Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Huo ukoo wa Yesu kwenye biblia ni majanga matupu ahahahahahaahjahah ukoo umejaa uzinzi huo ahahahahahhahahah
Msikilize Testimony ya huyu mwanamke wa kizanzibari.

Mwishowe Anasema ili kumhubiria Muisilamu lazima Mungu aingilie kati. Nawaza mimi ni nani hata nikushawishi Umjue Yesu. Nawaza tu lakini..

Acha uzushi wewe Yesu yupi huyo aliesulubiwa ? kila siku mnapiga porojo maswali hamjibu ,sasa nakuuliza swali njoo unionyeshe ulichonacho kichwani kwako Yesu alisulubiwa saa ngapi? Ahahahahhaah nakunywa kahawa nasubir jibu
I think ni saa 4 akafa saa 9 alasiri.
 
Ukafiri ni huu wa kuabudu Shoga

4e84e7fa63e741963e5cec01c3c4955d9df1bb1d%20(1).jpg
 
Mkuu hapo hataki hata kusikia harufu yake. Atakuletea mapicha yake anayopenda kuyaleta anapozidiwa hoja
Kama wewe unavyohangaika na conspiracy Theorists na vitabu vilivyo expire kwa hoja dhaifu za kizamani.
 
Abdul-Harith, tunaposema acheni C&P za ki Donkey Donkey, hatuwatukani ndio ukweli. Andiko uliloleta (Matendo ya Mitume 26:11) Umeona hapo umepatia kumtia hatiani Paul(The Man Himself) aka KIBOKO yenu mafarisayo na makuhani msiomjua Mungu wa kweli.
Someni Habari nzima. Narudia TENA, SOMENI. msije na kimstari cha kukariri ukajiona mjuaji kumbe Mpumbavu tu, maana upumbavu nao ni kipaji!!

Kwa faida ya wengi,(Najua wewe na Donkey - abduls wenzako hamuwezi kelewa kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu) wapate kelewa usomaji wa BIBILIA/Bible.
Pointi za msingi unapotaka kujifunza na kuelewa mandiko katika Bible.

Kwakifupi maana ni nyingi.

1. Bible imeandikwa kwa msaada/Uvuvio/ wa ROHO MTAKATIFU kwa watu hawa tuwasomao, Moses, Isaya, luka, Paul, Yohana etc.
Hivyo basi unapotaka kuanza kuisoma lazima uombe ROHO Mtakatifu akupe neema hiyo nawe upate kuulewa ujumbe ulipo katika maandiko hayo.
Sasa kwa sababu Waislam si wa KIROHO, inawawia ngumu. Mudy na Qurani yake wanakiri hilo ndio maana amekua akiwafundisha/ahidi mambo ya mwilini zaidi. Mfano, KUOA vitoto vidogo ili upige navyo sports, Abdul ukikufa baada ya kufanya JIHAD utazawadiwa Wake 72, wawili Huries na hao 70 ni wanawake kutoka motoni(Mbingu gani hii?)
2. Elewa WAHUSIKA waliopo ndani ya andiko hilo. (Main Characters) mfano Matendo 26:11 Paul na Mfalme Agripa.
3. Nani anasimulia/Andika/Msemaji katika andiko hilo. Mfano utakuta imeandikwa Yesu akasema/akajibu. Mwandishi ana Nukuu alichosema YESU. baadhi ya Bible utakuakuta wametofautisha font au rangi. msimuliaji wa kisha mwengine na mnenaji mwingine.
4. Wakati gani andiko liliandikwa. hapa inaweza kuwa kisa hicho kilitokea lini na wapi. Mfano andiko lako; Paulo yupo kwenye utetezi kwa Mfalme Agripa baada ya kukamatwa akihubiri Neno la Mungu.
5. Anaye andikiwa ujumbe huo ni nani? Mfano Ufunuo wa Yohana. ujumbe ni kwa watu wote, Galatia- ujumbe kwaajili ya Kanisa la Galatia na pia ulimwengu wote ujifunze kwalo. pia unaweza soma Songs of Songs(Wimbo ulio Bora) simulizi ya maongezi ya mtu na mpenzi wake katika kuimarisha/kufurahia mahusiano ya NDOA.
5. Kiini/Ujumbe/lengo la andiko. Nitarudia andiko lako. Paulo amefikishwa mbele ya Mfalme Agripa ahukumiwe, kwanini ahukumiwe? anamtangaza Yesu/Habari njema/Ufalme wa Mungu.
6. Eneo la tukio/kilipotokea kisa(Geographical location of the event) Utaona alipofika Galilaya, Jerusalem, Antiokia Efeso, Corintho etc Hayo ni baadhi maeneo tajwa katika Bible. Sasa kama ulikimbia Geography sikulaumu, maana mnakimbila Madrassa tul Jinn Kariri, kuliko elimu ya kukusaidia kupambanua mambo zaidi.
7. Sababu ya/kwanini andiko hili liliandikwa. Mfano; MWANZO/GENESIS - Moses antupasha habari kuhusu uumbaji alioufanya Bwana Mungu nk.
8. Uthibitisho wa Andiko/Jambo tajwa lazima uripotiwe na vinywa zaidi ya mmoja. ndio maana Bible inakupatia namba kama ref. au foot Notes ili ukasome kwa mwingine jambo hilo kuwa lilisha repotiwa pia na flani.
Quran haina zaidi ya Muhammad pekeyake kushuhudia kuwa alipokea wahayi/Revelation
Zipo nyingi pointi za kukusaidia kuielewa Bible.
9. Soma Aya nzima. Hapa tunasisitiza kufanya hivi sababu ukichuka mstari mmoja huwezi elewa. Maana mistari yote inamwendelezo wa kisa kizima.

Kimsingi ili kuielewa Bible usiende ukiwa na tafsiri yako kichwani. Utapotea sana.

Nirudi kwenye andiko lako. Rudia kusoma andiko hilo likiwa unataka kuelewa.
Kwakifupi Mstari tajwa hapa ni moja ya utetezi wa Paul Akisimulia aliyoyafanya hapo kabla ya kuipata NEEMA na kumjua Mungu. Amen!
Haya soma tena, kisha njoo na hoja.

Matendo Ya Mitume 26 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
26 Mfalme Agripa akamwambia Paulo, “Unayo ruhusa kujite tea.” Paulo akanyoosha mkono wake, akaanza kujitetea akasema,

2 “Mfalme Agripa, najiona kuwa mwenye bahati kwamba ninatoa utetezi wangu mbele yako kuhusu mashtaka yote ya Wayahudi. 3 Kwa sababu nafahamu ya kuwa wewe unajua kwa undani mila na maswala yote ya mabishano kati ya Wayahudi. Kwa hiyo nakusihi unisikilize kwa uvumilivu.

4 “Wayahudi wote wanajua jinsi nilivyoishi kutoka utotoni, kwa maana tangu mwanzo wa maisha yangu niliishi katika nchi yangu na pia Yerusalemu. 5 Pia wamefahamu wakati wote, na wanaweza kushuhudia, ya kuwa nililelewa na kuishi kama Mfarisayo nikifuata masharti halisi ya madhehebu ya dini yetu. 6 Na hata sasa nasi mama hapa nikiwa nashtakiwa kwa sababu nashikilia tumaini ambalo Mungu aliwaahidi baba zetu. 7 Ahadi hii ndio inawafanya makabila kumi na mawili ya Israeli wamwabudu Mungu kwa bidii usiku na mchana wakitarajia kuipokea. Mtukufu Mfalme, ni kwa ajili ya tumaini hili Wayahudi wamenishtaki! 8 Sijui ni kwa nini watu wanadhani ni jambo la ajabu lisilowezekana, kwamba Mungu anawafu fua wafu.

9 Mimi mwenyewe nilikuwa nimeamini kabisa kwamba sina budi kufanya kila niwezalo kupinga jina la Yesu wa Nazareti. 10 Nami ndivyo nilivyofanya kule Yerusalemu. Nilipewa mamlaka na makuhani wakuu, nikawatia kifungoni watakatifu wengi na walipokuwa wakihu kumiwa kuuawa mimi nilipiga kura kuunga mkono hukumu hiyo. 11 Pia niliwaadhibu mara nyingi katika masinagogi nikajaribu kuwalazimisha wakane imani yao. Nilikuwa nimejawa na ghadhabu juu yao nikawafuatilia na kuwatesa hata katika miji ya mbali.

12 “Nilikuwa katika mojawapo ya safari hizi nikielekea Dameski, nikiwa na kibali na amri kutoka kwa makuhani wakuu. 13 Mtukufu Mfalme, nilipokuwa njiani, mnamo saa sita mchana, niliona mwanga mkali kuliko wa jua kutoka mbinguni, ukaniangazia mimi na wale niliokuwa nao, pande zote. 14 Na wote tulipokuwa tumeanguka chini nilisikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kie brania, ‘Sauli, Sauli! Mbona unanitesa? Unajiumiza mwenyewe.’ 15 Nikauliza, ‘Ni nani wewe Bwana?’ Naye akasema, ‘Mimi ni Yesu unayenitesa. 16 Lakini sasa inuka usimame, kwa maana nimejidhi hirisha kwako ili nikuteue uwe mtumishi wangu, ukawaambie wengine mambo yote uliyoyaona kwangu leo, na yale nitakayokuonyesha baad aye. 17 Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa mataifa. 18 Ninakutuma ukawafungue macho yao ili watoke kwenye giza waingie nuruni na watoke katika nguvu za shetani wamgeukie Mungu; ili wapokee msamaha wa dhambi na wapate nafasi pamoja na wote ambao wanatakaswa kwa kuniamini.’

19 Kwa hiyo mtukufu Agripa, sikuweza kuacha kutii haya maagizo ya maono kutoka mbinguni, 20 bali niliwahubiria kwanza watu wa Dameski kisha Yerusalemu na nchi yote ya Yudea na watu wa mataifa mengine pia. Niliwahimiza watubu dhambi zao wamgeukie Mungu na kuishi maisha yanayodhihirisha kwamba kweli wametubu. 21 Ni kwa sababu hii Wayahudi walinikamata nilipokuwa Hekaluni, wakataka kuniua. 22 Lakini mpaka wakati huu nimepata msaada uto kao kwa Mungu, na kwa hiyo nasimama hapa nikitoa ushuhuda wangu kwa watu wote, wakubwa kwa wadogo. Nami sisemi lo lote ila yale ambayo Musa na manabii walitabiri yangetokea: 23 kwamba Kristo atateswa naye kwa kuwa atakuwa wa kwanza kufufuka kutoka kwa wafu, atatangaza mwanga wa wokovu kwa Wayahudi na watu wa mataifa.”

24 Paulo alipofikia hapa katika utetezi wake Festo aliin gilia kati akasema kwa sauti kubwa, “Paulo, umeehuka! Kusoma sana kumekufanya uehuke !” 25 Lakini Paulo akajibu, “Mimi si mwehu, Mtukufu Festo, bali nasema yale yaliyo kweli na ya kuami nika. 26 Mfalme Agripa anajua habari za mambo haya, ndio sababu najieleza wazi wazi mbele yake. Kwa sababu ninahakika kuwa yeye aliyaona mambo haya kwa kuwa hayakufichwa pembeni. 27 Mfalme Agripa, Unawaamini manabii? Ninajua kwamba unaamini.” 28 Kisha Agripa akamjibu, “Unadhani kuwa kwa muda huu mfupi unaweza kuni fanya nikubali kuwa mkristo!” 29 Paulo akasema, “Singejali kama ni kwa muda mfupi au mrefu, lakini shauku yangu ni kwamba wewe na wote wanaonisikiliza leo muwe kama mimi nilivyo, isipo kuwa tu hii minyororo.’ ’30 Ndipo Mfalme akasimama na Gavana na Bernike na wengine wote waliokuwa wameketi nao wakasimama. 31 Na walipokuwa faraghani pamoja wakasema, “Mtu huyu hafanyi jambo lo lote linalostahili kifo au kifungo.” 32 Agripa akamwambia Festo, “Mtu huyu angeweza kuachiliwa huru kama hakuwa amekata rufaa kesi yake isikilizwe na Kaisari.”

Praise Lord! Praise Lord!
Ukipewa hoja njo na majibu tukuelewe siyo C&P Abdul-Harith.
Umeongea Ukweli mchungu.
Korani sio kitabu cha Kiroho. Kinafundisha mambo ya kawaida sana ya mwilini.
Ambayo hata kama haujasoma kitabu unaweza kuyaishi kwa elimu ya kawaida ya Darasani.
Tena kinaponipa hofu ni kutoonyesha hofu kuhusu kujikinga na Dhambi.
 
Subiri warudi na uharo wao utacheka.
Nimewawekea
Mtume anasema ameamriwa kuua wasio amini mpaka watakapotoa shahada au kulipa Jizya ndipo wawe salama! Mungu na mtume gani huyo.
nikaweka Bandiko Mudy akisema amekuwa mshindi(kuweza kueneza uislam wake) kwa kutumia vitisho vya kigaidi.
Je Yesu Kristo anafundisha hayo? wapi andiko, hawana.
Hawakujibu wanruka ruka tu kama ngedere kaona ndizi!

Ha ha ha, huu unabii hatari.
Hata baba fatuma wakati anataka kurithisha kiti chake alimwambia seydina omary [emoji117] hainipasi kukuachia kiti kwa sababu kuna wakati unakuwa kafir wa ukweli na kuna wakati unakuwa muumini kweli kweli! Jee ukiwa kafir wa ukweli atasalisha NANI?
 
Subiri warudi na uharo wao utacheka.
Nimewawekea
Mtume anasema ameamriwa kuua wasio amini mpaka watakapotoa shahada au kulipa Jizya ndipo wawe salama! Mungu na mtume gani huyo.
nikaweka Bandiko Mudy akisema amekuwa mshindi(kuweza kueneza uislam wake) kwa kutumia vitisho vya kigaidi.
Je Yesu Kristo anafundisha hayo? wapi andiko, hawana.
Hawakujibu wanruka ruka tu kama ngedere kaona ndizi!
Ndio maana nasema imani yao inahitaji reformation kubwa sana. Au ifutwe kwenye uso wa Dunia. Kwasababu ni hatari kwa kila kiumbe..
 
Subiri warudi na uharo wao utacheka.
Nimewawekea
Mtume anasema ameamriwa kuua wasio amini mpaka watakapotoa shahada au kulipa Jizya ndipo wawe salama! Mungu na mtume gani huyo.
nikaweka Bandiko Mudy akisema amekuwa mshindi(kuweza kueneza uislam wake) kwa kutumia vitisho vya kigaidi.
Je Yesu Kristo anafundisha hayo? wapi andiko, hawana.
Hawakujibu wanruka ruka tu kama ngedere kaona ndizi!

Umeongea Ukweli mchungu.
Korani sio kitabu cha Kiroho. Kinafundisha mambo ya kawaida sana ya mwilini.
Ambayo hata kama haujasoma kitabu unaweza kuyaishi kwa elimu ya kawaida ya Darasani.
Tena kinaponipa hofu ni kutoonyesha hofu kuhusu kujikinga na Dhambi.
 
Msikilize Testimony ya huyu mwanamke wa kizanzibari.

Mwishowe Anasema ili kumhubiria Muisilamu lazima Mungu aingilie kati. Nawaza mimi ni nani hata nikushawishi Umjue Yesu. Nawaza tu lakini..

NA HUYU MCHUNGAJI WENU MSIKILIZE

MIMI SIKUSHAWISHI NI CHOICE YAKO MWENYEWE KUTUMIA AKILI YAKO

Umeongea Ukweli mchungu.
Korani sio kitabu cha Kiroho. Kinafundisha mambo ya kawaida sana ya mwilini.
Ambayo hata kama haujasoma kitabu unaweza kuyaishi kwa elimu ya kawaida ya Darasani.
Tena kinaponipa hofu ni kutoonyesha hofu kuhusu kujikinga na Dhambi.

Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu, kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba Yesu ni mwana wa Adamu. Basi mwana wa Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu.

Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20).

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo - Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu.

Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
 
Yes, He knew me before i was Born! that's why i am here speaking about Him. What about you and your Abdul - Harith Muhammad???
 
Ndio maana nasema imani yao inahitaji reformation kubwa sana. Au ifutwe kwenye uso wa Dunia. Kwasababu ni hatari kwa kila kiumbe..

Baadhi ya Wakristo wanadai kwamba Yesu ni Mungu kwa sababu kuna sababu ya kuitwa Mwana wa Mungu.

Kama mwana wa Mungu anaweza kuwa Mungu basi tuone kati ya hawa wana wa Mungu na kwa nini wote wasiwe miungu?

Na kwa nini Mwana wa Kwanza asiwe Mungu?

WANA WA MUNGU

Biblia inasema kwamba: 1. Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).

2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).

3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).

Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu. Kwanza itakuwaje watoto wote watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu.

Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?

Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.

4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).

5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9).

Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi.

Kama Biblia inavyosema kwamba:

A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).

B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).
 
Yes, He knew me before i was Born! that's why i am here speaking about Him. What about you and your Abdul - Harith Muhammad???

Before Abraham was I am”

This is another quotation which the Christians bring to show the divinity of Jesus. Its from John 8:58.

Lets analyze this verse.

Jesus said unto them, Verily,verily, I say unto you, Before Abraham was, I am.” (John 8:58)

The reasons Christians give that Christ (pbuh) claimed divinity here are:

A. Jesus existed before Abraham.

B.“I am” is the name of God in the Bible (Exodus 3:14)

Lets analyze both the reasons.

A.

If Jesus (pbuh) existed before Abraham that does not make him God in anyway because even angels existed before Abraham. They existed before the world was created. Does it make them God? No ! Jesus (pbuh) was with God before Abraham (pbuh) , but in what form? Was he like a handsome young man moving around and then God reduced him to a small baby and put him in his mother’s womb? No No ! It means in the knowledge of God we all were there. Jeremiah is said to have been made a Prophet before his birth. The Bible says

“Before I formed thee in the belly I knew thee; and before thou camest forth out of the womb I sanctified thee, and I ordained thee a prophet unto the nations.” (Jeremiah 1:5)

In Islam, we share somewhat a similar belief. The Quran says

“When thy Lord drew forth from the Children of Adam - from their loins - their descendants, and made them testify concerning themselves, (saying): "Am I not your Lord (who cherishes and sustains you)?"- They said: "Yea! We do testify!" (This), lest ye should say on the Day of Judgment: "Of this we were never mindful":(Quran 7:172)

B.

The Christians claim that “I am” is the name of God in the Bible in Exodus 3:14. The verse reads

“And God said unto Moses, I AM THAT I AM: and he said, Thus shalt thou say unto the children of Israel, I AM hath sent me unto you.” (Exodus 3:14)

Jesus said unto them, Verily,verily, I say unto you, Before Abraham was, God ( I am.)”

We have no objection in agreeing that God was there before Abraham.

If Jesus was claiming divinity here. He should have at least remained consistent in the usage of words. In Exodus 3:14 the word for “I am” is “haw-yaw’ Where as the word in John 8:58 is “Ego Eimi”

This is sufficient to prove that in John 8:58 Jesus did not claim divinity.

Hakuna aya yoyote katika Biblia inayosema kwamba Yesu ni mungu, kinyume kabisa na baadhi ya Wakristo wanaoamini kwamba Yesu ni mungu.

Tunaposoma Biblia tunakuta aya kadhaa zinazoeleza kwamba Yesu ni mwana wa Adamu. Basi mwana wa Adamu hawezi kuwa mungu wala mwana wa Mungu.

Biblia inasema:

1. Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, wakasema mlafi huyu na mlevi. (Mathayo 11:19).

2. Kwani kama vile Yona alivyokuwa mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo, Mwana wa Adamu atakavyokuwa kwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:40).

3. Yesu akamwambia, mbweha wana pango, na ndege wa angani wana viota, lakini mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake. (Mathayo 8: 20).

Tunaposoma Biblia tunakuta mara nyingi sana Yesu anaitwa Mwana wa Adamu. Kwa mfano: Mathayo 8:20, 9:6, 12:40, 14:28, 16:27, 17:22, 24:30 na 26:45. Marko 2:10, 9:31 na 14:21-40. Luka 9:44. Yohana 5:27 na Matendo 7:56.

Kama Mwana wa Kondoo ni kondoo - Mwana wa mbuzi huwa ni mbuzi vile vile Mwana wa Adamu ni binadamu.

Haieleweki ni kwa sheria na kanuni gani Mwana wa Adamu anapachikwe jina la Mungu au Mwana wa Mungu?

4. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, Mwana wa Daudi, Mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).
Jibu swali langu kuhusu Mudy kutuhumiwa wizi kwanza.
huku ulikokuja "It is too deep for you to understand!" hata Mudy mwenyewe hakuelewa hiyo mambo!
 
Jibu swali langu kuhusu Mudy kutuhumiwa wizi kwanza.
huku ulikokuja "It too deep for you to understand!" hata Mudy mwenyewe hakuelewa hiyo mambo!

KUMBE UNAKUWA HUSOMI UNACHOJIBIWA ??? UJIBIWE MARA NGAPI AU HOLY GOAT AMEKULA BANGI MBICHI ??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom