Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Israeli ilikua Taifa. Mambo mengine ni ya kisiasa. Unaweza ukaona jinsi walivyotumia miaka mingi na Moses Jangwani wasiweze kufika on time kwenye nchi waliyohaidiwa.
Unahitaji jicho la kiroho kuelewa wana wa Israeli walikua wanadamu kama wa Leo. Walikua sio wachamungu bali neema za baba zao abraham Isaka na Jacob ndio zilikua zikiandamana nao.
 
Jikite kwenye maandiko niliotoa , hiki ulichojibu hapa wala sijakuuliza , halafu lawama azifai , uijui biblia ndio maana huna ubavu wa kujibu hoja zaidi ya kuruka ruka tu
 
Mkuu mbona unaangaika sana , hata hiyo miaka mingi ni adhabu Mungu aliwapa baada ya kufanya ile ibada ya kishetani , bado unaruka ruka tu mkuu swali langu umeliona ?
 
Jikite kwenye maandiko niliotoa , hiki ulichojibu hapa wala sijakuuliza , halafu lawama azifai , uijui biblia ndio maana huna ubavu wa kujibu hoja zaidi ya kuruka ruka tu
Ni heri ukaijua bibilia Kidogo na kuishika sheria yake. Kuliko kujua sana na haushiki lolote.

Jitahidi kutambua majira na nyakati. Nyakati za Kristo ni za neema.
"Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo."(John 1:17).

Kupitia Neema hii mengi yanafunuliwa.

Wayahudi waliambiwa jino kwa jino lakini Kristo anawakataza. ( kwa uelewa wako, utasema Yesu anapingana na Torati).

Wayahudi waliambiwa usiue, lakini Yesu anakataza hata kumuoena mtu hasira. Itampasa jehanamu.

Wanaambiwa wasiape, walizoea kuapa.

Wanaambiwa wakitamani mwanamke wamezini mioyoni.

Wanaambiwa wapatane na ndugu kabla hawajatoa sadala madhabahuni.

Waisraeli walikua wanafanya biashara kwenye masinagogi huku wengine wakifanya Sala.

Hizi desruri zilionekana za kawaida lakini Yesu aliwapinga.

Yesu alikuja kutangaza uhuru kwa Mateka Na mwaka wa Bwana uliokubalika

Na mambo mengi ambayo wayahudi walistaajabu. Lakini mafarisayo walichukizwa na Yesu kwakua aliua biashara zao. Alikanyaga maslahi yao.

.
 
Mkuu mimi sina tabu na majira , tatizo jambo afanye Mungu halafu wewe bila aibu ulazimishe kuwa kafanya Musa , huo ndio upopoma
 
Mkuu mbona unaangaika sana , hata hiyo miaka mingi ni adhabu Mungu aliwapa baada ya kufanya ile ibada ya kishetani , bado unaruka ruka tu mkuu swali langu umeliona ?
Picha potofu uliyonayo ni kua Waisraeli walipokua wakitoka Misri walikua wana amini katika Mungu Wa Moses.
Kwa taarifa yako wako walioondoka huko, na wengine wamejibebea vinyago vya kuabudu na Miungu ya kimisri.

Wanaandamana na Moses usiku na mchana.
Na Moses hakua anawafikia wote kuzungumza nao. Lilikua kundi kubwa sana la watu.

Kwa moses kwenda Mlimani na kurudi na Amri akakuta wanaabudu Ndama wa dhahabu. Moses hakwenda na kurudi siku chache. Hii inaweza kua ilichukua hata miezi mingi au miaka mpaka wakakata Tamaa.
Wakajitokeza watu wengine wenye ushawishi wakachukua nafasi kuwaaminisha Mungu mpya ambaye ndiye ndama wa Dhahabu.

Na sio kwamba Moses alikua na microphone au spika kubwa, akzungumza kila mwisraeli anamsikia. Kumbuka waliondoka na wanyama wao, na viti vingi.

Moses alipoambiwa agonge Mwamba mara moja. Aligonga hakuona maji. Unaweza kudhania kua ilikua sekunde chache

Mpaka akafanya kosa la kugonga mara ya pili.

Hata leo Tangu Yesu aseme atarudi, wapo watu wanaona hawezi kurudi kwakua ni muda sasa.

Ndio maana Joshua aliamini amesimamisha Jua. Na kuna wanaoelewa kua Mungu alisimamisha Jua.

Kwahiyo Historia inavyoeleza pale kuna mengi hayajaandikwa na yalioandikwa yapo ambayo ni contextual zaidi. Yanaweza kukufanya ukadhani waisraeli walikua wajinga sana kuliko kizazi chetu.

Mtu yeyote mwenye akili, anaona wazi kabisa kua Mohammad aliaminika kwakua aliwawekea mapanga shingoni na wengine aliwaua. Wengi wasingeamini uislamu kama sio kwa mauaji.
Historia inaweka wazi kua alitumia miaka zaid ya kumi. Akapata watu karibia 150. Lakini ndani ya miaka 3 ya kuogeshwa Damu, waarabu zaidi ya elfu kumi walijisalimisha.

Na hii ndio inaleta maswali kama kuna ukweli. Au Panga?. Mimi naona ni Panga.

Lakini bado Qur'an inajiwekea kinga isiulizwe maswali. Kwakua ukiuliza utapoteza Imani?.

Moja ya sifa ya Mungu ni Freedom to Love him.
Nakupeleka kwenye maji. Ila uamuzi wa kuyanywa ni wewe mwenyewe.
Mungu amekuumba na dhamiri. Na hiyo ndio itakayo kuhukumu. Kwakua uliutambua ukweli ukafuata njia ya udanganyifu.
 
Huku unapojificha sio salama, biblia ikisema Mungu kafanya wewe nani useme Mungu hajafanya? biblia ikisema Mungu kaumba unakubali , lakini ikisema Mungu kaua wamisri unakataa , tena naporojo juu huwa nakuangalia nabaki nacheka tu ahahahahhqhhahah ahahahhahahhahah
 
Najaribu kukueleza Umjue MUNGU wa Kweli katika Kristo Yesu.

Hakuna anayeweza kukufunulia Mungu zaidi ya Yesu Kristo.

(Matthew 22:37 +Deuteronomy 6:4-5🙂
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

Lakini Mohammad anakwambia SUBMIT or DIE. Huyu hawezi kua Mungu wa Kweli

(John 1:18)
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye ALIYEMFUNUA.

(John 8:55)
Wala ninyi HAMKUMJUA; lakini mimi namjua. Nikisema ya kwamba simjui, nitakuwa mwongo kama ninyi; lakini namjua, na NENO lake nalishika.

Matthew 5:48.
Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.
 
Nimeshakwambia huyo Yesu mwenyewe kazaliwa kwenye ardhi ya DHULUMA ambayo kwayo Mungu wako aliwakatilia mbali wenyeji , sasa unazungumzia jambo gani , Ardhi takatifu katu haipatikani kwa kudhulumu wenyeji , hivyo basi hoja zako ni mufilisi ahahhahaahaahaaa
 
Waisraeli walipelekwa utumwani mara nyingi sana. Walipelekwa na wakaldayo. Wakawa hawaana ardhi kisha waajemi.

Na siku Yesu anazaliwa waisraeli walikua wanatawaliwa na Wagiriki mfalme Herode na Roman Empire chini ya Caesar(Kaisari).
Na Yesu aliulizwa kama anampango wa kuwarudishia Waisraeli Ardhi maana walijua hawaimiliki wao tena.

(Acts 1:6)
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme?

Akawajibu si kazi yao kujua alichopanga Mungu.

Kwahiyo si kweli usemayo.

G.nite.
 
Hivi unachobisha kipi hapa , kila kabila katika makabila yale 12 ya waisrael walipewa eneo lao baada ya kufanya vita na wenyeji wa nchi ile na kuwashinda . Hii jeuri ya kujitwalia maeneo ya watu na kujigaia wanaitoa wapi? Kwasababu Mungu wako alimuahidi Ibrahim hatampa nchi ile , tena njia ya kumpa akaitaja kuwa ni KUWAKATILIA MBALI WENYEJI. sasa unapinga nini ? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
 
Cha... che... chi... cho.... chu......chululu ya binti Aisha (9) ndiyo iliyomponza Bwn. Mudy wa Mecca.

Atakayebisha au atakaye kufahamu zaidi aseme Su !


Wabillah Tawfiq,
Umeitoa mvunguni hii I'd ya maxi shimba au aliitoa sadaka Kwa Shoga Cesare Borgia unayemwabudu??
 
Ndio sababu tunawaangalia Mara mbili mbili...hawa maisilamu HADI wanakamuana ngama kweli [emoji15] why, why [emoji344] [emoji344] [emoji15] [emoji53]
Kojo la punda wa Ezekiel 23 20 limeisha Kwa Askofu wako??
 
Kama kawa unakuja na C&P za kiabdul.
Sasa tuambie huyu Bwanako Mudy Alipokuwa anaoga/tawadha kwenye haya mauchafu was he a sick Messenger or STUPID Donkey ?

Jami` at-Tirmidhi » The Book on Purification

Abu Sa'eed AI-Khudri narrated:
"It was said, 'O Allah's Messenger! Shall we use the water of Buda'ah well to perform ablution while it is a well in which menstruation rags, flesh of dogs and the putrid are dumped?" Allah's Messenger said: 'Indeed water is pure, nothing makes it impure.'"

حَدَّثَنَا هَنَّادٌ، وَالْحَسَنُ بْنُ عَلِيٍّ الْخَلاَّلُ، وَغَيْرُ، وَاحِدٍ، قَالُوا حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، عَنِ الْوَلِيدِ بْنِ كَثِيرٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ كَعْبٍ، عَنْ عُبَيْدِ اللَّهِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ رَافِعِ بْنِ خَدِيجٍ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، قَالَ قِيلَ يَا رَسُولَ اللَّهِ أَنَتَوَضَّأُ مِنْ بِئْرِ بُضَاعَةَ وَهِيَ بِئْرٌ يُلْقَى فِيهَا الْحِيَضُ وَلُحُومُ الْكِلاَبِ وَالنَّتْنُ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏ "‏ إِنَّ الْمَاءَ طَهُورٌ لاَ يُنَجِّسُهُ شَيْءٌ ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ ‏.‏ وَقَدْ جَوَّدَ أَبُو أُسَامَةَ هَذَا الْحَدِيثَ فَلَمْ يَرْوِ أَحَدٌ حَدِيثَ أَبِي سَعِيدٍ فِي بِئْرِ بُضَاعَةَ أَحْسَنَ مِمَّا رَوَى أَبُو أُسَامَةَ ‏.‏ وَقَدْ رُوِيَ هَذَا الْحَدِيثُ مِنْ غَيْرِ وَجْهٍ عَنْ أَبِي سَعِيدٍ ‏.‏ وَفِي الْبَابِ عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ وَعَائِشَةَ ‏.‏

Sunan an-Nasa'i » The Book of Water

It was narrated that Abu Sa'eed Al-Khudri said:
"It was said: 'O Messenger of Allah, you perform Wudu' from the well into which the bodies of dogs, menstrual rags and garbage are thrown?' He said: 'Water is pureand it is not made impure by anything.'"

أَخْبَرَنَا هَارُونُ بْنُ عَبْدِ اللَّهِ، قَالَ حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، قَالَ حَدَّثَنَا الْوَلِيدُ بْنُ كَثِيرٍ، قَالَ حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ كَعْبٍ الْقُرَظِيُّ، عَنْ عُبَيْدِ اللَّهِ بْنِ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ رَافِعٍ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، قَالَ قِيلَ يَا رَسُولَ اللَّهِ أَتَتَوَضَّأُ مِنْ بِئْرِ بُضَاعَةَ وَهِيَ بِئْرٌ يُطْرَحُ فِيهَا لُحُومُ الْكِلاَبِ وَالْحِيَضُ وَالنَّتَنُ فَقَالَ ‏ "‏ الْمَاءُ طَهُورٌ لاَ يُنَجِّسُهُ شَىْءٌ ‏"‏ ‏.‏

Sunan Ibn Majah » The Book of Purification and its Sunnah

It was narrated from 'Abdullah bin 'Abbas that :
On the night of the Jinn the Messenger of Allah said to Ibn Mas'ud: "Do you have water?" He said: "No, only some Nabidh in a large water skin." The Messenger of Allahsaid: "Good dates and pure water." (i.e. there is no harm from the mixing of the two.) Pour it for me." He said: "So I performed ablution with it."

حَدَّثَنَا الْعَبَّاسُ بْنُ الْوَلِيدِ الدِّمَشْقِيُّ، حَدَّثَنَا مَرْوَانُ بْنُ مُحَمَّدٍ، حَدَّثَنَا ابْنُ لَهِيعَةَ، حَدَّثَنَا قَيْسُ بْنُ الْحَجَّاجِ، عَنْ حَنَشٍ الصَّنْعَانِيِّ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَبَّاسٍ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ قَالَ لاِبْنِ مَسْعُودٍ لَيْلَةَ الْجِنِّ ‏"‏ مَعَكَ مَاءٌ ‏"‏ ‏.‏ قَالَ لاَ إِلاَّ نَبِيذًا فِي سَطِيحَةٍ ‏.‏ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ‏"‏ تَمْرَةٌ طَيِّبَةٌ وَمَاءٌ طَهُورٌ صُبَّ عَلَىَّ ‏"‏ ‏.‏ قَالَ فَصَبَبْتُ عَلَيْهِ فَتَوَضَّأَ بِهِ ‏.‏
Pambana na hiyo kwanza. Achana na kitabu alichoshindwa Bwanako kuelewa akaishia kukopi na mwisho kapotelea shimoni.
 
Ni nini maana ya kukumuana ngama???

Waislam jibuni hili.
 
Haaa haahaaa So funny!
Mbwa ni mnyama tu. Mbona akikatiza mbele ya Muslim Abdul akisali umbali wa kutupajiwe/mkuki sala inakuwa batili, inabidi aanze upya? Au ni kwa sababu ya kuwa rangi nyesi? Aah kumbe hao waliokuwa wanakojoa msikitini walikuwa wa njano!! hahahaaa.
1 Samweli 15:3 umejiuliza sababu? Quran inakiri Allah aliangamiza miji ya SODOMA na Gomora huo ulikuwa mchezo wa kuigiza? Huo siyo ukatili?

Ulishawahi jiuliza ni Mungu gani mkatili hivyo kuteketeza miji miwili kwa moto, hata sisimizi hawakubaki!
 
Umeamua kuja na ngozi yako kamili ??

Endelea tu kulinywa kojo na kufakamia MIVI
Achana na ID hizo. Jibu hoja. Sisi siyo C&P kama Bwanako Abdul al-harith aka Allah/Muhammad/ Qathem, aliyetamani majina yooote ulimwenguni aitwe yeye.
 
Stupid Donkey will always remain donkey!
Unajua mambo ya kukariri wakati mwingine ni shida. SOMENI vitabu muelewwe.
Hii inaonyesha kuwa hata LUGHA kwenu nayo shida. ndio maana hata vitabu chenu hamkielewi vimeandikwa nini. Ngoja nikuhoji kupitia mstari huo huo(japo najua huwezi jibu sababu utakuwa umeukali msumari wa Jinn) kwa faida ya wengine.
Behold, I will corrupt your... Hii ni statement ya wakati gani? uliopo, ujao au uliopita?
Je, hapo ipo wapi amri kuwa tule mavi?
Nani anasema na anawaambia kina nani ata corrupt their seed?
Kwanini anasema hivyo, wamefanya nini????

Kwakua vichwa vyenu vimejaa Camel URINE na 7 ajua. Huwezi jibu.

Sasa kamata hiyo Andiko hilo hilo ilimkuwaonyesha how Great IDIOT and stupid you are about Bible knowledge.

Malachi 2 New International Version (NIV)
The word of the Lord to Israel through Malachi

Additional Warning to the Priests
2 “And now, you priests, this warning is for you. 2 If you do not listen, and if you do not resolve to honor my name,” says the Lord Almighty, “I will send a curse on you, and I will curse your blessings. Yes, I have already cursed them, because you have not resolved to honor me.

3 “Because of you I will rebuke your descendants[a]; I will smear on your faces the dung from your festival sacrifices, and you will be carried off with it. 4 And you will know that I have sent you this warning so that my covenant with Levi may continue,” says the Lord Almighty. 5 “My covenant was with him, a covenant of life and peace, and I gave them to him; this called for reverence and he revered me and stood in awe of my name. 6 True instruction was in his mouth and nothing false was found on his lips. He walked with me in peace and uprightness, and turned many from sin.

7 “For the lips of a priest ought to preserve knowledge, because he is the messenger of the Lord Almighty and people seek instruction from his mouth. 8 But you have turned from the way and by your teaching have caused many to stumble; you have violated the covenant with Levi,” says the Lord Almighty. 9 “So I have caused you to be despised and humiliated before all the people, because you have not followed my ways but have shown partiality in matters of the law.”

Breaking Covenant Through Divorce
10 Do we not all have one Father[b]? Did not one God create us? Why do we profane the covenant of our ancestors by being unfaithful to one another?

11 Judah has been unfaithful. A detestable thing has been committed in Israel and in Jerusalem: Judah has desecrated the sanctuary the Lord loves by marrying women who worship a foreign god. 12 As for the man who does this, whoever he may be, may the Lord remove him from the tents of Jacob[c]—even though he brings an offering to the Lord Almighty........................

Kwa mwenye kuhitaji kuelwa maandiko hayo, Soma kuazia Malachi 1. utaona Nini Mungu anasema juu ya Israel na kwa nini aseme maneno makali hivyo kwao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…