili kutetea utume wake. Pamoja na kusema kua amepewa majibu na Malaika Jibril.
Imeelezwa hapo Juu.

4. Kwamba kuna mtume atatokea kwenye jangwa la Arabuni na kuleta dini moja. Jambo hili halipo. Hata Unabii wa Moses na Yesu hau fit ukipimwa kwa Mohammad.

5. Walioamini Utume wake walifanya hivyo kwa kuogopa kuuwawa. Mfano Asma bint Marwan au Kenana al Rabi. Na sio kwamba aalikubaliana naye.

Yako madai mengi. Kwahiyo ukiwa unaeleza hoja zako, weka kumbukumbu kua Uongo ili kuifurahisha dini haitakusaidia. Say No to Kitman, Tawriya or Taqiyyah.
Unajua kuna shida kubwa kwenye uelewa wako unaweza kunionyesha na kuniambia muarabu ni mtu gani? nakusubiri kwa moyo mkunjufu
 
Na makadiani wanasema Yesu kafia India unawaamini [emoji47] [emoji53] kama huwaamini unaletaje mineno ya kukuaminisha sisi tuwaamini Hao Yehova [emoji47] [emoji47] jiunge nao sababu mko mlingano na mawazo yao [emoji38] [emoji38] kuanzia sasa nitakutambua kuwa "gavana the Yehova witnes" [emoji4]
Hata yule mchungaji mmoja wa uganda aliwachoma moto kanisa na kuua watu wengi akidai ni mafundisho ya Yesu, hata nabii Tito mmekataa kweupe, sasa unakuja na habari za makadiani hapa ahahahahahhaahahahahahhajahajh watafute muonyeshane wewe na makadiani hayo makaburi ya yesu ahahahahaaaa eti kuna Yesu kazikwa India halafu kuna Yesu alizikwa Israeli ahahahahaahhahaha ndio maana nikakwambia ni mambo ya kuunga unga hakuna kitu kama hicho
 
Yaani unacho kiandika unamdhalilisha mtume wako kwamba hadi anawaagiza miamini Al Kitab alikuwa hajui hayo uliyo c&p Kweli wazimu ni fani na ndio sababu baba fatuma alisema [emoji117] View attachment 875772 kuna wanafiki wamejenga Msikitini kutia udhia na kuimarisha ukafiri [emoji12] MUNAFIKI MKUBWA WEE [emoji117] View attachment 875783
Sasa hiyo aya inahuusiano gani na gavana ?ahahahahhahaahhahaahahaha , unaunga unga tu ndio wanafiki wapo popote pale ndio maana tunasema bora mchawi kuliko mnafiki (sina maana uchawi unafaaa) , kwasababu mnafiki anakuwa miongoni mwenu kumbe sio katika nyinyi , mkiyapanga yeye anavujisha siri zenu. inakuwa rahisi adui kumishambulia kwasababu anajua siri zenu
 
Hapa ndio nimepasoma. Ila nimeona umerudiarudia kubwabwaja. Unapingana hadi na Quran yako.
SAYANSI huijuii. Unaanza kuhangaika kujadili ubongo.

Quran inasema imethibitisha na tulishaeleza huko nyuma;
Yesu ni Roho ya mwenyezi Mungu na ni NENO la Allah. Na bado Quran yako inakiri kua Yesu yupo Mbinguni.

Kumbe basi inadhihirisha Hata maandiko matakatifu husema:

James 2:19
Wewe waamini ya kuwa MUNGUNNI MMOJA ; watenda vema. Mashetani nao waamini na KUTETEMEKA.

Kubisha hizi bayana, itakulazimu ujitoe akili kwelikweli.
Na QURAN inathibitisha kuwa Yesu ni mtu tena hata chembe ya uungu amekosa, na vile vile BIBLIA anathibitisha kwamba Yesu kinywa chake akisema wazi kabisa yeye ni mtu tu alietumwa na Mungu(Big boss), na yeyote anaesema Yesu ni Mungu huyo anamsemea Yesu baada ya kuvimbiwa shibe
 
Na makadiani wanasema Yesu kafia India unawaamini [emoji47] [emoji53] kama huwaamini unaletaje mineno ya kukuaminisha sisi tuwaamini Hao Yehova [emoji47] [emoji47] jiunge nao sababu mko mlingano na mawazo yao [emoji38] [emoji38] kuanzia sasa nitakutambua kuwa "gavana the Yehova witnes" [emoji4]

PATA BAKORA HII UPATE ADABU

The resurrection of Jesus is a hoax because Mark, the earliest gospel, never contained the story.

The “resurrection” passages were later added to Mark, and his gospel was changed by Matthew and Luke, the Gospel writers are anonymous.

It was necessary for Matthew and Luke to change Mark according to their own understanding, they also relied upon the Q source. Regarding the Gospel of John, it’s completely different and draws upon ambiguous sources.

The oldest manuscripts of the New Testament are Codex Sinaiticus and Vaticanus, both of these Greek manuscripts have no ending for Mark!

Mark is the first gospel to be written:

A central working hypothesis of this book and one of the most widely held findings in modem New Testament study is that Mark was the first canonical Gospel to be composed and that the authors of Matthew and Luke (and possibly John) used Mark's Gospel as a written source. (Randal Helms, Gospel Fictions, p. 23)

Mark was the first writer to record the crucifixion, yet he was NOT an eye-witness!

“The author of Mark, the earliest of the narrative gospels, was not an eyewitness: he is reporting information conveyed to him by a third person or persons, who themselves were quite possible not eye-witnesses” (Robert Walter Funk, The Jesus Seminar: The Acts of Jesus, p. 4)

Here is what Christian scholar Mack Burton says:

“There is no reference to Jesus’ death as a crucifixion in the pre-Markan Jesus material” (Who Wrote the New Testament? p. 87)

This means the Gospel writers fabricated the resurrection story. The legend of Jesus’ “resurrection” developed over a period of time. This explains why Paul, the earliest Christian writer, never records the Gospel version. Paul only says Jesus was “crucified for the sins of mankind” and he “rose from the dead”, which does not explain anything.

Paul asserts that Jesus was crucified, yet he fails to mention any details which would later be recorded in the gospels.

We must keep in mind that Paul knew nothing of an event called the ascension that was separate or different from Jesus' resurrection. Paul's writings contain no hint of the two-stage process that would develop later, where resurrection brought Jesus from the grave back to life and ascension then took Jesus from earth to heaven. Paul's proclamation was that God had raised Jesus into God's very life. That was Easter for Paul.

For Paul there were no empty tombs, no disappearance from the grave of the physical body, no physical resurrection, no physical appearances of a Christ who would eat fish, offer his wounds for inspection, or rise physically into the sky after an appropriate length of time. None of these ideas can be found in reading Paul. For Paul the body of Jesus who died was perishable, weak, physical. The Jesus who was raised was clothed by the raising God with a body fit for God's kingdom. It was imperishable, glorified, and spiritual. (John Shelby Spong, Resurrection: Myth or Reality, p. 241)

The most striking feature of the early documents is that they do not set Jesus’ life in a specific historical situation.

There is no Galilean ministry, and there are no parables, no miracles, no Passion in Jerusalem, no indication of time, place of attendant circumstances at all. The words Calvary, Bethlehem, Nazareth, and Galilee never appear in the early epistles, and the word Jerusalem is never used there in connection with Jesus (Doherty, pp. 68, 73). Instead, Jesus figures as a basically supernatural personage who took the “likeness” of man, “emptied” then of his supernatural powers Phil 2:7. (G.A. Wells, Can We Trust the New Testament? p. 3)
 
Sasa hiyo aya inahuusiano gani na gavana ?ahahahahhahaahhahaahahaha , unaunga unga tu ndio wanafiki wapo popote pale ndio maana tunasema bora mchawi kuliko mnafiki (sina maana uchawi unafaaa) , kwasababu mnafiki anakuwa miongoni mwenu kumbe sio katika nyinyi , mkiyapanga yeye anavujisha siri zenu. inakuwa rahisi adui kumishambulia kwasababu anajua siri zenu

Sasa hiyo aya inahuusiano gani na gavana ?ahahahahhahaahhahaahahaha , unaunga unga tu ndio wanafiki wapo popote pale ndio maana tunasema bora mchawi kuliko mnafiki (sina maana uchawi unafaaa) , kwasababu mnafiki anakuwa miongoni mwenu kumbe sio katika nyinyi , mkiyapanga yeye anavujisha siri zenu. inakuwa rahisi adui kumishambulia kwasababu anajua siri zenu

Unafiki wa gavana the witch huuoni kweli [emoji47] [emoji12] kweli hata anavyo mdhalilisha mtume Wa waisilamu dhahir na kipunjo napo pia huoni??? Ili uwe Muislamu muumini LAZIMA utwiih na kuyaishi maagizo ya koloani na baba kasim [emoji106] koloani inawaagiza waumini [emoji117] View attachment 876113View attachment 876114 kwa akili zako masudi, gavana the y witness anayafuata maagizo ya Qur'an [emoji47] [emoji53] kama hayafuati tungemuita kama mnavyo niita Mimi kafir, lakini kwa gavana kumuita kafir tu haitoshi LAZIMA aitwe pia MNAFiki [emoji106] sababu huko uswazi anapo kuwa na waumini anajiita muumini na Akiwa humu na sisi Makafiri anadhihirisha ukafiri wake kwa dhahir na kipunjo [emoji53]
IMG_20180924_130631_122.jpg
IMG_20180924_130726_903.jpg
kazi yake kubwa ni kutia udhia na kuimarisha ukafiri [emoji106]
 
Unafiki wa gavana the witch huuoni kweli [emoji47] [emoji12] kweli hata anavyo mdhalilisha mtume Wa waisilamu dhahir na kipunjo napo pia huoni??? Ili uwe Muislamu muumini LAZIMA utwiih na kuyaishi maagizo ya koloani na baba kasim [emoji106] koloani inawaagiza waumini [emoji117] View attachment 876113View attachment 876114 kwa akili zako masudi, gavana the y witness anayafuata maagizo ya Qur'an [emoji47] [emoji53] kama hayafuati tungemuita kama mnavyo niita Mimi kafir, lakini kwa gavana kumuita kafir tu haitoshi LAZIMA aitwe pia MNAFiki [emoji106] sababu huko uswazi anapo kuwa na waumini anajiita muumini na Akiwa humu na sisi Makafiri anadhihirisha ukafiri wake kwa dhahir na kipunjo [emoji53] View attachment 876239View attachment 876240 kazi yake kubwa ni kutia udhia na kuimarisha ukafiri [emoji106]
Ahahahhahhahahahahhah kumbe unajijua wewe ni kafiri ,ahahahhahahahahaahahahhaha , hizo attachment zako azifunguki hayo madai yako kwa gavana ni malalamiko tu kwasababu anakuchapa kipigo cha mbwa mwizi, Ahahahhahhahaha Gavana leta nondo mpaka akili iwakae sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom