2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
John 8:24Ahahahhaahahahahahhah kukabidhiwa vyote , wewe ujaelewa kipi sasa ulitaka apewe mafundisho nusunusu ? sisi tunaamini Yesu alipewa mamlaka kadri Mungu atakavyo ndio maana siku zote alikuwa mtiifu kwa Mungu , sasa ajabu wewe unamsemea katu asichokisema ,miongoni mwa vitu alivyopewa ni hivi hapa
MARKO 13:32
Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni , wala MWANA , ila Baba";
ahahaaaaaahaaahahahaha kakabidhiwa vyote, ahahahahahahahha Kiyama itakuwa lini ajakabidhiwa kwasababu ni nje ya alichofundishwa na Mungu ,hivyo basi hakimuhusu kukijua sasa cheki Yesu alivyomtiifu kwa Mungu wake
MARKO 10:18
" Yesu akamwambia , kwa nini kuniita mwema? Hakuna aliemwema ila mmoja ,,ndiye Mungu";
ahahahahaaaahaahahahaha huu ni utiifu wa mja kwa mola wake, bahati mbaya mmepotoka mja ndio mnafanya mola mlezi
Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.
Matthew 15:8
Watu hawa huniheshimu kwa midomo; Ila mioyo yao iko mbali nami.