Ahahaahhahahahaahhha Huyu alieua wazaliwa wa kwanza wa wamisri ni binadamu?
MUNGU WAKO NI KATILI SANA
KUTOKA 12:29
"; Hata ikawa usiku wa manane Bwana AKAWAPIGA wazaliwa wa kwanza WOTE katika nchi ya Misri, tangu mzaliwa wa kwanza wa FARAO aliyeketi katika kiti chake cha enzi; hata mzaliwa wa kwanza wa mtu ALIYEFUNGWA katika nyumba ya wafungwa; na wazaliwa wa kwanza wote wa WANYAMA";
ahahahahaahhahhaahhaha sasa mpaka wanyama ANAUA unakuja kuleta utoto hapa Mungu wangu ni mpole , ahahahah huo ndio ukatili wake
Baaada ya Kuua Bwana sasa akawaambia wakina Musa wafanye hivyo hivyo
KUMB LA TORATI 20:16-17
16"; lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana Mungu wako , kuwa urithi , USIHIFADHI kuwa hai kitu chochote kipumzikacho";
17" lakini UWAANGAMIZE kabisa , Mhiti, na Mwamori, na mkaanani, na Mperizi, na Mhivi,na Myebusi, kama ALIVYOKUAMURU BWANA Mungu wako";
ahahahahahjaajajaajajaahajja unafikir wangepata nchi hapo kwamaneno matupu , ahahahaaahaahahaahaaaa damu ndio zimewapa nchi hao
Moses aliambiwa kua Kuna siku Masiha atakuja.Kwani wakati wake, haikua ndio mwisho wa kila jambo.
Ujio wa Yesu Kristo. Ndio Mungu katika WAKATI WAKE. YESU ALIPOZALIWA ALIPELEKEWA ZAWADI YA UVUMBA. HII HUA NI KWAJILI YA MUNGU TU
Na tunaona kua Masiha alipokuja akawaambia wazi kua NABII MKUU WA AGANO LA KALE KATIKA WALIOZALIWA NA MWANAMKE NI YOHANE MBATIZAJI PEKE YAKE. Hakuna kama yeye.
YESU AMELETA UFALME WA MUNGU. UFALME WA MUNGU UMEKUJA Kutenganisha kati ya ZILE FALME ZA WANADAMU WA KALE na UFALME MTUKUFU WA KIMUNGU ambao ni wa Milele.
John 18:36
Yesu akajibu, Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu,WATUMISHI WANGU WANGENIPIGANIA, nisije nikatiwa mikononi mwa Wayahudi. Lakini ufalme wangu sio wa hapa.
Maandiko yanasema waziwazi Walitaka kumfanya Yesu mfalme akajitenga nao. Na hata Petro alitaka kumpigania asitiwe mikononi mwa askari. Lakini akakatazwa na Yesu mwenyewe.
Utaona kua Vita ya Yesu ilikua dhidi ya Shetani na majini yake yote katika Ulimwengu wa Roho.
Yesu anajua wanadamu wanatumika kama 'Pawn' na majini.
Na Mungu alimuumba Mwanadamu kwa sura na mfano wa wake. Akampulizia pumzi ya uhai akampa Nguvu ya uumbaji kupitia Procreation.
Jehanam ipo kwaajili ya Shetani na Malaika zake, Majini, mapepo.
ITAKUA NI AIBU SANA, BAADA YA YESU KUTUKOMBOA KWA DAMU YAKE PALE MSALABANI. HALAFU AJE MTU MWINGINE AJIITE 'NABII' KISHA AANZE KUUA WATU KWA KISINGIZIO CHA KUENEZA DINI.
TAFAKARI KWA KINA HIZI TAURATI CHACHE HAPA CHINI KATIKA UTIMILIFU WAKE.
Matthew 5:
5. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.
9. Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
10. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
14. Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.
16. Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona MATENDO YENU MEMA, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.
SHERIA NA MANABII;
24. iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
38. Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino;
39. Lakini mimi nawaambia, MSISSHINDANE NA MTU MWOVU; lakini mtu akupigaye shavu la kuume, mgeuzie na la pili.
44. lakini mimi nawaambia, WAPENDENI ADUI ZENU, WAOMBEENI WANAOWAUDHI,
45. ili mpate kuwa WANA WA BABA YENU ALIYE MBINGUNI; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
48. Basi ninyi mtakuwa WAKAMILIFU, KAMA Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
-------------