Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni ushuzi au mpulizo Wa ibilisi baada ya kanda kunasa deki? najua masudi ni mtaaluma jibu Tusome [emoji4]Mambo ya kawaida kabisa ,sasa Mungu wa biblia alipomwambia shetani amfanye AYUBU atakacho ila asitoe roho yake wewe hapo ujaelewa kipi? maana yake kila kitu mfano anaweza mtoa majipu, anaweza mpa ugonjwa wa kuharisha au unaweza mpya uwendawazimu yaani atakacho ahahahaaaaaha wewe unashangaa ushuzi !!, bureee kabisaaa wewe ahahahaahahahaaaa ushuzi sio maradhi shangaa majipu na mapunye huko
Yallah umesha mtunuku ili awe na Uzima?Kama alivyojaliwa Musa na Mungu wako wa biblia ahahahahaaaahaahahahhhahahajahhahaah unaleta vita kumbe silaha yako manati ahahahahahaaahaaahaha
Walawi wanakuangalia tu unavyopost mambo ambayo Mungu wako ameyakataza ahahaaaahaaaaaahahaahaaha, Yesu ni mtu kama wewe tu, wana wa Mungu wako kibao , wale wanaosema Yesu ni mwana wa Mungu wa PEKEE ni wambeya sana ahahahahahahahahaaaaha huu upekee ndio ukafiri
Upo vizuri kabisa. Yesu ni Mtu na ndio maana alizaliwa. Ni Mtu kamili. Imeandikwa hivyo. Hukukosea.Na QURAN inathibitisha kuwa Yesu ni mtu tena hata chembe ya uungu amekosa, na vile vile BIBLIA anathibitisha kwamba Yesu kinywa chake akisema wazi kabisa yeye ni mtu tu alietumwa na Mungu(Big boss), na yeyote anaesema Yesu ni Mungu huyo anamsemea Yesu baada ya kuvimbiwa shibe
Yallah umesha mtunuku ili awe na Uzima?
Aliumba ndege kabisa tena kwa idhini ya mwenyezi Mungu ilo uko sawaa kabisa tena Mungu ameonya na ametangaza kuwa pamoja na yote hayo atakaethubutu kudai kiumbe wa Mungu(yesu) ni Mungu, huyo ni kafiri na makazi yake ni mabaya kabisa . kwahiyo chonde chonde usipagawe na miujiza kile ni kiumbe kama ww tu ahahahahahahaahaahaahahhahahahaUpo vizuri kabisa. Yesu ni Mtu na ndio maana alizaliwa. Ni Mtu kamili. Imeandikwa hivyo. Hukukosea.
Lakini Yesu huyo huyo ni Roho ya Mwenyezi Mungu, Ni Neno la Mwenyezi Mungu. Na Quran inasema aliumba Ndege.
Ahahahahaahahaa hoja yako iko wapi waliopewa kitabu mbona walichoharamishiwa tunakijua ahahahahahahahaahaahaha , hata wanawake zao sisi halali kwetu , Paulo ajapewa kitabu amejitungia nyaraka kwahiyo usituletee nyaraka kwenye kitabu ahahaaahahahaaahahahaaHuoni baba kasimu alivyo watangazia [emoji4] View attachment 881679 lingine hili hapa [emoji117] View attachment 881677 umeona eeh [emoji4]
Bwana ni mtu wa vita maana yake ANAANGAMIZA sio kwamba anakunya na kujamba kama wewe ahahahahahahhah unasoma vitabu halafu uvielewi , narudia Mungu sio mtu hicho unacholazimisha wajitia ujinga tuView attachment 881689 allah Uwana gani anao kubaliana nao? Tupia ayat daudi [emoji53]
Visasi umekimbia unaangaika tu ahahahahahhahaahahahahahahaahaa baada ya kuona hata Musa alitumwa akalipize kisasi umeishiwa poziYallah umesha mtunuku ili awe na Uzima?
Nimekwambia ushuzi sio ugonjwa ahahahahahahaahahaahahahahahhahhaaha wewe badala ya kushangaa huyo(AYUBU) aliepewa ukurutu akajikuna mwili mzima na shetani , baada ya kikao kizito kati ya Mungu wako na shetani unakuja shangaa ushuzi ahahahah bureee kabisaa weweHapo ni ushuzi au mpulizo Wa ibilisi baada ya kanda kunasa deki? najua masudi ni mtaaluma jibu Tusome [emoji4]
Mjomba mtume yupi mbona alifundisha kila kitu umekaririshwa eheeeeeeMtajaza. Mtume mwenyewe alikuwa hajui kusoma wa kuandika. Mambo haya ni makubwa mno. Mnamwonea bure.
I dont care as long as your my student ahahahahaahaaahahahaahahahaView attachment 881680 [emoji53]
Hapo ni ushuzi au mpulizo Wa ibilisi baada ya kanda kunasa deki? najua masudi ni mtaaluma jibu Tusome [emoji4]
Huoni baba kasimu alivyo watangazia [emoji4] View attachment 881679 lingine hili hapa [emoji117] View attachment 881677 umeona eeh [emoji4]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ahahahahaahahaa hoja yako iko wapi waliopewa kitabu mbona walichoharamishiwa tunakijua ahahahahahahahaahaahaha , hata wanawake zao sisi halali kwetu , Paulo ajapewa kitabu amejitungia nyaraka kwahiyo usituletee nyaraka kwenye kitabu ahahaaahahahaaahahahaa
Bwana ni mtu wa vita maana yake ANAANGAMIZA sio kwamba anakunya na kujamba kama wewe ahahahahahahhah unasoma vitabu halafu uvielewi , narudia Mungu sio mtu hicho
[emoji115] [emoji116] [emoji115] [emoji116]
MTU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU NI KWELI [emoji106] MUNGU NAYE HANA UWEZO WA KUWA MTU [emoji351] [emoji351]
unacholazimisha wajitia ujinga tu
Visasi umekimbia unaangaika tu ahahahahahhahaahahahahahahaahaa baada ya kuona hata Musa alitumwa akalipize kisasi umeishiwa pozi