KWA IDHINI "; unasema nimeweka mimi ahahhhahahha ngoja tukufundisheHilo neno "..KWA IDHINI.." umeweka wewe.
Yesu anayo hiyo 'Power' muda mrefu.
Mnahofia bure tu!. Yesu ameonekana Fizikali na uwezo wake ukajulikana kwa watu. Huyo Allah hamjamuona na wala hana mpango wa kujulikana. Lakini Mnamuofia.(Fear of Unknown). Wakati aliyeumba ndege mnamuona. Mjitafakari sana!.
Allah huyohuyo anasema atawafanya wale wanaomfuata Yesu kua Juu dhidi ya wale waliomkataa mpaka kiama.
Vipi huu unabii wa Allah umetimia au bado?.
Sijaona tatizo hapo. Pope Francis yupo vizuri sana.Pope Francis says the first fake news was told in the Bible
The pontiff also said that the first fake news is found in the book of Genesis, when the “crafty serpent” tempted the woman “by pretending to be her friend,” to eat from the tree of knowledge of good and evil.
Yesu aliumba Ndege.NA HAWA PIA WAITE WAUNGU KWANI PIA WALIFUFUA
1. Elisha alifufua mtoto aliyefariki. (2 Wafalme 4:35).
(2) Maiti alifufuka kwa kuguswa na mifupa ya Elisha. (2 Wafalme 13:21).
3. Ezekiel alifufua jeshi kubwa. (Ezekiel 37:10).
Lete aya kutoka biblia yesu aliumba ndegeYesu aliumba Ndege.
Hivi Unajua maana ya Uumbaji wewe?.
Sijaona tatizo hapo. Pope Francis yupo vizuri sana.
Unaweka vitu havihusiani na Imani. Haya mambo hata kwa Mashekh yapo. Hata wasio na dini vilevile. Na Mange kimambi ni shahidi. So Acha ujuha.
Unaweka vitu havihusiani na Imani. Haya mambo hata kwa Mashekh yapo. Hata wasio na dini vilevile. Na Mange kimambi ni shahidi. So Acha ujuha.
In Bible, We don't have childish tales.Lete aya kutoka biblia yesu aliumba ndege
Unaweka vitu havihusiani na Imani. Haya mambo hata kwa Mashekh yapo. Hata wasio na dini vilevile. Na Mange kimambi ni shahidi. So Acha ujuha.
In Bible, We don't have childish tales.
But i will give you this for you to ponder
John 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo UFUFUO, NA UZIMA . Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
Kwakua haujui..WENGINE HAWAONGOZWI NA ROHO MTAKATIFU , MBONA UNASAHAU HARAKA
In Bible, We don't have childish tales.
But i will give you this for you to ponder
John 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo UFUFUO, NA UZIMA . Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
Kwakua haujui..
UKRISTO NI ZAIDI YA KUA NA DINI ama DHEHEBU.
Matthew 7:21
SI KILA MTU ANIAMBIAYE, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; BALI NI YEYE AFANYAYE mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

WALAWI 11:8
"; Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";
Ahahaahaahaahahahhahahaa endelea na uroho wako ahahaahhaahaahaahaaah
Utaratibu upo hata ukiwa imamu utatoka kwa utaratibu maalum, uislamu umekamilika kijana unataratibu kabisaa, ukijamba kachambe uchafu uku hatuitaji kabisaaaa
umeukamilisha wewe [emoji350] [emoji350] ona hii View attachment 888141View attachment 888143View attachment 888145 kafir kubwa wee [emoji53] [emoji12]