Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ahahahahaahahaahaha wewe ni mshangao halafu unashangaa watu !! Ahahhahahahahah ahahahaah Ahahaahhaahhahahahhha
Hadi machozi yanatutoka ati [emoji117] hawa maisilamu HAQI wanaiona kwa nini wanatakaabar [emoji350] [emoji344] kila siku kugonga kichwa ardhi Mara nyingi tu as if magong'ole [emoji24] [emoji24]
 
Hadi machozi yanatutoka ati [emoji117] hawa maisilamu HAQI wanaiona kwa nini wanatakaabar [emoji350] [emoji344] kila siku kugonga kichwa ardhi Mara nyingi tu as if magong'ole [emoji24] [emoji24]
Ahahahahaahahaahaha wenzako wakishatoka machozi kwasababu ya haki walioisikia kwa mtume kisha WANAAMINI, maana walikuwa wamepotea kumuita mtu anaekunya kama wao kuwa mungu ahahahhahaahaaa
 
Ahahahahaahahaahaha wenzako wakishatoka machozi kwasababu ya haki walioisikia kwa mtume kisha WANAAMINI, maana walikuwa wamepotea kumuita mtu anaekunya kama wao kuwa mungu ahahahhahaahaaa

Kwa hiyo unataka Tuitakidi kwamba MUNGU Malaika Gabrieli, YESU NI makafir [emoji350] [emoji350] [emoji344] ref [emoji117] sisi wengine baba ZETU wametuonya nyie ambao baba zenu hawaja wa-tia adabu ni size yenu [emoji117]
 
Kwa hiyo unataka Tuitakidi kwamba MUNGU Malaika Gabrieli, YESU NI makafir [emoji350] [emoji350] [emoji344] ref [emoji117] View attachment 927977 sisi wengine baba ZETU wametuonya nyie ambao baba zenu hawaja wa-tia adabu ni size yenu [emoji117]
"; Wanayaiga maneno ya waliokufuru kabla yao"; Ahahahahaaaahqa hakika hayo maneno ya watu waliokufuru
 
Cha... che... chi... cho.... chu......chululu ya binti Aisha (9) ndiyo iliyomponza Bwn. Mudy wa Mecca.

Atakayebisha au atakaye kufahamu zaidi aseme Su !

Wabillah Tawfiq,
 
Kafiri wa kwanza duniani ni Muhammad....unabisha?

Unataka kujua matendo yake ya kikafiri?
Hadi machozi yanatutoka ati [emoji117] hawa maisilamu HAQI wanaiona kwa nini wanatakaabar [emoji350] [emoji344] kila siku kugonga kichwa ardhi Mara nyingi tu as if magong'ole [emoji24] [emoji24]
 
Mtume Muhammad alimbaka mtoto Aisha wa miaka 9, ilihal yeye Mudy akiwa na miaka 25 alishaolewa na Bi khadija (45)
Akubaka alioa kihalali kabisa , miaka 9 ya karne ya 7 sio miaka 9 ya karne ya 21 hii hoja haina mashiko
 
Tatizo lako unawafundisha Wakristo Bibilia. Wakati wanaijua. Nyie hamuijui kwakua mna kauarabu arabu ka mwamedi. Mungu hakua hapo kuzungumza kila kitu. Hii narrative ipo hivo kwasababu ya Uelewa wao.

Mambo mengi walifanya wenyewe kwa Imani. Matendo ya Mungu ukiyasikia lazima utetemeke na kupata goosebump.

Mfano Kifo cha nabii Eli na wanawe wote, Sodoma na Gommorah, gharika ya Noah na mambo kama hayo, kupaua bahari ya Shamu.

Lakini kule unaweza ukasikia wayahudi wanajitetea kua Mungu aliwashushia mana kutoka Mbinguni. Wakati Kristo ndiye Chakula kilichoshuka kutoka mbinguni kuupa ulimwengu uzima.
Matendo ya Mungu yana upekee wa aina yake.
Ni Mengi lakini kwakua bado una Imani dhaifu huwezi kunielewa. Na ndio maana una jaji kwa kusema Imeandikwa.
Imeandikwa pia wasifanye kazi siku ya sabato lakini unaweza kuona Yesu anakuja kuwaweka sawa. Maana walikua vipofu wa kuielewa hii siku iliyowekwa wakfu na Mungu mwenyewe.

Jambo moja sijaelewa kwanini ninyi mna transgress siku hii muhimu. Hamjiwekei siku ya Mwenyezi Mungu. Jibu ni kwakua hamumuabudu Mwenyezi Mungu bali kitu kingine. Zipo hadithi Mohammad anakiri hili waziwazi. Kua ana Mungu wake peke yake. Akili kumkichwa. Ni Mungu yupi huyo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…