Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
wanajilipa wenyewe kutokana na pesa za kina nani zaidi ya nyie kondoo msiokuwa na akili?
Leo bila hizo senti Zenu za mboga kuwalekea hao wachunga kondoo feki pesa wangepata wapi? kanisa mnageuza vitega uchumi.

nimekupa list ya 10 billionaires Wote MAPADRI NA WACHUNGAJI.
Nasubiri unipe jina la IMAM MMOJA TU anaemiliki Chochote cha maana.

We kafiri najua ukikubali ukweli kazi huna.
manake makanisa yanawalipa kusema Uongo
 

Mpumbavu Kabisa wewe.
Hao MAPASTA WANAISHIA MILIONI tu.
Na sijaona listi ya Mapadre zaidi ya Uzushi wako. Usivyojua Taasisi za maoadre zinavyoongozwa. Ulishazoea kuongea Uongo bila hata soni.

Nakutajia mashekh matajiri wenye viwango vya BILIONI.

Link hii hapa.
7 Of The Richest Sheikhs In The World - Sheen Services

Mngekua hamna hela, huo ugaidi mngeweza kununua hata bunduki nyinyi..?
Kiazi wewe
 

Kojo la punda wa Ezekiel 23 20 limeshakumaliza hata akili huna , umetakiwa ulete list ya imam unaleta sheikh , mnakulaga Ile mikate ya mavi na kunywa kojo la punda baadaye mnakuja kujaza server uharo
 
Hili somo LA UUNGU WA YESU nimekushauri ukatahiriwe utoharike ñdipo utafunguka [emoji106] wewe hutaki unakaza shino [emoji12] UTAKUFA kafir [emoji15] [emoji53]

Mapadri wa kizungu walikutahiri makalio,? Leo umekuwa kinara wa kutuambia mungu kajitia nyama akawa binadamu na ukiambiwa toa ushahidi , huna, umebaki eti kutahiriwa . kwani kutahiriwa , ndio mungu kawa mtu ?? shirikina wahed wewe,??
 
Kojo la punda wa Ezekiel 23 20 limeshakumaliza hata akili huna , umetakiwa ulete list ya imam unaleta sheikh , mnakulaga Ile mikate ya mavi na kunywa kojo la punda baadaye mnakuja kujaza server uharo
Naona mnaanza kushea ID sikuhizi.

Hao Mashekh wamejilimbikizia Mali kisha wanawadanganya nyie ni Masikini. Mnaamini.
Wachoyo wanakula na vipofu, ili msifahamu wakiwalipa pesa mkalipuke. mnaenda nyie, wao wanabaki kula good time na hii dunia.

Kamuangalie Sara mke wa Prince Mohammed wa Saudi Arabia, anavyojiachia akiwa kavaa bikini. Utadhani kazaliwa Ulaya.
 
The idiot done it again.
Nakuuliza majina ya IMAMS unaweka majina ya SHEIKHS.
Hii ni kuonyesha uchache wako wa Elimu.
wewe ni idiot na hatari zaidi unadhani una Elimu.

SHEIKH ni kiongozi wa KABILA au NCHI. NA Hahusiani kabisa na UONGOZI wa DINI.

IMAM ni KIONGOZI wa DINI .

Upumbavu wako unasababisha nipoteze muda wangu muhimu.
Mlete Mumeo au Padri wako nijadili nae sio kapuku kama wewe.

Adios Nicompoop.
 

Haro jengine hili , kojo la punda na mikate ya mavi @ work
 
Mbona unakimbia hapa??

Nikimbie nini hapo wakati same BOOK your idiot Muhammad anakitumia na kujiapiza tena ana kienzi kwa kukitandikia Mto aliokalia. Bandiko lipo hapo nimekupa.
Si huyo tu, Abduls wote mpaka wewe mwenyewe unatumia ku prove kuwa Muhammad yupo/ametajwa humo.
Swali, unaweza kuniambia ni kitabu gani kimekuwa corrupted kati ya vitabu max.60 vilivyomo kwenye Bibilia?

Ukimaliza huko, kwafaida ya wasomaji na Abduls wengine utwambie kuhusu hii kitu hapa chini.
Wapi tunapata SIX missing Quran?
Ikiwa Muhammada anakiri quran moja tu hamuwezi kuelewa mpaka mletewe 7 quran. Je, alikuwa kalewa kojo la NGAMIA na vitafunwa vya 7 Ajua?
Kati ya Muhammad, Othman/Uthman/Asumani, Hafsi na nyie Abduls wa leo nani anajua kuliko mwenzake??
Kama Hamkuelewa quran moja leo mnawezaje kuelewa Bibilia yenye vitabu zaid ya 60???
Tupatie Sababu za Hadith hii kuwepo? Nini kilitokea?

Na usije na jibu la Dha'if. Maana ndio zenu mkiona sumari linatokea kuani mnajifanya ooh Dha'if!! 1400 yrs mmezishikilia kwenye vitabu vyenu.

Sahih Muslim » The Book of Prayers (Kitab Al-Salat)

Ubayy b. Ka'b reported that the Apostle of Allah (may peace be upon him) was near the tank of Banu Ghifar that Gabriel came to him and said:
Allah has commanded you to recite to your people the Qur'an in one dialect. Upon this he said: I ask from Allah pardon and forgiveness. My people are not capable of doing it. He then came for the second time and said: Allah has commanded you that you should recite the Qur'an to your people in two dialects. Upon this he (the Holy prophet) again said: I seek pardon and forgiveness from Allah, my people would not be able to do so. He (Gabriel) came for the third time and said: Allah has commanded you to recite the Qur'an to your people in three dialects. Upon this he said: I ask pardon and forgiveness from Allah. My people would not be able to do it. He then came to him for the fourth time and said: Allah has commanded you to recite the Qur'an to your people in seven dialects, and in whichever dialect they would recite, they would be right.

وَحَدَّثَنَا أَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، حَدَّثَنَا غُنْدَرٌ، عَنْ شُعْبَةَ، ح وَحَدَّثَنَاهُ ابْنُ الْمُثَنَّى، وَابْنُ بَشَّارٍ قَالَ ابْنُ الْمُثَنَّى حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ جَعْفَرٍ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنِ الْحَكَمِ، عَنْ مُجَاهِدٍ، عَنِ ابْنِ أَبِي لَيْلَى، عَنْ أُبَىِّ بْنِ كَعْبٍ، أَنَّ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم كَانَ عِنْدَ أَضَاةِ بَنِي غِفَارٍ - قَالَ - فَأَتَاهُ جِبْرِيلُ عَلَيْهِ السَّلاَمُ فَقَالَ إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكَ أَنْ تَقْرَأَ أُمَّتُكَ الْقُرْآنَ عَلَى حَرْفٍ ‏.‏ فَقَالَ ‏"‏ أَسْأَلُ اللَّهَ مُعَافَاتَهُ وَمَغْفِرَتَهُ وَإِنَّ أُمَّتِي لاَ تُطِيقُ ذَلِكَ ‏"‏ ‏.‏ ثُمَّ أَتَاهُ الثَّانِيَةَ فَقَالَ إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكَ أَنْ تَقْرَأَ أُمَّتُكَ الْقُرْآنَ عَلَى حَرْفَيْنِ فَقَالَ ‏"‏ أَسْأَلُ اللَّهَ مُعَافَاتَهُ وَمَغْفِرَتَهُ وَإِنَّ أُمَّتِي لاَ تُطِيقُ ذَلِكَ ‏"‏ ‏.‏ ثُمَّ جَاءَهُ الثَّالِثَةَ فَقَالَ إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكَ أَنْ تَقْرَأَ أُمَّتُكَ الْقُرْآنَ عَلَى ثَلاَثَةِ أَحْرُفٍ ‏.‏ فَقَالَ ‏"‏ أَسْأَلُ اللَّهَ مُعَافَاتَهُ وَمَغْفِرَتَهُ وَإِنَّ أُمَّتِي لاَ تُطِيقُ ذَلِكَ ‏"‏ ‏.‏ ثُمَّ جَاءَهُ الرَّابِعَةَ فَقَالَ إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكَ أَنْ تَقْرَأَ أُمَّتُكَ الْقُرْآنَ عَلَى سَبْعَةِ أَحْرُفٍ فَأَيُّمَا حَرْفٍ قَرَءُوا عَلَيْهِ فَقَدْ أَصَابُوا ‏.‏

Nawangoja hapa kwenye barza ya kahawa, mje na majibu.
 
O yes Son of Muttah!
Are you Sure?
where did you get this? From this Big Idiot?

Sunan an-Nasa'i » The Book of Purification

It was narrated that Anas said:
"The Messenger of Allah (PBUH) said: 'The man's water is thick and white, and the woman's water is thin and yellow. Whichever of them comes first, the child will resemble (that parent).'"

أَخْبَرَنَا إِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، قَالَ أَنْبَأَنَا عَبْدَةُ، قَالَ حَدَّثَنَا سَعِيدٌ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ مَاءُ الرَّجُلِ غَلِيظٌ أَبْيَضُ وَمَاءُ الْمَرْأَةِ رَقِيقٌ أَصْفَرُ فَأَيُّهُمَا سَبَقَ كَانَ الشَّبَهُ ‏"‏ ‏.‏

Sunan Ibn Majah » The Book on Dry Ablution

It was narrated from Anas that:
Umm Sulaim asked the Messenger of Allah about a woman who sees in her dream something like that which a man sees. The Messenger of Allah said: "If she sees that and has a discharge, then let her perform a bath." Umm Salamah said: "O Messenger of Allah, does that really happen?" He said: "Yes, the water of the man is thick and white and the water of a woman is thin and yellow. Whichever of them comes first or predominates, the child will resemble (that parent)."

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ الْمُثَنَّى، حَدَّثَنَا ابْنُ أَبِي عَدِيٍّ، وَعَبْدُ الأَعْلَى، عَنْ سَعِيدِ بْنِ أَبِي عَرُوبَةَ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ، أَنَّ أُمَّ سُلَيْمٍ، سَأَلَتْ رَسُولَ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ عَنِ الْمَرْأَةِ تَرَى فِي مَنَامِهَا مَا يَرَى الرَّجُلُ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ‏"‏ إِذَا رَأَتْ ذَلِكَ فَأَنْزَلَتْ فَعَلَيْهَا الْغُسْلُ ‏"‏ ‏.‏ فَقَالَتْ أُمُّ سَلَمَةَ يَا رَسُولَ اللَّهِ أَيَكُونُ هَذَا قَالَ ‏"‏ نَعَمْ مَاءُ الرَّجُلِ غَلِيظٌ أَبْيَضُ وَمَاءُ الْمَرْأَةِ رَقِيقٌ أَصْفَرُ فَأَيُّهُمَا سَبَقَ أَوْ عَلاَ أَشْبَهَهُ الْوَلَدُ ‏"‏ ‏.‏

Sahih Muslim » The Book of Menstruation (Kitab Al-Haid)

Anas b. Malik reported that Umm Sulaim narrated it that she asked the Apostle of Allah (may peace be upon him) about a woman who sees in a dream what a man sees (sexual dream). The Messenger of Allah (may peace be upon bi m) said:
In case a woman sees that, she must take a bath. Umm Sulaim said: I was bashful on account of that and said: Does it happen? Upon this the Apostle of Allah (may peace be upon him) said: Yes (it does happen), otherwise how can (a child) resemble her? Man's discharge (i. e. sperm) is thick and white and the discharge of woman is thin and yellow; so the resemblance comes from the one whose genes prevail or dominate.

حَدَّثَنَا عَبَّاسُ بْنُ الْوَلِيدِ، حَدَّثَنَا يَزِيدُ بْنُ زُرَيْعٍ، حَدَّثَنَا سَعِيدٌ، عَنْ قَتَادَةَ، أَنَّ أَنَسَ بْنَ مَالِكٍ، حَدَّثَهُمْ أَنَّ أُمَّ سُلَيْمٍ حَدَّثَتْ أَنَّهَا، سَأَلَتْ نَبِيَّ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عَنِ الْمَرْأَةِ تَرَى فِي مَنَامِهَا مَا يَرَى الرَّجُلُ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ إِذَا رَأَتْ ذَلِكِ الْمَرْأَةُ فَلْتَغْتَسِلْ ‏"‏ ‏.‏ فَقَالَتْ أُمُّ سُلَيْمٍ وَاسْتَحْيَيْتُ مِنْ ذَلِكَ قَالَتْ وَهَلْ يَكُونُ هَذَا فَقَالَ نَبِيُّ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ نَعَمْ فَمِنْ أَيْنَ يَكُونُ الشَّبَهُ إِنَّ مَاءَ الرَّجُلِ غَلِيظٌ أَبْيَضُ وَمَاءَ الْمَرْأَةِ رَقِيقٌ أَصْفَرُ فَمِنْ أَيِّهِمَا عَلاَ أَوْ سَبَقَ يَكُونُ مِنْهُ الشَّبَهُ ‏"‏ ‏.‏
 
Hujasikiliza kitu unakuja na mihemko hata hujui unachokisema

Pàta hii zawadi yako

Nijibu kwenye niliuliza. huyu amekimbia kulipa Jyzia. na kuporwa mali zake. Bible ina majibu yote.

9.29 Jalal - Al-Jalalayn
Fight those who do not believe in god, nor in the last day, for, otherwise, they would have believed in the prophet (s), and who do not forbid what god and his messenger have forbidden, such as wine, nor do they practise the religion of truth, the firm one, the one that abrogated other religions, namely, the religion of islam — from among of those who (min, ‘from’, explains [the previous] alladhīna, ‘those who’) have been given the scripture, namely, the jews and the christians, until they pay the jizya tribute, the annual tax imposed them, readily (‘an yadin is a circumstantial qualifier, meaning, ‘compliantly’, or ‘by their own hands’, not delegating it [to others to pay]), being subdued, [being made] submissive and compliant to the authority of islam.
Hii ndio imemkimbiza kutoka Christianity.
 
atakayesoma haya yote anielezee kwa kifupi
 

Muslims believes that current bible [OT &NT] is not the one, which God [Allaah] almighty gave to Moses and Jesus [peace be upon them].

That is why once one explore the Noble Qur'aan with its entirety in almost all cases it is inevitable for him/her to not say the Shahada.
 
Mpumbavu kabisa wewe. Sasa umeamua ku categorize baada ya kuona umeishiwa hoja...

Nani alikuambia ukiwa Shekh hauwezi kua Imamu?.
Nakuongezea na huyu mmoja hapa..

Khamenei controls a "financial empire" worth approximately US$95 billion, a figure much larger than the estimated wealth of the late Shah of Iran.
 


Did mankind tamper with the Old Testament?

And it came to pass, when Moses had made an end of writing the words of this law in a book, until they were finished, That Moses commanded the Levites(Jews), which bare the ark of the covenant of the LORD, saying, Take this book of the law, and put it in the side of the ark of the covenant of the LORD your God, that it may be there for a witness against thee. For I know thy rebellion, and thy stiff neck: behold, while I am yet alive with you this day, ye have been rebellious against the LORD; and how much more after my death? Gather unto me all the elders of your tribes, and your officers, that I may speak these words in their ears, and call heaven and earth to record against them. For I know that after my death ye will become utterly corrupt, and turn aside from the way which I have commanded you; and evil will befall you in the latter days; because ye will do evil in the sight of the LORD, to provoke him to anger through the work of your hands. (Deuteronomy 31:25-29)"

Here the Jews' hands are predicted to cause so much corruption (including corruption in the Bible).

Jeremiah 8:8 below which came approximately 826 yrs later confirmed the Bible corruption.

"How can you say we (the Jews) are wise and the law of the Lord is with us, when in fact the false pen of the scribes has made it into a lie? (Jeremiah 8:8 (Revised Standard Version))"

"And because of their (the Jews) breaking their covenant, We have cursed them and made hard their hearts. They change words from their places and have abandoned a good part of the message that was sent to them. And you will not cease to discover deceit in them, except a few of them. But forgive them and overlook (their misdeed). Verily! Allah loves the kindly. (The Noble Quran, 5:13)"

"O Messenger!(Muhammad) Do not be grieved by those who vie with one another in the race to disbelief, of such as say with their mouths: "We believe" but their hearts believe not, and of the Jews: of them are those who listen eagerly to lies -listener to others who have not come to you. They change the words from their places; they say: If you are given this then take it, but if you are not given this then beware! He whom Allah dooms unto sin, you (by your efforts) will avail him naught against Allah. Those are they for whom the will of Allah is that He cleanse not their hearts; for them there is a disgrace in this world, and in the Hereafter a great torment. (The Noble Quran, 5:41)"

For countless ages, the only book of history available to Christians and Jews was the Old Testament.

When someone wanted to know what happened in the past, they would go back and study the Old Testament to find the answer.

New theories about history literally lived and died by their conformance to what the Old Testament taught.

Then the discrepancies began to be noticed.

Once mankind began to study the Old Testament in detail, comparing the various passages which referred to the same topic in order to obtain as much detail as possible, they began to notice conflicting accounts of many matters as well as other problems.

For instance, in the eleventh century, it was noticed that the list of Edomite kings in Genesis 36 names kings who lived long after Moses was dead Then people began to notice such statements as "to this day" something is true, which implies that the author was looking back at these matters through history and has seen that they have endured.
 
who is khamenei butthole.

I'm wasting my time here.
..! I can see you for brown tongue.
Go do your job behind madhabahu!

[emoji23][emoji1787]
 
Haro jengine hili , kojo la punda na mikate ya mavi @ work
We huna ujualo zaidi ya kuropoka. We umeambiwa ule mainzi na mkojo wa Ngamia.
Unadhani nahitaji kulazimisha maana ili nieleweke. Iko wazi sana hii?.

Hapo hatujagusia namna uji wa ngama na wa Sunnah unavyoandaliwa.
 

Alikuambia padri wako alipokutahiri makalio ??
 
who is khamenei butthole.

I'm wasting my time here.
..! I can see you for brown tongue.
Go do your job behind madhabahu!

[emoji23][emoji1787]

Huna unacho lose. You do what you love best, to insult Christians and curse them.. Like Mohammad did.
Umefanya hivi kwa miaka mingi sana.

Na Nimeangalia pale Saudia, utajiri wa maimamu unafanywa siri. Usijulikane.
Mmekaa huku mnakenua kua hamna ma imamu matajiri, wakati wenyewe wanakula na vipofu kama nyinyi.
Dunia nzima mnapeleka pesa ya Hija hapo. Halafu mnadanganya ni masikini?!.
Mnategemea tuamini?!
Hao niliokutajia huko juu hawana pa kuficha nyuso zao.

Kuna huyu hapa bilionea,
Sheikh of al-Azhar.
Ahmed el-Tayeb, is a prestigious Sunni Islam title and a prominent official title in Egypt.

https://www.washingtonpost.com/news...t-crackdown-continues/?utm_term=.db8273c04de4

Mtaalamu wa kupiga taqiyyah na kitman.
 
 
Hivi kweli nawe umwalimu wa kutoa Darsa kwetu kuhusu BIBLE?
Mungu ninaye muabudu akuhurumie wewe na huyo nayekuongopea kwakukukaririsha maandiko kwa njia potofu kiasi hiki.
Andiko uliloleta Kumb. 28:53 linazidi kuwamaliza na kutuonyesha kuwa Muslims you are so stupid and a bunch of IDIOTS ever. Hatuwatukani bali ndio hali halisi. Jiongeze kidogo usome andiko hili kwanza kabla hujaleta hapa kama ushaidi.
ngoja nikupe shule japo ya LIGHA kidogo( ni kiswali na wewe umekopi na kuiweka hapa sentesi bila kujua inakuumbua).

Tuanze na uelewa huu kwanza.
"Ndipo utalazimika kula ....." Ukiwa mwalimu, sentesi hii ni ya nyakati gani gani, Iliyopita, iliyopo au ijayo?
Je, unaweza kutuambia mnenaji alisema sentesi hii kwanini watakula hao watoto? - Najua uwezo wakujiuliza hili as Muslim haupo.

Na kwa kua ni watu wa kukaririshwa tu, bila kujiongeza.Kwanini hukujiuliza 28:1-22 na baada ya 28:23, yaani 28:24......... nazo zimesema nini.
Bibilia haisomwi na kuelewe kwa kuchupia kimstari kimoja na ukaja na hitimisho kuwa hivi ndivyo.

Kuwasaidia Abduls wote humu muelewe Bibilia inasomwaje(Siyo quran mmepewa saba lakini hata hiyo moja mliyonayo bado hauielewi, including Muhammad mwenyewe haijui.)

KUMBUKUMBU LA TORATI
Mlango: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 2324 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34

Moses Anongea na wana Israel kuhusu maagizo ya MUNGU, nini wafanye na nini wasifanye. Naiwapo wakifanya sawa na Mungu alivyoagiza watapata nini na wakienda kinyume chake nini kitawapata.

Twende kazi:-

MLANGO 28
Maagizo yanaanza hapa.

1 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;
2 na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako.

*Mibaraka ya ukweli hiyo. - iwapo watamsikiliza na kuyatenda maagizo ya Mungu. Yepi hayo Soma 28:1-2.

3 Utabarikiwa mjini, utabarikiwa na mashambani.
4 Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
5 Litabarikiwa kapu lako, na chombo chako cha kukandia unga.
6 Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.
7 Bwana atawafanya adui zako wainukao juu yako kupigwa mbele yako; watakutokea kwa njia moja, lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
8 Bwana ataiamuru baraka ije juu yako katika ghala zako, na mambo yote utakayotia mkono wako; naye atakubarikia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako.
9 Bwana atakuweka uwe taifa takatifu kwake, kama alivyokuapia; utakaposhika maagizo ya Bwana, Mungu wako, na kutembea katika njia zake.
10 Na mataifa yote ya duniani watakuona umeitwa kwa jina la Bwana, nao watakuwa na hofu kwako.
11 Bwana atakufanya uwe na wingi wa uheri, katika uzao wa tumbo lako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako, katika nchi Bwana aliyowaapia baba zako kwamba atakupa.
12 Atakufunulia Bwana hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
13 Bwana atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini; utakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wako, nikuagizayo hivi leo, kuyaangalia na kufanya;

* Kazi inaanzia hapa. Tulia, Sindano inauma lakini ndio kupona. ( Hapo.. Mkristo ushike MOYO, Bwana wako....RC mnaelewa sana kawimbo hako hasa ikifikahapo nini kinakuja)

14 msipokengeuka katika maneno niwaamuruyo leo kwa lo lote, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto, kwa kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
15 Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.
16 Utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani.
17 Litalaaniwa kapu lako na chombo chako cha kukandia.
18 Utalaaniwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, maongeo ya ng'ombe wako, na wadogo wa kondoo zako.
19 Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,
20 Bwana atakuletea laana na mashaka, na kukemewa, katika yote utakayotia mkono wako kuyafanya, hata uangamie na kupotea kwa upesi; kwa ule uovu wa matendo yako, uliyoniacha kwayo.
21 Bwana atakuambatanisha na tauni, hata atakapokwisha kukuondoa katika nchi uingiayo kwa kuimiliki.
22 Bwana atakupiga kwa kifua kikuu, na kwa homa, na kwa kuwashwa, na kwa hari ya moto, na kwa upanga, na kwa ukaufu, na kwa koga; navyo vitakufukuza hata uangamie.
23 Na mbingu zako zilizo juu ya kichwa chako zitakuwa shaba, na nchi iliyo chini yako itakuwa chuma.
24 Bwana atafanya mvua ya nchi yako iwe vumbi na mchanga; itakujilia juu yako kutoka mbinguni hata uangamie.
25 Bwana atakufanya upigwe mbele ya adui zako; utawatokea juu yao kwa njia moja, lakini utakimbia mbele yao kwa njia saba; nawe utatupwa huko na huko katika falme zote za duniani.
26 Na mzoga wako utakuwa chakula cha ndege wote wa angani, na wanyama wote wa duniani, pasiwe na mtu wa kuwafukuza.
27 Bwana atakupiga kwa majipu ya Misri, na kwa bawasiri, na kwa pele, na kwa kujikuna, ambayo hupati kupoa.
28 Bwana atakupiga kwa wazimu, na kwa upofu, na kwa bumbuazi la moyoni;
29 utakwenda kwa kupapasa-papasa mchana, kama apapasavyo kipofu gizani, wala hufanikiwi katika njia zako; nawe sikuzote utaonewa na kutekwa nyara, wala hapatakuwa na mtu wa kukuokoa.
30 Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
31 Ng'ombe wako atachinjwa mbele ya macho yako, usile nyama yake; utanyang'anywa punda wako mbele ya uso wako kwa jeuri, usirudishiwe; kondoo zako watapewa adui zako, usipate mtu wa kukuokoa.
32 Wanao na binti zako litapewa taifa lingine, na macho yako yataangalia, na kuzimia kwa kuwatamani mchana kutwa; wala hapatakuwa na kitu katika uwezo wa mkono wako.
33 Matunda ya nchi yako, na taabu yako yote, vitaliwa na taifa usilolijua; utaonewa tu, na kupondwa chini daima;
34 hata uwe mwenye wazimu kwa yaonwayo na macho yako, utakayoyaona.
35 Bwana atakupiga magoti na miguu kwa jipu lililo zito, usilopata kupozwa, tokea wayo wa mguu mpaka utosi wa kichwa.
36 Bwana atakupeleka wewe, na mfalme wako utakayemweka juu yako, kwa taifa usilolijua wewe wala baba zako; nawe huko utatumikia miungu mingine ya miti na mawe.
37 Nawe utakuwa ushangao, na mithali, na dharau, kati ya mataifa yote huko atakakokuongoza Bwana.
38 Mbegu nyingi utazichukua nje shambani, lakini utavuna haba, kwa kuwa nzige watazila.
39 Utapanda mizabibu na kuitengeza, wala hutakunywa katika divai yake, wala kuichuma kwani italiwa na mabuu.
40 Utakuwa na mizeituni katika mipaka yako yote usijipake mafuta yake; kwa kuwa mzeituni wako utapukutika.
41 Utazaa wana na binti, lakini hawatakuwa wako wewe; kwa sababu watakwenda utumwani.
42 Miti yako yote, na mazao ya nchi yako, nzige watakuwa nayo.
43 Mgeni aliye kati yako atazidi kupaa juu yako; nawe utazidi kushuka chini.
44 Yeye atakukopesha, wala wewe usimkopeshe; yeye atakuwa ni kichwa, wewe utakuwa mkia.
45 Na laana hizi zote zitakujilia juu yako, zitakuandama na kukupata, hata uangamizwe, kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako, kushika maagizo yake na amri zake alizokuagiza;
46 nazo zitakuwa juu yako kwa ishara na ajabu, na juu ya uzao wako milele;
47 kwa kuwa hukumtumikia Bwana, Mungu wako, kwa furaha na moyo wa kushukuru, kwa ajili ya ule wingi wa vitu vyote;
48 kwa hiyo utawatumikia adui zako atakaowaleta Bwana juu yako, kwa njaa, na kwa kiu, na kwa uchi, na kwa uhitaji wa vitu vyote; naye atakuvika kongwa la chuma shingoni mwako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
49 Bwana atakuletea taifa juu yako kutoka mbali, kutoka ncha ya dunia, kama arukavyo tai; taifa usiloufahamu ulimi wake;
50 taifa lenye uso mkali, ambalo haliangalii uso wa mzee, wala halipendelei kijana;
51 naye atakula uzao wa ng'ombe wako wa mifugo, na uzao wa nchi yako mpaka utakapokwisha kuangamizwa; wala hatakuachia nafaka, wala divai, wala mafuta, wala maongeo ya ng'ombe wako, wala wana-kondoo wako, hata atakapokwisha kukuangamiza.
52 Naye atakuhusuru katika malango yako yote, hata kuta zako ndefu, zenye maboma, ulizokuwa ukiziamini, zishuke, katika nchi yako yote kila upande; naye atakuhusuru katika malango yako yote kila upande, katika nchi yako yote aliyokupa Bwana, Mungu wako.
Andiko lako hili hapa. Nalo halisemi mnaruhusiwa kula watu. Bali "WATA/UTA" - Future tense. Ni adhabu itokanayo na kutokutii.( kwa maana wamekosa/wakosaji nao hawatakuwa na chakula).

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.
54 Mtu mume kati yenu aliye mwororo na laini sana, jicho lake litakuwa ovu juu ya nduguye, na juu ya mke wa kifuani mwake, na juu ya masalio ya wanawe waliosalia naye;
55 hata asitake wao mmojawapo apewe katika nyama ya wanawe atakaowala, kwa kuwa hana kitu kilichomsalia kwake; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako yote.
56 Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatirisha kuweka wayo wa mguu wake nchi kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,
57 na juu ya mchanga wake atokaye katikati ya miguu yake, na juu ya wanawe atakaowazaa; kwa kuwa atawala kwa siri, kwa uhitaji wa vitu vyote; katika mazingirwa na mkazo utakaokazwa na adui yako katika malango yako.
58 Kama hutaki kutunza kufanya maneno yote ya torati hii yaliyoandikwa katika kitabu hiki, upate kulicha jina hili la fahari na utisho, Bwana, MUNGU WAKO;
59 ndipo atakapofanya Bwana mapigo yako yawe ya ajabu, na mapigo ya uzao wako, mapigo makubwa kwa kweli, ya kudumu sana, na magonjwa mazito ya kudumu sana.
60 Naye atakurejezea maradhi yote ya Misri juu yako uliyokuwa ukiyaogopa, nayo yataambatana nawe.
61 Tena kila ugonjwa, na kila pigo yasiyoandikwa katika kitabu cha torati hii, atakutia nayo Bwana juu yako, hata utakapokwisha kuangamizwa.
62 Nanyi mtasalia wachache kwa hesabu, ninyi mliokuwa mfano wa nyota za mbinguni kwa wingi; kwa kuwa hukuisikiza sauti ya Bwana, Mungu wako.
63 Tena itakuwa, kama vile alivyokuwa akifurahi Bwana juu yenu kwa kuwatendea mema na kuwafanya kuwa wengi, ndivyo atakavyofurahi Bwana juu yenu kwa kuwapoteza na kuwaangamiza; nanyi mtanyakuliwa katika hiyo nchi mwingiayo kuimiliki.
64 Bwana atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.
65 Wala katika mataifa hayo hutapata raha iwayo yote, wala hutakuwa na kituo cha wayo wa mguu wako; lakini Bwana atakupa huko moyo wa kutetema, na macho ya kuzimia, na roho ya kudhoofika;
66 na uzima wako utakuwa na wasiwasi mbele yako; nawe utakuwa na woga usiku na mchana, wala hutaamini kamwe maisha yako;
67 asubuhi utasema, Laiti ingekuwa jioni! Na jioni utasema, Laiti ingekuwa asubuhi! Kwa kicho cha moyo wako utakavyokucha, na kuona kwa macho yako utakavyoona.
68 Bwana atakurudisha tena Misri kwa merikebu, kwa njia ambayo nilikuambia, Hutaiona tena po pote; nanyi huko mtajiuza nafsi zenu kwa adui zenu kuwa watumwa na wajakazi, wala hapana atakayewanunua.
=============
O what a lovely Book to read!!

Kwakua Bible ni corrupted Book(according to you Abduls) Naomba utuwekee hapa Taurati ya mussa iliyopo kwenye Quran. Tupate kuona Allah alisema nini kwenye aya hii!!
Nakusubiri hapa huku nagonga KITI MOTO na Sprite barrrridiiiiiii!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…