Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hivi viclip utaacha lini? Ahahahahhaah hivi wewe una akili ya kuku kila siku narudia uelewi ahahhahahahahahahahah buree kabisaa Ahahahhahahahaahjhhahaja
Mpaka utakapo kuja kubatizwa.
Hao si ndio waliokufunza Ilimu akhera! wenyewe wanakiri Allah have foot, hands majestic face(anakwenda kwenye mashindano ya urembo?).
Clip unazikwepa kusikiliza sababu unatumia bando la chuo!! Sasa ukiwaza misumari iliyopo hapo roho inakutoka.
 
Sawa mwarabu wa semvula chole!!
Kitu kama huji kaa kimya maana kila ukiongea unazidi kumdhalilisha Mudi.
 
QURAN iko wazi na maandiko nimeyatoa hiyo ni lugha ya picha tu ahahahahhqhhahah kubatizwa ndio nini?
 
Sawa mwarabu wa semvula chole!!
Kitu kama huji kaa kimya maana kila ukiongea unazidi kumdhalilisha Mudi.
Huwezi kupambana na mbobezi mimi hoja zako ni laini kama uji , Ahahahaahaha ahahaahahhahah mwenyewe wajiona umetoa hoja ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
 
Ahahahahaahahaahaha kumbe wewe hamna kitu , huyo Dajjal atadai Uungu ndio mtume anawaonya Mungu katu hawezi kuwa na jicho moja , tena amesema maneno hayo akiwa na uhakika na Quran tukufu

QURAN 42:11
"; There is no other like Him. He is all-hearing and all-seeing";

maana kiswahili uelewi nimekuonyesha msisitizo hapo, hakuna kama yeye kimuonekano na kiuwezo ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
 
Ujinga huo nimecheka hadi basi [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Cheka na huu JIWE LINA MACHO SABA
ZAKARIA 3:9
"; Maana, litazame jiwe hili nililoliweka mbele ya Yoshua; katika Jiwe moja yako MACHO SABA; tazama nitachora machoro yake; asema Bwana wa majeshi ; nami nitauondoa uovu wa nchi ile katika siku moja";

Ahahahahaahahaahaha ukimaliza kucheka huko njoo ucheke jiwe lenye macho saba ahahahaah Ahahaahhaahhahahahhha hili jiwe kiboko kabisaaaaaaaaa
 
Kwani kumuonya mngese aache tabia ya ungese naye anakuona ni porojo tu [emoji12] najua ashki majunun ati [emoji4]
Bila shaka imekupata barabara naona umeanza kubweka kama mbwa Ahahahahaahahaahaha Ahahahahaahahaahaha
 
Nimekujibu tena na kukufafanulia " NI YOHANA AKIVUVIWA NA MUNGU" anapenda sana kutafuniwa [emoji15] [emoji12]
Ahahahahaahahaahaha hivi vichekesho vya karne kumbe sio Yesu Ahahahahaahahaahaha , haya msikilize Yesu
MATAYO 11:29
";Jitieni nira yangu , mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu";

Haya umejifunza wapi Yesu alipokwambia kwamba yeye ni Mungu? Ahahahahhaah wapi? wapi? Ahahahahhaah unaleta usungura hapa
 
Hahahahaa, Mbobezi utakuwa wewe KILAZA!!
Nilikuuliza nikijua utakuja kwenye kona hiyo. Sababu ni wa C&P aka KASUKU.
KIsa cha Abraham kusema hivyo unaelewa au ndio maana umefuta 20:1-10 na 13--- kuficha upumbavu wako!!
Sasa Kamata kitu hicho kwa kirefu ili ujue BIBLE is not Muhammad's Yellow Pages!!

Genesis 20 New International Version (NIV)
Abraham and Abimelek
20 Now Abraham moved on from there into the region of the Negev and lived between Kadesh and Shur. For a while he stayed in Gerar, 2 and there Abraham said of his wife Sarah, “She is my sister.” Then Abimelekking of Gerar sent for Sarah and took her.

3 But God came to Abimelek in a dream one night and said to him, “You are as good as dead because of the woman you have taken; she is a married woman.”

4 Now Abimelek had not gone near her, so he said, “Lord, will you destroy an innocent nation? 5 Did he not say to me, ‘She is my sister,’ and didn’t she also say, ‘He is my brother’? I have done this with a clear conscience and clean hands.”

6 Then God said to him in the dream, “Yes, I know you did this with a clear conscience, and so I have kept you from sinning against me. That is why I did not let you touch her. 7 Now return the man’s wife, for he is a prophet, and he will pray for you and you will live. But if you do not return her, you may be sure that you and all who belong to you will die.”
Kama alikuwa ni dadake, kwanini Mungu amkasirikie Mfalme na kumpa angalizo hilo?

8 Early the next morning Abimelek summoned all his officials, and when he told them all that had happened, they were very much afraid. 9 Then Abimelek called Abraham in and said, “What have you done to us? How have I wronged you that you have brought such great guilt upon me and my kingdom? You have done things to me that should never be done.”10 And Abimelek asked Abraham, “What was your reason for doing this?” Swali la msingi hili toka kwa Mfalme.
Jibu la Abraham.
11 Abraham replied, “I said to myself, ‘There is surely no fear of God in this place, and they will kill me because of my wife.’ 12 Besides, she really is my sister, the daughter of my father though not of my mother; and she became my wife. 13 And when God had me wander from my father’s household, I said to her, ‘This is how you can show your love to me: Everywhere we go, say of me, “He is my brother.’”- Haya ni makubaliano ili asife/wauwawe wote wawili.
Tazama mtu mwenye kumjua Mungu alivyoingiwa na hofu na alichofanya.
14 Then Abimelek brought sheep and cattle and male and female slaves and gave them to Abraham, and he returned Sarah his wife to him.15 And Abimelek said, “My land is before you; live wherever you like.”

16 To Sarah he said, “I am giving your brother a thousand shekels[a] of silver. This is to cover the offense against you before all who are with you; you are completely vindicated.”

17 Then Abraham prayed to God, and God healed Abimelek, his wife and his female slaves so they could have children again, 18 for the Lord had kept all the women in Abimelek’s household from conceiving because of Abraham’s wife Sarah.

Foolishness is a TALENT some times!!
 
Hii nayo aliyo kupa Kisoda [emoji117] View attachment 930802 ni daawa ili UPONE au sumu [emoji351] [emoji344]
Hii ni lugha ya picha ikiwa na maana Mungu ataonyesha atatumia uungu wake mpaka moto wa jahanamu utakaposema tosha then Mungu atakuwa amemaliza kuwaingiza wa motoni , na hii Quran iko wazi kabisa Mungu hawezi kuwa na mguu kama wewe mmakonde
QURAN 112:4
"; wala hakuna anayefanana nae hata mmoja";

Huyo ndio Mungu aswa hana mda wa miguu ili aweze kutembea wala hana mda wa masikio ili aweze kusikia, kama hakiitaji hivyo ndio anakuja kuwa kama yule mnaosema kapigwa MAKONDE ya kufa mtu ahahahajajqjjqjjqjqjqqjqjqjqjqjqjiqiqiqq
 
Mishipa ya shingo na povu lawatoka kwa ajili ya kupigania jehennam [emoji15] Innalilahi wainnalilahi rajuun [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Ahahahahaahahaahaha mishipa ya shingo simnasema alitoka yule mnaedai alipigwa KELBU na kutemewa mate ? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
 
Lugha gani hiyo?
Kama siyo chongo, sasa si ana mijicho huyo?
 
Ahahahahaahahaahaha huyu kweli bwege unakataa nini unakubali nini? Ibrahim Sara ni dada yake , baba mmoja sasa wewe utaki nini? hicho kisa tuna kifahamu wala hakikatai kuwa Ibrahim na Sara sio ndugu , zaidi kinakubali kuwa ni ndugu

Ukifika hapo kwenye 12 inasema wazi

12" Besides, she really is my sister, the daughter of my Father, though not of my mother, and she became my wife";

Ahahahahaahahaahaha hichi kiingereza kinaugumu gani kueleweka ahhahhhahjajjajajajajaj bureee kabisa huyu ahahahahahaahha
 
Ahahahahaahahaahaha mishipa ya shingo simnasema alitoka yule mnaedai alipigwa KELBU na kutemewa mate ? Ahahahahhaah ahahaahahhahah
Matatizo yako yanaanzia hapo [emoji15] [emoji38] allah anakwambia kile kisa alibabaisha mtu mwingine! Hadi na wewe ulituuliza mnao dai kile kisa ni cha kweli alianza kuteswa muda gani [emoji344] allah humuamini BIBLIA TAKATIFU huiamini halafu kutwa kucha umo humu unapiganisla jehannam [emoji12] [emoji15]
 
Kutokana na kuanzishwa kwa mada iliyokuwepo hapa ambayo mara nyingi nimekua nikiacha kuifungua kwa kuamini ilikua imekaa kishabiki lakini leo nimeifungua na kukuta kumbe mleta mada alikua na lengo zuri lisiloegemea upande wowote isipokua tu kutaka kujua uhalali wa maandiko yaliyokuwepo kwenye Quran sura ya 18:83-86.

KWANZA KABISA NAOMBA MODS MSIUNGANISHE UZI HUU NA ULE KWASABABU KWENYE UZI ULE SEHEMU YA COMMENTS IMESHAPOTEZA LENGO LA UZI NA KUHAMIA KWENYE UBISHI WA KIDINI USIOHUSIANA NA MADA WALA USIOKUA NA MSINGI WOWOTE ULE WA KUJENGA!

Pia nawaomba wote mtakaojibu humu tujikite zaidi kwenye mada na sio vitu visivyohusiana na mada hata kama vinahusiana na dini visiletwe hapa ila tu viwe na uhusiano na Quran 18:83-86.

TURUDI KWENYE MADA

Mleta mada ile alizungumzia aya hizo kisayansi akijikita zaidi kwenye mfumo wa jua na jinsi unavyofanya kazi labda kwasababu aliweka mategemeo yake huko au la hakuelewa sura ile ilikua inahusiana na kitu gani haswa!

TUPITIE SURA HIO KUANZIA AYA YA 83-98

18:83
And they ask you, [O Muhammad], about Dhul-Qarnayn. Say, "I will recite to you about him a report."

18:84

SAHIH INTERNATIONAL
Indeed We established him upon the earth, and We gave him to everything a way.

18:85
SAHIH INTERNATIONAL
So he followed a way

18:86
SAHIH INTERNATIONAL
Until, when he reached the setting of the sun, he found it [as if] setting in a spring of dark mud, and he found near it a people. Allah said, "O Dhul-Qarnayn, either you punish [them] or else adopt among them [a way of] goodness."

18:87 SAHIH INTERNATIONAL
He said, "As for one who wrongs, we will punish him. Then he will be returned to his Lord, and He will punish him with a terrible punishment.

18:88
SAHIH INTERNATIONAL
But as for one who believes and does righteousness, he will have a reward of Paradise, and we will speak to him from our command with ease."

18:89
SAHIH INTERNATIONAL
Then he followed a way

18:90
SAHIH INTERNATIONAL
Until, when he came to the rising of the sun, he found it rising on a people for whom We had not made against it any shield.

18:91
SAHIH INTERNATIONAL
Thus. And We had encompassed [all] that he had in knowledge.

18:92
SAHIH INTERNATIONAL
Then he followed a way

18:93
SAHIH INTERNATIONAL
Until, when he reached [a pass] between two mountains, he found beside them a people who could hardly understand [his] speech.

18:94
SAHIH INTERNATIONAL
They said, "O Dhul-Qarnayn, indeed Gog and Magog are [great] corrupters in the land. So may we assign for you an expenditure that you might make between us and them a barrier?"

18:95
SAHIH INTERNATIONAL
He said, "That in which my Lord has established me is better [than what you offer], but assist me with strength; I will make between you and them a dam.

18:96
SAHIH INTERNATIONAL
Bring me sheets of iron" - until, when he had leveled [them] between the two mountain walls, he said, "Blow [with bellows]," until when he had made it [like] fire, he said, "Bring me, that I may pour over it molten copper."

18:97
SAHIH INTERNATIONAL
So Gog and Magog were unable to pass over it, nor were they able [to effect] in it any penetration.

18:98
SAHIH INTERNATIONAL
[Dhul-Qarnayn] said, "This is a mercy from my Lord; but when the promise of my Lord comes, He will make it level, and ever is the promise of my Lord true."

Tukiziangalia aya hizo zinaonesha kua ilikua ni simulizi ya mtu ambae Mwenyezi Mungu alimjaalia kwa mambo mengi..hapo mbele tutajadili nadharia za sasa za mtu alieongelewa hapo lakini leo tujikite katika kuziangalia aya hizo.

Kwanza kabisa inaonesha ni watu wa Muhammad ndio waliokua wakiuliza habari za mtu huyo ndipo majibu yakaja katka Quran kuhusu mtu huyo.

Aya ya 82 inaelekeza kua habari zake zinasimuliwa sasa

Katika aya inayofuatia inaelekeza kua Allah alimjaalia kwa neema zake na alimuelekeza njia ambayo njia hio aliifuata..katika nadharia za sasa wanazuoni wanaelezea kua inawezekana mtu huyo alikua ni kati ya wafalme au watu mashuhuri waliokua na uwezo mkubwa wa kuizunguka dunia na kujitwalia maeneo mengi katika enzi zao nankuyaingiza katika himaya zao.Hivyo hii ilikua ni moja kati ya matukio aliyoyapitia mtu huyo katika enzi za maisha yake.

Basi siku moja alifuata njia moja wapo(ikiwa ni katika matukio yake mengi yaliyowagi kutokea)

Aya ya 86 inaelezea kua basi akafikia sehemu ambayo jua lilikua linazama..haimaanishi kua alilikuta jua linazama sehemu bali aya hii ina lengo la kuelezea kua alifika sehemu ambayo giza lilikua linaingia na mazingira ya marneo hayo yakiwa ni mazingira yenye unyevu,au maji au ni maeneo ya ziwa ..hio pia utajiridhisha kwa kuangalia kua aya hio inazingumzia mji ambao kwa wakati ule wa safari yake ilikua imefikia muda wa kuzama kwa jua na yeye aliona (as if) jua linazama kwenye matope..as if inamaanisha not really jua linazama kwenye matope bali ni tukio lenye dhamira ya kuelezea mji huo kua jua lilipokua likizama palio ekana ni mazingira yenye maji...na ndio maana hata aya haikuishia hapo bali iliendelea zaidi na kuelezea kua maeneo hayo palikia pia pakiishi watu(ikimaanisha ni mji wa watu)

Basi Quran ikaendelea kuelezea kua basi ikawa ni juu yake kuwapa adhabu au kuwafanya wawe chini ya himaya yake(inaonekana watu hawa walikua against kufika kwake pale)

Kisha mtu huyo aliwaambia watu wale kua kwa atakayefanya makosa ataadhibiwa na si vinginevyo.

Aya ya 89 inaendelea kwa kusema kua akaemdelea na kufuata njia yake

Kisha aya ya 90 ilaendelea

SAHIH INTERNATIONAL
Until, when he came to the rising of the sun, he found it rising on a people for whom We had not made against it any shield.

Baada ya kuendelea na njia yake ikafikia wakati wa jua kuchomoza na marneo hayo watu wa pale hawakua against na yeye..aya hii pia inaelezea tukio hili kwa lengo la kufahamiaha juu ya watu wa marneo hayo na haimaanishi alifika sehemu ambayo akalikuta jua linainuka kutoka sehemu..namaanisha lengo ni kua alifika sehemu ambapo palikucha na katika eneo hilo lilikua na watu na watu wa maeneo hayo hawakua na upinzani kwake.

Kisha baada ya hapo aliendelea na safari yake hadi alipofika eneo ambalo ni katikati ya milima miwili

Hapa pia alikuta watu ambao walielewa lugha yake kwa shida sana(haimaanishi hawakuelewana)

Watu hawa wao walimuelekeza kua kuna jamii nyingine ambayo ilikua ni kama ikiwafanyia uonevu hivyo wakaomba kutenganisha nao kisha akawatenganisha kwa kazi waliyoifanya pamoja.

Watu hawa walimuahidi malipo lakini alikataa na kusema malipo yake Mungu atamlipa na inamtosha.

KWA LEO TUISHIE HAPA KISHA TUTAENELEA NA KUANGALIA JE MTU HUYO NI NANI KATIKA HISTORIA YA MASHARIKI YA KATI KWASABABU MAJINA MENGI YANAYOELEZEWA KWA KIARABU WAKATI MWINGINE HUA YANA TOFAUTI NA MAJINA KATIKA LUGHA NYINGINE NA HIO TUMEONA KWA WAFALME NA MANABII WENGI.

Hivyo nadhani tumeona kua aya hizo zinaelezea tu matukio yaliyopo hapa duniani na kuhusu kuzama na kuchomoza kwa jua palimaanisha kuelezea kimazingira muonekano wa maeneo hayo katika muda ambapo alifika na watu aliowakuta.

Hivyo tuzitazame aya hizi kwa mtazamo wa kisanaa zaidi ya mtazamo wa kisayansi kwakua zimemaanisha kuelezea maeneyo katika safari aliyopitia mtu aliekua akiongelewa na wala si sayansi ya mfumo wa jua.

Hata hivyo Quran katika sehemu nyingi e nyingi imezungumzia matukio mengi ya kisayansi ambayo yameonekana kua na ukweli japokua katika wakati ule hayakufahamikana yalionekana kama mambo magumu ikiwa mtaridhia basi tutayapitia yote lakini aya hizi zisihusishwe na hizo nyingine kwakua tu Quran imeingelea mambo mengine ya kisayansi.

Karibuni na tutumie busara.
 
Ahahahahaahahaahaha kumbe alibabaishiwa mtu mwengine , kwa sababu ni upumbavu mtupu ndio maana akabambikiwa mtu mwengine ahahahhahaahaaa
 
2: 255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…