Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Huo ukoo wa Yesu kwenye biblia ni majanga matupu ahahahahahaahjahah ukoo umejaa uzinzi huo ahahahahahhahahah
Msikilize Testimony ya huyu mwanamke wa kizanzibari.

Mwishowe Anasema ili kumhubiria Muisilamu lazima Mungu aingilie kati. Nawaza mimi ni nani hata nikushawishi Umjue Yesu. Nawaza tu lakini..

 
Acha uzushi wewe Yesu yupi huyo aliesulubiwa ? kila siku mnapiga porojo maswali hamjibu ,sasa nakuuliza swali njoo unionyeshe ulichonacho kichwani kwako Yesu alisulubiwa saa ngapi? Ahahahahhaah nakunywa kahawa nasubir jibu
I think ni saa 4 akafa saa 9 alasiri.
 
Mkuu hapo hataki hata kusikia harufu yake. Atakuletea mapicha yake anayopenda kuyaleta anapozidiwa hoja
Kama wewe unavyohangaika na conspiracy Theorists na vitabu vilivyo expire kwa hoja dhaifu za kizamani.
 
Umeongea Ukweli mchungu.
Korani sio kitabu cha Kiroho. Kinafundisha mambo ya kawaida sana ya mwilini.
Ambayo hata kama haujasoma kitabu unaweza kuyaishi kwa elimu ya kawaida ya Darasani.
Tena kinaponipa hofu ni kutoonyesha hofu kuhusu kujikinga na Dhambi.
 
Subiri warudi na uharo wao utacheka.
Nimewawekea
Mtume anasema ameamriwa kuua wasio amini mpaka watakapotoa shahada au kulipa Jizya ndipo wawe salama! Mungu na mtume gani huyo.
nikaweka Bandiko Mudy akisema amekuwa mshindi(kuweza kueneza uislam wake) kwa kutumia vitisho vya kigaidi.
Je Yesu Kristo anafundisha hayo? wapi andiko, hawana.
Hawakujibu wanruka ruka tu kama ngedere kaona ndizi!

 
Ha ha ha, huu unabii hatari.
Hata baba fatuma wakati anataka kurithisha kiti chake alimwambia seydina omary [emoji117] hainipasi kukuachia kiti kwa sababu kuna wakati unakuwa kafir wa ukweli na kuna wakati unakuwa muumini kweli kweli! Jee ukiwa kafir wa ukweli atasalisha NANI?
 
Ndio maana nasema imani yao inahitaji reformation kubwa sana. Au ifutwe kwenye uso wa Dunia. Kwasababu ni hatari kwa kila kiumbe..
 
Subiri warudi na uharo wao utacheka.
Nimewawekea
Mtume anasema ameamriwa kuua wasio amini mpaka watakapotoa shahada au kulipa Jizya ndipo wawe salama! Mungu na mtume gani huyo.
nikaweka Bandiko Mudy akisema amekuwa mshindi(kuweza kueneza uislam wake) kwa kutumia vitisho vya kigaidi.
Je Yesu Kristo anafundisha hayo? wapi andiko, hawana.
Hawakujibu wanruka ruka tu kama ngedere kaona ndizi!

 
Msikilize Testimony ya huyu mwanamke wa kizanzibari.

Mwishowe Anasema ili kumhubiria Muisilamu lazima Mungu aingilie kati. Nawaza mimi ni nani hata nikushawishi Umjue Yesu. Nawaza tu lakini..



NA HUYU MCHUNGAJI WENU MSIKILIZE

MIMI SIKUSHAWISHI NI CHOICE YAKO MWENYEWE KUTUMIA AKILI YAKO



 


Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu, kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba Yesu ni mwana wa Adamu. Basi mwana wa Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu.

Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20).


Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.


Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo - Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu.

Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
 
Yes, He knew me before i was Born! that's why i am here speaking about Him. What about you and your Abdul - Harith Muhammad???
 
Ndio maana nasema imani yao inahitaji reformation kubwa sana. Au ifutwe kwenye uso wa Dunia. Kwasababu ni hatari kwa kila kiumbe..


Baadhi ya Wakristo wanadai kwamba Yesu ni Mungu kwa sababu kuna sababu ya kuitwa Mwana wa Mungu.

Kama mwana wa Mungu anaweza kuwa Mungu basi tuone kati ya hawa wana wa Mungu na kwa nini wote wasiwe miungu?

Na kwa nini Mwana wa Kwanza asiwe Mungu?

WANA WA MUNGU

Biblia inasema kwamba: 1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).

2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).

3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).


Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu. Kwanza itakuwaje watoto wote watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu.

Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?

Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.

4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).

5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9).

Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi.

Kama Biblia inavyosema kwamba:

A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).

B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).
 
Yes, He knew me before i was Born! that's why i am here speaking about Him. What about you and your Abdul - Harith Muhammad???


Before Abraham was I am”

This is another quotation which the Christians bring to show the divinity of Jesus. Its from John 8:58.

Lets analyze this verse.

Jesus said unto them, Verily,verily, I say unto you, Before Abraham was, I am.” (John 8:58)

The reasons Christians give that Christ (pbuh) claimed divinity here are:


A. Jesus existed before Abraham.

B.“I am” is the name of God in the Bible (Exodus 3:14)

Lets analyze both the reasons.

A.

If Jesus (pbuh) existed before Abraham that does not make him God in anyway because even angels existed before Abraham. They existed before the world was created. Does it make them God? No ! Jesus (pbuh) was with God before Abraham (pbuh) , but in what form? Was he like a handsome young man moving around and then God reduced him to a small baby and put him in his mother’s womb? No No ! It means in the knowledge of God we all were there. Jeremiah is said to have been made a Prophet before his birth. The Bible says

“Before I formed thee in the belly I knew thee; and before thou camest forth out of the womb I sanctified thee, and I ordained thee a prophet unto the nations.” (Jeremiah 1:5)

In Islam, we share somewhat a similar belief. The Quran says

“When thy Lord drew forth from the Children of Adam - from their loins - their descendants, and made them testify concerning themselves, (saying): "Am I not your Lord (who cherishes and sustains you)?"- They said: "Yea! We do testify!" (This), lest ye should say on the Day of Judgment: "Of this we were never mindful":(Quran 7:172)

B.

The Christians claim that “I am” is the name of God in the Bible in Exodus 3:14. The verse reads

“And God said unto Moses, I AM THAT I AM: and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel, I AM hath sent me unto you.” (Exodus 3:14)

Jesus said unto them, Verily,verily, I say unto you, Before Abraham was, God ( I am.)”

We have no objection in agreeing that God was there before Abraham.

If Jesus was claiming divinity here. He should have at least remained consistent in the usage of words. In Exodus 3:14 the word for “I am” is “haw-yaw’ Where as the word in John 8:58 is “Ego Eimi”

This is sufficient to prove that in John 8:58 Jesus did not claim divinity.

 
Jibu swali langu kuhusu Mudy kutuhumiwa wizi kwanza.
huku ulikokuja "It is too deep for you to understand!" hata Mudy mwenyewe hakuelewa hiyo mambo!
 
Jibu swali langu kuhusu Mudy kutuhumiwa wizi kwanza.
huku ulikokuja "It too deep for you to understand!" hata Mudy mwenyewe hakuelewa hiyo mambo!

KUMBE UNAKUWA HUSOMI UNACHOJIBIWA ??? UJIBIWE MARA NGAPI AU HOLY GOAT AMEKULA BANGI MBICHI ??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…