Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Acha story za kwenye kahawa mkuu ahahahaahahahahahah, twende kwahiyo wewe unaamini Yesu ni mwana wa Mungu sio Mungu? nakusubir
story za kwenye kahawa ziko wapi sasa.. Mudy Alifyekelewa mbali na kitimoto Bwana hahahahahaha

Yesu ni mwana wa Mungu Aliye hai.
Unasemaje!
 
story za kwenye kahawa ziko wapi sasa.. Mudy Alifyekelewa mbali na kitimoto Bwana hahahahahaha

Yesu ni mwana wa Mungu Aliye hai.
Unasemaje!
Unaweza kuthibitisha nguruwe alimfyekelea mbali Mudy? hata Israeli ni mwana wa Mungu alie hai, hata wewe ni mwana wa Mungu alie hai kwahiyo ni jambo dogo kabisaaa ahahahaahahahahahah
 
Safi sana. Yesu alikua binadamu kamili na Mungu kamili. Hao watu walikua wanataka kumua kama binadamu. Na sio kama Mungu.

Jibu swali ni Nani alitamka John1:1 na John1:14???

Yesu alisema wapi kuwa yeye ni mungu kamili?? umekuwa msemaji wa Yesu??
 
Ahahahahaahahaahaha kwanini aangaike na kinyago alichokitengeneza mwenyewe? wakati ameweka siku mahsusi kwa ajili ya hukumu!!
QURAN 22:56-57
56"Ufalme wote siku hiyo utakuwa kwa Mwenyezi Mungu. ATAHUKUMU baina yao.Basi WALIOAMINI na WAKATENDA mema watakuwa katika Bustani zenye neema"
57"Na walio KUFURU na KUZIKANUSHA ishara zetu, basi hao watapata ADHABU ya kufedhehesha"

Ahahahahaahahaahaha kazi kwako usuke au unyoe, hakuna haja ya Mungu kuchezea KELBU maridhawa Ahahahahaahahaahaha
 
Unaweza kuthibitisha nguruwe alimfyekelea mbali Mudy? hata Israeli ni mwana wa Mungu alie hai, hata wewe ni mwana wa Mungu alie hai kwahiyo ni jambo dogo kabisaaa ahahahaahahahahahah
Nisibitishe nini kitu kiko wazi Mudy Alitafunwa na kitimoto..

Kumbe unajua tunamuamini kristo wote ni wana wa Mungu tulio hai eeh.. safi sana!

kazi kwenu msio Amini!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Nisibitishe nini kitu kiko wazi Mudy Alitafunwa na kitimoto..

Kumbe unajua tunamuamini kristo wote ni wana wa Mungu tulio hai eeh.. safi sana!

kazi kwenu msio Amini!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Mbona unarukaruka Ahahahahaahahaahaha ebu thibitisha nguruwe huyo wapi halimtafuna mtume? ndio naamini ni wana wa Mungu wewe na Yesu, kwahiyo ile dhana ya kuwa Yesu ni mwana wa Mungu wa pekee imekufa kifo cha mende Ahahahahaahahaahaha
 
sasa umeanza kukubali kwamba allah HANA Uwezo [emoji122] [emoji106] Utaelewa tu masudi maadam umo humu na ni UPENDO WA YESU kukuleta humu[emoji53]
Ahahahahaahahaahaha Allah hawezi kufanya vitu vya kipumbavu Ahahahahaahahaahaha , yaani Allah apigwe makofi na wapuuzi wa kiyahudi ahahahahahaahha your not serious bro Ahahahahaahahaahaha
 
Kinara wa mipasho huyu [emoji117] View attachment 914976View attachment 914979 umeona mipasho eeh [emoji4]
Ahahahahaahahaahaha hakika huyu bwana Paulo ni bingwa mipasho
WAKORINTHO (1)1:25
"Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu"

Ahahahahaahahaahaha hakika huu ni mpasho wa grade A Ahahahahaahahaahaha
 
Mbona unarukaruka Ahahahahaahahaahaha ebu thibitisha nguruwe huyo wapi halimtafuna mtume? ndio naamini ni wana wa Mungu wewe na Yesu, kwahiyo ile dhana ya kuwa Yesu ni mwana wa Mungu wa pekee imekufa kifo cha mende Ahahahahaahahaahaha
Speaking of Upekee wa YESU uko Hivi..
Kuzaliwa kwake kulikua ni kwa kipekee (Mimba yake ilitungwa kwa uwezo wa roho mtakatifu) Maisha yake yalikua yaki pekee na kufa kwake kulikua kwa kipekee yeye Alitufia msalabani na AKAFUFUKA!
hili hata nyie mnalitambua Ndio maana mnamuongelea sana.

Haya nipe Upekee wa Mudy
Zaidi ya kutafunwa na kiti moto na Kuoa kuanzia Watu wazima umri sawa na mama zake mpaka watoto wadogo wa miaka sita[emoji57] [emoji57] shame on him!
 
Hii ndio shida yaani unataka Quran ishuke kama unavyotaka wewe , kwamba Jibril kwanini hakutajwa mwanzoni kabisa QURAN ilipokuwa inashushwa ? lazima ufahamu Mungu ndio anaamua wakati na mda gani AYA gani ishuke sio wewe

QURAN 17:106
" Na QURAN tumeigawanya sehemu mbali mbali uwasomee watu kwa kituo, na tumeiteremsha KIDOGO KIDOGO";

Ilishuka kidogo kidogo pale inapolazimika kushuka ,hata QURAN inafahamu nabii Mohamadi alikuwa na kiu ya kumfahamu Jibril mapema , mpaka wakawa kama adui anamuogopa lakini baadae Mungu alimtoa hofu , kuwa asiogope huyo ni JIBRIL
QURAN 2:97
" sema : aliye kuwa ni adui wa JIBRIL , basi huyo ndiye aliye teremsha QURAN moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa waumini";

Ahahahahaahahaahaha umeona mambo hayo sasa , Mungu alipoona inafaa akaweka mambo hadharani
 
Ahahahahaahahaahaha kwahiyo kumbe upekee uko kwenye akili zenu? unamjua mzaliwa wa kwanza wa Mungu? umeshindwa kuthibitisha nguruwe kumla Mohamadi kwahiyo wewe kwa Mohammed ni kilaza
 
Huyu muandishi wa "Quran Dilemma" ameandika kwa nidhamu sana. Hafanyi jokes wala nia ya kudhalilisha Quran.
Nadhani unaweza ukaona clarity ya maelezo yake. Nilitarajia kama unajibu usijibu kwa mzaha mzaha. Jipange..
 
Umeona madhaifu ya mungu WAKO masudi [emoji350] [emoji350] [emoji344] [emoji350] [emoji344] halafu mtu unamsujudia wakati yeye mnyewe ametangaza sio MUNGU MWENYEZI eti sababu tu mmeahidiwa kungonoka na ku-update dhakari isisinyae [emoji15] [emoji12] ninini ashki majununi au harjununu fununu [emoji15]
 
Huyu muandishi wa "Quran Dilemma" ameandika kwa nidhamu sana. Hafanyi jokes wala nia ya kudhalilisha Quran.
Nadhani unaweza ukaona clarity ya maelezo yake. Nilitarajia kama unajibu usijibu kwa mzaha mzaha. Jipange..
Nimemjibu kwa aya mbili maridhawa wewe usiofahamu mambo ndio utaogopa ,lakini mimi mbobezi hizo hoja zake ni nyepesi kabisaaa Ahahahahaahahaahaha kama kumsukuma alie lewa tu
 
Hayo maneno yanatoka kwa Mungu kwenda kwa Jibril halafu yanaenda kwa mtume Ahahahahaahahaahaha lugha inakusumbua , kama lugha inakutesa ndio maana hata maana ya " kinyago changu hakiwezi nisumbua uelewi" ahahhahahahahahahahah
 
Ahahahahaahahaahaha kwahiyo kumbe upekee uko kwenye akili zenu? unamjua mzaliwa wa kwanza wa Mungu? umeshindwa kuthibitisha nguruwe kumla Mohamadi kwahiyo wewe kwa Mohammed ni kilaza
Yes!Upekee wa Yesu uko kwenye Akili zetu fahamu zetu na mioyoni mwetu.. Alafu Wewe hujielewi mbona! yaani Unatapatapa tu.. Tulikua tunaongelea Upekee wa Yesu Alafu wewe unaleta habari za mzaliwa wa kwanza!
Lete kwanza Upekee wa Mudy hapa!
Mudy Mlikua mnasubiri Afufuke Akaliwa na ngurue hii iko wazi unataka nithibitishe nini.

Huyu jamaa wenu Angekua hai had i Leo Nahisi Angeimbiwa Mudy Hodari wa Kuoa
Maana si kwa kuoa hadi Vikinda vya Miaka sita[emoji57] [emoji57] [emoji57] mmh!
 
Ahahahahaahahaahaha kumbe kwenye akili zenu Ok , mimi nilijua labda Yesu ndio alisema Ahahahahaahahaahaha kama ni akili zenu mbovu endeleeni Ahahahahaahahaahaha mwanaume mashine hata selemani bin daudi analijua hili, wewe unakibamia Ahahahahaahahaahaha
 
Aslatz
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri na wa kina.
Mwanzo kabisa wa mjadala huo nilimwambia huyu mtoa mada kuwa Quran sio riwaya wala hekaya ya kuchukuliwa at face value
Hakutoa mada hiyo kwa nia njema bali kwa ushabiki wa kishamba akiona " niwaumbue nimewapata kwenye uongo"
Mtu kama hujui Quran inatafsiriwaje ni vyema kufunga tundu lako (la kusemea) na uwaachie wahusika
Ushamba mzigo
 
Hahahahahahaha wee jamaa unachekesha sana Ona sasa Unakuja na habari za mwanaume machine na vibamia hahahaha ngoja nicheke kwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] Yani unatapatapa!
Upekee wa Yesu hauna haja ya yeye kusema Matendo yake yanalidhihirisha hili.. Kuzaliwa kwake kuishi kwake kufa kwake na KUFUFUKA kwake kunadhihirisha Upekee wake!

Haya Upekee wa Mudy ndo mwanaume Mashine sio.. kuwapelekea Moto mpaka vitoto vidogo[emoji57] [emoji57] [emoji57] dah!
yani sujui mnajifunza nini kwa huyu jamaa Aisee!

Alafu hatumzungumzii sulemani hapa this is Another case..

Tuko na Upekee Wa yesu Vs Upekee Wa Mudy.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…