Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mkuu usijitoe akili ahahhaahhaahahahah ukikuta mahali Yesu kajiita Mungu fanya kama una BOLD hivi tutaanzia hapo unaleta tafsiri badala ya maandiko ahahahajajjjajjajajjajajaja
 
Gospel sio package of something. Gospel maana yake ni habari njema za ufalme wa Mungu. Zilianza kama simulizi.
Mtume Paulo aliishi na Mtume Petro na ndiye aliyemsaidia kumfahamu Kristo, walizungumza naye, Mtume Paulo alijifunza kwake. Pia James. Pia magombo ya Agano la kale yalikua bado Intact.
 
Ahahahahaahahaahaha mkuu acha uhuni hata siku moja MAPOKEO hayawezi kuwa na heshima sawasawa na neno la Mungu, huo ni uwongo uliokubuhu kabisaaaaaaa Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Ahahahahaahahaahaha huyu mtu aelewi kiswahili ahahahhahaahahh
SWALI; Wap Yesu alidai yeye ni Mungu? Ahahahahhaah mimi sijafundisha injili mpya nimeuliza swali Ahahhahahaahaaahah
Unaniuliza mimi kwani MIMI rejea yako [emoji12] au umesha ona rejea ulizo achiwa ni PUMBA [emoji350] [emoji344]
 
Kwani unaangaika unataka kuhalalisha nini? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
 
Mkuu usijitoe akili ahahhaahhaahahahah ukikuta mahali Yesu kajiita Mungu fanya kama una BOLD hivi tutaanzia hapo unaleta tafsiri badala ya maandiko ahahahajajjjajjajajjajajaja
Sehemu Nyingi sana. Ni wewe tu hujui.

1. "Ikiwa aliwaita MIUNGU wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);
JE! YEYE AMBAYE BABA ALIMTAKASA, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?"(John 10:35-36)

..HAPA YESU ANAELEZA KAMA WANADAMU WALIITWA MUNGU. YEYE AMBAYE AMETAKASIKA, INAKUAJE NI KOSA?.

2. Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, MIMI NIKO."(John 8:58)

..MAANDIKO YANAELEZA, PINDI YESU ANAPOSEMA HIVI WANATAKA KUPIGA MAWE. KWAKUA WAMETAMBUA ANAJIITA MUNGU.

3. Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe BABA, YATUTOSHA.

"Yesu akamwambia, MIMI NIMEKUWAPO PAMOJA NANYI SIKU HIZI ZOTE, WEWE USINIJUE Filipo?" (John 14:9)

YESU ANAOMBWA AWAINYESHALE MUNGU. ANAWAJIBU WANAYEMUINA NDIYE.

4. Injili ni kuhusu Ufalme wa MUNGU. YESU ANAMUHAHIDI HUYU JAMBAZI KUA ATAKUA NAYE KATIKA UFALME WAKE KWAKUA YEYE NI MUNGU.

Luke 23:42-43
Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika UFALME WAKO .
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi UTAKUWA PAMOJA NAMI PEPONI.
 
Kwani unaangaika unataka kuhalalisha nini? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
Mapokeo ni Lazima

1 Corinthians 11:2
Basi nawasifu, kwa sababu mmenikumbuka katika mambo yote, nanyi mmeyashika yale MAPOKEO vile vile kama nilivyowatolea.

Injili ilienezwa kwa Mapokeo kwanza.

2 Thessalonians 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyofundishwa, ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
 
Wewe unachofanya ni kuunga unga aliposema ' mkiniona mimi mmemuona Baba"; iko wazi kabisa kwasababu ya kazi afanyazo wala hakuna uhusiano wowote na Uungu ndio maana nimekwambia tafsiri unazotumia unaunga unga , ukikuta mahali Yesu anasema yeye Mungu fanya KUBOLD yaani unaunga unga maandiko kwenye suala lililobeba imani yako unastaajabisha sana ahaahhhhhahaha Ahahahhahahahaahjhhahaja
 
Aliepokea ni Paulo na genge lake, lakini wanafunzi wa Yesu waliyashuhudia na kuyaona , kwahiyo wafate walioyaona kwa kuyadiriki achana na Paulo mzee wa soga ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
 
Sometimes una rejelea swali aliloulizwa. Kisha lingajisha na jibu.

A.Sikiliza malalamiko ya wayahudi

(John 10:33)
Wayahudi wakamjibu(Yesu), KWA AJILI YA KAZI NJEMA HATUKUPIGI KWA MAWE ; bali kwa kukufuru, na kwa sababu WEWE ULIYE MWANADAMU wajifanya mwenyewe U MUNGU.

B. maswali fikirishi

.Kwanini Yesu asiseme yeye sio Mungu?.
KWANINI MARA KWA MARA YESU ANAPOTUHUMIWA KUJIITA MUNGU HAKANUSHI?

2. (John 9:37-38.)
And he said, Lord, I believe. And he worshipped him.

Q. KWANINI YESU ANARUHUSU KUABUDIWA?

3. KWANINI YESU ANAWAAMBIA YUPO NASI SIKUO ZOTE HATA MWISHO WA DUNIA?

(Matthew 28:19-20)

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;.
na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, MIMI NIPO PAMIJA NANYI SIKU ZOTE, HATA UKAMILIFU WA DAHARI. .

4. KWANINI JINA LAKE?

Matthew 18:20.
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa JINA LANGU, nami nipo papo hapo katikati yao. Kusameheana
 
Aliepokea ni Paulo na genge lake, lakini wanafunzi wa Yesu waliyashuhudia na kuyaona , kwahiyo wafate walioyaona kwa kuyadiriki achana na Paulo mzee wa soga ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
Majibu ya kwenye kahawa haya siwezi kuyafanyia kazi. Caffein ikishakolea kila mtu atasema lake.
 
Ahahahahaahahaahaha kwanini unaunga kijana ebu msikilize Yesu hapa

YOHANA 20:17
"; Yesu akamwambia , usinishike ; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba,lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu";

hivi hii lugha kuna mtu aelewi? Ahahahahhaah kama mpaka hapa ujaelewa ukapimwe akili ahahhaahhaahahahah
Baba Yangu = Baba yenu
Mungu wangu=Mungu wenu
Ahahahahaahahaahaha mtu anakwambia nimetumwa nimetumwa , ndugu boss ndio Baba tena Ndio Mungu , huyo Yesu ni mtumwa tu ahahahahhqhhahah
 
Majibu ya kwenye kahawa haya siwezi kuyafanyia kazi. Caffein ikishakolea kila mtu atasema lake.
Fata wanafunzi wa Yesu ndio waliishi nae na kula nae , huyo aliedai katokewa na Yesu ataongea nini kama sio mapokeo ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
 
Hili neno linakuchanganya kwasababu halitokani na swali la moja kwa moja.
 
Fata wanafunzi wa Yesu ndio waliishi nae na kula nae , huyo aliedai katokewa na Yesu ataongea nini kama sio mapokeo ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
HUYU NI MWANAFUNzi wa Yesu...

John 20:28-29.
Tomaso akajibu, akamwambia, BWANA WANGU NA MUNGU WANGU !

Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, UMESADIKI; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
 
HUYU NI MWANAFUNzi wa Yesu...

John 20:28-29.
Tomaso akajibu, akamwambia, BWANA WANGU NA MUNGU WANGU !

Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, UMESADIKI; wa heri wale wasioona, wakasadiki.
Ahahahahaahahaahaha ndugu mbona unatapa tapa sana Yesu anakwambia Baba yake ndio baba yako wewe na huyo tomaso, Mungu wake ndio Mungu wako wewe na huyo tomaso , wewe badala ya kumsikiliza Yesu kwanza unamsikiliza tomaso ahahaahaahhajajajaja
 
Hili neno linakuchanganya kwasababu halitokani na swali la moja kwa moja.
Ahahahahaahahaahaha wewe kiswahili ujui? Ahahahahhaah unajitoa akili au ndio mpaka roho akushukie ndio uelewe ahahahaah
 
Ahahahahaahahaahaha ndugu mbona unatapa tapa sana Yesu anakwambia Baba yake ndio baba yako wewe na huyo tomaso, Mungu wake ndio Mungu wako wewe na huyo tomaso , wewe badala ya kumsikiliza Yesu kwanza unamsikiliza tomaso ahahaahaahhajajajaja
umeandika..."FATA WANAFUNZI WA YESU ndio waliishi nae na kula nae , huyo aliedai katokewa na Yesu ataongea nini kama sio mapokeo ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah"

Mtu yeyote mwenye sceptisms kama wewe. angefuata kama alivyofanya Thomaso.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…