Mkuu usijitoe akili ahahhaahhaahahahah ukikuta mahali Yesu kajiita Mungu fanya kama una BOLD hivi tutaanzia hapo unaleta tafsiri badala ya maandiko ahahahajajjjajjajajjajajaja
Sehemu Nyingi sana. Ni wewe tu hujui.
1. "Ikiwa aliwaita MIUNGU wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka);
JE! YEYE AMBAYE BABA ALIMTAKASA, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu?"(John 10:35-36)
..HAPA YESU ANAELEZA KAMA WANADAMU WALIITWA MUNGU. YEYE AMBAYE AMETAKASIKA, INAKUAJE NI KOSA?.
2. Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, MIMI NIKO."(John 8:58)
..MAANDIKO YANAELEZA, PINDI YESU ANAPOSEMA HIVI WANATAKA KUPIGA MAWE. KWAKUA WAMETAMBUA ANAJIITA MUNGU.
3. Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe BABA, YATUTOSHA.
"Yesu akamwambia, MIMI NIMEKUWAPO PAMOJA NANYI SIKU HIZI ZOTE, WEWE USINIJUE Filipo?" (John 14:9)
YESU ANAOMBWA AWAINYESHALE MUNGU. ANAWAJIBU WANAYEMUINA NDIYE.
4. Injili ni kuhusu Ufalme wa MUNGU. YESU ANAMUHAHIDI HUYU JAMBAZI KUA ATAKUA NAYE KATIKA UFALME WAKE KWAKUA YEYE NI MUNGU.
Luke 23:42-43
Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika UFALME WAKO .
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi UTAKUWA PAMOJA NAMI PEPONI.