Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Quran says:

"Say: `O People of the Book! [Christians and Jews} ye have no ground to stand upon unless ye stand fast by the Law, the Gospel, and all the revelation that has come to you from your Lord."'

Here, the Qur'an says the Jews and Christians have no authority outside the scriptures that came through them.
Allah does not say they should depend on the Qur'an or use the Qur'an as a standard of moral life and judgment. Ha ha ha
 
Pengine unaweza kujigeuza ukawa Yule anayelazimisha ambaye hujiita bandiwe
Qur'an on its own merits-the internal evidence of the divine authorship of the book.

"And this is a Book [Qur'an} which We [Allah} have sent down, bringing blessings, and confirming (the revelations) which came before it..."

Ha ha ha

The Christian believes that eternal truth is not a book per se; it is a Person.
This Person said:
"I am the way, the truth, and the life..."

'
For a Christian, therefore, it is what a book says about that Person which determines whether or not it contains the truth. We believe the Bible to be the truth about the Truth. And that all truth in it points to the Truth
 
At least 131 passages in the Qur'an refer to the Law, the Psalms and the Gospel.

lhe Qur'an says that its own truth and validity must be verified against Biblical records, and that those who reject or sneer at these books of the Bible will be severely punished in hell fire by God.

Because of pride, however, many Muslim writers today judge the Bible by what the Qur'an says. But that is not what the Qur'an says they should do. It says the Qur'an is to be judged by what the Bible says.
 
It is unfortunate that many Muslims today (even those who are learned and are supposed to be investigative in their approach to life) prefer to swallow all the claims in the Qur'an without any thorough investigation just because they were born into an Islamic family or because they fear persecution.

1. 
The Hadith records:

"The Prophet said, 'By Allah, though I am the Apostle of Allah, yet I do not know what Allah will do to me.""

2. 
Again, Allah is quoted in the Qur'an as telling Muhammad:

"Say: `I am no bringer of new-fangled doctrine among the apostles, nor do I know what will be done with me or with you. I follow but that which is revealed to me by inspiration; I am but a Warner open and clear.""

3. Listen to Allah again:

"And if thou art in doubt concerning that which We (Allah) have revealed unto thee, then ASK those who have read the Scripture (or the Book, i.e. the Bible) before thee..."'

That is the solution. But today, very few Muslims ask. Even those who ask do not go to the right people. Rather, they go to their Imams, who use their Hadith (Tradition) to explain the Qur'an. Or sometimes, they use the Qur'an to explain itself. But that is not what the Qur'an says they should do. It says to ask the Jews and Christians because they have the Scriptures
 
Pengine unaweza kujigeuza ukawa Yule anayelazimisha ambaye hujiita bandiwe
Kwanini Filamu ya Matendo ya Mtume haitakiwi na wenye mtume wao ?
Mimi natafuta kibali cha uhalali kwanza, halafu nitatafiti matendo yote ya mtume, na mwisho nitaiigiza.
Nina uhakika sitapata hasara, kuna umati mkubwa unaisubiria kuinunua.
Nitamtafuta Mwislamu safi ili aiongoze. Sitaongeza wala kupunguza chochote.
 
Ukijigeuza bandiwe utaona hii

Hakuna mahali ndani ya Hadithi na Quran panapokataza kuchora picha za Mtume fulani.

Katazo lipo kwa kuchora kila kitu kilichohai yaani wanyama na watu. Na sio kila waislamu wanakubaliana nalo.

Quran inakataza images zinazotumiwa kuabudiwa kama sanamu. Lakini sio representational art in general.

Quran says:
Behold! he said to his father and his people, “What are these images, to which ye are (so assiduously) devoted?” They said, “We found our fathers worshipping them.” He said, “Indeed ye have been in manifest error—ye and your fathers” (Surah 21:52–54, Ali, added)

Ingawa kuna hadithi, Muhammad anasema picha yoyote ya kiumbe hai(Wanyama na Watu) hairuhusiwi.

Hadithi yenyewe inasema:

I heard him say: All the painters who make pictures would be in the fire of Hell. The soul will be breathed in every picture prepared by him and it shall punish him in the Hell, and he (Ibn ‘Abbas) said: If you have to do it at all, then paint the pictures of trees and lifeless things; and Nasr b. ‘Ali confirmed it.

Source:

The Correct Books of Muslim (in English), bk. 24, no. 5272, http://www.usc.edu/dept/MSA/fundamentals/hadithsunnah/muslim/024.smt.html#024.5272 (accessed September 2008).

Allah, Most High said: “And who is more unjust than those who try to create the likeness of My creation? Let them create an atom, or let them create a wheat grain, or let them create a barley grain.”

Source:
The Correct Books of Bukhari (in English), vol. 9, bk. 93, no. 648, http://www.usc.edu/dept/MSA/fundamentals/hadithsunnah/bukhari/093.sbt.html#009.093.648 (accessed September 2008).

Sunni wanakubali hadithi za Aisha ambazo zinakataza kuchora picha za watu na wanyama. Ila Shia wanazikataa hadithi nyingi za Aisha . hivyo wao michoro ya manabii sio Tatizo kwao.

Tazama:,
the website Mohammed Image Archive

Be careful lakini..

Ha ha ha
 
Ukipata miwani ya I'd nyengine ona hii

We rudia tu ku paste. Ila fahamu sijui cha kubisha wala kukataa. Coz hua sifuatilii Youtube stories. Sasa sijaelewa kinachokufurahisha hapo.
 
We rudia tu ku paste. Ila fahamu sijui cha kubisha wala kukataa. Coz hua sifuatilii Youtube stories. Sasa sijaelewa kinachokufurahisha hapo.
Kitafute Kwa miwani myeusi utakiona

Kitafute Kwa miwani myeusi utakiona

Haya yoote yatakuwepo kwenye hiyo filamu ya Baba yake fatûú [emoji38] Swafan alivyo mchapia, alivyo mchukua mke Wa zaid, kipigo cha taifu, alicho fanyiwa na mfalme Wa uajemi, alivyo mbaka huyu kijana [emoji117]
The%20life%20of%20muhammad.jpg
.
tapatalk_1535957798748.jpeg
season zitakuwa nyingi tu [emoji4] hapo hapo gavana udenda unatoka hiyo film ije upèsi [emoji39] [emoji7]
 
Haya yoote yatakuwepo kwenye hiyo filamu ya Baba yake fatûú [emoji38] Swafan alivyo mchapia, alivyo mchukua mke Wa zaid, kipigo cha taifu, alicho fanyiwa na mfalme Wa uajemi, alivyo mbaka huyu kijana [emoji117] View attachment 888736.View attachment 888730 season zitakuwa nyingi tu [emoji4] hapo hapo gavana udenda unatoka hiyo film ije upèsi [emoji39] [emoji7]

WAFUASI WA KWANZA WA YESU:

Wakristo wa kale wanaonekana waligawanyika kimsingi kuhusu asili ya Yesu na kwamba wafungamane na sheria ya Musa ama
hapana.

Katika kipindi cha pili cha maendeleo ya Ukristo, Mt. Paulo akawa mtu muhimu kabisa kwa kuupatia Ukristo falsafa na fikira mpya. Kulikuwa hitilafu za kimsingi baina ya Paulo na James . Wakati James aliposimamia Kanisa la Jerusalem, Paulo alikuwa anahubiri katika nchi za Magharibi hususan wale wasiokuwa Wayahudi. Kanisa la Magharibi likapata mageuzi na maendeleo kulingana na maoni ya Paulo kuhusu itikadi, lakini Kanisa katika Jerusalemu likasonga mbele kushikamana na mafundisho katika umoja wa Mungu.

Natija moja ya mahubiri ya James ndiyo Waebioni, dhehebu ambalo jina lake limechukuliwa kutoka kwa neno Ebionim la Kiebrania, maana yake 'wapole' au 'maskini'.

Hao walikuwa Wakristo waliotokana na Wayahudi ambao kwa ajili yao Yesu akashika kazi ya kuwa Masihi wala siyo ile ya 'Mwana wa Mungu'.

Hao jamaa walishikilia kwa jazba kubwa sheria ya Musa na walikuwa na Injili yao wenyewe iitwayo kwa jina 'Injili ya Waebrania', 'Injili ya Waebioni' au 'Injili ya Wanazareti'.

Hapa chini natoa picha ya Waebioni iliyochukuliwa kutoka katika vitabu mbali mbali.

Katika 'The History of the Church' kilichoandikwa katika karne ya 4 baada ya Yesu huko Ceasaraea, mwandishi Eusebius
anawataja Waebioni katika kitabu cha 3, Vespasian to Trajan.

Yeye anawadhihaki maoni yao akisema kwamba hata jina lao linatokana na rai yao duni na 'maskini' kuhusu Yesu.

Waebioni walimwamini Yesu kuwa binadamu na walimheshimu kuwa mwema kwa ajili ya mienendo yake myema. Wakiwa Wayahudi waliishika sabato na sheria kikamilifu, wala hawakukubali wazo la Paulo kupata wokovu wa kutegemea imani tupu.

Yeye analitaja pia kundi jingine la Waebioni walioamini kuzaliwa Yesu bila baba, na Roho Mtakatifu vile vile, lakini wakakataa kukubali kwamba Yesu alikuwapo tangu na tangu akiwa 'Mungu - Neno na Hekima'.

Waliifuata 'Injili ya Waebrania' ambayo pengine ndiyo Injili ya Mathayo. Hao waliishika Sabato na desturi yaKiyahudi, lakini waliusherehekea ufufuo ( soma: Eusebius: 'The History of the Church', uk 90-91 (Penguin 1989)

INAENDELEA
 
Hakuna mahali ndani ya Hadithi na Quran panapokataza kuchora picha za Mtume fulani.

Katazo lipo kwa kuchora kila kitu kilichohai yaani wanyama na watu. Na sio kila waislamu wanakubaliana nalo.

Quran inakataza images zinazotumiwa kuabudiwa kama sanamu. Lakini sio representational art in general.

Quran says:
Behold! he said to his father and his people, “What are these images, to which ye are (so assiduously) devoted?” They said, “We found our fathers worshipping them.” He said, “Indeed ye have been in manifest error—ye and your fathers” (Surah 21:52–54, Ali, added)

Ingawa kuna hadithi, Muhammad anasema picha yoyote ya kiumbe hai(Wanyama na Watu) hairuhusiwi.

Hadithi yenyewe inasema:

I heard him say: All the painters who make pictures would be in the fire of Hell. The soul will be breathed in every picture prepared by him and it shall punish him in the Hell, and he (Ibn ‘Abbas) said: If you have to do it at all, then paint the pictures of trees and lifeless things; and Nasr b. ‘Ali confirmed it.

Source:

The Correct Books of Muslim (in English), bk. 24, no. 5272, http://www.usc.edu/dept/MSA/fundamentals/hadithsunnah/muslim/024.smt.html#024.5272 (accessed September 2008).

Allah, Most High said: “And who is more unjust than those who try to create the likeness of My creation? Let them create an atom, or let them create a wheat grain, or let them create a barley grain.”

Source:
The Correct Books of Bukhari (in English), vol. 9, bk. 93, no. 648, http://www.usc.edu/dept/MSA/fundamentals/hadithsunnah/bukhari/093.sbt.html#009.093.648 (accessed September 2008).

Sunni wanakubali hadithi za Aisha ambazo zinakataza kuchora picha za watu na wanyama. Ila Shia wanazikataa hadithi nyingi za Aisha . hivyo wao michoro ya manabii sio Tatizo kwao.

Tazama:,
the website Mohammed Image Archive

Be careful lakini..

Ha ha ha

INAENDELEA

R. Eisenman na M. Wise wakieleza habari za Waebioni katika kitabu chao The Dead Sea Scrolls Uncovered (1992) wanasema ya kwamba James (Zaddik au Zadok, maana yake mwema, mkweli) alikuwa kiongozi wa Kanisa la Jerusalemu katikati ya karne ya kwanza (40- 60 AD takriban).

Tawi hilo kwa kuangalia mambo ya nyuma likaitwa Ukristo wa Kiyahudi katika Palestino.

Waebioni wakazalika kutokana na tawi hilo. ( SOMA : 'The Dead Scrolls Uncovered', R. Eisenman na M. Wise, uk 186 (Element Books, 1992)

Jumuiya iliyomfuata James ilijulikana kwa jina 'Masikini' (Wagalatia 2:10, Waraka wa Yakobo 2:3-5), cheo cha heshima kilichoelezwa katika Hotuba ya Mlimani na katika Dead Sea Scrolls.

Kwa jiha nyingi Eisenman anafikiri ya kwamba Waebioni walifanana na waandishi wa Dead Sea Scrolls. Hao walimuheshimu Yakobo Mwema na walimwamini Yesu kuwa Masiha wao mwenye kufa, ilhali Paulo akawa Mkufuru kwa Sheria.

Waliishika sheria na Sabato kwa jazba kubwa. Walimheshimu sana sana Yakobo lakini walimhesabu Paulo kuwa 'Adui' (Mathayo 13:25-40) ( SOMA :'The dead sea Scrolls Uncoverd', kilichotajwa nyuma, uk 233 -34)

Sawa na maoni ya Baigent, Leigh na Lincoln katika 'The Messianic Legacy', chanzo cha mafundisho ya asili ya Waebioni, Wagnosi, Wamaniki, Wasabi, Wamandai, Wanestori na Waelkasi ndicho falsafa ya Kinazareti.

Hao wanaieleza fikara ya Kinazareti kuwa:
'
Kuelekea kwa Yesu na Mafundisho yake yaliyochukuliwa kutoka kwenye hali ya asili ya Nazareti yalivyoelezwa wazi wazi na Yesu
mwenyewe, kisha yakaenezwa na Yakobo, Jude au Judas Thomas na wafuasi wao wa mwanzoni'. Itikadi zao zilikuwa hizi:

1. Kushikamana sana na sheria ya Musa.

2. Kumtambua Yesu kuwa Masihi.

3. Kuamini kuzaliwa kwa Yesu kwa njia ya kawaida ya kibinadamu.

4. Ukinzani kwa maoni ya Paulo.

Kuna miswada mingi ya Kiarabu iliyowekwa katika maktaba ya Istanbul ambayo ndani yake kuna maneno yaliyonakiliwa kutoka katika matini ya karne ya 5 au 6, yalionasibishwa kwa 'al-nasara'.

Miswada hiyo imeandikwa katika lugha ya kishamu na ilipatikana katika nyumba ya Watawa huko Khuzistan katika kusini- magharibi ya Iran karibu na mpaka wa Iraq.

Hiyo inaeleza jamii ya mapadre wa Nazareti kutorokea Jerusalem baada ya maangamio ya mwaka 66 AD. Hiyo miswada inamtaja Yesu kuwa binadamu na inakazania sheria ya Kiyahudi kufuatwa.

Wafuasi wa Paulo waliachana na dini ya Kristo na wakaelekea kwenye itikadi za kidini za Warumi'.( SOMA: The Messianic Legacy', M. Baigent, R. Leigh, H. L:incoln, k 135 - 138 (Corgi Books)

Miongoni mwa itikadi mbali mbali zilizojitokeza katika kipindi ambamo Ukristo ulikuwa unafanyika, itikadi za wale tu zinaweza
kuthaminiwa walioamini falsafa ya Kinazareti.

Wakristo hao wa kale walifundishwa Ukristo na Yesu mwenyewe.
 
Haya yoote yatakuwepo kwenye hiyo filamu ya Baba yake fatûú [emoji38] Swafan alivyo mchapia, alivyo mchukua mke Wa zaid, kipigo cha taifu, alicho fanyiwa na mfalme Wa uajemi, alivyo mbaka huyu kijana [emoji117] View attachment 888736.View attachment 888730 season zitakuwa nyingi tu [emoji4] hapo hapo gavana udenda unatoka hiyo film ije upèsi [emoji39] [emoji7]

IMEKUJA HII HAPA ; KAILETA BOSI WAKO WA VATIKANI

INAENDELEA

R. Eisenman na M. Wise wakieleza habari za Waebioni katika kitabu chao The Dead Sea Scrolls Uncovered (1992) wanasema ya kwamba James (Zaddik au Zadok, maana yake mwema, mkweli) alikuwa kiongozi wa Kanisa la Jerusalemu katikati ya karne ya kwanza (40- 60 AD takriban).

Tawi hilo kwa kuangalia mambo ya nyuma likaitwa Ukristo wa Kiyahudi katika Palestino.

Waebioni wakazalika kutokana na tawi hilo. ( SOMA : 'The Dead Scrolls Uncovered', R. Eisenman na M. Wise, uk 186 (Element Books, 1992)

Jumuiya iliyomfuata James ilijulikana kwa jina 'Masikini' (Wagalatia 2:10, Waraka wa Yakobo 2:3-5), cheo cha heshima kilichoelezwa katika Hotuba ya Mlimani na katika Dead Sea Scrolls.

Kwa jiha nyingi Eisenman anafikiri ya kwamba Waebioni walifanana na waandishi wa Dead Sea Scrolls. Hao walimuheshimu Yakobo Mwema na walimwamini Yesu kuwa Masiha wao mwenye kufa, ilhali Paulo akawa Mkufuru kwa Sheria.

Waliishika sheria na Sabato kwa jazba kubwa. Walimheshimu sana sana Yakobo lakini walimhesabu Paulo kuwa 'Adui' (Mathayo 13:25-40) ( SOMA :'The dead sea Scrolls Uncoverd', kilichotajwa nyuma, uk 233 -34)

Sawa na maoni ya Baigent, Leigh na Lincoln katika 'The Messianic Legacy', chanzo cha mafundisho ya asili ya Waebioni, Wagnosi, Wamaniki, Wasabi, Wamandai, Wanestori na Waelkasi ndicho falsafa ya Kinazareti.

Hao wanaieleza fikara ya Kinazareti kuwa:
'
Kuelekea kwa Yesu na Mafundisho yake yaliyochukuliwa kutoka kwenye hali ya asili ya Nazareti yalivyoelezwa wazi wazi na Yesu
mwenyewe, kisha yakaenezwa na Yakobo, Jude au Judas Thomas na wafuasi wao wa mwanzoni'. Itikadi zao zilikuwa hizi:

1. Kushikamana sana na sheria ya Musa.

2. Kumtambua Yesu kuwa Masihi.

3. Kuamini kuzaliwa kwa Yesu kwa njia ya kawaida ya kibinadamu.

4. Ukinzani kwa maoni ya Paulo.

Kuna miswada mingi ya Kiarabu iliyowekwa katika maktaba ya Istanbul ambayo ndani yake kuna maneno yaliyonakiliwa kutoka katika matini ya karne ya 5 au 6, yalionasibishwa kwa 'al-nasara'.

Miswada hiyo imeandikwa katika lugha ya kishamu na ilipatikana katika nyumba ya Watawa huko Khuzistan katika kusini- magharibi ya Iran karibu na mpaka wa Iraq.

Hiyo inaeleza jamii ya mapadre wa Nazareti kutorokea Jerusalem baada ya maangamio ya mwaka 66 AD. Hiyo miswada inamtaja Yesu kuwa binadamu na inakazania sheria ya Kiyahudi kufuatwa.

Wafuasi wa Paulo waliachana na dini ya Kristo na wakaelekea kwenye itikadi za kidini za Warumi'.( SOMA: The Messianic Legacy', M. Baigent, R. Leigh, H. L:incoln, k 135 - 138 (Corgi Books)

Miongoni mwa itikadi mbali mbali zilizojitokeza katika kipindi ambamo Ukristo ulikuwa unafanyika, itikadi za wale tu zinaweza
kuthaminiwa walioamini falsafa ya Kinazareti.

Wakristo hao wa kale walifundishwa Ukristo na Yesu mwenyewe.
Kumbe sio Allah wala Quran yake wanaosema haya.. Ni watu tu!! Nimegundua wewe ni atheist unajifanya Muhammadan. Manake sio kwa conspiracy hizo.
 
Kitafute Kwa miwani myeusi utakiona

Imekua ni hali ya kawaida sana. Kwenu kusema Uongo. Kwakua kharul makireena a.k.a the Despot.amewaamrisha hivyo. Kama Pepo ya Brothel ni nzuri hivyo, kwanini kulazimishana na kurubuniana?. We can smell Something evil is lurking in the dark..!.

Mlikuja na stori za injili ya barnabas. Imeshakua debunk, hamkomi bado mnapika na zingine.. Kama unataka histori ya Church. Uliza. Sio unatengeneza stori zako...

"...Sema umeyaamini yale yote tuliyoteremshiwa sisi Wakristo."- By allah.
 
Kwani uliiangalia you tube 😛😛😛😛😛😛

zawadi yako hii

IMEKUJA HII HAPA ; KAILETA BOSI WAKO WA VATIKANI

The Qur’an Affirms the Following Biblical Doctrines Concerning Christ

Jesus Christ is the Son of Mary – Bakara 2:87

Jesus Christ is the Messiah – Ali-İmran 3:45

Jesus Christ is the Servant of Allah – Nisâ 4:172

Jesus Christ is a prophet – Meryem 19:30

Jesus Christ is an apostle of Allah – Mâ’ide 5:75

Jesus Christ is the Word of Allah – Al-i-İmran 3:3

Jesus Christ is the Word of Truth – Meryem 19:34

Jesus Christ is the Spirit of Allah – Tahrîm 66:12

Jesus Christ is a sign for mankind – Meryem 19:21

Jesus Christ is a witness – Nisâ 4:159

Jesus Christ is a mercy from Allah – Meryem 19:21

Jesus Christ is great (eminent) – Al-i-İmran 3:45

Jesus Christ is righteous – Al-i-İmran 3:46

Jesus Christ is blessed – Meryem 19:31

Jesus Christ did miracles – Bakara 2:87

Jesus Christ was led by the Holy Spirit – Bakara 2:253

Jesus Christ was born of a virgin – Al-i-İmran 3:47
Jesus Christ guides to the truth – Al-i-İmran 3:49

Jesus Christ healed people – Al-i-İmran 3:49

Jesus Christ raised the dead – Al-i-İmran 3:49

Jesus Christ would die for unbelievers – Al-i-İmran 3:55

Jesus Christ was resurrected from the dead – Al-i-İmran 3:55

Jesus Christ ascended to heaven – Al-i-İmran 3:55

Jesus Christ is a life giver – Mâ’ide 5:110

Jesus Christ is holy – Meryem 19:19

Jesus Christ is coming again – Zuhruf 43:61

Jesus Christ knows the future – Zuhruf 43:61, 63

Jesus Christ is to be obeyed and followed – Zuhruf 43:63
 
Kumbe sio Allah wala Quran yake wanaosema haya.. Ni watu tu!! Nimegundua wewe ni atheist unajifanya Muhammadan. Manake sio kwa conspiracy hizo.

KAZI YA MT. PAULO:

Ni dhahiri ya kwamba Mt. Paulo na fikara zake hamna hapo.

Kwa hakika kutokea zama za Paulo na kuendelea mbele, kwa kuwa Ukristo ulienea katika nchi ngeni na itikadi za kipagani zikiwa ndani ya Ufalme wa Kirumi, hivyo Ukristo ukaathirika kwa nguvu sana na kupindika kwa utamaduni na simulizi zilizopata kuenea katika nchi hizo na ukaenda mbali zaidi na uhalisi wake wa kale.

Mt. Paulo kadiri alivyoweza akaathiri na kuiharibu fikira ya Kikristo kwa kuongeza humo mafundisho ya mafumbo ya aina yake.

Yeye hakutokana na Wayahudi (The Hiram Key'. Christopher Knight and Robert Lomas, p. 246 (Century 1996) wala
hakuonana na Yesu isipokuwa katika ndoto alivyodai.

Inaonekana yeye alikuwa mapema chini ya athari kubwa sana ya utamaduni wa kigeni.

Kwa dhahiri Mt. Paulo alikuwa hana budi kuchagua njia mojawapo katika njia mbili. Ama angechagua kupigana vikali dhidi ya mawazo mabovu yasiyo ya msingi ya kiuchawi, vizimwi na simulizi zilizotapakaa katika nchi za Ufalme wa Kirumi tangu zama za kale, au angelegea na kuuacha Ukristo kubadilika ili kuzifaa tamaa na falsafa za kupendwa na watu wengi katika ulimwengu usiokuwa wa Kiyahudi.

Maarifa hayo yalifanya kazi vizuri katika maana hii ya kwamba yalinyakuwa idadi kubwa ya wale walioikubali imani mpya ambao
wasingeweza kupatikana kwa urahisi. Lakini kwa hasara gani?

Kwa bahati mbaya hayo yaliishia katika mashindano mabaya baina ya khulka bora za Kikristo na mawazo ya kipagani yasiyo na msingi.

Aliyoyageuza Mt. Paulo yalikuwa ni majina tu ya miungu ya kipagani na badala yake akayaleta majina ya Yesu,

Mungu Baba na Roho Mtakatifu. Kwa hakika si Paulo aliyezua wazo lisilo na msingi la Utatu na kuliingiza katika upagani kwa jina la Ukristo, bali kinyume chake yeye aliiga fikira mbovu ya Utatu kutoka kwa mitholojia ya kipagani na akaiingiza katika Ukristo.

Kutokea hapo huo ulikuwa ni upagani uleule wa zamani lakini ukapewa majina mapya na sura mpya.

Kwahiyo, Ukristo wa Kipaulo haukufaulu kubadilisha itikadi, simulizi zisizo na msingi na mawazo mabovu yasiyo na hakika ya ulimwengu wa kipagani, bali akaishia kuugeuza Ukristo na kuusawazisha na upagani.

Mlima usipomwendea alipouita, basi akaamua yeye auendee.
__________
 
The Qur’an Affirms the Following Biblical Doctrines Concerning Christ

Jesus Christ is the Son of Mary – Bakara 2:87

Jesus Christ is the Messiah – Ali-İmran 3:45

Jesus Christ is the Servant of Allah – Nisâ 4:172

Jesus Christ is a prophet – Meryem 19:30

Jesus Christ is an apostle of Allah – Mâ’ide 5:75

Jesus Christ is the Word of Allah – Al-i-İmran 3:3

Jesus Christ is the Word of Truth – Meryem 19:34

Jesus Christ is the Spirit of Allah – Tahrîm 66:12

Jesus Christ is a sign for mankind – Meryem 19:21

Jesus Christ is a witness – Nisâ 4:159
Jesus Christ is a mercy from Allah – Meryem 19:21

Jesus Christ is great (eminent) – Al-i-İmran 3:45

Jesus Christ is righteous – Al-i-İmran 3:46

Jesus Christ is blessed – Meryem 19:31
Jesus Christ did miracles – Bakara 2:87
Jesus Christ was led by the Holy Spirit – Bakara 2:253

Jesus Christ was born of a virgin – Al-i-İmran 3:47
Jesus Christ guides to the truth – Al-i-İmran 3:49

Jesus Christ healed people – Al-i-İmran 3:49

Jesus Christ raised the dead – Al-i-İmran 3:49

Jesus Christ would die for unbelievers – Al-i-İmran 3:55

Jesus Christ was resurrected from the dead – Al-i-İmran 3:55

Jesus Christ ascended to heaven – Al-i-İmran 3:55

Jesus Christ is a life giver – Mâ’ide 5:110
Jesus Christ is holy – Meryem 19:19

Jesus Christ is coming again – Zuhruf 43:61

Jesus Christ knows the future – Zuhruf 43:61, 63

Jesus Christ is to be obeyed and followed – Zuhruf 43:63

UHAKIKA WA YESU

Naam, kila mmoja anayo haki ya kujichagulia Ukristo mmojawapo miongoni mwa Ukristo wa Kipaulo na Ukristo wa Yakobo Mwema na viongozi wengine wa kale wa Kikristo waliokuwa wanafunzi wa Yesu Kristo mwenyewe.

Lakini napenda kuhakikisha hapa habari hii ya kwamba Ukristo halisi uliendelea kusonga mbele kushikamana na imani katika Umoja wa Mungu na ukajiweka kando kabisa na bidaa zilizozuka baadaye zilizozalisha upayukaji na matatizo ya itikadi ya Kikristo kama vile Yesu kuwa Mwana wa Mungu, Utatu, Dhambi ya Asili, Wokovu, kuhuika Yesu kimwili baada ya kufa na kadhalika.

Fikara za viongozi wa zamani wa Kanisa, Yakobo Mwema akijulikana zaidi kati yao, zilikuwa nyofu na halisi zisizokuwa na upingamizi wa ndani wala hitilafu zilizofichikana nyuma ya wingu la moshi la siri.

Mtaala wa historia ya Imani ya Umoja wa Mungu katika Ukristo unahakikisha pasipo shaka ya kwamba Umoja wa Mungu usiofanywa kuwa mgumu kueleweka na kelele za utatu, uliendelea kuwa imani safi na rasmi ya Kanisa halisi la Kristo.

Tafadhali kumbukeni ya kwamba sina lengo la kuwaingiza Wakristo katika imani yoyote nyingine isipokuwa tu kuwaongoza kwenye imani halisi ya Kristo mwenyewe.

Hili ni jaribio halisi la kuwakaribisha Wakristo warudi nyuma na kuiamini imani na amali safi ya Yesu isiyochanganyikana na
mambo mengine yasiyotakikana.

Hili ni jaribio aminifu kwa kuondoa yaliyobuniwa na kuleta mahali pake mambo ya kweli ya Ukristo - mambo ya kweli ambayo kwa hakika ndiyo mazuri kama yalivyo ya hakika na yanatuliza akili na moyo.

Siyo hekaya za kubuniwa kumhusu Yesu Kristo zilizoubakiza Ukristo tangu miaka karibuni elfu mbili na kuusaidia kupona miito ya akili na busara inayodumu ya kuzidi kwa sababu ya maendeleo ya sayansi, wala haukubaki kwa sababu ya itikadi ya kubuniwa
ya Utatu.

Kilichobakiza ukweli na kiini cha Ukristo ndiyo dhati na mafunzo ya Yesu Kristo. Sio uungu wa Yesu bali ni matendo yake bora matakatifu yanayovutia ili mtu afungamane nao.

Uti wa mgongo wa Ukristo hasa ulikuwa ni yale masumbufu na subira na uvumilivu kwa ajili ya shabaha njema na kukataa kwa uaminifu majaribio yote ya kikatili ya kumlazimisha yeye kugeuza kanuni zake. Bado ni mzuri na wakupendwa hata leo jinsi ulivyokuwa hapo kabla.

Huo umeziathiri kwa nguvu sana fikira na nyoyo za Wakristo hata kwamba wamebakia kufungamana na Yesu na wanaonelea kufumba macho yao wasiangalie hitilafu za kiakili katika Utatu na kadhalika ni afadhali kuliko kutengana na Yesu.

Utukufu wake hasa umo katika hakika hii ya kwamba yeye akazishinda nguvu za giza zilizokula njama kumtiisha ijapokuwa
yeye alikuwa mnyonge sana wala si zaidi ya kuwa binadamu.

Ushindi wa Yesu ni kitu wanachopaswa watoto wa Adamu kushirikiana katika hicho kwa fahari. Sawa na nadharia ya Waislamu, yeye alikuwa miongoni mwa kizazi bora sana cha Adamu.

Yeye aliwafunza wanadamu kwa mfano wake wa kuvumilia alipokabiliwa na usumbufu mkali na uchungu mwingi sana.

Ushindi mkuu wa Yesu ulikuwa kutokujisalimisha na kukaa imara katika hali ngumu sana ya majaribio makali. Ni maisha yake ya uchungu na usumbufu yaliyookoa wanadamu na yalimfanya ayashinde mauti. Kama yeye angelichagua kufa kwa hiari, kitendo chake hicho kingelikuwa sawa na kujaribu kuyakimbia hayo mateso.

Mtu anawezaje kulihesabu tendo hilo kuwa ushujaa? Hata wale wanaojiua kwa kulazimika, kitendo chao pia kinahesabika kuwa cha woga tu.

Kushirikiana katika shida maishani ni afadhali kuliko kuzikimbia kwa njia ya kujiua.

Hivyo wazo la dhabihu kuu ya Yesu kwa kukubali mauti kwa ajili ya binadamu ndiyo maono matupu yasiyo na kiini mle ndani.

Ubora wa Yesu, twasisitiza tena, ulikuwamo katika kujitolea kwake sana katika maisha mazima. Katika maisha yake yote yeye
alishindana na vishawishi bila kulegea na kuyabadilisha maisha ya uchungu kwa maisha ya raha. Alisema aliyoamrishwa kusema, si zaidi wala si kidogo kuliko aliyoambiwa na Mungu kusema.

Yeye alimwabudu Mungu maisha yake mazima, naam, alimwabudu Yeye peke yake, na hakumtaka yeyote mwenye kufa kuinama mbele yake wala mbele ya mamake au mbele ya Roho Mtakatifu.

Hiyo ndiyo hakika ya Yesu ambayo tunawakaribisha Wakristo wa madhehebu yote na imani zote kuirejea.
 
Imekua ni hali ya kawaida sana. Kwenu kusema Uongo. Kwakua kharul makireena a.k.a the Despot.amewaamrisha hivyo. Kama Pepo ya Brothel ni nzuri hivyo, kwanini kulazimishana na kurubuniana?. We can smell Something evil is lurking in the dark..!.

Mlikuja na stori za injili ya barnabas. Imeshakua debunk, hamkomi bado mnapika na zingine.. Kama unataka histori ya Church. Uliza. Sio unatengeneza stori zako...

"...Sema umeyaamini yale yote tuliyoteremshiwa sisi Wakristo."- By allah.

Liars

'Only lies have our fathers handed down to us, emptiness in which there is nothing of any avail!'

– Jeremiah 16.19.

Was Saint Paul an unabashed liar? From this verse in Romans it would appear so:

"For if the truth of God hath more abounded by my lie unto his glory, why yet am I also adjudged a sinner?" – St. Paul, Romans 3.7.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom