Umeishiwa hoja ahahahhahaahaaa kijana siku nyingine ujipange kweli kweli , sisi tunaisikiliza biblia sio wewe mmatumbi ,biblia ikisema ni Mungu jua hivyo ni Mungu, usituongezee maneno yako kwenye kitabu , unataka kumfundisha Musa alieongea na Mungu ahhahahahahhhajj bange mbaya sana
KUTOKA 4:21
"BWANA AKAMWAMBIA MUSA, utakaporudi Misri , angalia ukazifanye mbele ya FARAO zile ajabu zote nilizozitia mkononi mwako; lakini NITAUFANYA mgumu moyo wake,naye HATAWAPA ruhusu hao watu waende zao";
unatuletea porojo zako hapa sijui ni mtu Mwenye mamlaka ahahhaahhaahahahah , biblia inasema MOYO utafanywa mgumu , hivyo HATAWAPA ruhusu watu waende zao , sasa tukusikilize wewe mmatumbi au musa alieongea na Mungu? porojo peleka huko huko sio hapa