Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mtajaza. Mtume mwenyewe alikuwa hajui kusoma wa kuandika. Mambo haya ni makubwa mno. Mnamwonea bure.
 
Hapo ni ushuzi au mpulizo Wa ibilisi baada ya kanda kunasa deki? najua masudi ni mtaaluma jibu Tusome [emoji4]
 

allah Uwana gani anao kubaliana nao? Tupia ayat daudi [emoji53]
 
Upo vizuri kabisa. Yesu ni Mtu na ndio maana alizaliwa. Ni Mtu kamili. Imeandikwa hivyo. Hukukosea.


Lakini Yesu huyo huyo ni Roho ya Mwenyezi Mungu, Ni Neno la Mwenyezi Mungu. Na Quran inasema aliumba Ndege.
 
Upo vizuri kabisa. Yesu ni Mtu na ndio maana alizaliwa. Ni Mtu kamili. Imeandikwa hivyo. Hukukosea.


Lakini Yesu huyo huyo ni Roho ya Mwenyezi Mungu, Ni Neno la Mwenyezi Mungu. Na Quran inasema aliumba Ndege.
Aliumba ndege kabisa tena kwa idhini ya mwenyezi Mungu ilo uko sawaa kabisa tena Mungu ameonya na ametangaza kuwa pamoja na yote hayo atakaethubutu kudai kiumbe wa Mungu(yesu) ni Mungu, huyo ni kafiri na makazi yake ni mabaya kabisa . kwahiyo chonde chonde usipagawe na miujiza kile ni kiumbe kama ww tu ahahahahahahaahaahaahahhahahaha
 
Huoni baba kasimu alivyo watangazia [emoji4] View attachment 881679 lingine hili hapa [emoji117] View attachment 881677 umeona eeh [emoji4]
Ahahahahaahahaa hoja yako iko wapi waliopewa kitabu mbona walichoharamishiwa tunakijua ahahahahahahahaahaahaha , hata wanawake zao sisi halali kwetu , Paulo ajapewa kitabu amejitungia nyaraka kwahiyo usituletee nyaraka kwenye kitabu ahahaaahahahaaahahahaa
 
Hapo ni ushuzi au mpulizo Wa ibilisi baada ya kanda kunasa deki? najua masudi ni mtaaluma jibu Tusome [emoji4]
Nimekwambia ushuzi sio ugonjwa ahahahahahahaahahaahahahahahhahhaaha wewe badala ya kushangaa huyo(AYUBU) aliepewa ukurutu akajikuna mwili mzima na shetani , baada ya kikao kizito kati ya Mungu wako na shetani unakuja shangaa ushuzi ahahahah bureee kabisaa wewe
 
Mtajaza. Mtume mwenyewe alikuwa hajui kusoma wa kuandika. Mambo haya ni makubwa mno. Mnamwonea bure.
Mjomba mtume yupi mbona alifundisha kila kitu umekaririshwa eheeeeee
87:6", Tutakufundisha(tutakusomea) wala hautosahau ;"

ahahahaahahaahahaha shtuka Mungu awezi temewa mate huo ni upuuzi
MATHAYO 26:67
"; Ndipo wakamtemea MATE ya uso , wakampiga MAKONDE; wengine wakampiga MAKOFI

ahahahahahhaaajajaja kama mpaka leo bado unaamini Yesu ni Mungu wewe ukapimwe akili ahahaahahhahahahaha
 

eti tunakijua baba kasim Anakwambia kama unakijua walicho haramishiwa lete Mashahidi [emoji117] kafir mkubwa wee [emoji53] mke Wa mtu ni halali kwako [emoji122] [emoji122] sasa mnacho bishaga kwamba koloani imeruhusu zinaa nini [emoji350] [emoji350] na umeandika mnyewe kwamba wanawake zao kwenu halali [emoji15] njoo ujaribu kumchukua Wa kwangu kama hukuvaa hariri na uzinzi wako utakoma hapo hakuna kukuachia joho [emoji53] Prof Paulo Ni Mwinjilisti ulikuwa hujui????
 

Unapenda sana kunya na kujamba eeh [emoji15] [emoji47] shauri yako kuna Wenye maradhi humu, wee wa-bip tu [emoji4]
 
Visasi umekimbia unaangaika tu ahahahahahhahaahahahahahahaahaa baada ya kuona hata Musa alitumwa akalipize kisasi umeishiwa pozi

Kama Musa kakufundisha hivyo gavana wanasubiri umpe wepesi [emoji4] Mimi Yesu Kaifundishaje [emoji117]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…