masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaahahaahaha wakamvua nguo akabaki na chupi anatetemeka kama kuku Mwenye kideli na makofi juu ahahahahajajjaja hakika vichekesho hivi Piga *102#baba wa wajinga [emoji106] au [emoji344] mudi alitaka kumsilimisha KWA ghilba kwa kumtengezea mlango wa shurti uiname ndio uingie, hivyo akiinama kutanguliza kichwa amsilimishe [emoji15] [emoji47] akangamua akaamua kuingia kwa kutanguliza makalio na kuwapiga shuzi la nguvu [emoji38] [emoji38] [emoji38]
KUAPA ni mamlaka, umbile la kibinadamu ni udhalili wa kishenzi kabisa, ndio maana mwisho mnasema Mungu kapigwa MAKONDE Ahahahahhhahjajahajajajjajja hamna adabu sisimizi nyie AhahhahahaahaaahahIla hawezi kujimithilisha ktk Umbile la KIBINADAMU eeh [emoji15] [emoji47] [emoji12]
Huna ujualo AhahhahahaahaaahahKamaliza kweli hatma yenu hii [emoji117] View attachment 917982 [emoji91]
Ahahahahaahahaahaha wakamvua nguo akabaki na chupi anatetemeka kama kuku Mwenye kideli na makofi juu ahahahahajajjaja hakika vichekesho hivi Piga *102#
Ahahahahaahahaahaha umekuwa camera man ahhahahaahhaaha Ahahhahahaahaaahah bureeeeee kabisaaa weweUmekumbuka hii dose ya kilingeni kwako [emoji117] View attachment 918304View attachment 918306View attachment 918307 [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji53]
Ahahahahaahahaahaha ndio maana shetani akamtia Ayubu UKURUTU kuanzia kwenye miguu hadi kichwani anajikuna tu kwa ruhusa ya Bwana Mungu, ahhhhhhhhhhhh kama asingelitaka katu shetani asinge msogelea Ayubu lakini kwa vile alitaka wakaingia Deal ( shetani na Mungu) ahhahahahahhhajj AhahahahaaaahqaUnashangaa NINI na alah kasema [emoji117] View attachment 918318 umezahau kisa çha Taifu hadi mzee kakalia mjengo..
Ni kweli kabisa Mungu katuonya hata kwenye aya hii
QURAN 2:256
"Hapana kulazimisha katika dini."
hivyo ni kweli kabisa sisi kama waislamu kwa wewe mkristo na binadamu wote kwa ujumla ni kuwaambia ukweli kuwa hiki Mungu hataki na hiki Mungu anataka, ni jukumu lako kuacha wewe uliofikishiwa kubadilika au kukomaa na kufuru zako
QURAN 4:174
" Enyi watu! umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu mlezi.Na tumekuremshieni Nuru iliyo wazi";
hivyo basi wewe , wayahudi, na wengineo mkimuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho na mkatenda mema basi nafasi mnayo yakutoka huko kwenye ukafiri, hivyo kazi yetu ni kufikisha tu ujumbe
Ahahahahaahahaahaha maswali ya kitoto kabisa huyu , ni hivi Allah alimchagua Mariam kwasababu alipenda mwenyewe kumchagua , wala hakumpaisha mama yake mtume kwasababu hakutaka kufanya hivyo. Allah anapotaka jambo hulifanya bila shuruti yeyote , yaani mfano ni sawa na kukuuliza wewe kwanini hukuumbwa mwanamke? au ulimuhonga Mungu ? jibu ni rahisi Mungu hufanya atakavyo sio wewe utakavyo ahahahaah mwenyewe unaona umeuliza swali AhahhahahaahaaahahPambana na hii. Najua huna majibu na huwezi kwenda muuliza Abdul-Harith wako Kipoozeo. Unahofia bakraa!!
Tafsir Tanwîr al-Miqbâs min Tafsîr Ibn ‘Abbâs( The Cousin of Muhammad) huyu pekee aliahidiwa pepo na mtume.
Verse 3.42
(And when the angels) i.e. Gabriel (said: O Mary! Lo! Allah hath chosen thee) with Islam and worship (and made thee pure) from disbelief, the association of partners with Allah and blemishes; it is also said this means: He has saved you from being killed, (and hath preferred you above (all) the women of creation) of your time by the birth of Jesus.
Swali kwanini, Uchaguzi na kutakaswa na kila sifa alipewa Maria?
Ni wapi tunaweza soma angalau mstari mmoja mamake muhammad ametakaswa?
Kwanini Allah alimchagua Maria pekee duniani tena myahudi, hakumuona Amina kule jangwani kwa mabedui???
Hatuhitaji vijarida, tunakugongomora kwa Aya zako mpaka utaelewa tu.
Bishana na Binamu ya Mtume, tujue kuwa wewe umeanzisha uislam wako!!
Wayahudi walimtazama Mungu katika akili zao za kibinadamu.Kama alivyoingilia kati kwa firauni akamfanya moyo mgumu ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah Ahahhahahaahaaahah
KUTOKA 4:21
"Bwana akamwambia Musa, utakaporudi Misri, angalia ukazifanye mbele ya FARAO zile ajabu zote nilizozitia mkononi mwako; lakini NITAUFANYA mgumu moyo wake, naye hatawapa ruhusa hao watu waende zao ";
Ahahahahaahahaahaha hakika aliingilia kati kwa FARAO mpaka akaufanya mgumu moyo wake badala ya kumuongoa ahahahahahhahah ahahhaahhaahahahah
Mfano wake ni huuTutamwaminije allah, wakati ni yeye mwenyewe amekwisha amua tupoteza, na allah yuko wise sana tu.
Ameamua "kutulidi astrei."
Who we are to deny allah misleds?
P'lease vaa viatu vyetu.
Mlitakiwa mumsikilize allah kuliko kutulaumu humu ndani..
Nimeshakwambia hapo Musa anaongea na Mungu .anapewa maelekezo wewe unaleta porojo za wayahudi , kwani hilo andiko alijatimia ? si kweli FARAO alikuwa na moyo mgumu ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah unaleta porojo hapaWayahudi walimtazama Mungu katika akili zao za kibinadamu.
Kristo ndiye aliyemfunua..
Ni allah ametufanya tuamini kua Yesu aliuwawa msalabani. Sisi ni nani hata Tukatae MAONGO-zi ya allah?. Nasi ni wenye kunyenyekea hata kwenye UONGO-ziii wake, kwakua yeye ni wise sana na anajua vyote.."I think" , your not sure Ahahahahaahahaahaha Ahahahahaahahaahaha
Kila siku unaleta porojo za Taqiyah ahahhaahhaahahahah huyo kijana kaacha ajira yake huyo alikuwa anasamehe dhambi ,kaona ni uwendawazimu mtupu , sasa mwenye akili timamu anawezaje kusema eti Mungu alipigwa hili binadamu aokolewe huu ni ubahau , shetani wa Mungu, binadamu wa Mungu, moto wa Mungu , Ahahahahaahahaahaha hii inabidi uwe na matatizo ya akili uamini huu ujingaHuyu wa kwako amekumbana na Al-Taqiyah au Muda'rat bila kuijua. Nina uhakika100%, siku akigundua siri ya mtungi, lazima atoke baruti. Lakini Yule Mama wa Kizanzibar amekutana na Mungu Mkuu. Hii ndio tofauti kubwa ambayo wewe huioni. Hata kama una macho.
Msikilize huyu Mama na yule Omary basi walau uambulie chochote kitu.
Sio unabaki huku ukibwabwaja, horoja na kutukana bila sababu ya msingi.
Mijadala ya kidini umeigeuza midahalo kama ya sokoni. Adabu sifuri kabisa wewe.
Allah kabainisha njia mbiliNi allah ametufanya tuamini kua Yesu aliuwawa msalabani. Sisi ni nani hata Tukatae MAONGO-zi ya allah?. Nasi ni wenye kunyenyekea hata kwenye UONGO-ziii wake, kwakua yeye ni wise sana na anajua vyote..
Ikiwa hatutaamini, allah ataonekana ni dhaifu mbele zenu, ya kua Ameshindwa kutudanganya mpaka tukaamini.
Acha tu tuamini... Sieti eehh?..
Ha ha ha ha
Faraoh alikua na mamlaka kubwa sana. Alikua binadamu mwenye nguvu sana zamani hizo.Nimeshakwambia hapo Musa anaongea na Mungu .anapewa maelekezo wewe unaleta porojo za wayahudi , kwani hilo andiko alijatimia ? si kweli FARAO alikuwa na moyo mgumu ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah unaleta porojo hapa
Umeishiwa hoja ahahahhahaahaaa kijana siku nyingine ujipange kweli kweli , sisi tunaisikiliza biblia sio wewe mmatumbi ,biblia ikisema ni Mungu jua hivyo ni Mungu, usituongezee maneno yako kwenye kitabu , unataka kumfundisha Musa alieongea na Mungu ahhahahahahhhajj bange mbaya sanaFaraoh alikua na mamlaka kubwa sana. Alikua binadamu mwenye nguvu sana zamani hizo.
Alipoambiwa habari za Mungu wa WaIsrael kuhusu kuwaachia wana wa Israeli, hakuziamini kwakua alikua na kibri ya Mamlaka aliyonayo.
Na ni kwakua Mungu hakujidhihirisha kwake dhahiri. Hata alipoona signs mbalimbali alizitazama kama ishara ndogo ama pengine ni coincidence, Akazikataa akiamini anaweza kushindana na Mungu.
Hata wana wa Israeli walioziona hawakua wanaona ni Kazi ya Mungu moja kwa moja. Ndio maana ilifika nyakati wakaanza kuabudu Ndama wa dhahabu.
Kwakifupi hawana tofauti na binadamu wa leo.
Hata leo mnaambiwa kuhusu ukuu wa Yesu Kristo, hamuamini.
Hata mnapoona Ishara mbalimbali bado mnatafuta 'majority opinions' na kuamini kua Yesu hawezi. Mnaweza kuamini ni Yeye anawapa Mioyo migumu, lakini ni nyie wenyewe mmeshupaza shingo. Na upepo wa upotevu unawafuata.
Lakini nina uhakika wa 100%. Mmeona Kweli ila mmeamua kuamini kua ni majaribu tu.
Allah kabainisha njia mbili
1.ovu
2. Njema
Kisha akakupa akili kupambanua jambo , ndio maana utakwenda kuadhibiwa Ahahahahaahahahahaaa yaani unasema Yesu kafa umsingizie Allah, ahhhhhhhhhhhh Ahahahahaahahaahaha Allah amesema ajafa wala HAWAKUMSULUBU akili kichwani kwako Ahahahahaahahaahaha
Hiyo ni Quran kabisa Mungu kabainisha njia mbili nzuri na mbaya ni jukumu lako wewe kuifata nzuri, Wapi Allah alikwambia uamini Yesu kasulubiwa ? Ahahahahhaah kuhusu Allah kumpoteza atakae ni kweli kabisa ili wengine wajifunze kwake ndio maana hata FARAO alifanywa mgumu moyo wake ili apotee aangamizwe wengine wajifunze ukubwa wa Mungu ahhahahahahhhajjHaya ulioongea hapa ji unqur'anic, unislamic.
Allah amesema mwenyewe kua "bila sababu yoyote ya msingi" akiamua kumpoteza mtu ana mpoteza na yeye yuko na wise kuliko yeyote.
Akaonya ole wa walw watakaowarudisha kwenye mstari wale waliopotezwa na allah.
Hapa hakuna akili itakayoweza kushindana na uwezo wa Muumba.
Umesema mwenyewe Allah hakumsulubu. Lakini allah alitaka watu waaamini Yesu wamemsulubu. Unaanzaje kuwalaumu wanaoamini kua Yesu alisulubiwa?.
Je vipi kama ni allah anajaribu kukupoteza na wewe na sio hao?.
Ukiamua kuamini hivyo wewe amini kwa afya ya imani yako.Umeishiwa hoja ahahahhahaahaaa kijana siku nyingine ujipange kweli kweli , sisi tunaisikiliza biblia sio wewe mmatumbi ,biblia ikisema ni Mungu jua hivyo ni Mungu, usituongezee maneno yako kwenye kitabu , unataka kumfundisha Musa alieongea na Mungu ahhahahahahhhajj bange mbaya sana
KUTOKA 4:21
"BWANA AKAMWAMBIA MUSA, utakaporudi Misri , angalia ukazifanye mbele ya FARAO zile ajabu zote nilizozitia mkononi mwako; lakini NITAUFANYA mgumu moyo wake,naye HATAWAPA ruhusu hao watu waende zao";
unatuletea porojo zako hapa sijui ni mtu Mwenye mamlaka ahahhaahhaahahahah , biblia inasema MOYO utafanywa mgumu , hivyo HATAWAPA ruhusu watu waende zao , sasa tukusikilize wewe mmatumbi au musa alieongea na Mungu? porojo peleka huko huko sio hapa
Hiyo ni Quran kabisa Mungu kabainisha njia mbili nzuri na mbaya ni jukumu lako wewe kuifata nzuri, Wapi Allah alikwambia uamini Yesu kasulubiwa ? Ahahahahhaah kuhusu Allah kumpoteza atakae ni kweli kabisa ili wengine wajifunze kwake ndio maana hata FARAO alifanywa mgumu moyo wake ili apotee aangamizwe wengine wajifunze ukubwa wa Mungu ahhahahahahhhajj
Rejea KUTOKA 4:21 ( unaiogopa kama ukimwi ) ahahhaahhaahahahah ahahahahahah